KIMENUKA; NABII GEORDAVIE ABANANISHWA LIVE NA MCH.KAISI KUSEMA BIBLIA IMECHAKACHULIWA SIRI NZITO...

  Рет қаралды 3,434

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@vincentmbarikiwa1953
@vincentmbarikiwa1953 5 сағат бұрын
Biblia haijawahi kuchakachuliwa.Huo ni upotoshaji wa neno la Mungu.Asante sana Mchungaji kwa kuisimamia kweli.
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 22 сағат бұрын
Bado Mungu anayo mabaki yake kunyoosha njia, giza haliwezi kuzima nuru. Neno la Jehovah Mungu ni nuru. Pole sana kwa manabii wa uongo hawataizima hii nuru. Be up man of God.
@MonicaMbapila
@MonicaMbapila 21 сағат бұрын
Ubarikiwe mtumishi Kaisi
@PaulKaisi
@PaulKaisi 23 сағат бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe
@JoyceMkini
@JoyceMkini 16 сағат бұрын
Uko sawa mtumishi barikiwe
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 7 сағат бұрын
Maksi media naomba siku moja mumtafute bisho ngonyani , aje aelezee hili maana ni mtu makini sana , nashukuru na asante
@bishopgeorgemusapreacher7374
@bishopgeorgemusapreacher7374 Күн бұрын
Be blessed Man of God for good message
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 22 сағат бұрын
Amen! Manabii wa uongo wamekuwa wengi nahao manabii wanalitesa kanisa na unabii wa uongo kila leo, barikiwe mtumishi wa Mungu kuweka jambo hili sawa, wengi walikuwa wameanza kushakia biblia, barikiwe sana.
@maxmillanayo2979
@maxmillanayo2979 5 сағат бұрын
👏👏👏👏👏👏pastor yuko vizur huyu
@florencemushi6561
@florencemushi6561 Күн бұрын
Umesema kweli mtumishi wa Mungu. Unabii wa matukio yanauotokea leo na yatakayotokea mpaka mwisho wa dahari uko ndani ya Biblia. Hata leo hii watu wana kimbilia Biblia kuangalia matukio yanayoashiria ujio wa Yesu. Wanascience pia wanarefer maarifa ndani ya Biblia
@nazarethally9509
@nazarethally9509 Күн бұрын
Hujui kitu
@AmusedClam-zo9nf
@AmusedClam-zo9nf 13 сағат бұрын
🎉🎉🙏🙏🙏
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 11 сағат бұрын
Biblia imesahau kusema ukristo dini
@WilliamMsungu
@WilliamMsungu 3 сағат бұрын
Kwani Mungu ana dini
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 сағат бұрын
@@WilliamMsungu dini ni mfumo mzima wa mwanadamu dini ndio inakufanya utambuwe uwepo wa mungu na ufate anacho taka mungu km huna dini we huwezi kuwa na imani ya ubinaadamu
@EmmaTembo-l7o
@EmmaTembo-l7o 2 сағат бұрын
​@@WilliamMsungusio dini tu hata Dunia ni yake sio Dunia tu Hadi paradise anayo
@RewardsonKowero
@RewardsonKowero 21 сағат бұрын
Wapinga kristo wanavutia kwao wakati wanatumia... Ya Musa
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Күн бұрын
Injili ndio iliochakachuliwa ndio ikapatikana biblia ndio maana kunamgongano mkubwa sana
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 8 сағат бұрын
Biblia kapewa nabii nani wa Mungu hacheni kudanganya watu soma dibaji ndiyo utajua biblia kweli siyo kitabu cha Mungu
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 22 сағат бұрын
Umemuweza kwenye mstari huyu aliye sema biblia imechakachuliwa.
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u Күн бұрын
Biblia haija chakachuliwa ila kitabu cha henoko ndio kilitolewa kwa sababu walijua watu wa sasa wataua nacho weng
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 7 сағат бұрын
We kitabu cha enoko unacho au unazungumza utumbo
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 сағат бұрын
@@francisjoseph1074 acha ugwara kitabu cha henoko kipo kwa maktaba ya roma
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 сағат бұрын
@@AmmarSadik-x5u Sawa kipo we umeshakisoma ?
@ramadhaningulinga217
@ramadhaningulinga217 5 сағат бұрын
Tuambie biblia alipewa Nabie gani tusadie hilo kama kweli ww unajua biblis
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 19 сағат бұрын
Quran niya majini siya mungu
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 15 сағат бұрын
Nini kakuliza mambo ya qurani unscha yanayo ongelewa unaongea pumba muchungaji ansfundisha bibilia wewe unaongelea Quran
@Dominant97
@Dominant97 Күн бұрын
Haijachakachuliwa ktk maandiko ambayo yapo ktk vitabu vilivyowekwa ndani ya biblia ila kuna vitabu vitakatifu havijawekwa ndani ya biblia kwa sababu za kibinadamu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 7 сағат бұрын
Vitabu vipi ambavyo ambavyo havikuwekwa?
@florencemushi6561
@florencemushi6561 Күн бұрын
Hata Quran imetafuta historia ya uumbaji ktk Biblia. Imekopi na kukopi makosa sehemu nyingi. Biblia haijajitukuza il imetahadharisha atakayeongeza au kupunguza lolote ndani ya Biblia naye atatendewa hivyo. Waswahili husema Kizuri cha jiuza kibaya chajitembeza. Mungu wa kweli ni kweli milele.
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 15 сағат бұрын
Wewe endelea na niblia yenu sio kuongelea qulan ni bahari ndefu kasome Jeremiah 8:8 imejieleza bibilia yenyewe ubishi wanini
@binseif2216
@binseif2216 22 сағат бұрын
😂😂😂Hakuna kitu hapo bible hakuna ilobashiri na ikatokea tofaut na Quran pia acha ujinga bible haisomwi kama Quran sababu nyie mnasali jumapili tu
@babazungu3180
@babazungu3180 5 сағат бұрын
Ww muongo tu,waroman wana bibilia yenye vitabu 73 na king James version ina vitabu 66 hivyo vitabu vyengine viko wapi km unakila kitu ktk bibilia yako???
@salimsaid6149
@salimsaid6149 2 сағат бұрын
Acha usenge ww walioindika wenyewe wanakubali kuna maandiko wameyachakachua
@georgesteven8667
@georgesteven8667 54 минут бұрын
Usenge
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 3 сағат бұрын
Wanasema BIBLIA imechakachuliwa wao ndiyo akili zao zimechakachuliwa na ibilisi... Na ni mitume na watumishi wa shetani. Walete ambayo haijachakachuliwa....eti na injli imechakachuliwa ila ya barnaba ndiyo ya kweli lakini hawatuonyeshi.....Wana wa ibilisi hao Tena Wachungaji wa matumbo...
@georgesteven8667
@georgesteven8667 53 минут бұрын
Sahihi
@NtuliSuzan
@NtuliSuzan Күн бұрын
Geor davie alisema alienda mbinguni Kwann asipewe Biblia ISIYO chakachuliwa?
@olivernyange2349
@olivernyange2349 5 сағат бұрын
Huyo ni mbwa wa kuzimu
@NtuliSuzan
@NtuliSuzan Сағат бұрын
@@olivernyange2349 Ni occult huyo
@georgesteven8667
@georgesteven8667 50 минут бұрын
Sahihi​@@NtuliSuzan
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Күн бұрын
Mbadala unatakiwa usome quran ndio muongozo sahihi uliobakia acha ubishi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Күн бұрын
Quran ni kitabu cha uongo mtume mwovu Muhammad hafai hata ubalozi wa nyumba kumi jitu lenye hila na tamaa ya ngono linatamani hata vitoto vya miaka 6.
@PaulKaisi
@PaulKaisi 23 сағат бұрын
Biblia ndiyo msema kweli
@binseif2216
@binseif2216 22 сағат бұрын
​@@RubenMtuwaMungu-bz8eeTunashukuru kwa kutukana lkn ungemjua vzr Nabii Muhammad usingemtusi
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 19 сағат бұрын
Muhamadi mupinga Kristo
@binseif2216
@binseif2216 17 сағат бұрын
@@FannyLopez-q1r Lazma atakuwa mpinga kristo sababu Dini sio ya Mungu
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 126 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 33 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 61 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 85 МЛН
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 29 М.
NINI KIMETOKEA KWENYE MITANDAO HII GHAFLA?
14:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 39 М.
Zitto Kabwe Kugombea Ubunge 2025 I Kigoma Mjini 🔥🔥
10:32
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 6 М.
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 126 МЛН