SAKATA LA MGANGA ALIYEUA WATU SINGIDA NA KUWAZIKA NYUMBANI KWAKE, UKWELI MCHUNGU NI HUU...

  Рет қаралды 133,167

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 216
@marymlewa8682
@marymlewa8682 5 ай бұрын
Asante dada umeongea vizuri sana kwamba utajiri uko mikononi mwenu ! Hizo imani haba nikukosa maarifa kabisa .
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 5 ай бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 5 ай бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 5 ай бұрын
Binadamu Mrudieni Mungu acheni ushirikina YESU anarudi
@wilfredbalohho2283
@wilfredbalohho2283 5 ай бұрын
Watu wamrudie mungu waachane na ushirikina yote hayo yanatokana na watu kumwacha mungu wa kweli
@christaoman8890
@christaoman8890 5 ай бұрын
Safi sana Mungu awalaani huko walipo wauwaji wote nawao wanyongwe
@mirajiabdallah1339
@mirajiabdallah1339 5 ай бұрын
mwandishi safi nimekukubali
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 5 ай бұрын
Mwandishi safi sana umepangilia taarifa yako vizuri watu wameonge mwisho ukahitimisha
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 5 ай бұрын
Dah! Mungu atulinde
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 5 ай бұрын
Watanzania wana mapungufu makubwa sana sana.Tunamuhitaji Mungu wakati huu kuliko kipindi kingine chote.
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 5 ай бұрын
Huyo dada aliyesema utajiri uko mikononi mweTu nitumieni namba zake Nina Jambo langu tafadhali ,😂😂❤😂😂
@NeemaJumanne-h5d
@NeemaJumanne-h5d 5 ай бұрын
😂😂
@CikeTanzania
@CikeTanzania 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@MWINYIKADHI
@MWINYIKADHI 5 ай бұрын
Wamemchelewesha sana huyo mganga
@lucaskasonde4558
@lucaskasonde4558 5 ай бұрын
😂😂😂😂 hii ni hatariii kwa afya hawa waganga wapigwe marufuku watatumaliza aisee
@shakilaAqram
@shakilaAqram 4 ай бұрын
Huyu mwandishi wa wasafi ni nomaaaa
@neemaraphael8732
@neemaraphael8732 5 ай бұрын
Kazi mungu tusaidie
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 5 ай бұрын
Serikali Bwana mpaka tatizo litokee ndio wanakuwa mbele mbele .Wananchi wanasema walisha toa taarifa na sio mala moja lakini wakimpeleka anarudi.Shika kwanza hao walio pewa taarifa ndio wametengeneza tatizo
@MaxmillianKulwa-l1f
@MaxmillianKulwa-l1f 4 ай бұрын
Jaman huyo,,,uen kabisa Kwan me msukuma naelewa huyo ni Mut mbaya.
@adiaygo8546
@adiaygo8546 5 ай бұрын
We Mama. Acha kuonngea sana wallimpeleka polisi
@coldkiller-7
@coldkiller-7 5 ай бұрын
Mbona alipelekwa polisi na akaachiwa aache maneno maneno..
@kadilamore802
@kadilamore802 5 ай бұрын
Alipochinja ng'ombe si alipelekwa police
@sarahkimu1351
@sarahkimu1351 5 ай бұрын
Mungu awalinde watoto wetu dhidi ya huyu mwovu,mtanikumbuka kwa mazur,,kweli tunakukumbuka baba,serikali yetu ipo kwenye usingizin mzito,wanajali maslahi Yao wananch ndo tunaumia,hata ukiripoti mtu kachinja mwenzake mbele ya watu na ushahidi wa video unao bado utaambiwa tatalifanya uchunguzi,binafsi sioni maana ya kuripoti matukio yoyote Yale,mungu mwenyewe atasimama na walio wake,RIP Dr Magufuli
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 5 ай бұрын
Sasa nawewe unaleta hiyo issue yanini? Acha ulimbukeni
@kautharsalim5025
@kautharsalim5025 5 ай бұрын
Sema saivi mmepewa uhuru wa kueneza habari alipokuwepo kwenda zake uhuru wa waandish wa habar ulkuwa hakuna vitendo vilkuwepo zaman ila vilkuwa havitangazwi tu
@huseinomary808
@huseinomary808 5 ай бұрын
mmezidi ujinga mnapenda kuamni shrk baada ya Allah
@mishlay8164
@mishlay8164 5 ай бұрын
Mpaka polisi wanamshika hiyo haikuwataarifa? Au ni ninyi serikali mnapuuza
@SwafiyaNguja
@SwafiyaNguja 4 ай бұрын
🎉
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Huku waganga,huku matapel wachungaji Jmn tulieni kwa Mungu,tulieni makanisani kwenu
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 4 ай бұрын
MAMBO SIKU HIZI YAKO WAZI KABISA.KWELI DADA DUNIA IKO WAZI MKIONGELEA CHINI NA SERIKALI YA MTAAA INA KOSA KUBWAA LKN MKO KIMYAA.
@Naju645
@Naju645 5 ай бұрын
Police walikua nataarifa yamaafa saiz maafa yamekua makubwa mnajifanya taarifa ziwe zinatolewa ziwe zinatolewaje wahalifu wanashikwa nakuachiwa acheni mbwembwe viongozi
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 5 ай бұрын
We irunde uko vizuri sana nahitaji mawasiano yako ili nikupe taarifa muhimu naamini utaweza kuifatilia
@CarolinaUtenga
@CarolinaUtenga 4 ай бұрын
Serikali yetu haipo makini wananchi wanesema kwamba wameshamtolea taarifa tatizo la vyombo vyetu vya usalama wakionyeshwa pesa utu unakaa pembeni na hichi ndicho kinatuumiza maskini
@getajo1153
@getajo1153 5 ай бұрын
Mheshimiwa Katibu Tawala taarifa gani mnahitaji wakati mtu alishapelekwa POLISI lakini mara zote anatoka bila kuchukuliwa hatua zozote... Juzi mlisema nchi iko shwari na habari kama hizi ni za kutungwa.....
@GIFT-wf5hp
@GIFT-wf5hp 4 ай бұрын
Bdaa
@AbuuYasri
@AbuuYasri 5 ай бұрын
Hilo jiganga linatuharibia singida yetu,nilishangaa hayo mambo ni vp sgd kumbe ni mtu shinyanga na ndo mambo yao kanda ya ziwa,fukuza hiyo famiilia yote pumbavu kabisa😢
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 5 ай бұрын
Taarifa zinapelekwa sana ila azifanyiwi kazi yakitokea mazala ndounaona wanaanza kutafuta sababu maelezo mengi ayana faida sisi tunaumia
@Emmanuelbuyamba8037
@Emmanuelbuyamba8037 5 ай бұрын
Unauhakika gani?
@annajohn3377
@annajohn3377 4 ай бұрын
Sasa wananchi walishaleta mamalamiko yakuchinja ngombe akakatw akaachiwa Sasa HIV mnajifany kutoa taarifa
@annajohn3377
@annajohn3377 4 ай бұрын
Sasa wananchi walishaleta mamalamiko yakuchinja ngombe akakatw akaachiwa Sasa HIV mnajifany kutoa taarifa
@annajohn3377
@annajohn3377 4 ай бұрын
Sasa wananchi walishaleta mamalamiko yakuchinja ngombe akakatw akaachiwa Sasa HIV mnajifany kutoa taarifa
@annajohn3377
@annajohn3377 4 ай бұрын
Sasa wananchi walishaleta mamalamiko yakuchinja ngombe akakatw akaachiwa Sasa HIV mnajifany kutoa taarifa
@VascoMangula
@VascoMangula 5 ай бұрын
Hivi si mlimkamata halafu mkamuachia sasa TAARIFA gani mlitaka mpewe? Viongozi wa serikali mnakera kiukweli, alikamatwa zaidi ya mara mbili mkamuachia.
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 5 ай бұрын
Muir watu mnapenda sana Uchawi,huyo mtu mmemlea wenyewe. Halafu mnapenda sana mteremko. Hiyo ni fundisho kwenu.
@ClaraAdam-i1o
@ClaraAdam-i1o 5 ай бұрын
Mwenzako akinyolewa zako tia maji dear, omba lisikufike
@richardnganya2311
@richardnganya2311 5 ай бұрын
Ndio tujue elimu ya kujitambua huko vijijini ni bado giza kubwa.. huko hata habari ya Katiba haipo wala huduma za jamii ...!!
@muuibrahim1805
@muuibrahim1805 5 ай бұрын
Kina mama mbona mnapewa uongozi na hamna maarifa taarif mlishapewa nyie ndo mkawaachia nyie ndo mmeleta maafa kumpa support huyo mganga chizi
@fredgonga
@fredgonga 5 ай бұрын
Watumishi wa Serikali yetu ni wavivu sana huwa wanasubiri mpaka majanga yatokee ndo wanaingia ingia kwa mbwembwe na magari ya kodi zetu,,
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 5 ай бұрын
Tumuamini Mungu tu, Imani za kishirikina zitatumaliza 😢😢
@imontreasurez
@imontreasurez 5 ай бұрын
😮
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 5 ай бұрын
Polis hilo swala hawawezi kulifanyia kazi, ila kazi kubwa ni kupambana na UPINZANI TU. Kwahiyo tusiwape mzigo jamani he!🤣🤣🤣🤣
@angelsulle7177
@angelsulle7177 4 ай бұрын
Duu!!! Naogopa kwenda Singida lbd nisindikizwe na sungusungu
@Yassinseleman
@Yassinseleman 5 ай бұрын
Duh binadamu sisi tumekua wanyama hivi😭😭😭
@CikeTanzania
@CikeTanzania 5 ай бұрын
Bora ukutane Na mnyama utasalimika sio binadamu. 😢😢😢
@ElizabethJulius-s6i
@ElizabethJulius-s6i 5 ай бұрын
Tunaomba serikali ichukue hatua stahiki,huku vjijin Mambo haya Yana fahamika ila tu ni uoga wa baadhi ya viongozi kutokuwa jasiri na kukemea,hili Hali yakuwa tuna umizwa,tuna hitaji viongozi jasiri wenye hofu ya MUNGU na kusema ukwel,wakazi wa kata ya makuro tuna aikitika sana kupoteza watoto na ndugu zetu,Sasa hofu imetanda watoto wanashndwa kwenda shule.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 ай бұрын
Mbona kawaida anawatupia mikosi na kuchukua bahati zao mbona huyo ni mtu mbaya sanaa ni chawi zuri kuharibu maisha ya watoto huyo nikupewa kichapo cha mbwa koko
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 5 ай бұрын
Wanyaturuuu wanyaturuuu nyiee nomaaaaa 😢😢😢😢😢
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 ай бұрын
Wanyaturu nyooooooooooookonyooooooooooooooko
@agnessima5032
@agnessima5032 5 ай бұрын
Kwani huyo mgeni ni MNYATURU???
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 5 ай бұрын
Ikiwa watu hawamuamini Mungu na wanamsahau wanamue dekeza shetani. Huko TZ bara kumezidi ushirikina jamani hawana imani na Mungu.
@emmadora7848
@emmadora7848 5 ай бұрын
Huko kwenu kwenyenye mmejaa washirikina tupu acha kunyooshea wenzio vidole
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 4 ай бұрын
Mtamaliza wanadamu jamani ,utajiri uko ktk kufanya kazi kwa weledi na kumshukuru mungu kwa kila ukipatacho ,umaskini ni ujinga na uvivu wa kutokujishughulisha ,mtu anaamua tu kupata pesa kwa njia za kihuni,
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 5 ай бұрын
Hii selikali Haswa police sasa mnataka taarifa Gani mtu anaripotiwa kesho Anaonekana nje sasa taarifa Gani mnataka jumaninazenu haswa wewe mama maaana wewe nikuma sana mbona wananchi wanasema wamemripoti amechinja ng'ombe wa mtu lakini kesho anaonekana ukaiyani harafu bado nawaambia raia watoe taarifa Gani mnayoitaka wananchi wanachoka ndio maana wanaachatu mfanye m avyotaka
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 5 ай бұрын
Hawana cha kujitetea😢
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee 5 ай бұрын
Police wapo kipesa zaidi msitoe sababu yyte ile wakat mlikamata mwanzo na mkamuachia aendelee kuchinja ng'ombe nyny shenzi kbsa punguzeni tamaa mnaponza sana wanachi.
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 5 ай бұрын
Ndugu yangu yani mimi ukinitajia police au serikali za mtaa yani umenitajia adui kuliko adui ninaeenda kumshitaki niwatu hatari sana wapo wachache watenda haki nao wanafanya kazi kwashida mana wanapigwa vita nawala rushwa
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 5 ай бұрын
Samia uyo ndio ameyataka kujifanya mama wa uruma na kufungua mipaka,,,baba magufuri arifungia mipaka yye kaifungua kajiona ndio odari kwa kaz..na jeshi la police wazembe
@JumaAbdalah-q4b
@JumaAbdalah-q4b 4 ай бұрын
😭😭😭😭
@MagaliKiswili-bj6yz
@MagaliKiswili-bj6yz 5 ай бұрын
Ww kiongoz Gani taarifa ipi upwe wakati alishakamatwa Napoli's kwa kuua ngombe polisi wameshindwa kufanya uchunguzi vizuri Wana muachia rushwa tu ndio inaaribu
@MosesKamba-tk3lp
@MosesKamba-tk3lp 5 ай бұрын
Walimpeleka polis alafu karudi Ina maana hapo nan anakosa,mie nazani ufanyike utaratibu wa kuwasajiri Tena waganga
@masariMayunga
@masariMayunga 4 ай бұрын
Waganga kama hawa ni wakuua
@estakapufi7582
@estakapufi7582 5 ай бұрын
Sasa selikali mnasema wananchi watowe taarifa marangapi, wananchi walivyona vimbwanga vya kuchinja mbuzi ng'ombe yote hayo jeshi la polisi wanazo taarifa lakini mlipuuzia, ila selikali ivyo vitambulisho vya waganga vishitishwe visitollewe matokeo ndio haya mpaka watu wafe ndio kunakuwa na mkazo.
@rithaurassa
@rithaurassa 5 ай бұрын
Mbona alikuwa akipelekwa polisi anakaa kidogo anarudi tuu nyumbani nakuendelea na shughuli zake?
@FghgRyy
@FghgRyy 5 ай бұрын
SINGIDA ngwee aroghinaa yuu😔🤭
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 5 ай бұрын
Si mganga bali ni muuaji nduli asiye na huruma.
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 ай бұрын
Watu wanashindwa kuelewa tu kuwa waganga/wachawi wataendelea kuwepo na kufanya mambo ya ajabu kwa sababu hii ni asili yetu waafrica na tumeshindwa kutransform into teknolojia ya kisasa kwa sababu elimu tunayopewa ni kwa ajiri ya vyeti na ajira badala ya maarifa na kujua Siri za ki-Mungu zaidi. Makanisa au Misikiti yapo lakini formulated tu Wala hayatoi solution ya matatizo ya watu na yamebaki km Biashara tu!
@maharagendondo
@maharagendondo 5 ай бұрын
HUO NI UZEMBE WA MASKARI POLISI KWANI TARIFA ZILITOLLEWA PALISI WALIFANYA UZEMBE TU, KAPELEKWA MARA NGAPI POLISI, WANAMUACHIA
@IsmailHaji-mn3ko
@IsmailHaji-mn3ko 5 ай бұрын
Shida kumbe ilishaanza muda mrefu na Raia walishatoa taarifa polisi. Sasa hapo shida ipo polisi ndo chanzo mauaji ya hao watu. Wangemfatilia mapema yasingetokea haya yote
@RestutaLeo-xq7rf
@RestutaLeo-xq7rf 4 ай бұрын
Mbn ht hana maendele jmn, kuua watu hivo faida yke nn sasa.laaana tupu.
@danielkanso
@danielkanso 5 ай бұрын
Mmmmh yaaani vyombo vya usalama vinajulishwa lakini mtu anarudi na anaendelea kufanya uovu wa namna hiyo ndiyo vyombo vya usalama uje kuwajulisha watu kuhusu watu kutambuliwa nini maana yake sasa
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 5 ай бұрын
Ni kwann binadamu wengine munakua amuitaji riziki ya mungu wetu wakati mungu anae mali ya kudumu mumekuwa munaabudu uchawi wakati pesa za kichawi ni ya majanga tu ya vilio ya machozi kwann lakini jamani. Sasa basi uyo alie mulete mung’anga wauwawe wote wawili iyo ndio dawa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 ай бұрын
😢😢Wana tuone 😢wivu 😢kwasababu .. Sisi wazuri 😢😢 dunia nzima 😢
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 5 ай бұрын
Ujinga mtupu mzuri tumboni unatembea umebeba Mavi. Watu wana Tafakari mambo ya msingi we unaleta ushamba wako wazuri wanakaa maporini mjinga mmoja.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 ай бұрын
@@MrishoMindu-zq7mz my JESUS hallelujah hallelujah groly to God. Barikiwa kipenzi changu❤️❤️💋💋
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 5 ай бұрын
Tutafuteni pesa ya haki kwani mungu hupeyana mali pale unapo mutegemea na kumutanguliza katka maisha yako atakupa kila unachota na pia uweke bidii sio kukaa chini na kua na roho mbaya mungu ataki mtu wa kihivyo
@PiusIsack
@PiusIsack 5 ай бұрын
Nabukokwa yupo jaman kwake kuna makabuli mengi mngemfatulia yule mama
@PiusIsack
@PiusIsack 5 ай бұрын
Ukienda kutibiwa kama nitajiri.anakufilisi anakupa maradhi unaugua mpaka unakufa yule mama siomtu jaman mngemfatilia
@Shinarambod
@Shinarambod 5 ай бұрын
Tunaomba mwendele kutujurisha zaidii
@MichaelJonas-v5o
@MichaelJonas-v5o 5 ай бұрын
Sasa police wanakazigani mbna alikua anapelekwa na anarudi
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 5 ай бұрын
Katika Ulinzi wa nchi unaanza kwa mabalozi. Mabalozi wapewe mishahara madiwani wapunguziwe posho ziende kwa wenye viti na mabalozi
@DivinePromise-sv3qq
@DivinePromise-sv3qq 5 ай бұрын
Dr acha uongo wananchi hua wanatoa taarifa hua hamchukui hatua mapema hua mnadharau
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
We dada,acha ujinga waganga wa kweli gani Mrudieni Mungu acha ujinga
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Mi nachochukia mambo haya huwa hayachukuliwi hatua mapema mpk maafa km haya jmn! Serikali muwe machukua hatua mapema jmn Hela hizo si anakanata nafsi na nyota za watu Ombeeni hao watt Yesu aingilie kati
@francismachoka2380
@francismachoka2380 5 ай бұрын
Jameni mkiongea Swahili jueni nasi wakenya twawasikiza. Kiswahili Cha ndani mkieke, mkitumie ndani ya nchi yenu ila mkiongea hapa online tafadhari make sure tuko mbele pamoja😂😂
@allyhamadi5064
@allyhamadi5064 5 ай бұрын
Bado maisha iyo bado yani mashine ya kusaga moja tu kijiji kizima
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 5 ай бұрын
fanya kama makonda,taarifa ilishatolewa wajibisha watu,jifunzeni kwa makonda,sasa ulifata nini huko
@RosemaryKimario-q3n
@RosemaryKimario-q3n 5 ай бұрын
Huyu kiongozi ametoa elimu. Nzuri je vipi hao askari waliokuwa wanamkamata kwa kuuwa wanyama halafu hawamchukulii hatua yeyote na walipomkamata hawakumhoji
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 5 ай бұрын
Wanameleka polisi anarudi 😢😢
@akutiboysolomon9418
@akutiboysolomon9418 5 ай бұрын
Lini walimpeleka?
@MohamedMiyombo
@MohamedMiyombo 5 ай бұрын
Wananch wanasema waliripot polis wakashangaa ameachiwa
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 ай бұрын
Makubwa haya jamani.😢
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp 4 ай бұрын
Mngeijua lini makuro bila wananchi kuchukua sheria mkononi?
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 5 ай бұрын
Walilipoti polic hawakuzingatiaa walimwachia kwanini walimwachia
@Shinarambod
@Shinarambod 5 ай бұрын
Sasa wangetoa tarifa kwani wakati warimpeleka polisi akatoka achaeni kutubebea hakiri mnalindana nyie kwanyie Kisha mtaniambia kwamba wangetoa tarifa mapema chamusingi kamata kuanzi OCS na serikali za mtaa mpka mtendaji kama wote pumbavuza
@OmegaChurch-t5g
@OmegaChurch-t5g 5 ай бұрын
Hakuna anayetibu wote mashetani
@mamaamourtamba7801
@mamaamourtamba7801 5 ай бұрын
😢
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 5 ай бұрын
Mganga ni Mungu pekee
@HAMISISUME
@HAMISISUME 5 ай бұрын
Ukweri nikwamba. Jeshi la polisi alitirihi mkazo taharifa zinazotolewa kwao. Wananchi hapo wamesema alikamatwa Napolis. Baadae akaachiwa. Baada yakuchinja ng'ombe ambaye siwake. Swari je kama polisi wangemfatilia wangeshindwa kumtambua? Ukweri nikwamba polisi awazingatii taharifa wanazopewa.
@blezywatino1043
@blezywatino1043 5 ай бұрын
Singida sehemu gani?.
@YunisJerald
@YunisJerald 5 ай бұрын
Akii hii Tanzania pepo la kuuwa limezidi jamani .Mungu tunusuru
@FettyOriginal
@FettyOriginal 5 ай бұрын
Uyo so mganga akuna mganga anae uwa
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 5 ай бұрын
Duu😢
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 5 ай бұрын
Hao waganga wa kienyeji wa Kaz gan lakin
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
Majirani wanahangaika na maswala ya ki maendeleo zaidi huku ni uchAWI
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 5 ай бұрын
Watoe taarifa vp sasa na wanainchi walim report police mala nyingi na wakawa wanamuachia, yakishatokea matokeo mabaya ndio mnaongea sana ila bila kuona madhara mnachukulia poa
@hassanissah1177
@hassanissah1177 5 ай бұрын
Sio msukuma huyu mganga kweli
@CikeTanzania
@CikeTanzania 5 ай бұрын
Raia wanatoa taarifa mharifu anakamatwa cku kadhaa anatoka wananchi ndo maana wanakuwa na hasira wanaamua wenyewe sometime.
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 5 ай бұрын
Mimi ninataka kujua kama mmemuuwaa au mmemwacha hai?
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 5 ай бұрын
Yaan mungu ni mwema matukio mengi yanafanyika kwa wezetu upande wa pili tungalikua tunafanya ss waislam mbona dunia ingesimama kwa polis tunaambiwa magaid hawa nini
@maulidimpili698
@maulidimpili698 5 ай бұрын
Ndio maana serikali ilitakiwa wachukuliwe hatua kali za kisheria watu wanaojitangaza wanatembea na nyoka wanapata ela na wale wanaosema ukitoa kafara unapata pesa wote wachukuliwe hatua wapo weng hapa tz
@GraceSadalla
@GraceSadalla 5 ай бұрын
Viongozi wa serikali za mtaa hawafanyi kazi zao
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
Wee nama mweubkabisa. Kapelekwa mara nyingi polisi anaachuwa. Wananch amkeni waganga woote tieni kiberiti
@StanleyJohn-c1u
@StanleyJohn-c1u 5 ай бұрын
Hicho Kijiji kimejaa waislam Hawa jamaa ni washirikina sana kwasababu ya kukosa mchanganyiko wa dini na makabila tofauti.
@dominicmawala5614
@dominicmawala5614 5 ай бұрын
Kama walitoa taarifa kwanini hakuchukuliwa hatua?!
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 5 ай бұрын
Watu walishatoa taarifa,mtuhumiwa akakamatwa baadae akaachiwa,taarifa gan mnataka SELIKARI YETU,kwa hili tusilaumu wananchi maana walishatoa taarifa
@KINGKULWA-z9j
@KINGKULWA-z9j 5 ай бұрын
3:07
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MIJI NA VISIWA  VYA  MIZIMU AMBAVYO WATU WAMESHINDWA KUISHI
19:44
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
NDEGE ILIYOPOTEA KUZIMU NA KURUDI TENA DUNIANI BAADA YA MIAKA 37
13:58
Wasafi Media
Рет қаралды 3,2 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 10 МЛН
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44
Millard Ayo
Рет қаралды 850 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН