Mto mzuri kwakufulia umeme pia eneo tamu kwa mradi wa kilimo 🤲🤲 mungu atuasaidie👏👏
@azizabuyonde83683 жыл бұрын
Waambiye wanaume wasindikize wake zao mashambani, watched kuleya mikono, congo inamboleya nzuri, haitaji mboleya.
@radjabuluundo24683 жыл бұрын
Nice place
@josephinelusambo45933 жыл бұрын
tunashukuru sana kutuhonesha mtambala lkn musiwe kilakitu kutengemeya kupewa tulihishi Tanzania 🇹🇿 kitu chamiaka 20 atukupewa misada na watu lkn semu yakulima unahunesha walime tajiri wakwanza dunia ni mkulima
@lydiamsafiri96133 жыл бұрын
München kubadilisha miji Majini, Atanga inakuwa Katanga tena? Jifunzeni kuongea vizuri majina ya miji
@elwafedha43373 жыл бұрын
Iweni na akili na busara yakutumiya nguvuzenu kufanya kazi msitengemehe kuomba omba misaada maana udongo wetu ahu hitajimboleya Mungu wetu ametupa inchi ya rutuba nyingi tumikisha guvu na alili siyo kuomba misaada maana ukulima ni utajiri mkubwa