GODBLESS LEMA AWAVAA WAMAMA WA KILIMANJARO WALIOENDA KUANDIKISHA WATU MTAANI, BADALA YA VITUONI.

  Рет қаралды 4,256

Machachali Tv

Machachali Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@SamwendaKodi
@SamwendaKodi 6 күн бұрын
Daah hii ndo Tanzania yangu
@vickymlatie8313
@vickymlatie8313 4 күн бұрын
Tunatia Aibu akina Mama..
@Vike333-l8o
@Vike333-l8o 7 күн бұрын
Inashangaza Wachaga hasa wanawake hamuoni Mateso mnayoyapata ktk Ccm?Mungu awafungue Fahamu zenu
@leokamil6284
@leokamil6284 6 күн бұрын
Wewe waone tu walivyochoka kimaisha
@JoshuaYohanaLaizer
@JoshuaYohanaLaizer 7 күн бұрын
Sisiemu Amna ata aibu
@farajimmari1523
@farajimmari1523 6 күн бұрын
Kazi kwelikweli
@HezroniJonh
@HezroniJonh 7 күн бұрын
Hii mimama ndiyo ya Kwanza ukifika pale moshi inataka kitochi nimekoma
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 6 күн бұрын
Hawa ndo mama zetu acha nipate dhambi tombanyako
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 7 күн бұрын
Wamama hawa wamepokea kitu kutoka ccm kwan hamuon walivyo nona hawa ni machawa makubwa wa ccm alafu mtu akipotea wanaendelea kulia hawa kweli walizaa maana wamama wengi wanalilia vijana waliopotezwa na kuwawa kweli hawoni.
@vickymlatie8313
@vickymlatie8313 4 күн бұрын
Hii ni njaa inatusumbua jamani Aibu sana..
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 7 күн бұрын
Matokeo ya uchafuzi
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 6 күн бұрын
Tunajiamin hatufuati mkumbo kwavile mbow mchaga ni sisi wote tumfuate kuna watu ambao hatuburuzwi
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 3 күн бұрын
Yamebemendwa hato
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 7 күн бұрын
Hongereni sana Mama mumejiongeza
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 6 күн бұрын
Wampa hongera mama kajiongeza ww ni mzima wa kiakili
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 5 күн бұрын
Hovyo majambazi wanaorwkodiwani kosa?
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 3 күн бұрын
Hayo makinamama yamebemendwa
@camilomassao8971
@camilomassao8971 6 күн бұрын
Kudhalilisha gani, au hao wenyewe ndiyo wanajidhalilisha?
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 5 күн бұрын
Njaa inawasumbua hawa wamama
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh 7 күн бұрын
Jamaniiii hata Leo huku Moshi kijiji Cha kileo nimemuona mtendaj wapo na mgambo wanapita na vitabu vyao nyumba Kwa nyumba vijiweni kuuwandikisha watu maajabu hayaaa watu wanasema hawatak kujiandikishaa maana serikal inajua mshindi
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 6 күн бұрын
Na ni majasri kwikweli
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 6 күн бұрын
Nimeona huku kahe vunjo nimeona muandikishaji anaoita vijiweni kuansikisha. Asasa ni nini maana ya vituo?
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 6 күн бұрын
Njaa inatesa watu rushwa ni adui wa haki hao wamama ni wajinga kuliko maelezo
@rasnchimbi
@rasnchimbi 6 күн бұрын
Ikiwezekana Hizi shahidi zikusanywe,kwaajili ya uthibitisho,zipelekwe mahakamani zikaongezewe kwenye lile shauri lililoko mahakamani,ili sasa uchaguzi uahirishwe hadi hili 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi✍️🏿
@zachayojohn7065
@zachayojohn7065 7 күн бұрын
Hujuma hizi ni kala sehemu ya nchi hii. Hii nayo ndo mbunu ya 2024!
@salama1113
@salama1113 6 күн бұрын
Hadi wanawake mnatumika😢😢
@allyngoda761
@allyngoda761 7 күн бұрын
Wakina mama wanajiamini sana utawapeleka wapi? Wakati wako chini ya MKWE?
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 6 күн бұрын
Hivi serikali hawa watendaji inawaona kweli???
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 күн бұрын
Wamelishwa matango pori😢😢😢
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 күн бұрын
Huu ni uzushi tu kura zinaandikwa vituoni
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 6 күн бұрын
Madhali wametimiza miaka 18 waandikishwe tuu
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 6 күн бұрын
Huna akili wewe tatizo sio miaka 18 tatizo wanaandikisha mitaani alafu sio wahusika
@adammjomba5814
@adammjomba5814 6 күн бұрын
Mwizi hanahaki anaweza kurekodiwa vyovyote vile kwa sababu tayari ni mhalifu ,hawezi kupewa heshima tena .huwezi KUTETEA mwizi na CCM wanafedha na watu wengi wa TZ ,ni masikini wakipewa elufu 20 wanatoa kura kwa yoyote bila kujali ni jambazi au ni mwizi. Ilimradi mama apate ugali wake wa siku
@benardkinde8496
@benardkinde8496 6 күн бұрын
Unamuachaje mtu kama huyu anafanya jinai wanainchi zuieni uhalifu kwa kuwakamata watu kama hao
@camilomassao8971
@camilomassao8971 6 күн бұрын
Mbege tamu 🤣🤣🤣🤣
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 7 күн бұрын
Kumbe hata wachaga ni ovyio chawa
@EliaMunuo-u7o
@EliaMunuo-u7o 7 күн бұрын
Machawa wa Chadema mnajisumbua bure
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 6 күн бұрын
Zezeta kwani atajua hasara ya wanawake hao?
@allyngoda761
@allyngoda761 7 күн бұрын
Acha Wama waitetee CCM angalia walivyo nona
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 6 күн бұрын
Hawo wajinga
@ElieshPoul
@ElieshPoul 6 күн бұрын
sikutegemea kuna akina mama wajinga kiasi hiki Kili...hawafikirii vizazi vyao wataishia wapi
@SALUM-l6k
@SALUM-l6k 7 күн бұрын
Kwaniwanaogopanini.ccm.wakatiwapovizuriwenyewe
@camilomassao8971
@camilomassao8971 6 күн бұрын
Eti
MPANDA MLIMA KILIMANJARO APEWA MILIONI 3 NA MZUNGU AKASOME
5:45
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 2 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
GACHAGUA NDIYO BASI TENA| SIASA SIYO KAZI NI UTUMISHI TU
6:09
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
SABABU UANDIKISHAJI KUSUASUA, KAMPENI ZA HAMASA KILA KONA
6:28
Wasafi Media
Рет қаралды 2,5 М.
Nabii ROLINGA Atinga ETHIOPIA Autaja Uchaguzi Mkuu TANZANIA
8:49
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН