Kwa mtazamo wangu mm mwanamke mzuri Sana ningumu kuolewa kwasababu hawanaga msimamo, pia Hawana heshima.
@johariabdalla33192 жыл бұрын
Daaaah hii Mada ya leo ya haya maongezi kali sana sana,na ina madini mengi mno,kwahyo tunaiomba hii iendelee part 2-3,iwe na muendelezo
@joycekisamo48962 жыл бұрын
Irene you are so good girl!! I am happy to see a woman in the amazing SNS Team. I wish Sky summons you on those emergency meetings they normally do to discuss breaking news. ❤️ 💙
@pulikisia79632 жыл бұрын
Asante sana Dada,kwa kumrudisha huyu mwamba.
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
Mwanamke mzuri ni yule unaempenda.
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Jamaa kaongea vzr sana
@issazalala49072 жыл бұрын
Ukiona kijana hawezi kutongoza basi tambua ana PGA nyeto 😂
@Tino_Official_tz Жыл бұрын
Irine ngoja nikupe siri kidogo. Utafiti unaonyesha kuwa wanaume ambao wanachelewa sana kuelezea hisia zake kwa mwanamke ndio wenye uwezo mkubwa wa kudumu kwenye mahusiano na wanakuwa na upendo wa dhati kwa wenzi wao..
@ahz6907 Жыл бұрын
Source?
@abdulrahmanhassan59982 жыл бұрын
Wanaume wengi wasio juwa kutongoza wengi wao wamekulia miaka ya 2008 kuja 2022 na smart phone au simu janja kupitia mitandao ya kijamii ndio imewasaidia na ndio mana hawawezi kuongea na mwanamke ana kwa ana, lakini wanaume wengi waliokulia kabla kuja kwa smart phone wengi walikuwa sio waoga kwenye kutongoza. Rekebisheni kauli semeni baadhi msijumuishe watu.
@muzdinho2 жыл бұрын
huo ni uongo
@masolavachui17282 жыл бұрын
Uko sahii mmi nimekuelewa sana walekebishe kauli yao ya kujimlisha watu ote
@abdulrahmanhassan59982 жыл бұрын
@@masolavachui1728 na hii ndio Tania ya baadhi ya watu wengi huchukuwa au hunukuu tafiti kutoka sehemu fulani ambazo hata wao wenyewe hawajawai kudhisibitisha Bali nadharia tuu Kisha kujumlisha watu wote, utasikia wanawake au wanaume wakitanzania Wana Tabia hii au Tabia fulani...
@mourinebey_kenya70272 жыл бұрын
Sasa 2008 huyo Ni mwana mume au mtoto Jamani? Mana hapo unazungumzia mtoto wa 14 years ujue?
@abdulrahmanhassan59982 жыл бұрын
@@mourinebey_kenya7027 hapo naongelea kuanzia ubri 18 kuja juu kuanzia miaka hiyo 2008 mpaka sasa ni MTU wa miaka 30 wengi wao wa kizazi cha smart phone 📱hawajuwi kutongoza bila simu mitandao ya kijamii.
@ibraimoissiaca60582 жыл бұрын
noma sana
@siaammo1104 Жыл бұрын
Da lrene hebu muulize hivi hilo swala la heshima inakuwaje kwa mtu asiyekuhudumia kbss,
@lamaradill98572 жыл бұрын
confedence inapotea pale unapoanza kujichua ndo maan wanaogopa wanawake kwasababu tyr wamepata njia nyngn ya kujihudumia
@amrzaqmlawa40152 жыл бұрын
Mwanaume Kutongaza ni Nature huwezi epuka
@derrikdesertman45642 жыл бұрын
Wewe Irene umetoka nje ya topic kabisa. Ungemuambia afundishe namna ya kutongoza kabisa
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Mimi kwa kweli wazaz wangu wame haribu confedence yangu tangu utotoni ndomana siwez kuwapenda
@isikesamike2 жыл бұрын
Muone mwanasaikolojia akusaidie kukupa ushauri nasaha. Umweleze shida unayopitia ili ajue namna ya kukushauri.
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Wazazi wapende tu
@husseinkazigo6189 Жыл бұрын
Ahahahaha umenifanya nicheke san huna akili we jamaa😂😂😂
@joycekisamo48962 жыл бұрын
Hizo kufunda muangalia kwa mwangalizo wa 21st century...kwa Millennials maisha yao sio hayo ya kusema tu "Heshimu Mwanaume"...it's a two-way traffic Bro 😊
@fahadfaraj64742 жыл бұрын
Sure thing
@abdallahmohammed4059 Жыл бұрын
Binafsi sijamuelewa uyo mwana apo kimaelezo yake naona kama anajin'gata n'gata tu
@mwanatz59802 жыл бұрын
😀😍😍
@nemblismkulago8862 жыл бұрын
Huy jamaa kaongea facts
@therealomisakulu54162 жыл бұрын
Hii interview imenipa conference ya kumwambia "Irine" kuwa nimemuelewa. Akimaliza kumfanyisha huyo jamaa interview naomba asome hii message yangu tafadhali.