Chief ametoa historia kali sana ya Mzee Kimanga kutoka Taita ,Enzi hizo
@matatizonkwera8607Ай бұрын
Story nzuri Sana hii !mwandishi usimkatishe askofu mwache aeleze mengi,sipange katika series,umeibua kitu kizuri Sana Lakini mwishoni umemharibu kisaikolojia mwanze atililike mpaka mwisho bana,Lakini uko vizuri sana,mtafute tena
@DyzerDimwe-jx1nkАй бұрын
Mtangazaji ana kuherehere sana
@SophiaSophiapaulo-cj3koАй бұрын
wakwanza leo😊😊
@nanaritho6850Ай бұрын
Mtangazaji una kiherehereeee tuliaaaa
@EneReuben-fy7kdАй бұрын
Kweli yesu ni mwanaume ushuhuuda tosha MUNGU amlide
@bahatimellita6619Ай бұрын
Duuu 😢😢😢
@mwaamwetahussain9947Ай бұрын
Ndio huyu Leo Amekuwa Diamond platinum na Mzee Abdul amepokonywa bila kujali alisoma na jina lke lkn ndio hivyo kakwepa
@Ikubho7 күн бұрын
Mzee anielekeze huko kalemie😂
@DianaKisamo9 сағат бұрын
Daah unatisha mzee kunywa damu ya binadamu.
@aishakambenga6191Ай бұрын
Ujana ni maji ya moto
@FrancisNgomaitaraАй бұрын
Exsos makalio😂😂
@Yustina-q7xАй бұрын
Duu
@PrincessKevin-n7zАй бұрын
Mzee askofu kwa jina analojulikana anaishi njeteni dah maisha haya alikuwa baba mkwe kwa mtoto juma mungu huyu
@NeemaGumbo-k5nАй бұрын
😂😂et tunaiita mwanamke malaya Kwa inavyo nyonga watu
@hamedmweru6955Ай бұрын
Hiyo ndio kalemi bana
@gregoryntibani6640Ай бұрын
Luka 12: 2 Hakuna jambo lililofunikwa ambalo halitafunuliwa au siri iliyofichwa ambayo haitajulikana. Luka 12: 3 Kwa hiyo, yote mliyosema gizani yatasikiwa mchana: na yote mliyonong’onezana mkiwa mmejifungia chumbani, yatatangazwa hadharani. Luka 12: 4 Ninawaambia ninyi, rafiki zangu, msiwaogope watu. Wanaweza kuua mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya chochote cha kuwaumiza. Ni suala la muda. Yote yatajulikana!
@rogerabdallah439Ай бұрын
Moro ndio Kuna majambazi
@elochoyakobo7809Ай бұрын
Mtangazaji huna akili, mpumbavu sana , sasa kwa nini umeamua kumuhoji?kwa nini unamuambia mtu afupishe story?hivi unajielewa kweli wewe?kichwa maji kabisa
@injilinjeyakutazakanisaАй бұрын
Tunaomba namba ya huyu Martin pls
@DennisMigiro-g4mАй бұрын
Tuma namba mzee
@lisawilliam2491Ай бұрын
duh mungu nikwel nimuweza alikuponya na kifo
@yukundapeter8200Ай бұрын
Nendeni kwa kuhani Musa,Mwamposa watoto wenu wamerudi,hiyo michawi itafichuka.
@valentinemtei3588Ай бұрын
Yupo manzese hapo anachuuza bidhaa, aliacha wizi kama miaka 35 iliyo pita,
@romwaldoamsi2783Ай бұрын
Mungu
@masoudmasoud813821 күн бұрын
ASTORY ZA KANISA
@janengowi-lt9guАй бұрын
Nyie mnaoomba namba ya Mzee ya nn au nyie majambazi
@frankmsai7461Ай бұрын
Mzee hajui kufupisha story
@Irenes_KitchenАй бұрын
Jamani toeni number ya imu😮😢
@Pedeshee01Ай бұрын
Mimi naomba namba yako tu❤
@yusufsadic2930Ай бұрын
Sasa mze je unajichangany Unasem Yes kakuand ndio nini ten Yes mwenyewe anamtegemea Mungu sasa anawezaj kukuand wewe Hiyo ni Shirk mze wangu
@mtume_wa_wengiАй бұрын
Uko nyuma ya mda uliwai kumuona Mungu?
@EnockNdanziАй бұрын
Huyu mzee alikuwa balaa ila. mungu alimfunullia akaokoka anaitwa Askofu
@MfiriFulgensiАй бұрын
Huyu mzee nshamsikia istora yake inasisimua inatisha maranyongine
Mmh kumbe huyu jambazi Askofu alikua maarufu miaka hio jamani alimaliza watu
@songombingo108Ай бұрын
Mtu anavuna anachopanda.
@BarakaShabani-b5cАй бұрын
Mtangazaji hayo maswali yako kuna namna unatafuta kiti nimekushtukia
@stanastana3199Ай бұрын
Mzee tunaomba mama samia amjengee sanamu yake pale posta
@rogerabdallah439Ай бұрын
Uyo samia ni sanamu tosha
@Jeska-ec4jy10 күн бұрын
Haaaaaaaa @@rogerabdallah439
@ashurajengela392626 күн бұрын
Mtangazaji jifunze kuacha kiherehere muache mtu ajielezee mwenyewe
@ibrahimnkurunziza819826 күн бұрын
Bado awuja hokoka
@EdenMcharoАй бұрын
Huyu ni mwixi hakuna cha kuwa ameokoka
@Irenes_KitchenАй бұрын
Number yake ya simu😢
@WhozumusiczАй бұрын
duu
@hamedmweru6955Ай бұрын
Mzee ulikuwa hatari sana dah
@allanmnzava8216Ай бұрын
Duh sasa kama kuna anayekumbuka kuwa ulimuulia ndugu yake na anasikia hapa anatamani akutane na wewe
@ivonaevarista4654Ай бұрын
Wewe mtangazaji upo illuminate nini mbona unazuia jina la YESU lisitajwe siku nyingine msipojitambua chennel enu ifiriske ata kama mnasaidia watu YESU KRISTO awakemeee,
@bizzybrown_tzАй бұрын
Yesu ndo nani wewe 😂
@ivonaevarista4654Ай бұрын
Kwani we unahis ni Nani kwamfano?
@emmypeter2726Ай бұрын
@@bizzybrown_tzpunguza bangi
@gregoryntibani6640Ай бұрын
HUYU BADO
@simbamnyama2589Ай бұрын
Mtangazaj mpuuz kwel, et eeh tunafupisha nn maana ya historia umesoma wap ww? Huna maswali huna point za kusimamia na haujui jinsi gani huyo mtu n muhimu kwenye funzo haswa la mabadiliko, mshamba
@BamutumubayaАй бұрын
Eti jamani, hii story angeipata Davistamata tungeinjoy sana
@ivonaevarista4654Ай бұрын
Yani angekuepo jacktani msafiri promover tv tungefurahia history hii,huyu ana haraka ajifunze Tena kuhoji mtu Kama ana haraka anahoji mtu wanini wakati unatafta views