Huo uwekezaji ni kwa watanzania wote au watu wenu wa serikali maana tumesha wachoka
@SaidaMosse11 ай бұрын
Nami pia shida yangu kupata nyumba naweza nikawekeza ili nipate hiyo nyumba?
@karimsuleiman12998 ай бұрын
Ni njia gani za kujiunga pamoja na uwekezaji wenyewe na upatikanaji wa faida zenyew?
@catherinetarimo3453 Жыл бұрын
Naoma mnahusika na kumiliki nyumba je naweza nkawekeza ili nipate hiyo nyumba
@winfridajosephjohn12169 ай бұрын
Mbn messeg hamjib
@gregorymhanze Жыл бұрын
Je ninapotaka kutoa pesa nafanyaje (mawasiliano)
@Tanzaniayetu_tz12 күн бұрын
Hapo ndo tunapochoka na mambo ya tanzania maana utaambia jisajili na tier two 😅. Hiyo tier two ndo nini na mbona mwanzo hawakusema kama kuna ujinga kama huo. Ujinga mwingine ni pia ukitaka kujaza hiyo tier two ili kutoa pesa unaijazia wapi