LOVE THIS LEGEND!! Yaani jamaa ana akili za kitanzania asilia, wigo na upana wa mawazo ndio necha yetu! Gwajima, Makonda na Msukuma wakae chini wa combine akili kutatua ishu za nchi aisee!!
@MartineJoseph-u6i5 сағат бұрын
Akili kubwa
@barakalukeha61844 сағат бұрын
Sasa watanzania wenzangu hayo ya kuwa na mipango ya maono ya taifa ya mda mrefu yameshindikanaje?? Haitawezekana kabisaaaa kama katiba haitawabana kwa vitendo wale watakao fanya tofauti na hiyo mipango ya taifa ya mda mrefu.na ndio maana hatuwezi kutowa ushauri kwa kutamka wazi kwamba mpango wa mda wa mwaka mmoja ni kuharibu pesa za serikali kwa watakao lipwa kwa kikao hicho kwakuwa ni kawaida kila raisi anayeingia kazini awe na mipango ya mda wake wa uongozi na ndio tafsiri ya mipango ya mda mfupi tuliodumu nao hadi sasa na tunaulalamikia huo ili tuweke wa mda mrefu.sass mawazo yanakuja eti wiki ijayo tunakaa kwa kujadili milango ya mda wa mwaka mmoja!!!na kwakuwa katiba inabana watu kupinga alichokipitisha raisi hata kama sicho kabisa,,tunalazimika kusifia hadi atakapo maliza muhura wake,ni kwa vipi sasa mawazo mazuri ya watanzania ambao hawamo kwenye orodha ya washauri wa raisi yatakapo thaminiwa na kutendewa kazi???.hatakama ni mawazo mazuri yatadharauliwa labda kwa interest ya wenye nafasi zao huko maana wao pesa zinaingia kwa kila kikao tena pesa nyimgi.na raisi akitoka akaja mwingine tena baadhi yao wanasogea karibu naye na wanateuliwa tena.,hivyo kwakuwa wao hawajaona ugumu wa maisha kwa katiba inayowapa fair kubwa pekeyao na wengine kidogo tu kwa miaka yote.