Рет қаралды 5,110
Katika mahojiano ya kipekee, Maria Sarungi Tsehai alifanya mahojiano na Hassan Nasoro Moyo mwaka 2014 kabla ya kifo chake
Mzee Moyo alikuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na miongoni mwa wachahe walioketi kupitisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Alieleza mazingira waliyopitia hadi Muungano kupitishwa Zanzibar
Tunaomba radhi kwa ubora wa video unaotokana na mfumo wa zamani wa kurekodi video hii.