Kuhani mungu akupe maisha marefu unatuokoa Kama sio yesu anae kutumia Mimi nisinge kuwepo Tena duniani nasita acha kuja kumuomba mungu kwa Yale alio nitendea Nima kubwa Sana.
@gloriaaugustino5023 Жыл бұрын
Jmn mm mbona bado
@Eveline-fb3scАй бұрын
Mtlu wa Mungu ubarikiwe kwa kazi kubwa u'ko naifanya mimi ni mama Neema Niko congo
@sospeterAlexАй бұрын
Amina baba
@user-op7tg4wq2g27 күн бұрын
Amen
@JosaphatRupily-nu4ic2 ай бұрын
Mungu akuzidisshie karama bba2
@minahsamwel Жыл бұрын
Ameen 🙏 nabarikiwa xn nabii musaa nakupenda baba
@RehemaKifuloАй бұрын
Amina baba nakufata KZbin ni mkongo mimi
@user-ef7mw3jk5k2 ай бұрын
Mungu akujarie uweze kutuokoa
@estridakimweri54892 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Heeeee Kuhani Mussa Richard Ameshaonaaaaaaaa
@paulchaula25832 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 haya Mambo banaaa
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
Mshukuru mungu umefika kwa yesu mkombozi wa ulimwengu jini ha na nafasi
@user-yq5gj3sk9w7 ай бұрын
Jamani mimi nimu kongo mani nakuja uko naomba maelekezo munisaidiye
@user-io1tp6nz8m3 ай бұрын
Baba tuombee sana mutumishi wa mungu mungu alikuita makuzu mazuri nawe pamoja na uzao wako barikiwa sanaaaana ❤❤
@benganabenjamin3304 Жыл бұрын
Amina baba kuhani Musa naoma watoto wetu wakuume ama wakike wasiingiye kwenye icho chama Yesu tusaidiye
@FrankMushi-cs5js3 ай бұрын
Aseee mbon sielewiii hapo naona jamaa anajichangany tu mara jin mara jeneza
@Boniphaceshayo53 ай бұрын
Sasa kama mke wako jini kanisani umefata nini 😂😂😂watu bana
@OzonMwangosi3 ай бұрын
Kazi yako ni ya uhakika umetumwa na mungu kwel ,ubarikiwe baba mungu anikumbuke na mm shida zangu
@user-rt5eu3fg2r10 ай бұрын
kuhani mungu akulinde baba nitapona nitabqrikiwa ukoniita nimehangaika na magongo yangu kuomba nikuone nimekataliwa baba nina mengi nisaudie yesu
@janethkinabo3486 Жыл бұрын
Barikiwa sana Kuhani. Kazi yako ni njema mno
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
Najiunganisha na madhabahu ya ngomen kwanzia Leo Mungu naomba baraka zako ziwe juu yangu na kwa familia yangu pia .
@jescaflugence3258 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kuhani musa nami uniombee mumewangu aokoke awemuaminifu kama wanaume wa ngomeni nimufano muzuri
@user-du2kk7ic5r6 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu kuhani Musa na mm naomba mungu ni we mtumishi
@sophianyamvula70807 ай бұрын
Amina 🎉🎉
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Mali gani uyuu pimbi anazinguwa hehe mwenyew kachokaa hapo watu wangu wanaangamia kwa kukosaa marifaaaa
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Maarifa gani ambayo wanaangamia kwa kukosa
@miriamabwao3062 Жыл бұрын
Kuhani na mm kuanzia sasa najiungamanisha na madhabao yako ninaomba unionekanie mm pmj na familia yangu hakuna mtu mwenye maendeleo wote tunashida naomba unionekanie popite nitakapokuwa na popote niendako nijaze imani na nguvu ya kuomba ili yote yaishe niishi maisha niliyopewa na Mungu amina
@gracestephano206811 ай бұрын
YESU wa Kuhani Musa nione na mimi jamani kupitia mtumishi wako Kuhani Musa 🙏
@JulianaLimu-zv5fg10 ай бұрын
ndoo hii
@maisaalawy8549 Жыл бұрын
Ameen yarab
@florasmon2004 Жыл бұрын
Ubarikiwe mutumishi
@mariselabuya85627 ай бұрын
Amina.baba.👏👏🇰🇪🙏🙏🔥🔥🔥
@bakengemubalama8715 Жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu baba
@consolatafelcin5869 Жыл бұрын
Baba mungu akubariki sana
@user-ob2zf7op6d8 ай бұрын
Hakika mungu akutuzwe baba❤❤
@negoohdewalker10 ай бұрын
Mungu akutie nguv bab
@user-mk2ce4oi6r Жыл бұрын
Namunganisha wif yangu na mathabau ya kuani Musa mungu akamponye
@avitokagashe4777 Жыл бұрын
Utapeli tu
@babugsafari281 Жыл бұрын
Mungu wa apa ngomeni niwa ajabu saana kweli
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
mtu wa sengerema mwanza duuuh!!!
@user-rh3lc5nx2e3 ай бұрын
Mungu naomba niponye na mimi
@amisixlures5303 Жыл бұрын
Kuhani mungu akuongezee miaka mingi
@PeterNjeru-ye6bn7 ай бұрын
Hadithi za abunuasi😂😂😂
@rashidbakili4353 Жыл бұрын
Uyu jamaa hana historia mzito sana. Mpaka kafika ngomen Mungu mkubwa. Ila daah
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Unazinguwaa
@YusufKazungu3 ай бұрын
Huyu kuhani anapatikana wapi ju namba ya ximu hapatikani
@Davidy-bd3mh10 ай бұрын
Naomba kuani mussa aniombee nipate pesa nisaidie familia yangu na ndugu zangu