GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes.

  Рет қаралды 1,393

G Online

G Online

Күн бұрын

Jinsi ya kugundua KUSUDIO lako katika episode hii ya dakika 4. Moja katika vitu muhimu sana sana katika maisha ya mtu yeyote yule ni kuwa na kusudio/purpose, hii itakuwa njia sahihi ya wewe kujua nini unatakiwa kufanya katika maisha.Nini sababu ya wewe kuishi katika ulimwengu huu, kusudio lako nini au unaishi tu ili mradi tu. Badilisha sasa mtazamo wako juu ya maisha yako kwa kuwa na kusudio ambalo litakupa njia sahihi ya wewe kuisha katika dunia hii.
.....................................................................
🔴 Background Music kutoka Epidemic sound Artist -Edgar Hopp (The Pyramide www.epidemicso...
Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
1.Kurank videos zako
2.Itakuonesha Live subscribers count
3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 www.tubebuddy....
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
www.youtube.co...
🔴Follow me on IG- / zahir11gome. .
🔴Twitter - / zahir11gomelo
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 • HATUA 5 ZA KUUSHINDA ...
⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 • JINSI NINAVYOSAVE 50% ...
⚡JE UNAPITIA WAKATI MGUMU HIVI SASA KATIKA MAISHA : Angalia hii kabla ujakata tamaa 👉 • JE UNAPITIA WAKATI MGU...
⚡NJIA 5 ZA KUKUSAIDIA KUTENGENEZA PESA KWA KUFANYA UNACHOKIPENDA : Nakuishi maisha ya ndoto zako 👉 • NJIA 5 ZA KUKUSAIDIA K...
⚡JIFUNZE KUACHA HILI KUFANIKISHA MALENGO, NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO (PROCRASTINATION)👉 • JIFUNZE KUACHA HILI KU...
⚡TIPS (7) BOOST KUJIAMINI : Jinsi ya Kujiamini/Self-confidence 2020👉 • TIPS (7) BOOST KUJIAMI...
⚡SIRI ZA MAFANIKIO KWA KIJANA YEYOTE MWENYE MALENGO MAKUBWA MWAKA 2020 👉 • SIRI ZA MAFANIKIO KWA ...
⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako 👉 • JINSI YA KUTIMIZA MALE...
⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉 • KAMA UPO SERIOUS KUBAD...
⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 • SABABU 6 ZA WEWE KUPOT...
⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 • KAA MBALI NA MARAFIKI ...
⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 • KANUNI 4 ZA MAFANIKIO ...
#kusudio #purpose #maisha

Пікірлер: 5
@Cyper255
@Cyper255 4 жыл бұрын
Asante kwa elimu mkuu
@katemajr9374
@katemajr9374 4 жыл бұрын
Shukrani sana Kaka🙏🏽🙏🏽 Kubwa sana hii👍🏽👍🏽
@petertengo8082
@petertengo8082 4 жыл бұрын
Sauti imebadilika asante kwa elim nzur asant
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Tumeboresha kidogo
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 жыл бұрын
@@GOnlinepositivity ulikua kimya kiongozi,, asante kwakurudi tena
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 164 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 72 МЛН
If He's Not Serious, STOP CHASING & Do This Instead... | RC Blakes
16:58
Nothing Transforms Your Beliefs Faster Than 12 Minutes of THIS!
13:39
One of the Greatest Speeches Ever | Steve Jobs
10:31
Motivation Ark
Рет қаралды 35 МЛН
CBT for Anger Management
32:33
Barbara Heffernan
Рет қаралды 72 М.
Stop Fixing, Start Listening: The Power of Holding Space
10:47
Dr. Tracey Marks
Рет қаралды 45 М.
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 164 М.