Mafanikio ni nini? Jitengenezee tafsiri yako kisha ishi nayo🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Ahsante fid
@abdulaziz7034 жыл бұрын
Ngosha, we jamaa nakukubali always. Umenifanya niipe kazi akili yangu kuchanganua maana ya maneno kwenye mistari ya nyimbo zako. Binafsi sijutii kufahamu pamoja na kusikiliza chochote kinachotoka kinywani mwako coz naamini utakuwa hujakitoa kwa bahati mbaya.
@ffredy704 жыл бұрын
Best interview ever Tofauti kabisa na mkasi Yani kama ndo mara ya kwanza fid kuhojiwa na Salama
@afrorango14324 жыл бұрын
Fid ashawahi kuhojiwa wewe na salama ingia mkasi
@ffredy704 жыл бұрын
Broo jiongeze ...soma upya hiyo comment....#usikurupuke
@christopherjames36844 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya shule asente salama kwa kutuletea mtu kama hyu anaetujenga kwa maongezi herimu nzuri sana hii...
@joycekinyange61792 жыл бұрын
Yaani Fid Q is so deep, appreciate you sharing your story and experiences especially around single parenthood and blended family life. You are doing a great job and an exemplary role model for others in similar circumstances. Asante bro, continue living your truth 🙏🏽
@abbysauko37254 жыл бұрын
Yan muuliza maswal ametulia kwenye kuuliza na anaejibu maswal ametulia kwenye kujibu.. Best interview
@paulolwila42534 жыл бұрын
Nampenda Bure salama namna alivyopoz sio wanahabr wengine huwez jua nan ana muitaview muingine coz wote unakuta waongeaz mpka c poah but hapa salama karelax fid Q anaflow vzr sana. Love you all .
@deustrackson60354 жыл бұрын
Unaeza mckiliza fid badae ukahisi ulisoma ktabu Cha professor flan.......MAY GOD BLESS U MUCH BRO
@peninaancon12564 жыл бұрын
Exactly, Mafanikio ni kujitengenezea tafsiri yako na kuiishi kila siku.. Ila Salama umenichekesha, ukaamua kumalizia na ya Fid eti..
@bonniegtmagabe20094 жыл бұрын
kama kuna kitu mmegundua kweny hii interview...sio intervention ya mwaka huu niya mwaka jana....kwhyo ilkuw imefanywa tayar...🔥🔥🔥
@gthirty4 жыл бұрын
Ni pale aliposema mwaka huu godzilla amepotea, Kumbe ilikuwa ni mwaka jana yan 2019
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Ndio kifo cha zilla
@nyemondagalla6084 жыл бұрын
Sawa kabisa, Lkn pia kuna madini ambayo si ya Mwaka huu ni ya miaka 100 ijayo.
@adamayubu1574 жыл бұрын
Makini sana
@erickmbiso99394 жыл бұрын
Interview iko vzr san jinsi unauliza maswali na anavyojibu iko poa sana nadhan ndio salama na best mpaka sasa lakini jaribu kumpa airtime Niki mbishi amwage madini yake
@jasminyiddysulaiman98074 жыл бұрын
Haswaaa
@abdallahmakombo38664 жыл бұрын
Hiki kichwa hiki ,kweli maisha NI elimu na SI ya darasani NI vitabu tu,Kisha uhalisia !!,
@kapagaanimalcare55234 жыл бұрын
Naenjoy na kujifunza kwenye kila interview ninayo kusikiliz na uwa siachi interview yoyote inipite ambayo umeojiwa. WE NI DARASA LINALOTEMBEA, MZIKI WAKO NI SHULE TOSHA
@shaibumahanda51904 жыл бұрын
Jamaa nilikuwa simfuatilii ila ep ya kwanza na hii haijaisha nataman kutafuta intview nyingine zaidi umeongea point pia hilo n darasa kabsa
@saddymwamba70724 жыл бұрын
Thanks fid Q God bless you
@elninothetragedy31214 жыл бұрын
Fid nakuelewa sana... nakumbuka KAN Festival nlivamia jukwaa ulivyopanda tu... duh nakukubali sana bro
@ashasiaga31974 жыл бұрын
Nimempenda sana mama faridi ni mama bora. Huwezi kuweka chuki kwa mtoto kwa matatizo yenu ambayo yy hayamuhusu baba atabaki kua baba na mama atabaki kua mama haiwez kubadirika
@simonsanga21294 жыл бұрын
Salama big up,can you bring his friend Nikki wa Pili
@shwahibumassawe25554 жыл бұрын
Perfect Conclusion
@philimonsoka23254 жыл бұрын
The best hip hop artist ever in tanzania
@adamidrisa92324 жыл бұрын
sema salama ni kizuri kinyama big up sn kwahuyo muhuni anae ishi na huyu manzi
@bernad_14 жыл бұрын
one of the lately best interview, big up both of y'áll
@eliasmlundwa38803 жыл бұрын
safi!
@kijokombao53454 жыл бұрын
Nimependa show ilivyoisha 👏👏
@manothorhymes61374 жыл бұрын
Heshima kwako Dada Salama Jabir & Fid Q Ngoshaaa mwanzo mwixho nimeipenda Sana hii interview kinomanoma big up kinomanoma tangu Vina Mwanzo Kati na Mwisho mpaka KitaaOlojia heshima kama zoteeee
@ahmedaziz78534 жыл бұрын
Nimetaman sana hii interview isiishe madini ya ghali sana yapo humu
@irenegervas84774 жыл бұрын
Salam kipind Chako kizur ila Jitahdn Saut Maik Unaziweka Mbalii Sanaa hautisikii Vzr
@patricktravis65754 жыл бұрын
Nomaa sanaa hii show ya ngosha
@abduly.snootie2 жыл бұрын
WoooW Hii ni Moja Kati ya "INTERVIEW" Kaliii Kabisa Kuwai Kuiona 🧠💯. #SalamaNaFidQ 📌 Maswali Magumu na Mzuri & Majibu Mepesi na Mazuri + MADINI, nime'ENJOY Sana Kuiangalia Hii "CONVO"👑✨ #SalamaNa MOJA KATI YA KIPINDI KIKUBWA KABISA KUWAI KUTOKEA TZ 📌 🎥🎞️🎬📽️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abduly.snootie2 жыл бұрын
📽️🎬🎞️🎥🔥🔥🔥🔥🔥
@annamichael14334 жыл бұрын
lov this women no reason
@fatmasayid88954 жыл бұрын
Best interview salama big up Faridi kubanda
@idditoufiq6494 жыл бұрын
Entertaining plus Educating Its The best 🔥🔥🔥
@Therealjoh4 жыл бұрын
Muda Kama ni Mdogo sana kuna madini mengi sana yamebaki kwenye hicho kichwa
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Therealjoh fact
@shaibumahanda51904 жыл бұрын
Iv ndo inaishia hapa!!??
@zildatwahid4 жыл бұрын
I love salama jabir💕
@nongishishihaule58474 жыл бұрын
Sio mnaojiwa na wasafi basi kelele nyingi sana
@jamalomar78294 жыл бұрын
mmmetisha sana wakongwe
@johnpantaleo69624 жыл бұрын
Dah nimepata faida kubwa sana kuingalia hii interview kwani nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa fid q
@fanuelmtewele5660 Жыл бұрын
Madam unajua sana Mungu akujalie tu
@kingungeii65204 жыл бұрын
Fid Q ni chanzo cha busara yangu
@binbaya9234 жыл бұрын
Eb mm namkubali sana huyu mzee. Lkn sijui kwanini waafrika walio wengi wakishakua maarufu wanatafuta wanawake au kama ni wanawake wanatafuta wanaume weupe. Japo huyu mzee ameeleza sababu zake. Ila wenzetu weupe inakua ktk 10 basi mmoja ndio atakua kimapenzi na mtu mweusi tena labda awe star🤷🏿♂️
@josephatmapesa51714 жыл бұрын
Fid Q ni mwalimu.
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
*FARID UMETISHA* Good job Salama respect 😘
@ezekiambise25954 жыл бұрын
Master mind
@yusuphanyimike99454 жыл бұрын
Changa moto IPO kwenye saut hatuwasikii vzr lifanyieni kaz tu enjoy kpind