Asante sana Dr nimepata ufahamu mkubwa. Mungu akubariki sana
@universalbodyfitness28034 ай бұрын
Dr nashukuru sana kwa elimu Yako nzuri
@angelmashauri69614 жыл бұрын
Ahsante sana Dr. Boaz kwa kuzidi kutupa elimu nzuri..
@johnbosco448 Жыл бұрын
Dr naomba kuuliza mimi nina umri wa miaka58 lakini jogoo kazima.anachunguli kidogo tu.kwa wiki na tena asimami vizuri.lakini Apa nilipo tayari nina watoto 8 mtoto wa mwisho ana umri mik 17.lakini mke wangu ndi ananikSikia kila saa.na ana umri wa miaka 56.na masomo yako nilinunu kitabu.na nilianza kukusikili tangu mwk 2017.naomba ushauri wako
@ailangambise36983 жыл бұрын
Asante Dr kwa masomo yako mazur swali langu mm Dr homoni zangu hazipo saw alaf nakosa usingizi nifanyeje zirudi dr
@TusaKiblaga-vp9jg6 ай бұрын
Asante Doctor
@aishaabdullah2334 жыл бұрын
Asante sana Dr kwa somo zuri sana. Inakuaje kwa upande wa wanaume ikiwa hajapata mtt cos yy ndio anayempa mayai huyo mwanamke!
@noelmarapachi18084 жыл бұрын
Mwanaume hampi mayai mwanamke, mayai yanatengenezwa mwilini mwa mwanamke, mwanaume anatoa mbegu ya kiume ambayo ikikutana na yai la mwanamke ndiyo ana tengenezwa mtoto
@merykabogo76364 жыл бұрын
Xhukrani nyingi xna Dr Boaz ,kwanii tnapata vitu vzri ,klaa xku tnakxkliza 2
@gracechalagwa97453 жыл бұрын
Kweli unafundisha vizuri sana
@magrethmunisi44394 жыл бұрын
uko vizuri doctor,
@PendoTemba-wy4yv8 ай бұрын
Habar doctor mm nimekatwa mirija yote miwili je naweza kupata mimba na kuona siku zangu pia
@mnpumbulyanasoni73572 жыл бұрын
Doctor ubatokiwe sana ila je Mimi Nina miaka 43 na nina ingia kwenye mzunguko kawaida yaani siku 28 dijawai pitiliza lkn sishiki mimba je ndo mayai yamekufa yote au ndo mwisho wa kuzaa?
@zulekhasuleiman91974 жыл бұрын
Asante sana Dr
@l.sifaaimerancentakobajira78085 ай бұрын
Barikiwa sana ila nina swali mpaka hapo
@awaahassan936 Жыл бұрын
Sasa doctor ukiwa katika khali kama iyo ukisex utaisi vile unavyoisi ukiwa na dam ama laa
@francisrukeisa62994 жыл бұрын
Ahsante sana doctor,kwakweli nimekufuatilia vipindi vyako unaelezea vizuri na kwa ufasaha.
@mnpumbulyanasoni73572 жыл бұрын
Samahani dokta ni ubarikiwe sana hapo nimekosea
@deusmogahachi26204 жыл бұрын
asante Kwa soma lako.je nitajuaje km nina mayai Bado?? doctor pia nina swali nina ndugu yangu ana tatizo la mkojo kuuma wakati anatoa aja ndogo.akipima anaambiwa U.T. A lakini hili tatizo linajirudia rudia japo kuwa anaandikiwa dawa na kumaliza dozi.je tatizo Ni Nini
@mishabakari30667 ай бұрын
Doctor me mwaka jana nilizaa mtt akafarik nimekaa miez sita adi sasa sijashika mimba tatzo nin umri wangu 35
@FilohiMohamed2 ай бұрын
Mm nina miaka 34 itakuwa sizai tena daktari maana sijaona period na ninaona dalili zote za mimba shida ni nn daktari
@remmywartmann48094 жыл бұрын
Asante sana kwa ufafanuzi Dr. Je, pamoja na umri kuisha, hakuna uwezekano kitaalam wakusaidia mwili kurudi kutengeneza tena mayai? Au pengine vyakula vinavyo weza kusaidia?
@l.sifaaimerancentakobajira78085 ай бұрын
Hi doctor
@rehemamohamed22454 жыл бұрын
Habari docta,naomba kuuliza ni,kwanini nimeacha kunyonyesha halafu maziwa ukiminya yanatoka ni miezi Murano Sasa tangu nimuachishe kunyonya,na sijapata hedhi miezi mitatu Sasa ,tatizo ni Nini naomba unisaidie majibu,asante
@JudyWavinya6 ай бұрын
Doctor Mimi 24 na Si jawai pata period
@DrboazMkumboMD6 ай бұрын
Tembelea kliniki au wasiliana nasi kwa namba 0767 030 160
@LovelyBirthdayCake-qb5ey6 ай бұрын
Docta kipimo cha cha kujua mayai yamebaki mangai ni bei gani
@DrboazMkumboMD6 ай бұрын
Tembelea kliniki au wasiliana nasi kwa namba 0767 030 160
@laylayl5166 Жыл бұрын
Docktar utatusaidiajee Sisi wenye umli mkubwa tupsye watoto?
@DrboazMkumboMD Жыл бұрын
Fika kliniki kwaajili ya vipimo, ushauri na matibabu au wasiliana na mtoa huduma kwa wateja kupitia 0767 030 160
@JasmineMushi-bs8pm11 ай бұрын
Hatakama hethi zimekoma unawezekana kupata mtoto
@deusmogahachi26204 жыл бұрын
doctor je,ukiwa unapata hedhi siku tatu Kama kawaida halafu ukabadilika ukawa unapata hedhi siku mbili .tatizo Ni Nini??
@nadiahjbsdaughter82883 жыл бұрын
niko na msichana ako na miaka 37 lakini hana matiti,haoni damu yake ya mwezi shida ya weza kuwa nini 🤔, tafadhali jibu tumsaidie jinsi anavyo weza ku saidika 🤝🙏🏿
@MariaNdamu7 ай бұрын
Habari upon wapi nahitaji kukuona
@DrboazMkumboMD6 ай бұрын
Karibu kliniki au wasiliana nasi kwa namba 0767 030 160
@Maryamzahor-t5i Жыл бұрын
Mimi Nina miaka 55 nimeisha acha kupata hedhi na sijajaaliwa kupata mtoto naweza kupata Mtoto ?
@shillasalim24443 жыл бұрын
Doct habari yako mm naitwa shilla niko Oman ninekua nafuatilia vipindi vyako kwa muda mrefu mm mwanzo nilikua na matatizo yroid lkn bado hayskuisha
@shillasalim24443 жыл бұрын
Nikapata tatizo jengine la fibroids ni mwanafunzi wako kitabu nnacho nafuatilia kl hatua lkn mda mrefu sasa period zangu zimekua za taabu unsnishauri vp
@shillasalim24443 жыл бұрын
Ila uzito nimepungua na maumivu siba nna miaka 37 nasubiri ushsuri wako
@remmywartmann48094 жыл бұрын
Dr nimekuelewa vizuri, lakini je, hivyo vipimo unavyo wewe, na unavifanya mwenyewe, au vinafanywa na Madr wengine?
@MariaNdamu7 ай бұрын
Wapi unapatikana dokta ninatamani nikuone Kwa SoMo hili ninahitaji kupimwa mayai yaliobakia jmn
@DrboazMkumboMD6 ай бұрын
Karibu kliniki au wasiliana nasi kwa namba 0767 030 160
@nurugawaza41723 жыл бұрын
Dr nashukuru kwa SoMo zuri,Ila ninaswali ikiwa mwanamke hajafika kwenye Monopoly lakini hapati siku zake yapata mwaka ,je huyo anauwezekano wa kushuka ujauzito ?
@injiliyayesu39372 жыл бұрын
Dr Asante kwa masomi yako. Unapatikana wapi? Nahitaji msaada wako
@aishaally31302 жыл бұрын
Dokta unapatkana hospital gani tukutafute
@tabudaudi66982 жыл бұрын
Mm Nina miaka arubaini na nne na Nina mwezi was pili kwa hiyo nimemaliza au vipi
@laylayl5166 Жыл бұрын
Utatusaidiajee Sisi wakubwa kwa umli tupate watoto?
@DrboazMkumboMD Жыл бұрын
Fika kliniki au wasiliana na mtoa huduma kwa wateja kupitia 0767 030 160
@BimkubwaMohd-im7zb6 ай бұрын
Dokta mm naomba namba zako
@DrboazMkumboMD6 ай бұрын
0767 030 160
@nsiamassawe30754 жыл бұрын
Thanks
@Maryamzahor-t5i Жыл бұрын
Mimi ninamiaka 55 Misha KO ma hedhi nawezaje kupata Unaja Uzi to?
@Faidh-sr7yy5 ай бұрын
Pandikiza labda
@MariaNdamu7 ай бұрын
Ninaomba tu nine unipime haya mayai
@DrboazMkumboMD6 ай бұрын
Karibu kliniki au wasiliana nasi kwa namba 0767 030 160