Tatizo ndio ilo...Ngedere na Bundi kama hawakujua train inapita kwenye wanyama poli....Hatupo makini na pesa yetu wananchi. IFIKE WAKATI TUWE WAWAZI NA WAKWELI..
@abdallahsaid8157Ай бұрын
MashaAllah!!!
@erastuskajuna812Ай бұрын
Tunamshukuru safari kuongezekA lakini basi tupu guzie nauli ni kubwa mno! Vilevile matatizo yanapotokea abiria wafahanishwe waelewe. Treni ya sgr juzi ilikwama Ngerengere tangu Saa 12:30 Hadi saA saba usiku na up gozi haukutamka chochote Treni iliondokA Dodoma Saa nane nane mchana ikafika dar Saa nane usiku!
@nyambegamatoro6817Ай бұрын
Twambie nasi abiria wa njia ya Kati, Kanda ya ziwa na kigoma, TRC mmejipanga vipi? Nasi tuna haki ya huduma ya usafiri wa bei nafuu!!
@Robert-p7c1kАй бұрын
Kadi ya kuzaliwa,vitambulisho vyote vya nini hivi, upuuzi tu, hakuna kitu kama hiki popote duniani, ujinga tu.
@section8ight174Ай бұрын
Hivi wewe unadhani watu wanatufurahia tu kwamba tumeweZa kujenga treni ya umeme inayopendeza namna hii?? Hivi wewe hujifikirii kwamba kuna waovu waliokuwa tayari kuuhujumu huu mradi pande watakapopata mwanya??? Tutumie ubongo!!
@Robert-p7c1kАй бұрын
@section8ight174 ni woga tu sidhani, sisi sio wa kwanza kuwa na treni ya nanma hii, narudia kusema hakuna sehemu yeyote duniani ambapo watu wanadaiwa vitambulisho vya. aina yeyote Kwa ajili ya tiketi ya treni. Kama Kuna nchi inafanya hivyo nijuze tafadhali, hakuna ulazima wa kufanya hivyo.
@section8ight174Ай бұрын
@@Robert-p7c1k Hilo ndio tatizo sasa! Kazi yetu ni kutaka ku copy vile wengine wanavyofanya!!! Kwani kujitambulisha kuwa wewe ndio mtu anayetarajia kusafiri na kwamba umekata tiketi inayostahili na Sio mtu mZima anataka kusafiri na tiketi ya mtoto? Tatizo lipo wapi?