FUNGUA UONE TUNAVYOIBIWA PESA ZETU MITANDAONI...MWIZI SUGU ANAELEZEA.

  Рет қаралды 235,871

Cheni tv Online

Cheni tv Online

Күн бұрын

Kutana #Mwizi wa mitandao ya simu akielezea mbinu wanazotumia.....

Пікірлер: 209
@FAUSTAMBAGA
@FAUSTAMBAGA Жыл бұрын
sema mzee baba kafuliwa mpaka anaeleza yote hayo kafuliwa vya kutosha
@solomonitv7808
@solomonitv7808 5 жыл бұрын
Safi sana dogo ni mkweli kabisa Mumsamehe bure
@barakajastine8300
@barakajastine8300 5 жыл бұрын
fyuuuuuuuu
@meksonyjoseph8909
@meksonyjoseph8909 5 жыл бұрын
kazi nzuri kijana una uwezo sana serikali yapaswa kukupa msaada
@8pistons194
@8pistons194 Жыл бұрын
Angesoma awe na vyeti sio kuibia watu
@OggNyalo-jy8dk
@OggNyalo-jy8dk Жыл бұрын
Fanya kazi halali...sio kuibaa ivo nyinyi ndo mnafanyaa wateja wetu waogopee mtu kama huyo awekwe ndani ili iwe fundisho kwa wenye tabia kama yako...
@KevinMkundapai
@KevinMkundapai Жыл бұрын
Kazi mzuri dogo mwanaume afundishwi kuwinda ilimradi pesa iwe kwa mfuko
@kimweriramadhani5705
@kimweriramadhani5705 5 жыл бұрын
dar mwamba noma sana
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 3 жыл бұрын
Izo akili walizo nazo si bora wafanye vitu vya maana ipate nchi kuendeleya na wananchi wote wafaidike
@mpenzramaah4869
@mpenzramaah4869 5 жыл бұрын
Duuuh nimeipenda hii... sasaivi nikiwaona hawa waxenge nawaluxhia mawe... wezi nyieee vicmi vya mama yenu
@user-yh2ss9fy1e
@user-yh2ss9fy1e 6 ай бұрын
Duhuu ndugu kama hujazaliwa na mwanamke cy kwa tusi hilo😢
@majorplans4120
@majorplans4120 5 жыл бұрын
Genius
@dasitoren5841
@dasitoren5841 5 жыл бұрын
Mwizi mwenyewe mbona kachoka hivi na kujifanya mjanja wa kuiba pesa
@veronicabariki6027
@veronicabariki6027 5 жыл бұрын
Du bora umetufungua macho tumejua ukweli we kak jambaz hamtupat ten
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 Жыл бұрын
Watu kama hawa wanafaa kufungwa maisha
@FelwusiFelwusi
@FelwusiFelwusi 9 күн бұрын
Atumii slaa chakufanya selikali apewe ajila
@rumaantvonline6486
@rumaantvonline6486 5 жыл бұрын
Dah!!
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂duh wizi kipaji hongera ila zamwizi zimefika shenzi typ azabunyako kutumikia gereza bs maisha mazuri
@amirjumbe7872
@amirjumbe7872 5 жыл бұрын
Yani hapa Tanzania kila mtu ana njia yake ya kutumia kutafuta pesa huyu jamaa ni shida san msenge huyu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
Daaaaah eh mungu
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 жыл бұрын
Ss ww nimuwizi wa ela mitandaoni mbona unanongo ivyo siungekuwa uko vizuri ela zawatu nisumu utakufa vibaya sana ww dogo
@henryshao8730
@henryshao8730 5 жыл бұрын
Jaman duuu huyu kaka nimesoma nae MUNGU atunusuruu sisi vijana jaman
@tomasimalac3759
@tomasimalac3759 5 жыл бұрын
Kasoma mwereni
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 3 жыл бұрын
Duu umesoma na mwizi😂😂basi wewe elimu hajaipatiya vizuri😂😂
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 5 жыл бұрын
Huyu ni muhalifu sugu aseme na watuhumiwa wenzake.
@AishaMpichi
@AishaMpichi 20 күн бұрын
kabigwa anatirirka balaa
@adolphamashina7758
@adolphamashina7758 Жыл бұрын
Nirudishieni yangu ningejuwa ulipo ningekuja kuchukuwa tofali 😅😅😅😅😅
@JoseJoseph-s1x
@JoseJoseph-s1x 18 күн бұрын
2naiomba serikari watu kama Hawa wantwooshwe barabara maana wanasababisha maafa katika familia na nchi kwa ujumla wasiwekwe tu lockup au magereza wapelekwe maeneo muhimu ya uzalishaji kwaajiri ya vyakula nk.
@danielhumble4292
@danielhumble4292 5 жыл бұрын
Hapana hicho kitu anachokieleza sio kweli aeleze njia sahihi anayoitumia kwani hiyo anayoisema ni huduma ya kibenki ambayo lazima mteja awe ameunganishwa na huduma za kibenk
@sammimbuta4561
@sammimbuta4561 18 күн бұрын
Huyo apigwe Hadi afe
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 Жыл бұрын
msengeeeee sanaaa mmbwaaa
@sarahminja7255
@sarahminja7255 5 жыл бұрын
Aiseeee hata Mimi walishawahi kuniibia laki NNE ktk Airtel money sitasahau mpaka Leo siwaamini tena
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 7 ай бұрын
Duh pole
@DanielYae-kw6dr
@DanielYae-kw6dr 4 ай бұрын
Mmmmh mwiziii
@KaijageEvodius
@KaijageEvodius 12 күн бұрын
chomamoto uyo ananzurumu marinzawatu
@fatumasalum7973
@fatumasalum7973 11 күн бұрын
Mtu kama huyo mnamuoji kistarabu hivyo hapo ilikuwa ni ngumi teke fimbo mnamchakaza kwely mtu anaelewa kiutam hivyo ndo maana wananchi wakiwapata hawo police hawafiki ni Sheria mkononi
@mohdabdi4157
@mohdabdi4157 5 жыл бұрын
duuu huyu noma mm asije mtu tena akaniambia anasajili lain nampiga kibao chauso😨mwizi mkubwa weeee
@nestakalabwe2001
@nestakalabwe2001 5 жыл бұрын
Mohd abdi Na ss ivi ndo wapo wengi wakujifanya wanasajili laini.
@vichekeshotvcomedyfull3289
@vichekeshotvcomedyfull3289 5 жыл бұрын
Me wakalaa
@claraalphonce8393
@claraalphonce8393 4 жыл бұрын
Okoka mwansngu
@mohdabdi4157
@mohdabdi4157 4 жыл бұрын
@@claraalphonce8393 kwnn
@Amonjohn-fh9ri
@Amonjohn-fh9ri 20 күн бұрын
Jamn pigeni warin itaper Laki 2nusu😢
@abdallasalim6543
@abdallasalim6543 5 жыл бұрын
Mshenzi ipo cku utaitoa pesa kumbe Jini basha utakoma ,,likumalize na hyo nyumba yko bora ipigwe mnada tu pesa zako upewe msingi wa karanga itakayobaki zipelekwe kwenye mfuko wa kuwasaidia wagonjwa
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Жыл бұрын
Big up sana kwa kutuhabarisha kuna chanel zingine zinaandika kichwa cha habari lakini ndani habari nyingine Mpaka nimesubsicribe haraka nisije kusahau
@JosephBWAGIZO-fs5ig
@JosephBWAGIZO-fs5ig 2 ай бұрын
😅😅
@hamadsultan2629
@hamadsultan2629 Жыл бұрын
Huyu ni mjinga anatakiwa awajibishwe
@FestoJoseph-i8i
@FestoJoseph-i8i Ай бұрын
Hao wamesha muibia Sana mdogo wangu pga kabisa
@abdallasalim6543
@abdallasalim6543 5 жыл бұрын
Sasa unavyoeleza hivyo unajua ndy utachiwa huru ,,shetani mkubwa Ningekuwa hapo ningekupiga kibao kwanza kwenye mdomo wako,,mtt mdogo wizi tu,
@user-he7ht6mj4f
@user-he7ht6mj4f 29 күн бұрын
Pia mm waliniibia sana
@benardmartine244
@benardmartine244 5 жыл бұрын
Wachaga Bhana, Yaani Police Na Mchaga na Mwizi Wale Wale Tu, Anazitamani
@Blackie_blackie9327
@Blackie_blackie9327 5 жыл бұрын
Ningekukamata Mimi nisingekuachia sehem za siri..maana mmetusumbua sana
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Yaani mimi sijuagi kwnn nawachukiaaga vijana wa naouza line za simu wanapita mpaka majumbani hawajawahi niibia ila hua nawatimuaga kabisa shida zangu za simu hua nazipelekaga kwenye office zao sijawahi kuhudumiwa na vijana wa mtaani
@bwakilamychanel5951
@bwakilamychanel5951 5 жыл бұрын
Waongo achana nao iyo *152*00# ni jinsi ya kulipia maji muongo huyo
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
@@bwakilamychanel5951 sio waongo ni kweli kabisa watu wanaibiwa kwa style hiyo wapo pia ninaowajua mbaya zaidi wanakuta mpaka namba ya siri ya huduma ya pesa imebadilishwa, ila mimi sijawahi kuhudumiwa nao siwapendi hua nahisi ni wezi tu.
@bwakilamychanel5951
@bwakilamychanel5951 5 жыл бұрын
+Mwanajuma Mahundumla. Hahaha haha mm ni wakala ila Voda tigo na Airtel wapo vizuri namba ya siri haiwezi kutumwa kwenye sms hata sku 1
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 2 ай бұрын
Daa yaani mimi nikimuona mtu yeyote mwenye hezi natamani nimrushue jiwe 370000 nilipigwa
@saidalumuli4938
@saidalumuli4938 5 жыл бұрын
Dogo umetisha
@user-kv4rq3om5w
@user-kv4rq3om5w 8 ай бұрын
Mkiwakamata awataje wenzake ili walipe hizo pesa hatuna amani na hao mmbwa wanaojiita mawakala wa mitaani selikari iwashughulikie aswaaa wapuuzi hau😂😂😂
@sofiahassani5185
@sofiahassani5185 Жыл бұрын
Waliondoka laki sita ya ada ya mwanangu kwenye simu yaani hawa mungu anawaona
@user-kv4rq3om5w
@user-kv4rq3om5w 8 ай бұрын
Jamani hao watu wa hivyo washughulikiwe kisawasawa wamekua wengi Sana mitaani trh 30 mwezi wa 11 wameniliza laki nne na kumi na tatu elfu
@fatumadoffu7465
@fatumadoffu7465 Жыл бұрын
Mimi mtoto wangu kapigwa laki4 na elf5 Sina hamuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@grashfordmwilondo9089
@grashfordmwilondo9089 Жыл бұрын
Yani huyo akamatwe apewe kipindi mpaka maana mm ilinikuta nikanusulika kufa niliamniw mm n tapeli nikawekwa xtakishali nilikua mwanafunzi nilikuwa form2 nakalibia kufanya mtihani niliwekwa stakishali jumamosi talrhesa nikawekewa dhamana nikatoka talehe talehe8 mtihani tulikuwa tunafanya talehetisa mtihani wataifa fm2 2020
@loner_wolf
@loner_wolf 5 ай бұрын
Mbona kuandika hujui ? Au ulifeli nashule yenyewe 😅😅😅
@OctavinaElisa-ku7tg
@OctavinaElisa-ku7tg Жыл бұрын
Ahahaha ila wezi hawa wakafie mbali
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Kumbe ndomnavyo fanya mumejaa mtaani kumbe matapeli mnajfanya mnasajili raini kumbe wezi
@mussahamisi1191
@mussahamisi1191 5 жыл бұрын
Dadeek mwizi kinyama huyo Jombaa Kata Mkono kwanza 😂😂😂😎
@BitressKyungai
@BitressKyungai Ай бұрын
jaman wapo walio ingiabmtangdaon sasa wakamatwe wanajiung kwa fecfe book
@marrymosha3618
@marrymosha3618 5 жыл бұрын
Duuuuh anaongea kwa uhuru mweee
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l Ай бұрын
Jamani jirani yangu aliibiwa na hawa watu duu.
@FelwusiFelwusi
@FelwusiFelwusi 9 күн бұрын
Aende jela 100myaka
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
Akili iyo ungeifanyia kwa kuuza machungwa bc ungekuwa milionea shenzi ww
@merryn4891
@merryn4891 5 жыл бұрын
😀😀😀😀
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
@@merryn4891 aky au waonaje
@josephkelvin106
@josephkelvin106 5 жыл бұрын
Meju Baraza
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
@@josephkelvin106 naam
@josephkelvin106
@josephkelvin106 5 жыл бұрын
Meju Baraza wapii ww
@festohaule9716
@festohaule9716 Жыл бұрын
Mbona akili Nyingi sana... Si tunaweza kuunda Ndege Kamikaze na tukaingiza mamilioni ya pesa...
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Subuhanallah
@MonaMbalike
@MonaMbalike 2 ай бұрын
Kumaanina wallah
@chullakoi3608
@chullakoi3608 5 жыл бұрын
C amemuuza huyo rafiki yake sasa wa huko tigo c yy ndio anampea hizo t-shirt kwenda kuibia
@petermangwesi359
@petermangwesi359 5 жыл бұрын
Xo kwwl mwiz gan hyo aongee ivo
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu Ай бұрын
Siwapendi watu Kama Hawa sula Kama jini mwizi sungu kafie jela
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅eee baba umejenga kabisa
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 Жыл бұрын
😂😂😂😂Eee alaf anafrah kibwege an
@greysonmlowosa9551
@greysonmlowosa9551 Ай бұрын
Mi naamini hata wafanyakazi wa mitandao husika wanahusika kuwapa hizo mbinu nao wamulikwe polisi tunawashukuru kwa jitihada zenu wanakera sana hawa watu .
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Жыл бұрын
Uyu sio mjinga ni mjanja sana
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Una confdec utafkiri we ndo umeibiwa..
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 жыл бұрын
Hakeem Hemedi ...yn hata uoga hana..
@mbwilojenipha8741
@mbwilojenipha8741 Жыл бұрын
Hawa ndowanafany sis tuwe wabaya mtaani
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 3 ай бұрын
Hatar
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Duh anaeleza kweli hata bila uoga,
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Mwangalie alivyo vimbiana unatazani ugar wa mihogo kumanina
@salumissa9165
@salumissa9165 5 жыл бұрын
Uyo kwel nibinaadam
@shaniabdul542
@shaniabdul542 5 жыл бұрын
Eti natoa hela yangu, Nyoooo!!! Hela yako hela ya wizi???
@josephkasainey7921
@josephkasainey7921 5 жыл бұрын
Hahahahha unacjekesha wew
@dtechnology8972
@dtechnology8972 5 жыл бұрын
Nandio maana raia wakiwakamaya huwa wanawaivisha kwanza hamjui kupitia elimu hyi mnazalisha wajanja wengine maana Sio wote wataiona clip.
@annamasare9291
@annamasare9291 5 жыл бұрын
jamani hatamimi niliibiwa nakijana nimefatilia had tigi niimeambiwa alieniibia anaitwa siza masawe niwakala kama huyu aliniibia 180000
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Жыл бұрын
nawenae ela inakosaga kazi
@sureladykiba5608
@sureladykiba5608 5 жыл бұрын
Hatarii
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Atakama mnatuibia Amna mazara kama wanao tupiga nondo wengine wanatupiga kisu
@paulojoseph993
@paulojoseph993 9 ай бұрын
Haifai hiz taarifa kuziweka mitandaon wataibiwa watu wengi
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 7 ай бұрын
Na Haifai kuzificha maana pia watu wengi wataendelea kuibiwa.
@MariamThomas-bg4rc
@MariamThomas-bg4rc 22 күн бұрын
Kuanzia leo hawanisajilii line mbwa hawa
@mangimosha95
@mangimosha95 5 ай бұрын
Huyu mpuuzi mnamchekea tyu, hamjampasua popote😩😩😩😩
@oscarmtazangira6561
@oscarmtazangira6561 Жыл бұрын
0210
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Hivi kijana mdogo kama huyu, anaiba, hakika duhhh nitamnyongaa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 ай бұрын
Kila Mteja anaetegemea kupata pesa kirahisi ajuwe hakuna hela ya rahisi.
@tegemeareuben7618
@tegemeareuben7618 5 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani bado moto wa Jehanamu tubu uache dhambi usamehewe dhambi zako
@asiaasia8443
@asiaasia8443 5 жыл бұрын
Yaan ukiwa mwizi huna ata haibu Dah wewe ni nyoookoo sana
@annamasare9291
@annamasare9291 5 жыл бұрын
alijua ataachiwa anavyojichekesha
@jolitejolite1497
@jolitejolite1497 5 жыл бұрын
Uwo ni wizi wa kuaminiwa.hakuna kupigwa Ila utapigwa we we boya mpenda lain za chuo wakati za S/ya msingi sekondal zipo kibao hapa kazi tu pagamisa maandooda
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Jaribu Voda uone unashikwa mapema..
@veronicawambura5043
@veronicawambura5043 5 жыл бұрын
Daaaaaa
@saunabakari1389
@saunabakari1389 5 жыл бұрын
Veronica Wambura .
@user-px6kk5iq2u
@user-px6kk5iq2u Жыл бұрын
Angekua ulaya angeajiliwa kwenye makampuni ya mitandao
@kuryaboytv3426
@kuryaboytv3426 5 жыл бұрын
Funga kbs hapo hamna msamaha
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 9 ай бұрын
Hawa jamaa wezi sana
@danielaugustino8707
@danielaugustino8707 5 жыл бұрын
Duh cyo poaa
@fatumamilimo1936
@fatumamilimo1936 5 жыл бұрын
Huo mchezo hupo Nyerere skwea Dodoma Mie nilifanyiwa hivyo hivyo ila pole yake maana sikuwa pesa kwenye tigo pesa😂😂😂😂
@fatumamilimo1936
@fatumamilimo1936 5 жыл бұрын
@Ali Ali hivyo hivyo ila nadhani ushaelewa
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 7 ай бұрын
Tungekukamata mtaani kwetu kazi yetu ni moja tu ni kuminywa tu pumbu ng,ombe ww
@Ashrey82
@Ashrey82 2 ай бұрын
Mwizi mkubwa ulimuibia bibi mtu mzima hela yake ya kula maskini! Pumbavu mkubwa kafungwe huko!
@osianjaphet9072
@osianjaphet9072 5 жыл бұрын
Pongezi kwa alio mnasa
@abdumfaume6335
@abdumfaume6335 5 жыл бұрын
Yani hao hata me wameniibia
@FrankMkome-df9bn
@FrankMkome-df9bn 3 ай бұрын
weka ndani fala hao hata miaka 2
@mussakinkon151
@mussakinkon151 5 жыл бұрын
Duuuuh hawa wasenge walimuibia mama yangu hivi hivi
@Mohaa4309
@Mohaa4309 5 жыл бұрын
Duu pole
HUYU NDO MWIZI WA MTANDAONI APEWA KIBANO NA POLISI...
4:06
Cheni tv Online
Рет қаралды 123 М.
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 34 МЛН
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
#BABA #ALINIVUA #NGUO #ZOTE
13:09
XPLUS TZ
Рет қаралды 621 М.
NGUVU YA SIFA // VIJANA WADOGO // January 11, 2024
1:24
KRISTOFANI TV
Рет қаралды 3,8 М.
KINGWENDU KAPAKIZA ABILIA JINI  KAZI YA BODA BODA NGUMU
7:37
Kibibi Comedy
Рет қаралды 4,4 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 99 М.
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 34 МЛН