Kama unatamani mwalimu awe mama Olivia wa kambo like hapa ❤👍🏽
@akleyjoji20766 ай бұрын
Yaaah ningependeza san awe mama oliva
@JoyceakaJowi6 ай бұрын
Niko hapa mpaka baba olivia amuoe mwalimu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@geraldokothKE6 ай бұрын
Since the first episode have been wondering why Baba Olivia can't take in mwalimu.😃😃😃
@geraldokothKE6 ай бұрын
@@JoyceakaJowi Sitachoka kutazama pia hadi waoane.😃
@Zenitram-pp9uo5 ай бұрын
@@geraldokothKE isitoshe kamwabia asimuite mwalimu, meaning baba olivia amelegea
@smaxdiboy91316 ай бұрын
Wangapi tulikuwa tunaisubiri kwa ham😂
@AdhamAlliy-mg5py6 ай бұрын
Inatokaga lini na lini
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Ijumaa
@YusuphMaulid-eg5tq6 ай бұрын
@@henrymwakajumba Fanya hat Mara mbil Kwa wik plz
@sabrinaabubakar35116 ай бұрын
Wengi sana tumeisubir Imerejeaaaaa
@LatifaJuma-m5q6 ай бұрын
Tumeisubiri sana jmn😂
@jullostephen90906 ай бұрын
Jameni naomba likes za huyu teacher Janet kwa urembo huu jameni, eeeeiish 😂😂😂😂
@KudrackAbubakar5 ай бұрын
😂😂😂 atapigwa tukio huyu
@KimodiAli-pz8wb5 ай бұрын
Mwalimu Instagram yake tupewe
@JosephJackson-jv1so6 ай бұрын
Baba Olivia na mwalimu wanapendana ila wanataka mmoja aanze kusema.
@VeyicoPatrick6 ай бұрын
mwalimu n mrembo mie nataka kumuona kila saa.......tanzania muongea vizuri kiswahili
@dadyndahelewe89746 ай бұрын
Wanaoamin kama mm siku moja baba olivia na mwalimu janeth ipo sikuwa watakuwa na mahusiano ktk hii movie naomben like zenu🤗🤗🤗🤗
@emmanuelrichard67716 ай бұрын
Tunaamini ila ww likes zetu za kazi gani
@Baday_86 ай бұрын
Nitafulai😂😂😂🎉🎉🎉
@JumanneAbdallah-is2dx6 ай бұрын
Mwalimu eyes 👀 eish honestly she look amazing beautiful face 😍
@MwisaAkalire-j4p5 ай бұрын
Tayari ina onekana
@ALIMOHD-bk9lr6 ай бұрын
Matured movie from GABO the GAMBA. GABO NI mmoja tuu. Narudia tena GABO NI mmoja tuu.
@fatmaally72526 ай бұрын
Ni mmoja hana mpinzani wallah congole kwake🎉🎉🎉🎉
@angelraphael45006 ай бұрын
Gobo na mwakatobe walishapataga tuzo au ndo roho mbaya😊😊
@MissagyBarick-us7pe6 ай бұрын
Movie kali kama hii mara ya mwisho kuona enz za kanumba
@JescaMboje6 ай бұрын
Nyie Olivia kawaburuza sanaa humu 😂😂she is not acting Wallah she delivers what she got 🙌😊
@barackthomas80106 ай бұрын
She is very talented
@fatmaally72526 ай бұрын
Yani yeye na baba ake wametisha
@MiriamShani6 ай бұрын
Mama Tina unajuaaa bwanaa chukuaa nauaaa yako❤❤❤
@yusuphally69396 ай бұрын
Move Kali sana hii like zenu mm wakwanza kutazama toka Ep 01
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante!
@Bintmwafurani6 ай бұрын
Tupo pamoja sana move kali kweli tangu EPISOD ya kwanza adi sasa tunasonga nayo
@Bintmwafurani6 ай бұрын
Hatari move nzuri kweli
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Huko mbele kwa moto balaa!!🔥🔥🔥
@HekimMtafya6 ай бұрын
Jaman had ijumaa ni mbali sana at least kwa wiki mala mbili jaman 🥹🥹🙏🏼
@happymwaruwa69796 ай бұрын
Olivia ha act Ana uhalisia Ana fanya kihisia congrats hata hasumbuki
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂🙏🏾
@geraldokothKE6 ай бұрын
At the 11th minute hapo kwa uigizaji i thought things were real until I realized niggas were acting.😄Hii ni kali sana.
@Lilly-ec4bs6 ай бұрын
Nime penda mafunzo ya baba olivia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ChristinaCrenzi6 ай бұрын
Naipend saan hi move jamn olivia na baba ake na mwalim ❤❤❤ na family ya mama tina chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yenu
@henrymwakajumba6 ай бұрын
❤️❤️🥰🥰🥰
@Officialtz014 ай бұрын
Yani hii movie utafikir sio movie ni maisha ya kiuhalisia daaah nimeipenda buree3❤❤❤❤
@RachelMbwambo-t8s6 ай бұрын
Yaan hii movie ina mafunzo mengi sana...elimu ya jinsia,biashara,mazingira,jinsi ya kuish na watot...mambo meng sana tunajifunza ....tunafurahia na tunaomba muendelee kutupa mafunzo meng
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana Mungu akubariki pia 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@HappyShirima-k9t6 ай бұрын
Mwalimu mzurii sana kama olivia ❤
@mwamoyomoyo7475 ай бұрын
tanzania mko na kipaji moto sana(Gabo)xhii tamthilia inagusa jamii na imeonyesha dunia Tanzania ilivyo na uwezo wa uzalishaji chakula na mashamba yaliyo na rutba,,,hii tamthilia huwezi ielewa kama hujui Fasihi
@DidiFizzo6 ай бұрын
Izi ndo film nzuri sana Olivia nakukubari🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍
@yusuphdeule6866 ай бұрын
Kaz kubwa unayoifanya inafanya watu wengi wazidi kukupenda katika kazi yako brother Gabo endelea kuwafurahisha wapenzi wako wa movi nikiwepo na Mimi umetishaa sanaa
@ShafiiAmisi-h3w6 ай бұрын
Ila mwalimu nimzurinsan😂😂
@bestbest96386 ай бұрын
ila mm ni mzungu huyu
@yusuphdeule6866 ай бұрын
@@ShafiiAmisi-h3w kwakweli
@yusuphdeule6866 ай бұрын
@@bestbest9638 yupi tenaa
@ChangaJisava6 ай бұрын
Mama tina anajua mzungu ana hela na mzungu anataka hela kwa mama tina😂😂
@Kambanga_Jr6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maria5514-u2g6 ай бұрын
😂😂😂
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@EtoDjumbe6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MartinKhizzer-bi4gw6 ай бұрын
Yaani acha tyu hii ndio ile nilizani nimepata kumbeee nimepatikana😁😁
@AmaniKabati6 ай бұрын
Ila baba Olivia na mwalimu bhana wanatuchelewesha kweli kuambuana tunachotaka
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Unataka wafanyajee?😂😂😂
@MusaNgao6 ай бұрын
😂❤😂 Tz sihamiiii
@heriethmutahiwa6846 ай бұрын
Man your so creative umekua tofaut na madirector wengine kabisaaa, thank you very much for this ❤🫶🏽 keep it up. Unakitu cha tofauti sana ni ni adhimu kupata…. WE WANT MORE AND MORE OF BABA OLIVIA
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana, Shukrani kwa kutupa muda wako na Mauwa🙏🏾❤️
@AfranaTzee6 ай бұрын
Henry Mwakajumba Unaweza Baba Ila Nchi Yetu Haijawahi Tambua Jitihada Za Watu Kqma Nyie Much Love❤❤❤❤❤❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana ❤️❤️❤️❤️ Tutafika tu!
@Habibuyahya5 ай бұрын
@@henrymwakajumbaAmina kaka
@allymwashambwa59205 ай бұрын
Baba olivia amekuja na kitu tofauti sana ambacho wengine hawajawahi kufanya , welldone bro
@HassanSeif-mh6oh6 ай бұрын
Baba Olivia Ukiwa na huyo Mwalimu watu tunawaza ujinga tyu 😂😂😂😂
@sudymohamedy97176 ай бұрын
😂😂😂
@ElizaSanga-dl5vn6 ай бұрын
😂😂😂kabsa anii tusamehe tyu
@Kambanga_Jr6 ай бұрын
hahahahhahahahhhahahahahah.... sure mzee, me huwa napenda sana vipande vya baba olivia na Mwalimu Janeth.
@HassanSeif-mh6oh6 ай бұрын
😂😂@@ElizaSanga-dl5vn
@konde6706 ай бұрын
Kbs yn
@IsmailyYaredАй бұрын
Tuzunguze kuhusu funzo kama aumejifunza kitu like apo
@danfordmwangesile90436 ай бұрын
Mnyakyusa toka ZANZIBAR. NAOMBA USICHELEWE KULETA EPS INAYOFUATA. BONGE MOJA LA MOVIE
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂
@danfordmwangesile90436 ай бұрын
@@henrymwakajumba Ko kwa wiki inakuwa inatoka mara ngapi kiongozi?? Dah hii movie jamani au naomba nilipie yangu unitumie WhatsApp kaka.
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Kuanzia wiki hii utaipata yote ntatoa tangazo hapa hapa kaa mkao wa kula ❤️❤️❤️
@OtimuMr6 ай бұрын
Dah nmechelew lakn nmewahi hta like mbili bas❤
@ElishahMwaisaka6 ай бұрын
Daah mr Henry umejua kutufurahisha bonge moja la movie an. Big love daah Mungu awaongoze daima mpate nguvu na uweza wa kutengeneza kama izi nyingi
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana, Nyingi sana zinakuja!
@betherephrast91124 ай бұрын
Aisee nimefatialia sana hii series Olivia ni pure talented
@Abraham_official-36 ай бұрын
Mungu atupe uzima one day nije nicheze story. Uliyotunga nazani. Watu watapenda 🎉
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Amina🙏🏾
@ruthkiwia91006 ай бұрын
Napenda sana bab Olivia anavyozungumza na mwanae lugha nzuri ad raha
@josephineedson6 ай бұрын
Ila Mwalimu na Baba Olivia jaman nawaona Mbali 😊😊
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Unadhani nini kitatokea?
@josephineedson6 ай бұрын
@@henrymwakajumba jambo la kheri tuu litokee juu yao 😅
@SadickFilibert3 ай бұрын
Mwalimu janeth jamn she is beautiful ❤❤❤❤ bila yeye hii movie isingekuwa ivii jamn🎉🎉
@Amne-g7n6 ай бұрын
Nyie nyooni leo nipo wa kwanza kabisa❤❤❤ ila sitak like leo
@AsiaHassani-kf8ww6 ай бұрын
Watak nn mauwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@zedikazi77086 ай бұрын
Nshakup
@Amne-g7n6 ай бұрын
@@AsiaHassani-kf8ww ndio🤣🤣
@YussufKombo-v4e6 ай бұрын
Uhakika 🎉
@YussufKombo-v4e6 ай бұрын
Miee Sina la kuwongeea kusema la ukweli ila Gabo Brother 🎉🎉🎉
@SilaboyOg6 ай бұрын
Unyam sana mume tisha sana tena na anza kuona dariri za mapenzi kwa Mwalimu janeth na Baba Olivia ira itakua saw na igizo ritakua rinanoga namaua🎉🎉🎉🎉🎉 yenu mupewe kbx🙏
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@simeonmazigo59186 ай бұрын
Huyu Binti Olivia ni mwigizaji mzuri sana ❤️❤️
@shanimbaruku20716 ай бұрын
Sanaaaa🎉
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Saana🙏🏾
@fatmaally72526 ай бұрын
Mashaallah
@JoynesStafordMahanga4 ай бұрын
Nakufurahia babaaa Mr Gabo .nataman kuwa mwigizaji piah japo sna njia ya kufikia hukoo
@violethmushy-zs2qy6 ай бұрын
Baba olivya n mwalim😁wananifanya niwaze ujinga sana kila wakikaa pmoja😅❤hv peke angu au
@josephineedson6 ай бұрын
Tupo wengi kumbe😂😂
@ramadhansoud75236 ай бұрын
mimi enyewe naona kama wanavuta mambo 😂😂
@fadhilhamdu70636 ай бұрын
Mm huwa nahisi watakumbatiana tuuuu 😂😂
@violethmushy-zs2qy6 ай бұрын
@@fadhilhamdu7063 acha tu
@EagerMountains-tz9sj5 ай бұрын
Nami pia nip like
@zenamwasekaga74606 ай бұрын
Maua ya oliva yanatakiwa kuwa mengi sana humu mtoto mdogo ila ana balaa huyo💐💐💐💐💐💐💐💐💐
@HaniferMwiru-wn9wq6 ай бұрын
Kabisa anaweza
@David-sy8hh5 ай бұрын
Gabo ni mmoja tu africa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@BeatwelMulilo6 ай бұрын
Nilikuwa na wait i have enjoyed watching it especially mwalimu and baba Olivia.
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante! 🙏🏾
@BeatwelMulilo6 ай бұрын
❤❤❤ u are welcome
@MwanajumaDot0-ej6jy6 ай бұрын
Wanapendana bt wanaogopana baba olivia n mwalimu au sio
@henrymwakajumba6 ай бұрын
hahahah
@twahaally16446 ай бұрын
Sema msiwe mnatucheleweshewa KAZI nzuri❤
@Kambanga_Jr6 ай бұрын
Saafi sana Mwaisa Director wa Mwaka 2024. ila kilio chetu bado kipo palepale, atleast mzee tuachie hata 2 episodes kwa wiki yaaan @HenryMwakajumba
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Vuta pumzi tuna pambana sana!
@Kambanga_Jr6 ай бұрын
@@henrymwakajumba sawa Mwaisa. Unyama sana
@BrashiHasan6 ай бұрын
Duh aisee Bado iko Bomba Sana ongezen hata vipande jaman daaa
@mfalmenajjash21286 ай бұрын
Gabo ni mm mtupu yaani mtu akiniambiya anashida najuwatu anahitaji pesa namm sivungi lazima nikupe sababu hadiujute kuniamby unashida 😂😂😂
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@faridaali28206 ай бұрын
Hongera kwa baba Olivia na Olivia nawa penda sana pia kwa kumfunza mwanao🎉❤❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asanteee!!
@SYLIVESTERKAWONGA6 ай бұрын
mwalimu upo vizuri kusimama kama mama bora
@rizikladyherson84516 ай бұрын
Kabisaaa yaani anastahili kupewa tuzo
@imeldanziku98046 ай бұрын
Baba olivia na teacher nitawamiss mpaka ijumaa jamani ❤❤
@Habibuyahya5 ай бұрын
Naomba tuzo ya oliva apa youtube iwe likes tuu
@MalinoKadwame-u1c5 ай бұрын
Gabo ndo muigizaji bora kwa sas est and central afric
@nancyg86646 ай бұрын
kiukweli video quality ya hii tamthiliya ipo vizuri sana
@GfgGgh-v5z6 ай бұрын
Maa Shaa Allah una watoto wazuri
@Cautharygolden6 ай бұрын
Wangapi wanwatakia mwema mwalimu na baba Olivia
@DavidSilvanus-tp7gu6 ай бұрын
Mm naona wivuuu bhana mm ndo namtaka
@منيكينيا-و9ي6 ай бұрын
Tuko wengi❤❤
@emmanuelrichard67716 ай бұрын
Tumefurahia kukufahamu mwandishi mzuri Henry Mwakajumba
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana! Naifurahia hii familia! ❤️❤️
@AlanwizBoyg6 ай бұрын
Ata sisi pia tunawapend sana ila tu niwaombe kimoja ebu mjaribu kuwa mutapea baba olivia kwa week hata mara pili asante
@henrymwakajumba6 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@MuthomiKelvin-q1wАй бұрын
Movie kali Mwalimu unafaa uwe mam Olivia
@sheinmpayo6 ай бұрын
Series bora ya mwaka kwanzia location mbaka characters and themes vina uhalisia tunaitaji mabadiliko ya tasnia yetu kwa kazi kama hii #BABAOLIVIA
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana!
@Gafabukx6 ай бұрын
Kweli kabisa
@blvMahenge6 ай бұрын
Mbunge mwenyew kiingereza kimepinda balaa😂😂
@DishaniDisha-zm2gm6 ай бұрын
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante
@DalilaHasani-m2i6 ай бұрын
Jamani tulikuwa tunaosubiri kwahamu saaan this is nice❤❤❤❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@YakoboChambo6 ай бұрын
Baba orivia yuko sawa kwani Wazazi wasasa hawa zungumzi na watoto wai
@LugyPlan6 ай бұрын
Lkn mwalim Yuko sawa zaid
@JanethDaima6 ай бұрын
@@LugyPlankivipi kama unaweza nisaidie nielewe zaidi
@LugyPlan6 ай бұрын
@@JanethDaima kwasababu mzazi alitakiwa kumuandaa mtoto mapela kuhusu hilo swala ili akifkia hatua kama hiyo mtoto anakua Alisha jiandaa ki saikorojia
@LugyPlan6 ай бұрын
@@JanethDaima istoshe ni mzazi wa kiume kidogo mtoto anashidwa kua huru
@givenmgaya88895 ай бұрын
@@LugyPlan100%
@Moanamwabengome-bt2er6 ай бұрын
Kazi mzuri sana ❤❤naomba yakuendelea
@Paschlmarco6 ай бұрын
Kwamba baba olivia hana DD 2,,had anakazia shimo la taka halitakiwi kua kubwa sasa😂😂
@abuuhafswamunsheedu57906 ай бұрын
Hahahaha hata Mimi nimeshangaa hajaelewa tu 😂
@fatmaally72526 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rizikladyherson84516 ай бұрын
Nataka kujua nini maana ya kama huna D mbili huwezi elewa
@MariamDinday6 ай бұрын
Na Kama huna hutaelewa
@HamicyAthuman6 ай бұрын
Movie noma nzuri sana mwendelezo mnadondosha lini au ndio ijumaa hadi ijumaa
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Ndio!
@VdjDidiPro-wb7xo6 ай бұрын
@@henrymwakajumba mbali sana Jamenii Ila tutasubiri kwasubira
@HamicyAthuman6 ай бұрын
@@henrymwakajumba pw tuko pamoja
@AlfredChai-lv8zr6 ай бұрын
Nilikuwa nasubiri kama cake 🍰 moto
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Umeionaje Cake yenyewe? au kama ile aliyo pika baba Olivia?😂😂
@MuhamadMajaliwa2 ай бұрын
Eeee mwlm umecheza mwlm n nomaaa she very beautiful
@ngusubilambope39646 ай бұрын
Ndaga fijo kalumbu. Kazi imetulia na ina maadili ya kitanzania. Inaweza kutazamwa na watu wa rika zote
@fatmaally72526 ай бұрын
Tukuchoka walahi hii mora moja kwa wiki mmmh😊
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂😂😂
@ZamdaWazir5 ай бұрын
Hi movie nimzuri sana❤🎉😂❤❤
@SmartVicenzo6 ай бұрын
Uyoo mtaalamu gani ana Anza kuulizia cash Kuliko kufanya kazi
@JimmyvanKaic3 ай бұрын
Mwakajumba Wallah unajua xana kaka Big up brother 🔥🔥🔥 20:38
😂😂😂 D za kingreza kama cha mama James au za kiswahili?
@priscamsoga80966 ай бұрын
Jamni huyu mama Tina ananichekesha kweri hicho kingereza chake😂😂😂😂
@HunterBribol24 күн бұрын
Hahahahahaha 😂😂❤🎉
@bongolyricszone57156 ай бұрын
let me say this if i even had a chance to be an actor i would put everything on you guys, mnafanya kazi nzuri sana, Henry big up sana kaka kwa kazi nzuri inayogusa mojakwamoja jamii zetu . Naomba niwe team baba Olivia aisee and for all your projects uko na sapot yangu Bro
@henrymwakajumba6 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Asante sana ❤️ umesha kua team Baba Olivia tayari kwa kuangalia, but hua tuna tangaza Audition 🙏🏾
@elishabrand96256 ай бұрын
Like ziwe.za.kutosha Hapa
@keyla36416 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤jamani igizo zuri sana hao watu wanaondaa tamsili dst wanatakiwa kuja hapa kujifunza huu ndio mchezo unaonesha uhalisia wetu hongereni sama
@Amne-g7n6 ай бұрын
Nilijiwa tangaz la youtube kumbe burudani 😂😂😂😂
@shanimbaruku20716 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😂😂😂 Natumai ume enjoy!
@Amne-g7n6 ай бұрын
@@henrymwakajumba sana tuh
@aniphualmas86952 ай бұрын
Yaan hii series n kama uhalisia kabsa na sio maigizo , dah Gabo na director wamejitahid Sana kubadili Radha ya bongo movie
@Martin-jy6dw5 ай бұрын
Mwalimu ameolewa ao yupo kwao jameni mbona mzuri sana
@HAMSOMGIRIAMA6 ай бұрын
mwalimu janeti jaman mzurin ila baba Olivia hongera kwa heshima yako kubwa
@fatumakushonda42776 ай бұрын
Baba Olivia n mfano mzuri w kuingwa,sio baba wote wako hivi 👏❤️
@henrymwakajumba6 ай бұрын
❤️
@fatimaabdullahmohd23476 ай бұрын
Tamthilia tamu jamani msitucheleweshee sana
@SalumNassor-dd1cb5 ай бұрын
😂😂 Gabo ameunganishiwa na mtoto wak mwalim
@EL-Protabolisa_Le_King6 ай бұрын
Ivi zile dakika alizokua na sema ule sijui mwandishi wa filam ya baba Olivia , zingekua dakika tu naona tu movie si tunge enjoy zaidi lakini, kutuaribia mood tu 😏😏
@HaniferMwiru-wn9wq6 ай бұрын
😂😂😂😂
@alfakassim6036 ай бұрын
Tunawapenda saana na tuko pamoja mno ila mnachelewesha mno
@yusuphluyungu81425 ай бұрын
Movie nzuri sana
@JamilaRutasingwa-qx3od6 ай бұрын
Itoke kweli bc kama Olivia alivyosema🎉🎉
@christianlucas26016 ай бұрын
igizo ni zuri na lina mafunzo mazuri sema changamoto ni mfululizo wa igizo lina chukua mda sana mpaka kipande kingine kuja kutoka sisi kama mashabiki tunao fatilia hiyo ndio kikwazo kwetu lakin nje ya apo igizo lipo vizur👌👌👍 sana kwa ujumbe na maisha halisia ya kitanzania big up wasanii wote wanajua kulinogesha
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana kwa kufuatilia 🙏🏾🙏🏾
@HassanSafari-uy9ih5 ай бұрын
Mr Henry umefanya kazi mzuri saaaaana kabisa Is more then a lesson of life Wallah ❤❤❤
@henrymwakajumba5 ай бұрын
Asante sana,Shukran!
@honestkimambo08806 ай бұрын
Aaaah nyingine lin jamaniii, mm siangaliagi movie za kibongo ila nikimuona mtaalamu Gabo, aaah lazima niangalie😊🎉