"FUNGULIENI MLIOWAFUNGIA, TUSIWAPE MDOMO WAKASEMA TUNABINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI”-RAIS SAMIA

  Рет қаралды 34,824

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 65
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Watanzania wangapi wanasikia kama ninavosikia Mimi!!!?? Huyu ni mpango wa Mungu
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 3 жыл бұрын
Nimesikiaa ata mieee
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Deus walisema baada ya dhiki faraja. Hii ndio faraja yenyewe.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 жыл бұрын
Mpango wa Mungu kumuondoa JPM nchi ipate mabadiliko ya neema na haki.
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 3 жыл бұрын
@@richardnganya2311 duu unafiki huu utaisha lini
@geoffreyabuor434
@geoffreyabuor434 3 жыл бұрын
I love this type of leadership... she's a complete kit...
@abdulhalimhumud1917
@abdulhalimhumud1917 3 жыл бұрын
Mama anaeleweka Masha Allah Mungu Ampe nguvu na amlinde amen 🙏
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 3 жыл бұрын
Hilo alishasema kesi zote zakubambikiza zifutwe na zilizokaa muda mrefu hazina uelekeo zifutwe
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 3 жыл бұрын
Rais wetu kipenzi tunakuombea sana Mungu akutumie katika viwango vya juu
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 3 жыл бұрын
Mama kama ingekuwa niamri yangu basi uwongoze nchi mpaka pale mungu atapo kuhitaji mana nasikiriza hutubar yako hadi machizi yana nitoka mama mungu akupe maisha malefu
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Hata kwa magu wengine walikuwa wakisema hivyo 😊
@ashampore6070
@ashampore6070 3 жыл бұрын
Cha mhimu tuangalie pande zote mbili,tusibeze sana serikali ya JPM ndo kwanza tumekata tiketi na safari haijafika hata mita mia,tuwe na subra watanzania kila kitu ni mpango wa mungu,mambo yaweza bora kuliko au zaidi kuliko iwapo tutasimama na mungu.
@ashampore6070
@ashampore6070 3 жыл бұрын
JPM hakuwa mjinga kusema tuchape kazi pigeni nyungu hakuna kuogopa corona alimaanisha ,sisi watanzania wengi hatujitumi kufanya kazi angetangaza corona ni janga na kuweka lockdawn watuwangeanza kuomba serikali iwape chakula na kiuhalisia kusinge kuwa na mradi wowote tena zaidi ya umasikini ulio shamiri wa nchi nzima ,nchi isinge tawalika ingekuwa ni vilio tu.pia tuangalie tukiendekeza hiyo corona je mungu kama kaleta liwe gonjwa la kudumu ndo watu wakae ndani waifanye kazi ,binafsi corona ni ugonjwa upo ,tujilinde,tufanyekazi ,serkali ifanye jitihada za tafiti za madawa yetu ya asili ya ndani tujitibie wenyewe,tusije letewa dawa zenye madhara .
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
@@ashampore6070 tena jirani zetu kenya washaanza kulalamika
@leilabuisha9976
@leilabuisha9976 3 жыл бұрын
Tunamuomba Allah akutie imani uwatowe mashekhe wetu wanao teseka huko jela 😥
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Hivi watanzania wangapi wanaona Kama nonabona mimiii huyu sasa ndo amefiti
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 3 жыл бұрын
Mama mlezi wa wana. Hakika nuru inaonekana sasa. Tunaomba na mashehe wetu wa uamsho uwatazame pia
@laylabrown379
@laylabrown379 3 жыл бұрын
Huyu mama napenda na ana ongea kwa dhati na ufasaha na hata kama ana fanya makosa ni makosa ya kibinadamu mungu amsaidie katika kazi hiii ngumu
@youngteo5341
@youngteo5341 3 жыл бұрын
Nakupenda sana mom samia
@achenikihwele4328
@achenikihwele4328 3 жыл бұрын
Wewe nikijana Mimi ni mama, ukinizingua nakuzingua.
@benirichard104
@benirichard104 3 жыл бұрын
Mimi binafsi nimekuelewa mama
@milkamusa5837
@milkamusa5837 3 жыл бұрын
Mitaala ya ngazi zote za elimu zipitiwe upya Mitaala ya mafunzo ya elimu ngazi zote utizamwe upya. Hatua stahiki ichukuliwe kwa kuzingatia uzalendo na uwezo uliopo.
@bonifasiemanueli2708
@bonifasiemanueli2708 3 жыл бұрын
Hongera Mh,Raid was awamu ya 6 Mungu akutie nguvu ktk utendaji,
@achenikihwele4328
@achenikihwele4328 3 жыл бұрын
Sio Rais wa awamu ya sita, nirais wa sita katika awamu ya tano.
@modestatemba2602
@modestatemba2602 3 жыл бұрын
Tunakuenzi mama raisi wetu, kwa mwelekeo huu maisha ya mtanzania yataimarika..
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 3 жыл бұрын
Fact sana yaaaniiiiii.........
@happinesssengati4080
@happinesssengati4080 3 жыл бұрын
Watu ni wanafiki sana Leo mama wa maana wakat mwanzo alionekana hana jipya chuma ndio kiongoz tuache unafiki
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 жыл бұрын
Unafiki na uzandiki ndio umejaa kwa Watanzania wengi sana. Jana waliunga mkono juhudi na kusema pengo halizibiki.. leo ooh Mungu katuletea . Hovyo kabisa. Kama bendera tu !
@happinesssengati4080
@happinesssengati4080 3 жыл бұрын
@@richardnganya2311 nataman mama awalipue tu maana kila aliyep madarakan n mzur
@kiwangodaniel1302
@kiwangodaniel1302 3 жыл бұрын
Mama I love ur speech
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 3 жыл бұрын
Mpaka sasaiv ndo nimeamini mtu akifariki ndo anaonekana alikua wa muhimu
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 3 жыл бұрын
Namuona abasi kwa mbaaali anatikisa kichwa kuonyesha anaelewaa saana
@rosegeraldlyimo1269
@rosegeraldlyimo1269 3 жыл бұрын
Asante Mama Rais. Kazi iendelee.
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 3 жыл бұрын
Mama Mungu akupe umuri Mrefu zaidi
@joyousmakata8602
@joyousmakata8602 3 жыл бұрын
😘🌺
@rehemashabhay2205
@rehemashabhay2205 3 жыл бұрын
Kwenye elimu.waratibu kata hawana kazi madarasa ya ya elimu ya watu wazima yamekufa.waratibu wapewe vipindi wafundishe.
@angelmalavanu9723
@angelmalavanu9723 3 жыл бұрын
Asante
@pastorjamesmajaliwa7843
@pastorjamesmajaliwa7843 3 жыл бұрын
Mama kweli unaleta matumaini kwa watanzania ambao walikuwa tengana kisiasa
@godsonshoo1959
@godsonshoo1959 3 жыл бұрын
Kishimba oyee! Haya Mimi nakuelewa
@frolenceaman
@frolenceaman 3 жыл бұрын
One love madam president
@kasimukulama6214
@kasimukulama6214 3 жыл бұрын
Hata waliotangulia hawajaanza kuwafungia tu,hao walivunja sheria na kanuni,na je wakiludia tena utawafanyaje hii nchi ngumu sana watu walizoea kua shamba la bib so makandoando ni meng mno kipesa had kimaneno,
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 3 жыл бұрын
Wadigo wana maneno yao chyongo mmwimwi choroz mmwimwi
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 3 жыл бұрын
Hapo natamani 2025 iwahi kufika kwakweli
@victorswai1469
@victorswai1469 3 жыл бұрын
Safi mama
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Ahsantee
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Kama umemuona katwanga like hapa 😁
@abdallahmnonya5287
@abdallahmnonya5287 3 жыл бұрын
Kuna kitu anataka kutuaminisha,... naona km awamu ya nne imelud madalakan.
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Havihusiani.😊
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Kwani we hukuipenda????
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 3 жыл бұрын
Nimekuelewa mama
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 3 жыл бұрын
Gigy money naye afunguliwe
@nehemialikatage7378
@nehemialikatage7378 3 жыл бұрын
Gigy money afunguliwe pia lakini apewe onyo aache uhuni wa kukaa uchi ache kukaa uchi pia wenzi wake wampe onyo
@sarahsimon8060
@sarahsimon8060 3 жыл бұрын
Huyo gigy hajifunzi acha afungiwe kabisa
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 жыл бұрын
Je mama wasipofuata utawafanyaje?
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Mh nalo neno
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 3 жыл бұрын
Maana tayari kigogo na Tundu LISSU wameanza kumbweka
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Sheria na kanuno zitazingatiwa.
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 3 жыл бұрын
Huyu mama anapiga mambo ya msingi sana ,viongozi acheni kufsnya kazi kwa mazoea ,skilled labour hakuna elimu yetu sawa na Enzi za ukoloni ukitoka shule hata resume zinawashinda wao wanakushindilia photosynthesis basi ,terminology kibao ndo manna maprofessa wetu wana zero mchango kwenye elimu na technology, ni title tu zimekua
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 жыл бұрын
Aiseee!! Hili umebaini lini !?
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 3 жыл бұрын
Binadam tupo kama kinyongs
@simonnick1242
@simonnick1242 2 жыл бұрын
Mbona mabango yetu wananchi umeyakataa unahisi tukasemee wap? Unafki mkubwa
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 жыл бұрын
Mama nimpango mzima
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
"Sifanyi kwa ajili ya 2025"- Rais Samia Suluhu Hassan
2:09
BBC News Swahili
Рет қаралды 33 М.
CrowdStrike, Microsoft, and the glitch that rocked the world
25:23
Washington Post
Рет қаралды 1,9 М.
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
Curve Goals That SHOCKED The World
5:35
iLance7i
Рет қаралды 42 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН