Shukran sana Khadija kwa maelezo yako yanayotoa mafunzo kwa wengine. Pia pole sana kwa changamoto ulizopitia. Ni mfumo wa maisha ambao wengi waliupitia na wakaweza kuukabili. Ila point muhimu sana uloongea ni kweli kabisa wanaume wakiachana na mwenza wake ni rahisi sana kupata mahusiano mapya. Kwa wanawake ni ngumu sana sana kupata tena mahusiano mapya.
@tanzaniaoman64232 жыл бұрын
Asante sana tunazidi kujifunza mbarikiwe sana
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Khadija ❤ Hadithi imetufunza mengi 🙏
@kreamagdfsa16972 жыл бұрын
Shukran kipenzii kwa kipindi kizurii nawapenda nyote tupo hapa tunajifunza nikiwa 1 wa wahanga
@nyabokeomwoyo74632 жыл бұрын
For any single person listening this is very important. Marry your your friend, this is the core of marriage.
@priscangimba619411 ай бұрын
Yaaan kama mm yaliyonikuta
@angelanaftael79652 жыл бұрын
Well said my girl
@dreamzent2622 жыл бұрын
Mzuri sana Irene kamugisha
@Juddy1017 Жыл бұрын
It's true, thank you
@isayachamsa3849 Жыл бұрын
Khadija Pole Sana! Unakumbuka Tulisoma Pamoja Chuo Cha Uandishi Habari na Utangazaji DSJ ILALA SHARIFU SHAMBA UNANIKUMBUKA KWELI!
@ahz6907 Жыл бұрын
Anakukumbuka boyfriend wake 🤣
@salmaamiry76742 жыл бұрын
Nakubali dada Yani umeongea ukwel mtupu wengi wanaangalia Yao tu ila kwa mwanamke wanakukatisha tamaa kabisa Yani mungu atusaidie wanawake
@stephaniabenjamini28482 жыл бұрын
Asante binti mzuri khadijja.yalishatukuta tukaumia saana bila suruhisho.
@happynescostat74202 жыл бұрын
Mwanangu hadija nimekupenda Sana,upo Makini Sana,umekuwa na umewafungua wengi macho na kuzibua madikio Yao,Mimi ni mtu mzima lakini nimejifunza kitu toka kwako,ailini wagila Mayo mawe omkama Mungu akuteo omukono, nyegera olokole abaisiki abato abo owaitu bukoba🙏🏻🙏🏻
@irenekamugisha2 жыл бұрын
Kasinge muno, mpola mpola tulagoba!
@laymashabani8322 жыл бұрын
Yamenikuta hayo dadaangu . Lakini nashukuru kwa kutupa somo 🙏
@zayumar29552 жыл бұрын
Napenda sana hiki kipind na Zaid nakupenda Irene vile ulivyomcheshi 😘 😘💗 Mungu akubariki ktk Kaz na maisha Yako🤲
@salomewandya72572 жыл бұрын
Anaongea vizuri sana
@zayumar29552 жыл бұрын
@@salomewandya7257 sana Masha Allah
@kambibikamugisha33942 жыл бұрын
Hadija you are the best!!!! Keep touching others' lives. God bless you.
@jworld14802 жыл бұрын
mdada flan anaakili nyingi mno then nimempongeza sana pamoja na kuachana na huyo mtu lakin still bado anataman kuolewa tena kuliko hawa mapoyoyo wakiacahana tu wanashauri wengine wasiolewe pambafu kabisa maisha sio leo maisha yapo pia kesho jiulize unazaa kama fashion au unazaa kwa sababu umri umekutupa ?
@fathimamct2322 жыл бұрын
Naomba no ya Madam Khadija.
@ninjaisma7983 Жыл бұрын
Kuna wengine mnakuwa marafiki vizuri tu ila ukimtongoza tu mukawa wapenzi tayar anaanza kukupotea mara yuko busy mara hataki tena ukaribu sasa kwakweli huwa nashindwa munashida gani wanawake mkishatongozwa ..!!?? Mtu atakuwa mzuri kwenye urafiki ila mapenzini anakuwa na userious ataki ata jox 😢
@nancythibruce46552 жыл бұрын
Asantee, nimepata kitu🥰🥰
@hamisaally9682 жыл бұрын
Na kuhusu dini ya kiislamu wala hakuna ilichokosea au kusahau imejitosheleza tatizo ni sie wenyewe.
@نجمةموبيبي2 жыл бұрын
Nimeongeza mengine , hongera sana funzo kubwa
@samjosh122 жыл бұрын
Ndoa ni taasisi. Changamoto inaimarisha na kukomaza ndoa.
@josephshiyo83569 ай бұрын
tukumbuke tu hii ni simulizi ya upande mmoja,
@nsazabahizirehema78972 жыл бұрын
Sant sana nime ongezeya ujuzi Sns jo yangu kweli Allah awawekey wepesi kwa kila jambo 🇧🇮
@Udindigwa Жыл бұрын
Ujumbe Bora
@rayanndizeyes31612 жыл бұрын
Kweli dada pole sana sisi wanawake tunawaza mume jo kilakitu sha maisha yetu.
@nicenice38812 жыл бұрын
Khadija Mungu akubariki sana
@godfreya69552 жыл бұрын
Tungepata kusikia upande wa mwanaume ingekuwa safi sana
@elikanakiheka82422 жыл бұрын
Nimependa! Iko poa sana👏
@Betty-hb1nl2 жыл бұрын
She is almost ending the story without the audience knowing what the problem was. She started motivational speaking before stating her main problem a d carried on.
@fatmaabdi88132 жыл бұрын
Da khadija nimeipenda aise ni wengi tumepigwaa matukio
@veronicangwale71592 жыл бұрын
Poleeeee dada nawaza mm
@khamisshee51312 жыл бұрын
natizama kutoka Mombasa 001 aka bachuchu mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zubedamagambo81392 жыл бұрын
Mwanaume akiwa hamjali mwanamke wake kipindi Cha ujauzito hajampenda kweli.
@magrethmbuma30452 жыл бұрын
Hii ni kweeelii kabisa......nakubaliana naww asilimia zoote
@barakadeusdedit82732 жыл бұрын
@@magrethmbuma3045 si kweli, inawezekana hata hakupewa muda wa kuweza kimjali, mimba zingine ina kisirani mke anamchuki mume kabisa
@wakalkwanza312 Жыл бұрын
UJUI KITU KAA KIMYAA ULISHAGA WAI KUMJALI MTUU AMBAE ATAKI UMUJALI MATOKEO YAKE WEWE NDO UNAKUWA KELO KWAKE MAAMUZI NILIYO CHUKUA N KUMKAUSHIAN TUU KAMA SIONI MAKE NIKITAKA KUMKELA NI KUJIUSISHA NA VITU VYAKE
@ngwacahnyagwaswa99792 жыл бұрын
Huyu Dada hata siyo Mswahili ni kwamba yuko tu emotional anaongea kwa kuguswa from the heart akikumbuka alipokosea kabla ya Ndoa na si kwamba wanaume wazuri ambao anawaongelea wapo peponi they do exist ukiona wewe huna huyo mwanaume haimaanishi wenzako hawana wapo ni wewe tu kujua unataka nini na kua katika msimamo wako na kujua unataka mtu wa namna gani
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Ukweli nimemuelewa
@prudencegerald1 Жыл бұрын
100% Nimependa definition ya Single Mother vs Parent... Stigma ni kubwa around this
Kamugisha nimeguswa from Burundi 🇧🇮 Abdoul one day ntakujatowa ushuhuda wangu na mimi
@romanusjuma-up6eb Жыл бұрын
Mama anaitwa Khadija, Mume ni muislam, lkn mtoto anaitwa Stanslaus... Kuna kitu kimefichika hapa, mdada kabarikiwa kuongea vizuri kwa kuficha mambo mengi ktk hiyo ndoa yake na hata mimba.
@nikorauskapisi77212 жыл бұрын
Dada uko vizuli sana lakini aslimia kubwa mabinti wengi uficha makucha Yao
@nurazain66162 жыл бұрын
My dear sijui nikwambie nni kuhusu haya unayo zungu mza sijui nikupe shukran vipi na kiyasi gani
@SafinaMwakalambile Жыл бұрын
Jamani mwandishi hajui kuuliza maswali anauliza ushauri kabla story haijaisha mwandishi hajui.
@hamoudcreator63432 жыл бұрын
Dada endelea kujifunza, KiDinj Bado hujui, kiperspectives za maisha Bado .. Kamureen tafuta Watu wa maana....
@mariamyoyote81722 жыл бұрын
Asante dada khadija ❤️
@angelinaomare90152 жыл бұрын
You are so cute dada …I am not really wrong to say we look a like.a lot of Pple hv told me that and I believe
@rosehillary87422 жыл бұрын
We Acha tu Nisaidie kuwaambia maana sie wengine tumeiona. Wadogo zetu msiangukie pua. Bora kuwa single kwakujiandaa
@jacklinejackson96002 жыл бұрын
Kweli my dear
@rahmaabubakarisaanatu19612 жыл бұрын
Uko sahihi kbs. Km mtu humjui ni changamoto kubwa sana.
@mariamswedi11402 жыл бұрын
ni kweli kabisa single parents imetulia
@naseemabdul66372 жыл бұрын
Mashallah i learnt a lot jmn
@mwajumabinwa6042 жыл бұрын
nime kukubali dada 😁🥰🥰
@samiraabdimahamed44492 жыл бұрын
Norway 👏🏾
@chifuthedoni88892 жыл бұрын
Hakika kabisa!
@juliethfrancis77992 жыл бұрын
Sitaki kusema pole,no no hongera mwanamke.Inatuchukua maumivu ndo tunajitafuta then tunakua shujaa.Hatujuti sababu kila kitu kina sababu kutokea. Na kwa wale ambao hawakupitia haya tegeni sikio lipo la kuchukua.
@africanproudly40042 жыл бұрын
Tujifunze kusikiliza sauti zetu za ndani...
@esterjimmy75732 жыл бұрын
Kwel
@hamisaally9682 жыл бұрын
Kikubwaa tu ni kumuomba Mwenyezi Mungu atuletee wenye kheri na sisi,maana binahadamu anaweza kukaa vyovyote vile ili atimize anachokitaka.
@nurazain66162 жыл бұрын
Khadija wwe ni mwana mke ulio jiambini na ni mwana mke wa kutosha ❤
@khurlainashly56862 жыл бұрын
Kipindi pendwa🔥❤️🙏
@halimacharles34952 жыл бұрын
Nikazi kweri cct asante
@edinakyaruzi92262 жыл бұрын
Dada anaongea point sana jamani ila wanamme ndio wanapiga hapa mimi nimechukuwa point 3 naongeza na zakwangu uko 👍 japo niko kwenye ndoa na mpenda Mme wangu na siwezi kuachika kivyepc ila na kazia na zakwako
@ModesterRuguzye Жыл бұрын
Yani dada huyo anaeleza ya akili sana nimekupenda bure dada kiukweli wanaume wengi hupenda kusikilizwa wao tu dada anahekima huyo hongera sana yani nimelia mm jamani dada ww Mungu akutunze akupe vingi kila umwombacho akupe
@kingshabari9526 Жыл бұрын
its ok! but we are not suppose to live for others! let us live for our self.
@antusajoseph93602 жыл бұрын
Daa sijui niseme Nini??? Maàaana ngumu kumeza
@kilungumsabaha38912 жыл бұрын
Khadija nimekukubali uwiii acha kabisa nimepata somo tena litanisaidia kufanya maamuzi
@rehemaselemani49002 жыл бұрын
Wewe ndo mimi mpaka najuta miye
@maryemanuel14042 жыл бұрын
kuna mengi ningeyatizama au kuyasikia kabla labda ningeweza kuwa bora zaidi🤦♀️
@rosendile82352 жыл бұрын
Dar es salaam Temeke 🌹🌹
@rehemamgeni2032 жыл бұрын
Nakutima kutoka dubai tupo pamojq
@mwanatz59802 жыл бұрын
Pole Sana
@nhondomalale81472 жыл бұрын
Napenda macho na midomo yako ireen kamugisha
@ahz6907 Жыл бұрын
Mi macho yake kama yananiita hapo niende kuhojiwa 🤣
@anniebabune50482 жыл бұрын
Marry ur friend
@abouassifmabrouk81102 жыл бұрын
Mimi nakupata vizuri nikiwa Germany
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Vita akuna uko
@aboubakaribakari98811 ай бұрын
Sasa kwann ulimpa mwanamme mwingine mtoto sio wake vyote upo sawa Ila apo inakuaje?
@Sharifarajabudebe2 жыл бұрын
😁😁Dad Asante
@alisenmbambagwa67902 жыл бұрын
mbona husemi ulichokifanya bana sio kusema tu red frag mala nini unasema ulikosea tu kutokumjua sema kosa ulilolifanya ndani ya ndoa
@zaitunisinamenye17992 жыл бұрын
Kwanza weye mwenyewe unaongeya sana, ndowa inahitaji uvumilivu. Sasa unataka umjuwe?mu zini Kwanza ?hauwezi kumjuwa mtu kama hamujaeshi nyumba moja
@treasure124152 жыл бұрын
Mbona unama kasiriko dada 😂😂😂😂
@barakadeusdedit82732 жыл бұрын
@@treasure12415 hana makasiriko, mtu ambae hujaishi nae huwezi mjua 100%
@hongeramfugale32392 жыл бұрын
Uvumilivu ni jera ndoa ni upendo
@khadijahali48372 жыл бұрын
Duh
@halimacharles34952 жыл бұрын
Umierize mm yariyo Nikita mmmm
@veronicangwale71592 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃wanaume konyoooooo
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
💯
@Zaburi-2 жыл бұрын
Inaonyesha huyu dada alikua totally distracted
@ahz6907 Жыл бұрын
Yes na aliathirika kiakili...
@zubedamagambo81392 жыл бұрын
Dada bado ana stress.. hajatulia kichwa bado
@leilajohn46002 жыл бұрын
Hapo alipo ajielewi kabisaaa
@ahz6907 Жыл бұрын
Bado hajapona aisee hata mimi nimeliona
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
Na kiukweli watu ni mhimu muwe marafiki kwanza sio eti kupendana tu! Bila kusahau hofu ya Mungu
@alsam48812 жыл бұрын
Nadhani atasubiri sana kupata mwanaume mkamilifu( perfect man)hadi umri utaenda, kila mtu ana kasoro zake, hata wewe khadija una kasoro zako kinachotakiwa ni subra na kuvumiliana.
@sein.2082 жыл бұрын
Swadaqta
@evachuw80922 жыл бұрын
Dada jamani ulimgawa mtoto jamani pole sana dah
@ahz6907 Жыл бұрын
huyu bado mgonjwa asirudi tena hapo KAMUREEN.....
@christinamdachi62542 жыл бұрын
Na mimi yalinikuta kama yako dada lkn Mungu ni mwema alinisaidia.nilihisi nahishi na shetani ndani ya nyumba,Dunia niliiona chungu,nilipoteza muelekeo wa maisha yangu yaani mpaka leo nafikiri yule mwanaume alikuwa siyo binadamu wa kawaida.
@maryrutahinduka20482 жыл бұрын
Pole kipenzi
@husna345622 жыл бұрын
😭😭😭tupo wengi tu mie nawaza kila siku lkn sio mwisho wa maisha
@ibraheemqassim30182 жыл бұрын
We dada unataka kumaanisha mwanamke mwenye mtoto ni sawa kuingia kweny ndoa ila mwanaume mwenye mtoto hafai mnapotosha jamii kla mtu ni mshauri wa mahusiano skuiz na maudhui kama hizi tunawaomba muwalete wataalam wa haya mambo na hawa wenye experience ya kuachika wasije wenyewe tu na kuanza kuongea alichokutananacho sio sahihi watafanya wengine waamin kila alichokutananacho yeye ndio kipo kwenye ndoa ......😏😏😏😏eti awe serious kuliko mm huyu mama anahitaj mwanasaikolojia
@esterjimmy75732 жыл бұрын
Mmh,ila hapa inatakiwa kuwa very carefully ,unachukua yaliyo ya advantage ,yan za kuambiwa changanya na zako but unarelate na yako then unachukua yanayojenga,maana kuna mda mtu anaweza akaongea akiwa bado na uchungu ,so tujitahidi kufanya uchambuzi,ila dunia na mahusiano ya sasa yana changamoto nyingi
@swahiliwithZita2 жыл бұрын
Kwakweli lazima ujue jogoo anawika or not. Na usabato wangu ila I was not married a Virgin na ninamshukuru Mungu hadi leo mwaka wa 8 tupo wote. Kumjua tu ni muhimu mnoooo ili unaposema the vows, you mean it from the bottom of your heart.
@gracekagoma32312 жыл бұрын
Dada umeongea logic. Wanawake tunapenda kulelewa na wanaume.Tukumbuke kuwa hao siyo baba zetu.Tuwe imara baba kiuchumi.Tuache kunyanyasika
@happinesstesha70612 жыл бұрын
Upo vizuri kwa kukubali makosa dada.
@justinampanga68542 жыл бұрын
Well dada, uko sahihi mno
@alfonsimwalongo9164 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Tutakuhitaji kwa HARDTALK na LILIAN MWASHA
@sofiarugoye79292 жыл бұрын
Huyo mtu unayemtaka hayupo duniani,hakuna aliyemkamilifu labda Mungu tu
@leylahleylah45992 жыл бұрын
🤔🤔
@mwajabumusirikale34202 жыл бұрын
Huyu dada pekee mi changamoto. Mungu tusaidie kwa kweli!
@taturamadhan59402 жыл бұрын
hajapata mwanamme uyo akipata mwanamme haswa anaijua kukea utatulia tu
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Alichosema alikurupuka hivyo kwa Sasa ni muoga wanaume wema wapo Ila wanaume mtihani wapo
@samiakikwete17622 жыл бұрын
Unajua ingekuwa wanna vitu usonii Kama huyuu ndio sahihi ingukuwa rahisii lkn ndio ivyooo boraa nikaeee mwenyewee
@andrewmanaku2 жыл бұрын
Elimu bure asante kwa elimu pole pia kwa changamoto