NANI MKWELI, NANI MUONGO KATIKA SINTOFAHAMU INAYOIKABILI ZANZIBAR?

  Рет қаралды 20,148

SK Media Online TV

SK Media Online TV

4 ай бұрын

ACT-Wazalendo wamejiondoa katika serikali ya kitaifa. Tutafakari kauli za Karume, Kinana, Zitto, na Ado.

Пікірлер: 99
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 4 ай бұрын
Safi sana kwa uchambuzi wako muzuri na wakueleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 4 ай бұрын
Wazanzibar tuamkeni tutumie akili za kizaliwa ccm nichama kinacho tawala na raisi mwingi kwel nchi anajenga lakin watu wenye akilifinju wanamsifu barabara inajengwa lakin kilo ya mchele elfu 3 tozo kubwa ajira hapana sasa tutamsifu vip wakat maisha magumu hayo mambo anayofanya maigizo tu ili ateke akili za watu nchi yetu ya amani mm naomba turahisishiwe maishatu bas wazanzibar watanyamaza kimya
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 4 ай бұрын
Zanzibar hali mbaya sana hatuna Uhuru tunaish Kama tumetawaliwa na wakolon
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Hama nchi unalia Nini 😲
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 4 ай бұрын
😂UKOLONI WA ZANZIBAR😂 ​@aediayumgo8546 Soma kile Kitabu cha Mzanzibari. Harith Ghassany: KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia SIASA YA PAN-AFRICANISM ZA NKRUMAH NA NYERERE "No Africa anywhere in the world will ever be free until all of Africa is free." (President of Ghana Kwame Nkrumah). Rais Nyerere wa Tanganyika alikataa Zanzibar kuwa Huru (1964-Sasa) bali kuwa Koloni yake ya Tanganyika.
@smarty1064
@smarty1064 4 ай бұрын
@@aediayumgo8546 tumia busara binadamu wenzio wakitoa maoni juu ya haki zao za msingi
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Ahame aende wapi na Zanzibar ndio kwao​@@aediayumgo8546
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 4 ай бұрын
Chadema na CCM walishindana katika maridhiano.Sasa,ACT Wazalendona CCM wametofautiana.Hapa tatizo ni CCM.
@msabahaali758
@msabahaali758 4 ай бұрын
hakuna wa kuwaonea huruma wazanzibari damu za wazee wetu mama zetu kubakwa samia hajali Mwinyi hajali haki yetu tutaitafuta kwa njia nyingine kama watawala hawaelewi
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 4 ай бұрын
Hao waliobakwa umalaya umewazidi.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
​@@jumamnemo8383siku moja itatokea kwa mama yako halafu utasema nae ni malaya
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 4 ай бұрын
Well done kaka kwa analysis hii nzuri sana...
@isaacalex6327
@isaacalex6327 4 ай бұрын
ccm hakuna hatachembe ya neno haki wala neno la amani haliko
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 ай бұрын
CCM haina chao Zanzibar kazi zao ni Kudhulumu uchaguzi.
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 ай бұрын
Hata mambo ni mazito sana Ccm msiyapuuze mwogopeni Mungu
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 4 ай бұрын
Wako sawa lakini kwa nini hawakuchukua hatua hiyo mapema maana yake kuchukua uamuzi wakati huu itatafsriwa kuwa walikuwa wanafurahia uwepo wao kwenye serikali ya umoja wa kitaifa sasa baada ya kuona uchaguzi umekaribia ndo wanajifanya wanataka kujiondoa. Wengi tunakumbuka kwamba baada kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa hawakuwa na lugha nzuri dhidi ya vyama vingine vya siasa ikiwemo chadema.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Wewe ccm mchonganishi. lakini bado Kuna mwaka na nusu mbele ni wakati muafaka Sasa hivi uchaguzi bado uko mbali
@mlekwa
@mlekwa 4 ай бұрын
Yangu macho
@AllyChupa
@AllyChupa 4 ай бұрын
Baba tunakuelewa sana nikiwa znz
@m.s.nyerere476
@m.s.nyerere476 4 ай бұрын
Kwa kweli unafanya kazi kubwa sana mkuu! Mungu akubariki!
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 4 ай бұрын
Zanzibar sio shuari na pia haiwi shuari ngoo maana inamilikiwa na ccm haiyongozwi na ccm
@fabby1181
@fabby1181 4 ай бұрын
CCM wamejaa viburi Kwa sababu hawana namna wameshayakoroga, liwalo na liwe. Sisi wananchi tunapigika, tunanyanyaswa tukatae tuchukue hatua
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 4 ай бұрын
Ado ameieleza hali ya Zanzibar vizuri sana kwani sio siri Dr Mwinyi kaja Zanzibar kivamizi na kujipachika uraisi kwa kutumia mtutu wa bunduki na sio ridhaa za watu wa Zanzibar wenyewe. Dr Mwinyi hajachaguliwa, hakutakiwa na wala hatakiwi huo ndio ukweli
@user-cv1nv9dr6i
@user-cv1nv9dr6i 4 ай бұрын
Chadema walisema mukasema hao hawajui sasa munaona
@ngwalibaba7489
@ngwalibaba7489 4 ай бұрын
Natuyaone ila tumechoka sana ZANZIBAR
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 ай бұрын
Vumilieni mpaka muone mmojawenu apotee. Chaguzi zinakuja ndo mtafahamu CCM haihitaji mwingine afaidi.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 ай бұрын
CCM wanaitumia tume kupora uchaguzi.
@kombidin..2583
@kombidin..2583 4 ай бұрын
Kama kila mtu hajashinda kihalali nani alishinda? Endeleeni kujifariji kwa kuombea mabaya badala ya kujipanga.In politics every second counts
@Zanijasy-hy7vm
@Zanijasy-hy7vm 4 ай бұрын
Huna akili au ni makusudi ndugu yangu.
@kenedyrocky4641
@kenedyrocky4641 4 ай бұрын
KAZI IPO. WATANZANIA WAMESHA CHOKA KUDANGANYWA. NAFIKIRI WAMEAMUA BORA INYESHE TUJUE PANAPO VUJA
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Kelele za nini kila siku kuongea kuhusu Zanzibar na Bara kila mtu akae kwao walioko huku warudi kwao na walioko kule warudi huku muungano uvunjike tu kama hawakubali Serikali 3
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Kuna kutengwa sana kwa Makamu wa Kwanza katika shughuli za kiserikali huko Zanzibar. Hata kwenye shughuli za msiba wa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi hakupewa stahiki yake na zaidi ni makamu wa pili !!
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 ай бұрын
MWINYI AMEKWENDA ZANZIBAR KUKIFANYA KUWA MLANGO WA DUKA NA FAMILY YAKE, NA MUONGO KULIKO SHETANI 👀🦝
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 4 ай бұрын
Jamaa muongo sn kujenga barabara anaona ndo dili nyambavu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Natafuta matatizo una uthibitisho unayoongea
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 4 ай бұрын
Anao uhakika.mtu Yuko tayar kuwauwa waislam wenzake kwa kutaka madaraka. Hata ww wtakufyekelea mbli Kwan anashida na ww km nani🤣🤣🤣. Nyauwe
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Күн бұрын
Kwani wewe hujui kiwa kila uchaguzi Zanzibar kunatokea mauaji,watu kudhalilishwa na kutiwa ulemavu wa maisha kwa sababu ya watu fulani kulazimisha kubaki madarakani hata kama hawakushinda uchaguzi?. Usiulize maswali ya kijinga wakati mimi ninayaona kwa macho yangu ,na wengine wanayaona pia na hadi sasa wanaulemavu kwa sababu CCM iendelee kubaki madarakani .wengine tunaomia kuona mauaji kila uchaguzi Zanzibar na kuchukizwa yanayofanyika kama wewe unafurahia ni wewe .
@josephmantago2837
@josephmantago2837 4 ай бұрын
ACT mliambiwa na chadema mkazalau sasa imekuwaje yaani ninyi ndo mlishinda alafu mwizi muuaji anawambia mshirikiane lkn yeye ndo awe Rais huu ni ushetani wa hali ya juu
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 4 ай бұрын
Alivyoonekana Mwinyi alionekana anabusara na hekima kumbe mmmh.
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 4 ай бұрын
BRAVO Maalim Seif RIP kwa kuvulia na kiutuliza zanzibar
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 4 ай бұрын
Ee mwenyezi Mungu we jaalia siku moja huu mzimu wa CCM ungoke ili Zanzibar tufungue chapter mpya
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 ай бұрын
Kaka unajua sana tunajifunza sana kupitia wewe.
@gangmore9091
@gangmore9091 4 ай бұрын
Time will tell insha Allah kila kitu kitajulikana
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 ай бұрын
Ccm ni Madhalimu wakubwa kwa upande wa Zanzibar.
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 ай бұрын
Hata huku Tanganyika CCM ni madhwalimu
@songombingo108
@songombingo108 4 ай бұрын
Zanzibar kwa mtazamo wangu ilishakufa Mwaka 1964 baada ya kuungana na Tanganyika.
@musasimbeye7829
@musasimbeye7829 4 ай бұрын
Hawa asilimia 90.Si wakweli ndoo Maana wana shindwa kutekeleza .Uroho na uchoyo wa madaraka.
@user-sp8yd6of2z
@user-sp8yd6of2z 4 ай бұрын
Baba wa tarifa alisema wananch wanatak maendeleo na wasipo yapata ndan ya ccm watayatafuta nje ya ccm viongoz kuweni wakweli na muwe na usubutu
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 4 ай бұрын
Nyani ni wale wale
@batrumbeziks5946
@batrumbeziks5946 3 ай бұрын
Kiswahili hatuna neno "sintofahamu". Ni SIUTAFAHAMU. Kmwa mfano "...siutafahamu uliotokea..."
@joejosca7594
@joejosca7594 4 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@user-ep7uz3tk3f
@user-ep7uz3tk3f 4 ай бұрын
Serikali ya Tanganyika!
@ibrahimandrew848
@ibrahimandrew848 4 ай бұрын
ACT ni WAIGIZAJI TU KWA NINI WALIINGIA ALAFU WAJITOE SASA IVI KARIBU NA UCHAGUZI?CCM B Wana act MAIGIZO.WANACHOHITAJI NI NUSU MKATE TU HAO.
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 4 ай бұрын
Wazanzibar ni watu wanaopenda haki sana,kwa hiyo inakuwa vigumu sana kwa mtenda haki kunyimwa haki yake
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 ай бұрын
Ngurumo umewafundisha watawala wa CCM na jeuri yao na wakumbuke ushauri mwingi umetolewa na watu mbali mbali. Wakibaki hivi ni Yao waje kulaumu.
@muhammednassor690
@muhammednassor690 4 ай бұрын
Piga mazogo pigeni makelele lakini hamutuulishi tena ilipofika inatosha ccm waache watawale hata miaka mia hatuna tatizo nao maana hatuna vakuwafanya sisi sote ni ccm mambo yaishe
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
👍👊✌️.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 4 ай бұрын
Karume wewe ni jasiri na mfano wa kuigwa.
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 4 ай бұрын
Yeye karume mbona yeye yalimshinda? Na ndiye yeye aliaswa na marehemu
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 4 ай бұрын
Kwamba imebakia mwaka 1 wa uchaguzi ndo mmeanza kujitekenya😂😂😂
@suleimansaid769
@suleimansaid769 4 ай бұрын
Hakuna watu siwaamini kama wanasiasa wanakua wakali sana wakisimama mbele za watu ila ao ao ndo wanapita mlango wanyuma
@festobalegele9361
@festobalegele9361 4 ай бұрын
ACT Wazalendo kulea na kuvumilia unyama na ukatili wa CCM, kumewafanya CCM waamini kuwa kupata Ushindi kwa kuua watu ni kitu kinachokubalika. Uzoefu huo wa CCM Zanzibar, wameuhamishia Tanzania Bara. Na mhanga mkuu wa ukatili huo wa CCM, kwa Tanzania Bara, ni CHADEMA. Ifike wakati tuseme imetosha.
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 4 ай бұрын
Ccm kuondoka madarakani ni ndoto tu wanasema wamepindua Zanzibar ukenda andamana zomby wanakuja kukupija
@user-bg2yc4kw9k
@user-bg2yc4kw9k 4 ай бұрын
Haiwezekanii hasa
@gangmore9091
@gangmore9091 4 ай бұрын
Hata firauni wakati ule walijua hatoondoka duniani leo wapi time will tell tuwe n asubra
@user-bg2yc4kw9k
@user-bg2yc4kw9k 4 ай бұрын
Hmmm jipenii moyo
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Watu mnalilia humu kwenye comments hameni nchi huyo Brother mwenyewe kakimbia kitambo 😂😂😂
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 ай бұрын
Mlibugi😮 Mwinyi hana chama anachokisimamia yeye bali naye ni mfuasi tu anasubiri vikao vya dodoma ndivyo vimuelekeze namna ya kuenenda. Ukweli uwekwe wazi tuaitiane matumaini hapa ya bure😊
@seifmohd1305
@seifmohd1305 4 ай бұрын
Uvyo mnadhani tume yauchunguzi iundwe nanani? Imcunguze nani huyu muuwaji katumwa nanani .
@alijuju8697
@alijuju8697 4 ай бұрын
Sisi tunawajua kwamba nyote .ni vibaraka mnatumiwa na watu kutoka nje. Act hawana sababu za msingi ambazo kisherea zinaweza kuwa na hadhi za kishera. Ccm inawataka act waproduce evidence ya mazungumzo hayo. Nyinyi mnaeleweka kwamba kwamba ni watu wa fujo. Ikiwa watu zaidi ya 20 wa act wamekufa je mbona hamtaki kusema kuwa watu wangapi wa ccm ambao wameuliwa na watu wa act. Kama act mnajitoa tokeni hamna shida.
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 4 ай бұрын
Mhhhhhh
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 4 ай бұрын
Uyu jamaa ana maono mazuri kweli
@user-fo8xy1gh1s
@user-fo8xy1gh1s 4 ай бұрын
hii inaonesha waliopo madarakani hawajiamini na mambo yao wanayoyafanya
@gangmore9091
@gangmore9091 4 ай бұрын
Bro maswali mazuri na mazito😅
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 ай бұрын
Zito kabwe is anpridictuble man into CT wazalendo as the top leader we can trust new camer as the top leader on CT wazalendo as the voice of ready CT wazalendo voice
@rommelmauma5872
@rommelmauma5872 4 ай бұрын
*Andika kwa Kiswahili; achana na Kiingereza chako!*
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 ай бұрын
Mbona tumekuwa hatuhabarishwi, mnafucha donda ndugu kulinda heshima ya wasiostahili?
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
MARIDHIANO MENGINE HAYO 😅😅
@gangmore9091
@gangmore9091 4 ай бұрын
Aduwi wa zanzibar ni tanganyika
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 ай бұрын
Kamanda mbowe mbona humuandalii kipindi kumshauri afuate nyayo za zitto kumaliza muda wake? Umemkosoa na kumjadili kila mtu humu kasoro mbowe tu,je mbowe huwa hakosei yeye au?
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 4 ай бұрын
Mbowe bado chadema tunamuitaji Sana leo,kesho na keshokutwa.
@Hanssimpson-ln6zs
@Hanssimpson-ln6zs 4 ай бұрын
kwnn unatuambia wewe ni kiongozi tatua tatizo acha kelele tuonyeshe we unafaa kuwa kiongozi chukua hatua
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu 4 ай бұрын
MATATIZO YA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE BILA KUTAFUNA MANENO NI DEMOKRASIA,,CCM WAMEPORA MCHAKATO MZIMA WA UCHAGUZI TOKEA UHURU ,,,
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 4 ай бұрын
Uchambue na udikteta ulioko chadema na athari yake kwenye nchi
@nurulutembeja
@nurulutembeja 3 ай бұрын
Udictetor gani huo?Tujuze.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 ай бұрын
Zanzibar HAKUNA moto wowote utaowaka, Zanzibar ni visiwa viwili vikuu Unguja na Pemba tutagawana tu visiwa vyetu ambavyo vimetenganiswa na bahari kwa maili kadhaa. Sudan waligawana Sudan yao mpaka ni njia tu isiyozidi upana wa mita 15, Ujerumani walijenga ukuta walipoona hakuna maslahi waliuvunga na Zanzibar tufanye hivyo.
@gangmore9091
@gangmore9091 4 ай бұрын
Kwani unguja n pemba inatatizo or tatizo Ccm jee solution kuigawa pemba na unguja or kuitoa Ccm madarakani???
@SalumSaidy-wb2jh
@SalumSaidy-wb2jh 4 ай бұрын
Aduwi wa zanzibar ni ccm sisi wazanzibar tunataka zanzibar kamili yenye mamlaka yetu sio kuamuliwa dodoma
@user-nr3uw7bq1r
@user-nr3uw7bq1r 4 ай бұрын
Kati ya magu na mkapa na amani karume na mwinyi nani walikua chinjachinja?
@knight6757
@knight6757 4 ай бұрын
👀🤔
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 ай бұрын
Wote
@thanimosi8906
@thanimosi8906 4 ай бұрын
Mbona mnachelewa kujitoa kumbukenin huko nyuma Dr Shein aliongoza hii nchi nyie mkiwa hamjaingia ktk Serikali na nchi hii ilienda sasa Leo hii mnataka kudanganya watu kuwa Serikali ya GNU ni lazima iwe ACT na Ccm hapo mnajidanganya jiondoeni muone km hii nchi itasimama
@user-nr3uw7bq1r
@user-nr3uw7bq1r 4 ай бұрын
Unajuaje we mganga wakienyeji,
@1961nungwi
@1961nungwi 4 ай бұрын
Sio mganga wa Kienyeji. Ni Mwandishi wa habari.
WACHINA NA TANZANIA: TUPO SALAMA KIASI GANI?
28:46
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 553 М.
KWANINI BUNGE LIMEJIGEUZA KIKARAGOSI CHA WATAWALA?
17:07
SK Media Online TV
Рет қаралды 11 М.
ZANZIBAR SI SHWARI - 01
29:30
SK Media Online TV
Рет қаралды 60 М.
KITI CHA RAIS SAMIA KANISANI CHAZUA GUMZO
15:20
SK Media Online TV
Рет қаралды 14 М.
BURIANI MZEE RUKSA, RAIS JASIRI MWENYE UPOLE ULIOTAMBUA  MIPAKA NA VIPAWA
21:16
LIVE: Rajya Sabha Session
2:33:35
ThePrint
Рет қаралды 1,7 М.
TRUTH: Is Raila a CONMAN?
17:58
Herman Manyora
Рет қаралды 24 М.
KWANINI MBOWE ANASUMBUA WATU?
5:51
SK Media Online TV
Рет қаралды 11 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,1 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 938 М.
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 661 М.
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 124 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 8 МЛН