Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU

  Рет қаралды 4,355

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Ай бұрын

Пікірлер: 23
@TheTarabist
@TheTarabist Ай бұрын
Mashaallah. Tunazitamani hizo nyimbo tujikumbushe utoto wetu. Ni pamoja na kinyuli nyulika, alfola alfola, etc.
@rayasaid3734
@rayasaid3734 Ай бұрын
MashaAllah bi Mariam unaielezea culture ya mwambao vizuri sana,yoote ni ya kweli,yamesahauliwa sasa ukiolewa zamani lazima bi harusi atolewe kujulishwa ,sasa hakuna tena mengi yamesahauliwa,Allah akupe afya na umri mrefu
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 29 күн бұрын
Namshukuru Allah kwa kuwa na mawazo yanayofanana na ya huyu 'Profesa' mama Maryam. Kutembea kote na uzoefu wote aliojizolea bado ana 'Uswahili' kutoka chini ya moyo wake.
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 Ай бұрын
Mashalwa M.mungu akubariki akupe umri wenye afya
@hamadrajab8042
@hamadrajab8042 Ай бұрын
Mashallah, tabaarakallah
@a.856
@a.856 29 күн бұрын
Jazakallah khayran
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Ай бұрын
Alhamdulilah. Nice story nimejifunza mengi me natamani iendelee episode 2. Bi maryam ni hadhina kwa taifa letu na culture yetu. Na hii films ipo tayar dukani or online. 4rv uk 🇬🇧
@muhammedameir3582
@muhammedameir3582 Ай бұрын
Subhanallah, Allah akubarik sana na family yako yote.
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Ай бұрын
Mashaaallah
@user-bl6xy3cy9w
@user-bl6xy3cy9w 27 күн бұрын
Shukran
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Wapi tutaiona film
@laylayahya24
@laylayahya24 Ай бұрын
Bismillah Masha Allah
@KassimYakout
@KassimYakout Ай бұрын
Nimazumgumzo mazuri nimependa ningependelea uwanzishe na nyimbo za watoto za zamani mbazo sasa Zina potea Kwa mfano kama vile Alfola bandari Salam Ukuti Ukuti na nyingi nyeginezo
@bahrynbahry1138
@bahrynbahry1138 Ай бұрын
Na Ana ana do
@bahrynbahry1138
@bahrynbahry1138 Ай бұрын
Na kinyuri kinyuri aliejuu na arushee😂
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 Ай бұрын
Bi Mariam mchango wako ni wa kizalendo utakumbukwa
@yanyikawaterwelltanzania9600
@yanyikawaterwelltanzania9600 Ай бұрын
MashAllah,
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Ай бұрын
Ahsante
@bindawood978
@bindawood978 24 күн бұрын
Mamaake Aida na Adila
@hassankhamis344
@hassankhamis344 Ай бұрын
Nasra juma
@MassoudMaghwaly-jo8sh
@MassoudMaghwaly-jo8sh Ай бұрын
Nice❤
@TheTarabist
@TheTarabist Ай бұрын
BiMariam umewacha kutupa uzoefu wako katika taarab.
@user-bl6xy3cy9w
@user-bl6xy3cy9w 26 күн бұрын
O matamu
Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah  nyumbani
15:32
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 972
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 50 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
NILIJIFANYA MSOMALI | NILITUMIKA NA WAZUNGU HATARI | SHULE ILINIOKOA
1:30:38
Official Dating Assistance
Рет қаралды 19 М.
Namna ya kukubaliana na manyanyaso.
19:23
EastAfricaTV
Рет қаралды 4,3 М.
MFANYIE MUMEO HIKI AKUPE KILA UNACHOTAKA
14:29
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 59 М.