Familia ya Banza Stone yapata misiba miwili ndani ya dakika 100

  Рет қаралды 16,165

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

February 29 2016 misiba miwili imetokea kwenye familia ya marehemu Banza Stone aliyekua mwimbaji hodari wa muziki wa dance Tanzania tokea miaka hiyo, misiba hii miwili imetokea siku 227 toka kutokea kifo cha Banza Stone.
Msiba wa kwanza ni wa Mjukuu wa mama mzazi wa Banza Stone ambapo msemaji wa familia anasema msiba wa pili ni kifo cha Mama mzazi wa Banza, kilichotokea ni kwamba alifariki dakika 60 baada tu ya kifo cha mjukuu wake na inasemekana chanzo ni mshtuko alioupata.

Пікірлер: 13
Hanstone - Nitazoea
2:18
Hanstone
Рет қаралды 136 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,3 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 58 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 56 МЛН
MCL EXTRA: KUMBUKUMBU YA BANZA STONE/ mtoto wake afunguka
9:49
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,9 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 250 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
Mkasi - SO4E02 with Banza Stone
28:09
MkasiTV
Рет қаралды 77 М.
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
HABARI JAMII TANZANIA
Рет қаралды 627 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН