EXLUSIVE:Dotto Magari aongea mengi aliyopita katika maisha yake

  Рет қаралды 5,514

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@rashidsaid1092
@rashidsaid1092 4 ай бұрын
Aliesoma lazima atakua tofauti na asie soma wala sio lazima kwenye kipato... Kipato ni mungu mwenyewe kuchakua nani ampe nani amnyime
@dejackoog8054
@dejackoog8054 4 ай бұрын
Elimu ni muhimu sana ila watu hukalili kuwa kusoma lazima uwe tajiri mkubwa wanasahau kuwa “The aim of education is to be educated “ Oscar Jackson,,, hata Ngosha (Fiq Q) alisema “Mafanikio siyo lazima elimu ni maujanja tu” song MAFANIKIO…
@ayoubshoo
@ayoubshoo 4 ай бұрын
Dotto azani kila anaemhoji ni mpuuzi mwenzake kama hawa waandishi wa You Tube, ajifunze kubadilika kutokana na mazingira, bwege sana
@akwilaisseri5312
@akwilaisseri5312 4 ай бұрын
Kuna majibu ulitakiwa kujibu kiufasa sana bwana Dotto kwa nafasi uliopata kufika kwenye radio ya Taifa ungetuliza kichwa na kuweka mazoea ya online tv zinapokufata kumsikiliza mtangazaji maswal yake na kuyajibu kiufasa na kiufundi zaidi ungelimisha zaid jamii kwa kujua kwanza kabisa Dotto ni nani na una future gani na taifa lako na ushauri pia kupitia jamii haswa vijana lkn unalizwa kwingine unajibu mpk hajulikani na kuongea kupitiliza I like you so much but same times tuliza wenge kidogo aise
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 4 ай бұрын
Elimu bado ina nafasi yake angalia ujibuji maswali wake😂
@rashidsaid1092
@rashidsaid1092 4 ай бұрын
Angalia ata ujibu wake wa maswali utajua kama elimu Ina faida... Muandishi wa habari inabidi akubali tu majibu ata kama sivo alivokusudia kujibiwa
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 3 ай бұрын
Dotto kajibu kutokana na uhalisia wake,hyo ni midea kubwa lkn ata mtangazaji kamuuliza dotto maswali kisomi akitaka dotto aende kwa mtiririko aloutaka lkn kuna namna Dotto kamzidi ujanja mtangazaji yaan mpangilio wa maelezo aloutaka mtangazaji dot kaukwepa iwe kwa kujua au kutojua lkn mtangazaji kuna namna ambavyo alipaswa avae uhalisia wa dotto alaf ndipo amhoji,sasa yeye aliposema ataje sabbu 5 doto ni mtu wa namna GANI dotto hawez kukupa mtiririko mzur ilipaswa amvae moja kwa moja kutokana namna alivyo dotto.,kuna tofaut gan kati ya dotto wa zaman na dotto wa sasa kwa asokujua?ukiona karuka kwenye target yko ,unabadili swali unambadilishia muundo wa swali lkn lenye maana ile ile ya swali la kwanza angeingia tyu!!,DADA kamuuliza kisomi sna na ndo maana kampa changamoto! Lkn all in all interview nzur tumeipenda.
@mosesgasana7109
@mosesgasana7109 4 ай бұрын
The best interview ever😂😂😂😂😂
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 ай бұрын
Mtu sio nyauu
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 ай бұрын
Kweli mtu sie nyau na mganga Mungu miti shamba imani😂😂😂
@msongamwinyi2877
@msongamwinyi2877 4 ай бұрын
Mtangazaji kapoteza confidence mapema tyuu majibu aliyotarajia doto hakuyatoa doto umemuwin mtangazaji 😅😅😅😅
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 3 ай бұрын
Kuna namna doto kategua mtego wa mtangazaji,yan mtangazaji kamuuliza doto maswali kisomi lkn doto kajibu kwa stahili tofaut na alivotarajia lkn ndan ya maelezo ya doto ndo anapata kitu Kimoja Kimoja lkn sio katika mpangilio alotarajia.yeye alitaka doto aanze kwakusema alikuwa ni kibaka lkn kapangua hayo maelezo!!.
@ElismaDunsdon-t7d
@ElismaDunsdon-t7d 4 ай бұрын
Doto jiheshimu bhana unaongea mpaka haujui unacho zungumza
@jamescustom6699
@jamescustom6699 4 ай бұрын
Mtangazaji ni mtoto wa kina alkiba kabisa
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 ай бұрын
Dotto anawachallange😂😂😂😂
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 4 ай бұрын
Sigara bwege
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
BANGEEEE 😂😂😂
@Zainab-mv8je
@Zainab-mv8je 5 ай бұрын
Niceee
@ferdinandweiss3582
@ferdinandweiss3582 4 ай бұрын
😊
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ogdosho93
@ogdosho93 4 ай бұрын
Zero brain 😅
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
STEVE NDARO NIMEMFANANISHA HUYU MWANAMKE KIMEUMANA
16:03
Steve Mweusi
Рет қаралды 433 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
GENIUS SWAHILI MOVIES
Рет қаралды 1,3 МЛН