GUMZO: BANGO la Mchungaji KIMARO Lililowekwa DAR Lazua TAHARUKI, Polisi WATINGA, Waumini WAELEZEA..

  Рет қаралды 20,538

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

GUMZO: BANGO la Mchungaji KIMARO Lililowekwa DAR Lazua TAHARUKI, Polisi WATINGA, Waumini WAELEZEA..
WAUMINI wa Mchungaji Eliona Kimaro, wameweka bango lenye picha ya mchungaji huyo kama ishara ya kumuonesha upendo kwa kumkumbuka.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 79
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@benaridethawiliam9439
@benaridethawiliam9439 Жыл бұрын
Mimi ni Romani katoliki waluteri wa Kijitonyama asanteni sana sana mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kumuonesha upendo mchungaji wenu.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro tunamuelewa sana kwenye mahubiri yake. Siyo hao wengine ukifika kanisani matangazo mengi kuliko mafundisho ya neno la Mungu.
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Eliona Kimaro Mungu amfanyie wepesi aludiswe kkkt kijitonyama 🙏❤
@rezegerezege691
@rezegerezege691 Жыл бұрын
Nimetokwa na machozi My Daddy Mungu Akulinde tunakupenda.
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p Жыл бұрын
Mchungaji Eliona Kimaro , ni baba wa wengi , ametufundisha vingi Na tunajifunza vingi kupitia yeye , imani yetu imekuwa kutokana Na mafunzo yake , mungu ambariki Na aendelee kumpa uhai aponye watu wengi Na kuwatia moyo waliokata tamaa 🙏
@gracesenzota6555
@gracesenzota6555 Жыл бұрын
Wapenzi natupendane kwa kua pendo latoka kwa Mungu na kila apendaye amezaliwa na Mungu katika Roho,Matendo yana nguvu sana kuonyesha upendo,
@judyjudy3513
@judyjudy3513 Жыл бұрын
Safi kabisa mko vizur 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 Жыл бұрын
Ndugu si yeye anayeponya bali Mungu ndiye anayemtumia kwenye huduma hiyo.
@edithmushy1010
@edithmushy1010 Жыл бұрын
Mungu ambariki. Kariakoo kaacha ari ya uamsho wa kumtumikia kristo.
@godfreymgona8763
@godfreymgona8763 Жыл бұрын
Anaye ponya si kimaro ni yesu
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 Жыл бұрын
Eehe 3000!!..Aisee Pastor Star ur Own Ministry.. Ur FIREEEE💥💥💥
@gracesenzota6555
@gracesenzota6555 Жыл бұрын
Mavuno ni.mengi shambani watenda kazi ni wa chaxhe basi tumwombe Bwana atume watenda kazi ! Yesu ni mwaminifu aliyemwita
@lucasissidor9107
@lucasissidor9107 Жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu umchagua yule amtakae na kumpandisha. Kila mwanadamu ana nyota na Rizki yake! Mchungaji Eliona Kimaro amebarikiwa kuwa juu siku zote. Kila la heri kwake na Mwenyezi Mungu amuepushe na shari zote za duniani uadui, chuki na husuda!
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Msema ukweli siku zote huwa hakubariki mm ni angilikana lakini nampenda Sana kimaro Sana sana
@nerryabel7512
@nerryabel7512 Жыл бұрын
Kimaro yuko vema sanaaa,,tunampenda kweli na ana mafundisho mazuri yanayobariki watu wa dini zote🙏🙏
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Kimaro ni mtumishi wa Mungu anaehubiri na kufundisha KWELI ya MUNGU...NGUVU YA NENO LA MUNGU NA KUWA MUNGU APASWA KUABUDIWA KTK ROHO NA KWELI NA JINA LA YESU LINAJITOSHELEZA. Hivyo kwa sisi tunaomuelewa tuliumizwa japo mimi c mlutheri
@meshacknyiti8020
@meshacknyiti8020 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa haya.
@happymsaki1720
@happymsaki1720 Жыл бұрын
Waoooooo jamani tupeni no ya Bango ili tuchangie jamani
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Kutoka 20:4-6 Usijifanyie Sanamu WAla mfano WA KITU kilichoko juu Mbinguni WAla Duniani WAla chini majini chini ya Dunia kwakukwa Mimi Bwana Mungu WENU NI Mungu MWENYE wivu. Inaeleka KKKT hamfundishwi NENO la Mungu
@sulemanmadahatv1691
@sulemanmadahatv1691 Жыл бұрын
Sisi ni wa Paulo, sisi ni wa Petro, sisi ni wa Apolo na sisi ni wa Kristo. Ni njema sana tukijuwa ya kuwa Kristo hagawanyiki. Yeyote anayewekwa mbele yetu kutuhudumia tuwe tayari kwa sababu si Kimario au Malasusa anayetuhudumia bali ni Karama ya Kristo itendayo kazi ndani yake. Ref 1 Korintho inamambo mazuri kama haya.
@herodejivava8994
@herodejivava8994 Жыл бұрын
Yesu pekee ndiye anae ponya iweni na akili
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Жыл бұрын
Hakumaanisha kuwa Rev. Kimaro ndiye anayeponya ila kwa kupitia kinywa chake Yesu anawaponya watu.Pia ieleweke sii kila mchungaji akifundisha habari za Yesu watu wanaponywa!! KIMARO NI MPWAKWA MAFUTA WA BWANA.
@maseleblog586
@maseleblog586 Жыл бұрын
Ukiona mtu anatumia nguvu nyingi sana, ktk masuala ya Mungu , huku akitumia vijisenti na watu ujue Kuna Jambo sio bure.
@tinaclement9062
@tinaclement9062 Жыл бұрын
amina sana mbalikiwe san
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Жыл бұрын
Alaf nikute mke wangu nae kaandamana
@josephinemacha7112
@josephinemacha7112 Жыл бұрын
Anayeponya ni Mungu sio mtu
@reymollely141
@reymollely141 Жыл бұрын
Kweli kabisa watu wawe makini sana wasije wakampa binadamu utukufu badala ya Mungu anastahili kutukuzwa
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 Жыл бұрын
NYIE MNACHOCHEA VURUGU wote ,MMEFUNGWA UFAHAMU, Yeye aanzishe kanisa lake Mumfuate huko
@EK-kp2np
@EK-kp2np Жыл бұрын
Plan ya Bango imejibu 🥳🥳🥳
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
Kunapokarbiaa kukuchaaa giza linaongezekaaa.......THAMANI YAKO INAONGEZAAA MBINGUNII KIMAROOO........Wauminiii ni waa kuigwaaa nyie nawawependaaa
@marthamungure1777
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Hamwezi kumzuia mtu kuanza kanisa kama Mungu amemwagiza
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kweli dini sio mavazi dini ni imani tu 🤔 Imefikia hatua Mbunge kuingia na jinzi bungeni akisema mbunge sio suti bali mbunge ni imani
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Wachagaa oyeeeeeee
@dorismkongwe4140
@dorismkongwe4140 Жыл бұрын
Namm namchu gaji wangu kitine jmn mtu akimsema vby huwa natamani nimpige.hii hata Yesu alipokamatwa mwanafunzi akamkata panga
@miriamalute1540
@miriamalute1540 Жыл бұрын
Wanakera sanaa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Ww deleva lntakillah mshilikinatu unalolote siyomuislam jinatu hilo lauislam ujuichochote
@anethminja8772
@anethminja8772 Жыл бұрын
Ikawe heri kwa Baba.
@marthamungure1777
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Valentine siyo ya kikristo
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Жыл бұрын
Duh!! Wasipoelewa kina nani?? Yaani Bango limewekwa ili watu waelewe??
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 Жыл бұрын
Kauli ya huyu bwana kauli yake ni uchochezi,Leo Mchg Kimaro kaomba Msamaha kwa Kanisa na watu wote,Hawa wanao jifanya wana upendo na Mchg wanajidanganya,Wakrito tusiwe Washabiki.
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Kwa nini msimfuate nyumbani kwake!
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Жыл бұрын
Acheni kushinikiza Kanisa kufanya mnalolitaka..Nyie ndio mnakuza hili jambo
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Hawakuzi mambo ila ni upendo tu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Hahaa eti if you love me show me😜😜😜
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Kweli kama unampenda mtu muonyeshe
@anickashasha
@anickashasha Жыл бұрын
Mch. Kimaro, kama alivyokubalika K'nyama, basi huduma hiyo anapaswa akaitoe hiyo huduma na kwingineko ndani ya DMP. Mnaong'ang'ania abaki Usharika wa K'nyama tu ni wabinafsi tu. Mnapaswa kujitafakari na kujifanyia maombi. Bila kufanya hivyo na kubadilika, mjue mnachochea mgogoro usiokuwa na sababu. Mnapaswa kukumbuka kwamba ipo mamlaka zilizomhamishia hapo Usharika wa Kijitonyama na mamlaka hiyo inayo haki na uwezo wa kumhamisha mtumishi wake akatoe huduma kwenye kituo kingine.
@navysanga4245
@navysanga4245 Жыл бұрын
Nawashukuru Sana Sana Nampenda mchungaji toka rohoni Ana mafundisho mazuri Sana mmetisha
@anickashasha
@anickashasha Жыл бұрын
@@navysanga4245 wametisha nini sasa? Ni jambo baya sana kuchoche migogoro kanisani. Mch. Kimaro, alijisahau kidogo kwamba zipo mamlaka juu yake. Tumshukuru Mungu amefika mahali akalitambua hilo na kuomba msamaha. Kuweni wapole kusubiri atapangiwa kazi kituo gani ili mliompenda sana mjipange na kumfuata huko.
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Kosa la kimaro siyo kukataa kutoka kijitonyama kisa kusema ukweli vijana wakislamu niwaaminifu kuliko wakikirto naakatoa mifano ukiangalia ukweli upo ndohilo kwani kimaro alianzia pale alikuwa kkoo
@sulemanmadahatv1691
@sulemanmadahatv1691 Жыл бұрын
@@lucaschisamalo2852 huo sio ukweli ni uongo. Hao unaosema vijana wa kikristo sio waaminifu sio wakristo ni wapagani wenye majina ya kikristo na wanaosali makanisa ya kikristo. Ukristo ni kufanana na Yesu Kristo. Sasa ukisema sio waaminifu mana yake ni wezi. Sasa anakuwaje mwizi akafanana na Kristo? Jifunze zaidi kuhusu Ukristo. Ukristo sio kubatizwa sio jina sio kuimba kwaya n.k mambo haya mpagani anaweza kuyafanya au akaigiza ILA ALIYE MKRISTO WA KWELI UAMINIFU NI TUNDA LA ROHO MTAKATIFU ANAYEKAA NDANI YAKE. Labda angefafanua zaidi hao wakristo waliokosa uaminifu na wavivu wa Kristo yupi na wanaigiza hayo kutoka wapi. Mkristo mwizi hajazaliwa na kristo anatumia jina tu lakini hatambulikani na Yesu Kristo
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
@@sulemanmadahatv1691 utataka nitoe mifano migumu hata wafanyakazi wa selikali fanya utafiti wenzetu kidogo wanahofu ya mungu tofauti na sisi wakiristo unakuta mtu kateuliwa juzi tu anamali kibao awezi kuongea bila kufanya utafiti ok hayo yamepita mdogo kajishusha ili mambo yaende tunataka mahubiri pokea makontena napokea 😆😆😆😆
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Aje nimpe eneo afungue kanisa lake tu aachane na hao kkt
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Mfuate Sheria za nchi, kuweka Bango ni kulipia munispaa au jiji au halmashauri
@mbakijonas5647
@mbakijonas5647 Жыл бұрын
Binadamu soma biblia, mjue Yehova kibinafci utaacha kumwabudu mtu.
@moringelangas7276
@moringelangas7276 Жыл бұрын
Walio wengi hapo ni wachaga!K K K T Ni taasisi kubwa,hawa wanaenda kinyume na taratibu za kanisa.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Ukabila tena!!! Huu ni uchichezi unaona majirani zetu
@queenclever
@queenclever Жыл бұрын
Wengi wachaga wa marangu na machame ni wakkkt
@misschagga8042
@misschagga8042 Жыл бұрын
Sasa kingereza wamemwandika nani??mtanzania au mzungu ujumbe mzuri lakini haufiki kwa watu wote.
@praygodlameck6587
@praygodlameck6587 Жыл бұрын
Sasa hapo chini si imeandikwa tafsiri yake "Na iwe Nuru". Dada yangu Manka mbona unaniangusha mimi kaka yako
@elitulizapallangyo4880
@elitulizapallangyo4880 Жыл бұрын
Kama umesoma vzur ndo maana chini wameandika maana yake labda Kama macho yako hayaoni
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hakuna washarika hapo ni WAHUNI TU. Sasa ameshaomba msamaha anarudi kanisani na amejifunza kuwa na mipaka ya Kazi yake. Hizo fedha mlizotumia kutengeneza bango la Milioni 6 mngewapa watoto yatima.
@janethshoo1213
@janethshoo1213 Жыл бұрын
Watoto yatima wapo siku zote, na hawatakoma kuwepo. Tumewahdumia na tutawahudumia
@adammwakalonge3573
@adammwakalonge3573 Жыл бұрын
Ila pia najiuliza kwani Lutheran kijitonyama ni wachaga watupu? Au waandishi wanawahoji wachaga watupu? Maana wote wanaomdai kimaro wachaga watupu!!!🤪🤪🤪🤪 Wamtukuze Mungu au mchungaji???
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Unaumia?
@adammwakalonge3573
@adammwakalonge3573 Жыл бұрын
@@elizabethswai7777 Asante Kwa kuprove point yangu, .....Swai 😅😅😅😅
@adammwakalonge3573
@adammwakalonge3573 Жыл бұрын
@@elizabethswai7777 kumbe sio suala la Mungu ni suala la Ukaskazini, hapo sawa Kaskazini Gang in the church 🤣🤣🤣🤣🤣
@jeniphermassawe3037
@jeniphermassawe3037 Жыл бұрын
Ivi vitu cjui kwanini vinatokea,uko kijijini kwetu kanisa lilibaki na waumini 30 akaletwa mwinjilisti akaliamsha kanisa,watu wakajaa hadi kanisa likawa dogo,chaajabu maneno yakaanza mwinjilist akahamishwa.
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Nyie ndio mnaomponza sasa haya ngoja tuone
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Wanamponza kivip maana ye hajawatuma ni mapenzi yao kwa mchungaji.
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Kwani tatizo ni nn?unaumia🤣🤣
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Hawa waumini pasta aliwapa nn
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Aliwashibisha kwa neno la uzima
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Kwani zimebaki siku ngapi? ili likizo aliyopewa ihishe.
@EK-kp2np
@EK-kp2np Жыл бұрын
Siku 28
@EK-kp2np
@EK-kp2np Жыл бұрын
Lakini leo tarehe 19/2 kasamehewa
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 465 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
WAUMINI KIJITONYAMA: Hatuingii kanisani tunamtaka mchungaji wetu
6:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 465 М.