Yani ni nywele asili siyo dredi wala zakuongeza siimakosa kuzifunga ivo naomba jibu
@ZulayNam Жыл бұрын
Haifai Kwa mwanaume unatakiwa uziachie na uwe unaziweka mazingira mazuri na yaliyosafi
@abdulghafursalum43735 ай бұрын
Na itahesabika kuwa bado ni mkeo
@abdulghafursalum43735 ай бұрын
je ikiwa umekwenda kuposa mwanamke wa kiislam, baadae ikatokea khitilaf akawa hatak kukusikiliza wewe mwanaume wake baada ya kubebeshwa maneno na kuchukua maamuzi ya kurejesha kifungia mlango, bila ya mwanaume kuridhia, na ww ukawa hujachukua au umeichukua n kutoa sadaka, je hukum yake ikoje
@tausijuma15928 ай бұрын
Je kwa mwanamke anaejitoa manii hukmu yake ipoje? Na je anatakiwa aoge?
@Aymanland8 ай бұрын
Umeambiwa ni haraam kwa wanaume na wanawake. Halafu Unauliza tena vipi kwa Mwanamke. Unakusudia Mwanamke yupi tena na ushajibiwa
@tausijuma15928 ай бұрын
@@Aymanlandmasheh wote wangekua wanajibu hiv wala hakuna ambae angekua anasikiliz mas ala ya dini, be humble ndgu, Kauli unlimited huo baba
@bakaribwerah29618 ай бұрын
@@tausijuma1592we taus n kwann ujitoe ivyo n still wanaume wa wapo2 weng wa kuoa pia
@rayisadesigns2646Ай бұрын
@@tausijuma1592 pole dada Tausi
@grealishteam5247 Жыл бұрын
Asalaam aleikum naitwa mussa niko Burundi 🇧🇮 nauliza je ina juzu kwa mwanaume kuzibana nywele zake i mean kufunga (chinyo)? Tunaita kwa kifaransa
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh7 ай бұрын
Haifai kukata chini au kuweka rasta ila kuweka nywele kubwa hakuna neno