Asalamu aleykum warahmatullah wabarakatu shekhe jazakallah khayri kwa somo ...ningeomba uwe una andika na dua na kwa kiarabu wengine kusoma hivyo inakuwa ngumu ,,,InshaAllah
@faidikatvАй бұрын
Insha Allah
@AishaAthimaniАй бұрын
Shukrani shekh ila tunasubiri yale majina yalobaki
@faidikatvАй бұрын
Insha Allah ni darsa linalo fata
@LilaSilimaАй бұрын
Assalam Allykum? Naomba untumie hiyo dua
@faidikatvАй бұрын
@@LilaSilima wa alaykum salaam
@HusseinMwajabuАй бұрын
Nashukuru sana naomba uniambie jinsi ya kutia nia,
Allahum-maghfirli dhanbi kullahu,diqqahu, wajillahu, wa awwa-lahu, wa aakhirahu wa ‘ala-niyyatu wa sirrahu (Oh Allah, Forgive me all my sins, great and small, the first and the last, those that are apparent and those that are hidden)
@aminakassim831Ай бұрын
Asante Allah swt akujaalie upate mahitaj yako ya moyo inshallah
@faidikatvАй бұрын
@aminakassim831 Allahumma aamin aamin
@AbdulChacuroАй бұрын
Asalamu Alaikum ustadh Alhamdu lillahi Rabil Allamina namshaukuru sana kwa ilimu yako mzury lakini hiyo sua naomba unge onhesha ili Rahisi zaidi .wasalamu napatikana mozambiki.
@faidikatvАй бұрын
@@AbdulChacuro masha allah shukran sana tutafanya ivyo
@narutonaruto4303Ай бұрын
asalaam ghalyk sheikh kwakweli kweny upande wa rizki mimi kwang bado mno ila najitahidi mno dua ulizo tufundisha ila naon mungu bado hajanikadiria
@faidikatvАй бұрын
Uskate tamaa hata kidogo endelea kupambana bi idhn llah utaona
@narutonaruto4303Ай бұрын
@faidikatv amiiina amiiina inshallah
@dogomwapea5662Ай бұрын
Dua nzuri lakini hatufahamu maana yake. Tutafsirie baada yakuisoma
@SarahIrakoze-m3wАй бұрын
Asalamualeykum warahmatullah wabarakatuh ustadh tusaidie dua tuko inje Bado hatjapata makaratasi inshaallah naiyo Ina FAA?
@faidikatvАй бұрын
Naam inafaa tumia kama unahiji dua zaidi basi tuwasiliane
@salehmahrooqi4383Ай бұрын
Tuandikia hiyo dua
@faidikatvАй бұрын
@salehmahrooqi4383 ALLAHUMMAGHFIRLIIY DHANBIIY KULLAHU DIQQAHU WAJILLAHU WA AWWALAHU WA AAKHIRAHU WA ALAA NIYYATAHU WA SIRRAHU ALLAHUMMA INNIY DHALAMTU NAFSIIY DHULMAN KATHEERA WALAA YAGHFIRU DHUNUUBA ILLA ANTA FAGHFIRLIIY MAGHFIRATAN MIN IN DIKA WARHAMNIIY INNAKA ANTAL GHAFUURUR RAHEEM RABBANAA AATINA FID DUN YAA HASANA WA FIL AAKHIRATI HASANA WAQINA ADHAABAN NAAR
@sunayrithatawata4699Ай бұрын
ALLAH AKULIPE MARA DUFU INSHAALLAH SHEIKH WETU
@zayedbinharith4665Ай бұрын
A.alykum sheikh wetu .naomba unifahamishe kutia Nia ya swala hii ya sunna Kabla hujaiswali .
@faidikatvАй бұрын
Uswalliy rakaa tain lillahi taala allahu akbar
@HawaOmary-gw2ooАй бұрын
Jazakallah khayri kwa kunielewa ,,,wallah nimeskiliza hii video naona nimepata tu furana na amani sijui kwanini yarab
@AbdulChacuroАй бұрын
Asalamu alaikum.samahani sana ustadh umisema Allhahuma hufrlli dhamb kullahu sasa hapa umisema zikahu au dhikahu ?samahan naomba unijulishe vizur nianze na herufi gan?
@faidikatvАй бұрын
Dikkahu
@nyawendacyprian8174Ай бұрын
Ostadh ungemaliza Yale majina nane ya Jana, halafu ukatupeleka Kwenye Somo jingine jipya
@faidikatvАй бұрын
Ni darsa lijalo insha allah
@fardoshnassor7847Ай бұрын
🤲🏾🤲🏾
@HalimasikudhaniАй бұрын
Tuandikie hiyo dua mwalimu
@KakobwaIsmail-gu2hoАй бұрын
Asalaam alaykum warahamatullah wabarakatu shukrani sana Allah akulipe kheri shekh nikishaswali hivi naweza malizia na witri?
@faidikatvАй бұрын
Wa alaykum salaam shukran pia naam ndo inavyo takiwa haswa
@MaryamTwahir-r4bАй бұрын
assalam alaykum
@faidikatvАй бұрын
Wa alaykum salaam
@MaryamTwahir-r4bАй бұрын
naomba kuuliza izo rakaa mbili unanuwia vip sala ipi witri au itighara@@faidikatv