Maa shaa Allah. Alhamdulilah. Hongereni wahadhiri kwani mpo vzri sana. Allah awazidishie ilmu na awafanyie wepesi fil dunia wal akhra
@muznazahra4559 ай бұрын
Jazakumullah khair Mashekh wetu kwa kutenganisha ukweli na uongo ,miaka watu wamlilia Yesu na kumbe hakufa na QUR'AN haina shaka ndani yake...
@mwawekomiuda97792 жыл бұрын
Uislam Raha sana. MashaAllah wahadhiri wetu mko vizuri sana. Saidi kinyogoli na wenzako wako wote pamoja na kubwa Lao mazinge mko vizuri sana, ALLAH awape umri mrefu wenye kheri nyingi inshaAllah.
@chimilasaid447 Жыл бұрын
Allah atufishe tukiwa kwa uisilamu
@jazilambaji27892 жыл бұрын
Kinyogol MaashaAllah,,yaan anaenda polepole na maandiko yamenyooka!!Allah awape umri mrefu mashekhe wetu
@LampardMarcel-ui6ut Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie ktk kazi yako sheikh wangu na akuweke ktk watu wa peponi
@davidfelician29032 жыл бұрын
waislam muaminn yesu mtabarikiwa
@mwanahija968 Жыл бұрын
Hakn barka apo nkupotea tu
@khairatsuleiman4606 Жыл бұрын
Huo ni ukafiri
@johnsonbernald116 ай бұрын
Yesu ni nabii tu kama manabii wengine, kwenye biblia anaitwa yesu na katika Qur'an anaitwa nabii isa
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Maasha Allah tabaraka Allah ma sheikh wetu Mwenyezi Mungu awajaalie nguvu na ujasiri wa kulingania Dini ya haki shukraan jazzakah Allahu kheiran barakallahu feekum #masjidmtorotv na crew nzima kwa juhudi munazo fanya kutuletea ilmu ya Dini
@ramadhanqasim94842 жыл бұрын
Aaamin
@abdulrahmankassim92832 жыл бұрын
Kifo cha yesu hapa ndo nimeelewa vizuri kwa huo mfano alotoa sheikh. Kazi nzuri
@ndalijeofficial2 жыл бұрын
Waislam shida yenu upeo wenu mdogo
@humblekingstechnology7494 Жыл бұрын
@@ndalijeofficial akili huna upeo mdogo unajua ww
@Estherm309 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Baba yetu atupe ujasiri nyakati hizi za mwisho maana YESU KRISTO alitulipa mema pale msalabani
@professorimmah2 ай бұрын
Hahaha pole bongo lala
@charlesboniphace22492 жыл бұрын
Kuwa msabato ni moja Kati ya zawadi kubwa sana duniani na mbinguni, Mungu moja Yesu moja Roho mtakatifu mmoja. Isaka kafara Yesu kafara ya ukombozi. Ahsante Mohammad I kwa kuleta dini ya mpinga kristo ili maneno ya Yesu yawe kweli lazima aje mpinga kristo.
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@HalidiNkundwanabake-i7rАй бұрын
Kuwa mukristo ni kama vile kutembey huku ukiwa mufu
@charlesboniphace2249Ай бұрын
@@HalidiNkundwanabake-i7r Uislamu dini Safi sana kwa ajili ya jehanamu ukielewa Hilo utabatizwa upate wokovu wa maisha yako
@lindatasha39602 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏 Mimi na Yesu hadi mwisho,,ata iwe aje na Kila goti litabikwa na Kila ulimi kukiri kuwa yeye ndie Bwana🙏🙏🙏
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@aliroro9344 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂...
@PiliMohammed-d7t10 ай бұрын
Mashaallah shekh kinyogoli mungu akubarik
@ElishaFred-x4c Жыл бұрын
Wachungaji wa mungu mko vizuri na mmetuwakilisha vyema
@lisauroble312 жыл бұрын
Aminaa mashehe zetu mko vizur mnafanya kazi nzuri mungu munguu awalinde ktk njiya ilinyooka
@alidingongo4432 жыл бұрын
Allahummah Aaamin 🤲 kwetu soteni
@NANCYLAZARO-uc9fn10 ай бұрын
Mashallah tabarakala to all Sheik big up,
@chimamymammy41112 жыл бұрын
Mashaallah Allah awafinyie pesi inshaallah kwa kila mitihani mnayoipata
@MakameSilima-g7k8 ай бұрын
Ww Yohana nyoosha maelezo vizuri
@MoiseElisha10 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe sana.yeye alikufa kwajili ya dzabi zetu. Na bahada y'a siku tatu3 akafufuka.yesu ni mungu mzima❤❤❤❤❤
@MoiseElisha10 ай бұрын
❤❤❤
@TashwillKaroolse10 ай бұрын
We bwege kweli😂😂 hata chizi hawezi kuwa na akili hii Alikufa akafufuka kisha unasema Yesu ni Mungu Kwahiyo Mungu kafa?😂😂
@MoiseElisha10 ай бұрын
Kwakeli sisi wa kristo tume shinda ❤❤❤ ata amuta kubali yesu alikufa na akafufuka siku ya tatu
@AbdulIsmail-ie4hp8 ай бұрын
Alisulubiwa saa ngapi...???? Haijajibiwa
@mwahijaabdallah-g5hАй бұрын
Alhamdullillah kwa kuzaliwa islamic
@jeneferedayac34582 жыл бұрын
Yesu ndiye njia
@Aisha-qx7kz8 ай бұрын
MashaAllah kinyogoli ALLAH akujalie umri mrefu uzidi kutupatia elimu ya kweli wakristo acheni ushindani na kumchomekea yesu mkisema ni mungu alipo kuwa tumboni kwa mama yake duniani mungu alikuwa nani?
@erastuskivuli54399 ай бұрын
That debate is super and so friendly.Watanzania nimewapenda.Tena sana.
@KhatibSalehKhatib11 ай бұрын
Yaani mifano iko hai kabisa waislamu bana mashallah allahakbar
@cishahayoali11362 жыл бұрын
Ukweli umedhihirika! Asante kwa kazi kubwa ya daawah!
@lilianimeta42692 жыл бұрын
Allah Akbar aliislam dinu lihakhu mashaallah makhalifa wa Allah , Allah awajaalie umri mrefu mzidi kuitangaza dini ya Allah kote dunian na Allah awape pepo ya juu (janatufiridaus) nimefarjika sana
@alidingongo4432 жыл бұрын
Allahummah Aaamin 🤲 kwetu soteni
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@ahmadamohamed19077 ай бұрын
@@Yehova_Kwanzahivi msomi ww unachekesha Sana hivi saa 3 inakaribia saa 6 inawezekena unajuwa biblia ila kiswahili hujuwi
Ukosefu wa kazi kujadili Yesu, Mungu atawahukumu kutokana na ujinga huu
@AbdulAbdul-hc3yr Жыл бұрын
Mungu akusameh we unaesema watu wamekosa kz kujadir yesu
@jasminabubakary5601 Жыл бұрын
Jamani Hamidu Masha’Allah anajua kusoma na kupendezesha maneno Allah amuweke umri mref na wenye baraka tele🤗
@arafatsaid9202 жыл бұрын
kinyogoli ni bingwa mashallah
@hawamgogolo3240 Жыл бұрын
Kinyogoli ni noma sana
@HabibamaalinAli8 ай бұрын
Masha Allah shukran mashehe wetu
@ndikumanaismail545 Жыл бұрын
Asante sana mcungaji nimependa funzo lako liko sahihi kabisa
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Mkawaulize Wayahudi. Mnapotwza Mda Wayahudi Wapo sio historia.
@rossarutasha17893 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu John
@pendaelimigaro5572 жыл бұрын
Wachungaji mpo vizuri sana
@LilyKangethe-hw2bw Жыл бұрын
❤❤❤ Taakbir Allah Akbar...
@imageinternational.110010 ай бұрын
Takbir hua ni pepo la kupandisha kibri
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️ mungu awazidishie umri masheikh wetu nawapenda kwajili ya Allah 💓❤️❤️😍🖤❤️💓❤️❤️😍🖤❤️💓💕💖
@hawamgogolo3240 Жыл бұрын
Bomba sana
@alidingongo4432 жыл бұрын
Ustdh Kinyogoli katisha katika kutoa somo Maa Shaa Allah wataelewa tu
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
Tazama kidogo kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
@@Yehova_Kwanza hapa imezungumziwa saa uwo mfano wa watu kukaa pamoja hauhusiani na muda kabisaa Kama kafa saa tatu na anuani ishaandikwa,iweje iwe mpaka saa sita yupo mahakamani
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
@@Yehova_Kwanza na Kuna andiko linasema mpaka saa Tisa yesu akapaza sauti Eli Eli lama Sabakthan?yaani MUNGU wangu,mungu wangu kwa nini unaniacha Hii inaonesha mpaka saa Tisa Bado hajafa Kwanini Marko aseme saa tatu kishasulubiwa na anuani ishaandikwa
@jacqueswanzire719211 ай бұрын
@@rosemarywaweru7926 q
@allysaid91542 жыл бұрын
Allah awajaalie kher ktk mkutano .Pia awajalie afya njem
@rsshidmnkonje74322 жыл бұрын
Allah awajalie mashehe wetu mzidi kuwaelimisha wasiojua dini sasa
@alidingongo4432 жыл бұрын
Allahummah Aaamin 🤲 kwetu soteni
@AmaniSilas-po3ye5 ай бұрын
Mungu awabark muwafundishe hao ambao wanaupnga ukweli ambao uko wazi kabisa
@mwashambamakame44352 жыл бұрын
Halafu wakristo wababaifu sana, anataj aya na maneno siyo kabsaa , na kukimbilia mchuzi tu, poleni Sana
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@sadickmkakile84762 жыл бұрын
Mashaallah wanaelewa ila kiburi kina wa sumbua wakristo
@sukariyao6537 Жыл бұрын
Koma wewe akuna wa kuingia dini ya ushetani kma yenu
@bellalygeomecky1145 Жыл бұрын
Punguza kibri.....bsi
@mwanahija968 Жыл бұрын
Mashetani wapo kwa din ya kikafiri
@flaviakezimana4596 Жыл бұрын
Watu musikaliye madini njia yakwerekea mbinguni iko moja.ni Yesu kristo
@africrowd45592 жыл бұрын
Huyu kinyogoli ni noma aaaah
@yunusomar76112 жыл бұрын
Masha Allah
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@shahama66632 жыл бұрын
Maashaallaah kinyogori 😂😂😂😂🙏🙏
@BON35711 ай бұрын
Kinyogoli umetisha
@AbdulIsmail-ie4hp8 ай бұрын
Shk kinyogoli na wahadhiri wengine ALLAH AKULIPE KHERI..UPEWE MAUWA YAKO
@aliroro9344 Жыл бұрын
Alhamdhullilah for being a Muslim 🤲
@EricManirakiza-g6d Жыл бұрын
Huyu mu hadhal sintausahabaka Yani Noma makristo wapikabisa, sheikh said kinyogoli Allah akujalie mayisha malefu🙏❤️🤝
@nubianqueen67002 жыл бұрын
Mjadala ya wa Tanzania ni ya Hekimah na heshima, hakuna kudharauliana wala kukejeliana. Pongezi kwenu wote. JazakumAllah khairan mashekhe wetu. May Allah reward you for your efforts.
@alidingongo4432 жыл бұрын
Kweli kabisa Maa Shaa Allah
@amanierick27172 жыл бұрын
allah awape afya njema na umri mrefu ili uwailimishe waliyo poteya
@namsifubwana2152 Жыл бұрын
Jinsi inavyopendeza wakristo na waislamu kukaa pamoja kwa amani na furaha. Hii unaipata Tz tuu. Inafurahisha sana na Mungu aendelee kutubariki sana
@leonardmwayeya13 Жыл бұрын
Kwani waisram maneno haya wanayatoa kichwani au wanasuma maandiko
@Truth7712 жыл бұрын
Wanatumia Qur'an Wakati Qur'an inakataa madai ya Yesu kuuawa.
@hamisimuhammad36562 жыл бұрын
Maneno ya kushindwa hayo
@mwanahija968 Жыл бұрын
Kitu kiko kweupe apo yesu ana nini
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED!
@mariamnimbo83942 жыл бұрын
The only way to heaven is only thru Jesus Christ. Stop your nosense. We know very well you are the anti Christ. Baloney and very boring!
@alidingongo4432 жыл бұрын
Allahummah Aaamin 🤲
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
Tazama tu kidogo ....uislamu Bure kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@alicemuhawenimana4562 Жыл бұрын
Sasa vip kama uwesilamu aijulikani mbele za mungu?
@mwanahija968 Жыл бұрын
@@alicemuhawenimana4562 utajua apo sasa kama haitajulikana au vp apo ndio utatamani siku zirudi nyuma
@emmanuelfirstborn2 жыл бұрын
Yesu ndiye njia ya ukweli
@AshaIndy Жыл бұрын
Alhamdulillah allaneemal islam
@HashiruAhmad11 ай бұрын
Uisilamu ndio msingi wa maisha ya watu wote sema wengine wametiwa uziwi na upofu
@iddysantos80462 жыл бұрын
Mashallah
@ABDIKASIM-qe4lc Жыл бұрын
Mashallah uisilam laha
@ndikumanainnnocent77962 жыл бұрын
Asalam alykum safi sana sheikh wetu kinyogori wasabato awatara usiku
@myoutubecom-gg7sb2 жыл бұрын
MashaAllah
@MasterG-dc1tx Жыл бұрын
Jesus excellent one way
@kassimkitendo43172 жыл бұрын
Mashaallah subuhanallah
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@mwanahija968 Жыл бұрын
Mashaallah
@Abdulrahman-ie7dy2 жыл бұрын
Allah wajalie mashehe wetu maish maref n yenye heri ili waendele kufikisha ujumbe wako kwa jamiiii
@maasaimkisii90892 жыл бұрын
*GOD IS THE KING*
@isaackariuki2 жыл бұрын
Waislam msipojisomea bibilia hamtaujuwa ukweli. Msipomwomba mungu awape roho mtakatifu, mambo ya kiroho hamtayaelewa. Mungu ni roho na inatupaswa kumwabudu kwa roho na kweli kama ilivyo andikwa.
@benardwere17822 жыл бұрын
Alhamdhulilahi Warahmatulahi Wabarakatu
@binuriathassan99692 жыл бұрын
Uislamu ndio dini ya kweli
@elijahbaraka94707 ай бұрын
Ndo ila sio yakweli na uzima YESU ndie njia ao dini ya kweli na uzima mwamini yeye
@GabrielKenyanjui6 ай бұрын
@GabrielKenyanjui6 ай бұрын
@GabrielKenyanjui6 ай бұрын
@MakameSilima-g7k8 ай бұрын
❤❤ Sheikh Hamidu
@jasminabubakary5601 Жыл бұрын
Masha’Allah uislam raha jamaniiii asikwambie mtu, Allah awape umri mrefu insha’Allah
@tresorkihungu31722 жыл бұрын
Amen Amen Amen Yesu Christo amekuja kufa n'a kufufuka
@Truth7712 жыл бұрын
Kufa kwa ajili ya nini?. Kwani wewe hutokufa na kufufuliwa siku ya Hesabu
@tresorkihungu31722 жыл бұрын
@@Truth771 leta Handiko apa nihoja siyo maongezi ock
@Truth7712 жыл бұрын
@@tresorkihungu3172 wewe leta andiko kama Yesu alikufa akafufuka wewe Unasema huna hoja ni magazeti tu
@tresorkihungu31722 жыл бұрын
@@Truth771 Umeanza vibaya mwicho Yako ni hii umejialika kwangu , namna umejialika nili kuambia wewe hivi hapa nihoja sasa sahii unaanja kujisifu nagazeti zakwako masimulizitu kwako kama hauwezi kuleta hoja ujifungie simu mwenyewe hakuna ubichi hapo leta hoja mwicho
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@mariamomran61442 жыл бұрын
Nice pr.mazinge
@ramadhanqasim94842 жыл бұрын
Yes
@ramadhanqasim94842 жыл бұрын
Allah baarik
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@meshacklukumai43582 жыл бұрын
pastor uko vzr

@jumaomari9692 жыл бұрын
Asalamu alaykm mashekhe wet ALLH akulindeni na nabaya
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@muznazahra4559 ай бұрын
Waislam wote wamwamini Yesu Nabii Isa a.s lakini kwa njia iliyo sawa siyo kinyume na Mafunzo yake....
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Hakuna kama Yesu.Hakuna wa kulishinda Kanisa.Mt.16:16-18.
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@KhatibSalehKhatib11 ай бұрын
Yaaan waislamu kwenye ELIMU hawadanganyiki wanajua wanachokifanya na Allah ameahidi kua uislamu ataulinda na Kuna wasomi wakimiujiza kwakweli
@muhamedissa94772 жыл бұрын
Kinyogori mungu aku weke maswari yako magum Sana Masha allh
@muhindoabubaker7989 Жыл бұрын
Nabbi Isa hakusulubiwa huo ndio ukweli
@fardoshnassor78472 жыл бұрын
Allah wakbari 💕
@rosemarywaweru7926 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gZPIl2uIgJZ6bdE
@chimilasaid447 Жыл бұрын
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu akibara allahu Akbar
@jamalamon5846 Жыл бұрын
Uisllam ndiodin yakweri Allah wasimamie maxhekh wetu
@Estherm3092 жыл бұрын
Yesu pekee anatpsha kwa imani tutakaa nae kiti siku ya ukumu tunatarajiwa kupewa taji na mungu
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Nakuomba san ndug yangu huko uliko siyo sahihi ivi haujiulizi mitume wte mbn sisi hatujawakataa kwsbabau wote kuanzia adam mpk muhammad waliuleta uislamu tu na si kingine
@Estherm309 Жыл бұрын
@@abubakarymaulidy5681 kwangu me sijui najua YESU KRISTO pekeyake
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
@@Estherm309 yesu hatokusaidia chochote
@johnmwanandenje345611 ай бұрын
Mbona waislamu mnajipinga wenyewe,mnasema hakufa wakati mwingine mnakubali.
@omaryally1983 жыл бұрын
MASHA ALLAH ❤️❤️❤️
@nambarukachede65052 жыл бұрын
Asalaam alykum
@denismallya5274 Жыл бұрын
Umesoma vzur
@OmarBumaleКүн бұрын
Mubalikiwe
@DdsdaadAl-rrrwww11 ай бұрын
Kipofu huwezi kiongozi Kipofu mwenzako basi ndio hwa waisilamu hawajui bibilia kabisa
@petertotolyoya1804 Жыл бұрын
Nimeelewa kitu kimoja waislamu wanafahamu maandi ila hawana uhayi wa maandi poleni sana waislamu
@davidfelician29032 жыл бұрын
Our 3:56
@MakameSilima-g7k8 ай бұрын
More Tallent "KINYOGORI"
@NaaalsGroup-us8bq Жыл бұрын
Kwakweli kama wale wanakwenda makanisani au misikirini kuuwa amakuchoma moto wao wamelaanika kwakua hii ndio sahihi ya kuelimishana na kupendana sio ati muislamu anachukia mcristo ama mcristo anachukia muislamu kwahakika mazinge mungu ampe umri wahafia na wafuasi wake kupiria kwa mwalimu wetu mkuu swalalah alei wasalam asaalam aleykum
He is a Good Pastor?. Or a Dangours misleading SHEPHERD. According to the Bible such people are misleading and even called DOGS. THEIR MISLEADING: (JEREMIAH 50:6) " My People have been lost sheep; their shepherds have led them astray, turning them away on the mountain; from mountain to hill they have given, they have forgotten their fold " THEIR DOGS: (ISAIAH 56:10-11)" His watchmen are blind, they are all without knowledge; they are all dumb dogs, they cannot bark; dreaming, lying down, loving to slumber. 11. The dogs have a mighty appetite; they never have enough. The shepherds also have no understanding.
@kimsi6822 жыл бұрын
@@Truth771 Here is the truth Mr! kzbin.info/www/bejne/hmbEd6OmgpZmfpY Take it very very seriously.
@owen-zw8xo Жыл бұрын
@The Truth I am sure you're amongst the lost dogs too.
@seifally823511 ай бұрын
Ukristo dini gani inalazimisha ushoga ingiyeni dini ya haki Islam
@Lifeeofemmy2 жыл бұрын
Hujajibu swali kaka
@EvangelistmokuaFredminst-uz7me11 ай бұрын
Nawafuatilia
@milikaekal8623 Жыл бұрын
Yesu alukufa na hakafufuka ok
@Yehova_Kwanza Жыл бұрын
Mungu niongoze watu hawa waijue biblia kama ulivonifunulia mimi kwa kiasi changu. Amina. ...Chunguza andiko hili kwa makini UTAGUNDUA kitu.... Yohana 19:14............. karibu saa sita...........Hivo haikuwa saa sita yawezekana saa 3 au saa 4 au ata saa 2 Mfano; John alikaa kiti cha Tatu kushoto mwa raisi samia kisha John akasema nilikuwa karibu na raisi a) atakuwa amegusana nae b) atakuwa amekosea kusema kalibu nae au ni kweli yupo kalibu nae. Sasa Marko akaja aksema hivi Marko 15;25....akafafanua kuwa saa tatu yupo kwenye mti, saa sita yupo kwenye mti lakini saa 9 akafa mtini. Kumalizia Yohana hakutaja mda alioanza kuteswa bali alisema inakalibia saa sita hivo ata saa mbili ni kalibu ya saa sita na hakupointi mda aliokufa yesu. Kama unaitaji Tulifafanue zaidi hili wasiliana na mm 0625506002
@amisikisoma7152 жыл бұрын
Kinyogoli masshallah
@muhindoabubaker7989 Жыл бұрын
Nyinyi ma pastor's hamtkuja kuewa
@augustinemuia322511 ай бұрын
Dini zote kikristo na kiislamu sio zetu waafrika tulimjua MULUNGU kabla waarabu na wazungu kutufanya watumwa,mwacha mila ni mtumwa