Kwa njia hii kununuwa vifaa ndani ya nchi ndio tutaiona faida ya Viwanda hata mimi kwenye majenzi yangu vifaa kununuwa ni nyumbani kweni mzunguko wa hela utawagusa watu wengi sanaaa Mfano Mkulima Boda boda gesi yetu na mengine mengi sanaaa
@peterkailembo41014 жыл бұрын
Masanja yupo wapi aje hapa awaoneshe hao wenye UTI wanajifanya hawaoni
@rehemalaizer71234 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hawez vumilia
@gresitimoth41424 жыл бұрын
Magufuri juu
@bernardoleonard73314 жыл бұрын
vivaAfrica Viva 🇹🇿🇹🇿 vivaMagufuli15 tena
@jayjay43134 жыл бұрын
Hhm. January hiyoo. Tuleteeni habari tuone mambo mazuri hayo.
@temkezatv43814 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@IbrahimMohamed-fk5cc4 жыл бұрын
Always together we can move our nation
@denismugisha24 жыл бұрын
Nashauri tu swala la usafi muwe wakali sana sana baada ya kuingia wananchi
@timbukwa97714 жыл бұрын
walengwa tuu. hakuna wazamiaji zikiisha!!maagizo ya President,
@zenj19864 жыл бұрын
Tundu lissu alikuwa awepo hapo .
@muddymkamba3524 жыл бұрын
Unaombaaje hizi aisee
@loner_wolf4 жыл бұрын
Hizo ajira hapo wananchi wakawaida wanazipataje au mpk CONNECTION? au mtoto wa baba ndio anapata sisi wengne tuendelee kuziba nyufa tu uswazi.
@gooddeeds1624 жыл бұрын
Ulishawahi kusogea hapo na kuuliza hilo swali ? Je , na baada ya kuuliza ulijibiwa nini ?
@bernardoleonard73314 жыл бұрын
Jamani huo ukichaa utaisha lini
@kambamazig020244 жыл бұрын
Ulienda kuomba ama ulisubiria wakuletee hizo fursa? Maana tatizo jingine la kwetu ni kwamba hatujitumi, wewe mwenyewe sasa unaulizia fursa wakati mradi karibu unakamilika? Ulikuwa wapi muda wote huo?
@remmyernest4904 жыл бұрын
Kiupau mbele wakazi waliokua wakiishi hapo ndio haswa walengwa
@gooddeeds1624 жыл бұрын
@@kambamazig02024 Ndiyo maana kubwa ya swali langu pia pale juu 😁, Tunapenda sana kuLalamika asee halafu hatujitumi, Uvivu, kubweteka, nongwa na kusikiliza story za vijiweni ndicho kitu kikubwa sana kinatuharibu.
@temkezatv43814 жыл бұрын
Cha msingi majengo yawe na ubora wa kisasa TBA wasifanye danganya danganya kale yale majengo ya UDSM hostel ndani ya mwezi yakaanza kutoa ofa hatutofika kwa njia hizo tutakuwa tuna damping money ombi langu usimamizi uwe imara