Fix You: Wanaume wengi hawajui nafasi yao na hawamjui mwanamke! Wanawake wanataka haya kwa Mwanaume

  Рет қаралды 11,809

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 51
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
MUNGU akupe miaka100 ya kuishi,umefunua vizuri UUMBAJI,Asante Asante,
@kelvinbushishi6659
@kelvinbushishi6659 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA Brother Kanuti
@rhodajackson2213
@rhodajackson2213 Жыл бұрын
Ahsanteni sana ! kunamarekebisho makubwa mnafanya kwenye Maisha yetu Wandugu ! Mbarikiwe mpaka mshangae , Mungu awaweke
@SaraMass-ne6qm
@SaraMass-ne6qm Жыл бұрын
Somo zuri sana irene tunapataje hivyo vitabu😢vya malezi n ndoa
@sophiakayumba5974
@sophiakayumba5974 Жыл бұрын
When i listen to baba Kanuti, i remain speechless...nakosa cha ku comment, anyway am blessed!!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Huyu mwamba yuko vizuri sana. Maarifa hayatoki kwa wazsee hata vijana wenye maarifa wapo,. Big up both of you.
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 Жыл бұрын
Wazee wenyewe wengine wametelekeza familia zao. Sasa maarifa yatatoka wapi? Na mbaya zaidi kijana akifika utu uzima anarudia makosa ya baba yake. Wakati yeye alijua maumivu ya kutokuwa na baba. Kwa mfano diamond.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
WAKOLA Ailini mlete Tena vitabu vyake naviitaji Sana,
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Nampenda sana mwalimu Kanuti, jaman ana mafundisho yakuelimisha mwenye akili yake.
@omary909
@omary909 Жыл бұрын
Asanteee kwa somo zuri mwalimu kanuti
@luebernard4479
@luebernard4479 Жыл бұрын
Asante saaaanaaaa 🎉
@upendoloondokalembekela7748
@upendoloondokalembekela7748 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana Dada Irene,pamoja na mwalimu kanuti, naweza kupata namba yake please.
@yunhonct5971
@yunhonct5971 6 ай бұрын
, Men of God be blessed This is wender full Msg
@vincentgeorge178
@vincentgeorge178 Жыл бұрын
Kipindi kizuri sana , 🔥🔥💯
@HanifaChalresy
@HanifaChalresy 7 ай бұрын
Binafsi naelimika Sana Kwa kipindi hiki mungu awabariki Sana
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
❤Dada kamgisha wanaume kwa maelezo haya hajapona mtu elimu inaitajika sana
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Tunafanyaje ndugu?? Nipe mawazo yako
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
@@irenekamugisha tuludi kwenye misingi tupate watu sahihi wa kutoa madarasa Kama haya hata Kama dunia imebadilika tupokee vizuri ila kwenye madili yetu tusiache
@miriambethuel8892
@miriambethuel8892 10 ай бұрын
Am blessed to learn this today.. Irene pls keep doing what you doing..your saving lives of many❤
@eliwitnessjoseph4350
@eliwitnessjoseph4350 Жыл бұрын
Mungu wangu , nawaonea huruma wanaume yaan wamepotea pakubwa . sasa kwastaili hii sijui kwann dunia isiyumbe ! Mmmmmmh
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Nyie Wanawake ndio mmebadilika. Mnaendekeza Usawa wa kijinga...Sisi tupo vilevile
@dericktitus1551
@dericktitus1551 Жыл бұрын
Irene hongera kwa kipindi kizuri
@felysterrocky-km1fm
@felysterrocky-km1fm Жыл бұрын
Nimejifunza kitu kipya leo
@user-jk6qy6il7v
@user-jk6qy6il7v 8 ай бұрын
😂😂😂😂 ubarikiwe sana yani kanisema mimi
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Shukran sana Irene big up
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Uyu Mwl apewe kipindi Ledioni afundshe jinsi ya wanaume wanavyopaswa kusimama kutokana naMaoni ya MUNGU,
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Huyu jomba hatukumtuma cc jameni ni maoni yake binafsi sio maoni ya chama
@user-lg5nz9sn4w
@user-lg5nz9sn4w Жыл бұрын
Hongera sana naamini jamii itabadilika
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Dada Iren huyu mwalim bado tunampenda .
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Sitamani hili darasa liishe Mwl Kanuti Bado tunakuhitaji najua Kuna vingi kwako pande zote Kwa make na Kwa mume kwako Kuna misingi ya kutujenga
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Nimejua kucheka wanawake na kuongea aaaa😂😂
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Huyu jamaa ni noma sana...
@eliwitnessjoseph4350
@eliwitnessjoseph4350 Жыл бұрын
Kumbe kunawanaume majembe??? Nilijua wote wajinga wajinga ,your so smart bro! Cong!!!!
@upendoloondokalembekela7748
@upendoloondokalembekela7748 Жыл бұрын
Ndo ufahamu sasa sio kwmba uliye naye ni pasua kiswa ukachukulia kuwa wote wako ivyo, usije ukawa sawa na wale wasemao wanaume wote hawana akili alafu ukimuuliza je na baba yako pia,anajibu hapana.
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 Жыл бұрын
Kipindi kizuri, angalieni set up za mike
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Kwanza hawajijui, utakuta dume linatukana hivyo,lugha chafu, livivu, jeuri,halishauriki
@ollyonly5124
@ollyonly5124 Жыл бұрын
😢huyu ni mme wangu kabisa na ujuaji Sasa. Mwenyezi Mungu atupe uvumilivu kwakweli wanaume ambao hawajitambuhi ni shida kwakweli natamani lingekuwa hapa linamsikiliza huyu mwanaume mwenzie😢
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 Жыл бұрын
​@@ollyonly5124hahaha 😂
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Nyie Wanawake hamjielewi.. Mnadharau sana..Nyie kilichobaki ni kupigwa tu makofi na mateke
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 9 ай бұрын
​@@ollyonly5124😂😂😂
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Hata imenibidi ni download mafundisho ya huyu baba ili niwe namsikikiza najihisi kutambua kufunguliwa
@rhobiwambura8109
@rhobiwambura8109 11 ай бұрын
Kwahiyo na mim mwanamke nimtii mume wangu kama kumtii BWANA, aisee ni hatari. Lazima kuogopa ila lazima tutii.
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Ukwelii unajulikana. Yaani Wanawake wasingetakiwa kupata ELIMU. Elimu ni kama lile tunda la mti walilokatazwa kula. Sasa baada ya kupata Elimu wakaanza kuleta usawa. Dunia haitoka iwe sawa. Hiyo Wanadamu wasahau. Wanawake lazima wawe chini
@evelinemlowe5454
@evelinemlowe5454 11 ай бұрын
Uko na makasiriko
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌。
@AbubakarMinya
@AbubakarMinya Жыл бұрын
Nitapataje hivyo vitabu mwalimu
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p Жыл бұрын
Kama mwanaume anampiga mke wake katoka kujifungua hata miezi miwili bado , atawezaje kujua siku za mwanamke , wanawake siku zetu zinaweza kuja Na hasira wakakujibu ovyo mpaka ukashangaaa au akakujibu kwa ukali wakati umemuuliza vzr to
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 Жыл бұрын
Huyo ni katili anayestahili talaka
@adolfobaridih370
@adolfobaridih370 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
Fix You: Namna ya kuishi na watu wenye tabia tofauti kabisa na wewe
1:01:08
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 14 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 121 МЛН
Tazama kauli 06 za Magufuli zilizoitikisa nchi.
3:13
Makala zetu.
Рет қаралды 848