Wow nimechelewa .ila naona bado mapema nimependa sana tukio kama hili la asili na kufanya kitu kikubwa mno uyo ndugu Mungu awe nae kwakila afanyalo .from KENYA NAIROBI
@saidibuja50502 жыл бұрын
Tunaitaji watu ambao wako na mawazo kama aya kwetu FIZI, ambao tume watuma kwenda kutu teteya uko kinshasa, wame niliza sana jana, mu ensemble wamekuwa na sinziya tuuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, akiwa mgombeya uyu baba namupa kura yangu
@vt-kn6qf2 жыл бұрын
Asante sana muheshimiwa kwa jambo ulilo fanya ni jombo kumbwa sana kwa watu wanao juwa ufahari na ukubwa wa kabila letu ili swala natamani ninhekuwepo hapo nafura mno kama kunawatu awakujitokeza mungu awasame
@Nassobrown Жыл бұрын
Daaah sanamu inawekwa porini 😂😂😂😂😂
@Elila-TV-2432 жыл бұрын
Courage Vraiment
@abwesumail50262 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa ginsi ulipandisha fizi
@izack919110 ай бұрын
Huyu sio mbavu moya bali mbavu tatu 😂😂😂
@alimasiitenda63422 жыл бұрын
Felicitation a cet initiative patriotique
@Nassobrown Жыл бұрын
Hivi imagine kwanza na sanamu ya dar es salaam na hiyo sula mlio weka imekaa kivingine kama mdoli 😭 ukweli usemwa Nyie wekeni sula halisi ya mtu
@Nassobrown Жыл бұрын
Ila inamaana hiyo bendera ndo ya fizz au? Maana mimi sielewi congo vizuri
@benjamint.bins.65042 жыл бұрын
Élùmbé k'ya BABONDO " MBAFU MOYA M. "
@ngeleloembete29562 жыл бұрын
Mume fanya jambo kubwa mno maana ukweli hubaki kuwa kweli leo kesho hadi milele Mara ya kwanza kuwekwa sanamu la mwana mapinduzi ya mwelekeo wa kivita ulimwengu mkongomani wa asili ya ZONE YA FIZI kuwekwa katika nchi yake ya ASILI DRCONGO/FIZI