MKUU WA MKOA WA MWANZA AKAGUA UTEKELEZWAJI AHADI ZA MAGUFULI KWA USAFIRI KANDA YA ZIWA NA NCHI JIRAN

  Рет қаралды 9,100

GSengo

GSengo

6 жыл бұрын

Ili kuondokana na adha ya usafiri, Serikali imeanza ukarabati wa Meli ya Mv. Clarius iliokuwa imesitisha huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo kwa zaidi ya miaka 10 bila kutoa huduma hiyo kwa wananchi wa Wilaya ya ukerewe mkoani Mwanza wanaozungukwa na ziwa Victoria.
Akizungumza mara baada ya kukagua meli hiyo na nyingine zilizopo katika bandari ya Mwanza kusini, Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, amesema kukamilika kwa ukarabati wa meli hiyo na nyingine zilizopo katika mpango wa ukarabati utasaidia kwa kiasi kikubwa kukuwa kwa uchumi .

Пікірлер: 2
@charlesenock8586
@charlesenock8586 6 жыл бұрын
Kwani miaka mingine Pesa zilikuwa zinaenda wapii
@dismasswai5838
@dismasswai5838 5 жыл бұрын
Zilikuwa zinaliwa na wajanja
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 34 МЛН
UJENZI WA SGR MWANZA - ISAKA, ZEGE HALILALI, KAZI INAENDELEA
12:37
HII Ndiyo MELI Mpya MWANZA, Ona INAVYOJENGWA Katika Ziwa VICTORIA..
4:15
RELI NA MATUKIO, SGR MWANZA - ISAKA KM ZAIDI YA KM 21 ZATANDIKWA
27:42
MALI ZA IMPALA HOTEL ZAPIGWA MNADA, VIGOGO KUMI WACHUANA VIKALI
3:52
Ulipofikia ujenzi wa meli ya kisasa ya MV Mwanza Hapa Kazi tu
3:17
Daily News Digital
Рет қаралды 16 М.