ASKARI WA FFU WAZINGIRA JIJI LA DAR, YADAIWA MAANDAMANO CHANZO

  Рет қаралды 21,500

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Пікірлер: 210
@josephatmbilinyi8947
@josephatmbilinyi8947 3 сағат бұрын
ingekuwa vile kwa watekaji ,Ingependeza
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 2 сағат бұрын
Mheshimiwa Mboro ndogo na waizi wenzake wanajua walipo watekwaji.
@RamaMbwambo-ru8ym
@RamaMbwambo-ru8ym Сағат бұрын
SAFI SANA..TUNAWAAMINI SANA WATULINDIE AMANI.. TANZANIA NI NCHI YENYE AMANI..ANAYEJARIBU KUHARIBU AMANI LAZIMA AZINGULIWE AKAE SAWA...MAANDAMANO HAYAJAWAHI KULETA TIJA DUNIAN...
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 сағат бұрын
Maandamano yapo pale pale
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 3 сағат бұрын
Hakuna haki tanzania maandamano ni haki ya kila mtu
@starspreandprimaryschools3075
@starspreandprimaryschools3075 3 сағат бұрын
Mungu ataingilia kati siku si nyingi
@munikojulius6667
@munikojulius6667 2 сағат бұрын
Hao ni wakawaida tu!
@salehmussa9371
@salehmussa9371 3 сағат бұрын
Mmeshiba ugali nyinyi,acheni utumwa,haowakoloni mnaowatumikia washaambiwa wazi wajishuhulishe nashidazao sasa ngieni barabarani muijue tofauti ya Kenya na Tz. Watumwa wakisasa nyinyi.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 сағат бұрын
Hawajiamini serekali ya wizi
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 4 сағат бұрын
ALLAH ILINDE AMANI YA TANZANIA
@alimomade2712
@alimomade2712 Сағат бұрын
Amin,lakini kumbuka Dunia yote aina amani
@PendoPetro-jl1zx
@PendoPetro-jl1zx 4 сағат бұрын
Upuuzi tuu nchi imekuwa ovyo sana
@saidtembele3070
@saidtembele3070 2 сағат бұрын
Hama
@ShukuruMsuwakollo
@ShukuruMsuwakollo 52 минут бұрын
Safi sana. Hatutaki vurugu kabisa .
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 29 минут бұрын
Kweli mungu anawaona
@williamfrancis8724
@williamfrancis8724 23 минут бұрын
Nanianafanya vurugu
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 3 сағат бұрын
Kuzuia maandamo hapo mnaweza but kutafuta watu wasiojulikana ni ZEROOOOOOOO sisi tunataka akina soka na wenziwe wapatikane na walimuuwa mzee Kibao
@SuolFat
@SuolFat 3 сағат бұрын
Chadema vs polisi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 3 сағат бұрын
Kuna watu wanakosa dawa na wengine njaa inataka kuwaua wao wanaaribu mafuta sisi wanyonge tulipe kodi kisa eti maandamano. Ila mungu akijibu yetu macho.
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 3 сағат бұрын
Kodi Unauza nin Mku.du
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 сағат бұрын
Mama alipita kwa katiba Leo hii anaikanyaga katiba mungu atamlipa hapa hapa duniani tutaandamana njoni mtuuwe
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 3 сағат бұрын
We chizi kufa unakujua Lkn kajiue mbwawee
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 3 сағат бұрын
Andamana na bibi yko mamako mkeo nawatoto wako
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 3 сағат бұрын
Heshima na utu ni bora👍 Matusi nq matukano ni tatizo na udhaifu hakika +MUNGU+ atusaidie 😢
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 3 сағат бұрын
Kwani wewe sio maremu ajae ? ​@@Zuwenamachela
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 сағат бұрын
Aache kumlipa baba Na mbowe kiazi matosani 🌈
@ommyshopangi9543
@ommyshopangi9543 3 сағат бұрын
Walivyosambaa hivyo wangesambaa kuwasaka wanaotuulia ndugu zetu na kuharibu amani ya Taifa hili....tungekuwa tumepiga hatua sana!!!!
@saidtembele3070
@saidtembele3070 2 сағат бұрын
Ndiyo mnawataja sasa mkiulizwa mnawaficha na mnaishi nao mitaani 😂😂😂
@GodfreyTarimo-je4xo
@GodfreyTarimo-je4xo 2 сағат бұрын
Tutaandm bila uog
@danielkanso
@danielkanso 2 сағат бұрын
Nguvu hiyo hiyo kubwa inayotumika kuzuia haliya amani basi washughulike na washughulike kuwarejesha watu waliotekwa na waliopotezwa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 сағат бұрын
Au kibibi kilimumaliza Magufuli jwa ahadi ya kufanya kazi fulani majibu niliyoyasikia skijibu wabalozi utajua na unaweza hata kupina ufahamu wa mtu ukisoma kwa kuokotaokota ndiyo hayo matokeo ya kisomo nusu.
@veronicmkenda9939
@veronicmkenda9939 3 сағат бұрын
Ila chadema wanawatesa sana 😂😂 sijui what secrets hidden behind
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 4 сағат бұрын
Wanazunguka wamejaa kwenye gari moja mkipigwa bomu😂😂 thenx God
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 3 сағат бұрын
Wata jua tu wanajisumbua tu hao pt
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 3 сағат бұрын
Aaaaa jamani chadema kweli nichama kikuu Polis Jiji Zima wanazunguka na magali Poaho wata pewa Magali wamejaziwa mafita Nishilingi ngapi zinazo tumika Tunawagonjwa hawana madawa lakini mumgu anaona
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 сағат бұрын
Chama kikuu unacheza wewe Hao wanataka kutoa watu roho jipendekeze uone kawaulize Cuf😅
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 2 сағат бұрын
Eti chama kikuu, peleka kwato zako ukaone Cha moto.
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 сағат бұрын
KAMA MLIFIKIR TANZANIA N SAWA NA KENYA KITAWALAMBA
@Gamba177
@Gamba177 3 сағат бұрын
Ipo siku mtafirwa ccm wote kumamazenu wasenge wakubwa.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 сағат бұрын
Wacha wanyooshwe hao wajinga
@BahatiIsangu
@BahatiIsangu 22 минут бұрын
Askari wa Tanzania kazi yao kupambana na maandamano ya vyama pinzani tu ndo kazi yao
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 4 минут бұрын
Hao Askari watusaidie kudhibiti watu wasiojulikana achana na hao wanaojulikana wakifanya fujo kwenye maandamano watakamatwa maana wanaojulikana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 сағат бұрын
Yan nyie serikali ni hatar sana kumzuia mtu kusema ivi mnafikir ni nn kitaendea watu wanapokaa na kinyongo moyoni? Kwan mme ambiwa chadema watafanya fujo?iv hii serikali vp?
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 2 сағат бұрын
EE MUNGU TUONDOLEE WATAWALA WABAYA WANAOTAKA KUONEA KUKANDAMIZA NA KUTUMIA MABAVU mnaweka askari kuzu8a maandamano Mtawaweka pia kwenye mioyo ya watu kuwazuia wasi8chukie serikali au kutokuwa na imani nayo!!!!!!!!!!!! Keweli kukosa busara ni tatizo kubwa EE MUNGU TUONDOLEE WATAWALA WABAYA!!!
@festohaule9716
@festohaule9716 3 сағат бұрын
Ghalama ni kubwa sana hiyo... Chadema ikiitishia maandamano kwa siku 30 polisi wanakuwa wanakaa kira siku Barabarani!!! Polisi ni kazi ya laana !!!!!!
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 сағат бұрын
Maadamu mmeuwa watoto wetu tutaandamana msiojulikana andaeni vijiko na vikombe kunywa damu zetu maana huu msiba hauvumiliki hatutafanya fujo tutaenda na balabala huku tukililia damu ya vijana wetu
@MeryLyatuu-to9ks
@MeryLyatuu-to9ks 2 сағат бұрын
Polisi inatakiwa kulinda maandamano ndio kazi yao sio kipiga watu na wao si wanafamilia zao. Humo kwenye mandamano walinde raia kwa upendo Mungu awaepushe na roho.mbaya
@matanokitwana3249
@matanokitwana3249 2 сағат бұрын
Mmekosa Sera za kuwaambia wananchi ktk uchaguzi ujao mnatafut Kiki kupitia polisi ,tunataka mtuambie nyinyi cdm wapi mmefikia na wapi muelekeo wa Chama na tunataka uchaguzi wa mwenyeti mpya sio WWE ghadafi
@marthadominick2212
@marthadominick2212 2 сағат бұрын
Hao vijana waliowateka wanashindwa nn kuwarudisha wakiwa hai au wafu au majivu tatizo lipo tena kubwa sana
@AlexEzekielMwaseba
@AlexEzekielMwaseba 57 минут бұрын
Nataka kujua nini maana yamaanadamo lakini walio madalakani waonaje maandamano iwe sehemu ya wao kubaki madalkani wanaogopa nini please walusu tu ili wao wajue wapi wankosea na wapi wantaka kutupeleka watanzania naipenda nchi yangu forever sina ninapo pajua Zaid yaTz tangu kuliwa kwangu
@lucymtui8680
@lucymtui8680 3 сағат бұрын
Wamuulize waziri mkuu wa Bangladesh
@joojombi2341
@joojombi2341 4 сағат бұрын
Maandazi wahed
@yohanakateko
@yohanakateko 3 сағат бұрын
Polisi bhana
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 4 сағат бұрын
Ni ujinga tu.
@fanuelnary4579
@fanuelnary4579 2 сағат бұрын
Uzuri hata Jeshi la police wanafurahia kupata hata allowance
@edgarjoseph5573
@edgarjoseph5573 3 сағат бұрын
Uwoga wetu ndio siraha yao mbwa hawa
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 сағат бұрын
Wametanda jiji zima lakini mpaka leo wameshindwa kuwakamata watekaji na pia wameshindwa kuwapata waliotekwa.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 сағат бұрын
Serikali mnatia aibu hawa mbona wachache saana, hawa mgambo tu wanawatosha
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 3 сағат бұрын
Hakika Mwanang 😂
@Selemlaki132
@Selemlaki132 3 сағат бұрын
Kwa Hali hio hakuna cha maandamano hapo Askari wote hao
@NoufelSalim
@NoufelSalim 42 минут бұрын
Waache wazunguke hawatushtui,maandamano yapo pale pale
@yohanakateko
@yohanakateko 2 сағат бұрын
Polisi wamefeli kwa mambo mengi
@ZainabuHassani-fe8ur
@ZainabuHassani-fe8ur 3 сағат бұрын
Kazi iendelee
@francismomo7067
@francismomo7067 3 сағат бұрын
Ingekua hivi siku zote...tusingeshuhdia watoto wakitekwa na kuchomolewa Figo,watu kutekwa na kuulizwa.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 сағат бұрын
@@francismomo7067MLAUMU PALOKO 😢😢😢😢WAMEMALIZA MAALBINO NA WAGALATIA KIMYA
@francismomo7067
@francismomo7067 3 сағат бұрын
@@OmmyJames-xn7ji ipo siku haya yatahamia kwenye familia yako....sjui utasemaje...cdm wanapinga ukatil Kwa ajili ya wote wew unatetea ujinga
@francismomo7067
@francismomo7067 2 сағат бұрын
Mfano imeandkwa wapi kua askari polis ana haki ya kumpiga mtuhumiwa,au kumpiga had kufa( wangapi wamefia mikonon mwa askali? Uzalendo ndo kitu Cha msingi)
@jonaskweyamba9747
@jonaskweyamba9747 2 сағат бұрын
​@@OmmyJames-xn7ji Naona akili.hazikutoshi kamwe Paroko ana hisusiana je na mada inayo tangazwa Ukome
@meckdonald81
@meckdonald81 2 сағат бұрын
Kodi zetu mnajazia mafuta nakula misele moto wa gesi unawasubiri jahanam
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Сағат бұрын
Tunawaona. Wanatafuta waalifu na tunawapongeza
@peterdeus6093
@peterdeus6093 3 сағат бұрын
Kamwe huwezi kuzia maji katika njia yake ila utaongeza muda tu kabla maji hayajavunja kizingiti, mnaweza kuteka kuuwa hayo yote yanawafanya watu kukizoea kifo na kuwaondolea uwoga, na hatimaye wakati utafika wanyonge mil 60 watavunja kizingiti kwa mikono yao
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 4 сағат бұрын
Hzo hela za doria zngeongeza hata madawat mashulen,aibu aibu
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 33 минут бұрын
Ata wakizingira maandamano ni lazima askari ni rai kama sisi hatuwaogop
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 2 сағат бұрын
Wewe mwandishi unasemaje vurugu wakati unajua maandamano ni ya amani?
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 2 сағат бұрын
●maandamano yalifanyika bila vurugu❤
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 2 сағат бұрын
Gari zanini jameni kwani kunavita au samia unaogopa nini kuandamana sio tatizo
@MartinPatrick-g6c
@MartinPatrick-g6c 3 сағат бұрын
Kumeanza kuchangamka sasa
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 3 сағат бұрын
Ahhh unazuia maandamano ambayo yapo kwamujibu wa katiba aisee niuchizi kabisa
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 40 минут бұрын
Inamaana kweli askari na watekaji
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 сағат бұрын
Serikali ya wahuni kaz yao ni kutumia maguvu na vitisho .....wakidhani kuwa ni suluhisho la kudumu, .....mnazidi kupanda chuki na kuharibu nchi yetu.
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 46 минут бұрын
Chadema sio waandamani hao wanatishia tu mwandamani wa kweli hawezi kutangaza😂
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 2 сағат бұрын
Kazi nzuri maana tunataka Amani
@antipasmkude3789
@antipasmkude3789 Сағат бұрын
Kwanini wasingefanya hivi kudhibiti wanaoteka watu Na kuwaua, ujinga tupu.
@StephanoMwanjemba
@StephanoMwanjemba 53 минут бұрын
Jamani sijaono vifaru
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 минут бұрын
Ile siku aliyotekwa yule Baba wangezunguuka hivi tungejua km ulinzi upo lkn wanasubiri maaandamano ndy wazunguuke si uzwazwa huo😂
@joojombi2341
@joojombi2341 4 сағат бұрын
Mbna hutuonyeshi hao FFU wacha kupotosha watu bhana wee waongea uongo Mbna hutuonyeshi
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 3 сағат бұрын
Hivi bro hujaona?
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 сағат бұрын
Unaumwa wewe mm nipo dar yanapita kila Kona nimeyaona wanatisha watu tu inchi imekuwa ya hovyo Sana ukisema ukweli unatekwa
@elizabethkisawa3407
@elizabethkisawa3407 3 сағат бұрын
Kwani Hi o ndiyo demands krasia? Mnatisha wananchi buree? Kwani wakiandamana kunà niji? Hivi watatuondoa kweli wana ccm? Mnawapa kiki tu chadema
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 3 сағат бұрын
Kama ndo ivo kwann watu wanatekwa maandamano ndo mnayaheshim kuliko wananch wanao tekwa
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 29 минут бұрын
Hivi kuandamana kunabadilisha nini? Ni kujiumbua na kupingwa virungu bila sababu
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 12 минут бұрын
Hali sio ya kawaida wkt ni hali ya kawaida, ww ushaambiw usifny unatk kufny hlf mipakani broo hakuk hv usiipambe story
@joycemlay5762
@joycemlay5762 55 минут бұрын
Tusije tu tukarud makazini mkatulenga kama aqulina mkatuuwa
@MASHIRAMADHAN
@MASHIRAMADHAN 6 минут бұрын
Mbona warudia sehemu hiyohiyo tu
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 3 сағат бұрын
haya magari yenye sura mbaya. tuliyazoea mitaani enzi zileee za Mzee wa Msoga. hakuna jipya hapo
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Сағат бұрын
Hii media nasikia ni ya Kenya
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 15 минут бұрын
Ila pia nimegundua chadema ina nguvu na ndio chama pinzani nitawaunga mkono
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 4 сағат бұрын
Wamekosa kazi yakufanya akili awana😂😂😂😂😂 Tanzania akuna amani
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 сағат бұрын
Kenya walitoa mpk jeshi lakini walikomaa tuache uoga inatosha sasa
@ShukuruSanga-rq1lt
@ShukuruSanga-rq1lt 4 сағат бұрын
acha kushabikia maandamano umewai tembea nchi zenye machufuuko achen i amani itawale TANZANIA MM NIPO KONGO NAONA HAPA ACHA KABISA
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 4 сағат бұрын
Mwisho wake Ikawwa Nini
@emmanuelmahenge-z7u
@emmanuelmahenge-z7u 4 сағат бұрын
Tanzania syo kenya kaka😂😂
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 сағат бұрын
@@NgamelaYussuph kwan hujui
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 сағат бұрын
@@ShukuruSanga-rq1lt pumbavu amani ni watu kutekwa hadharani na kuuwawa kwako ndo amani hamna uchungu nyie na maisha ya watu au ni vile hayajakukuta ww au mtu wa familia yako
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 4 сағат бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡🫡👏
@simonetz7036
@simonetz7036 2 сағат бұрын
Kwani maandamano yanashida yoyote
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 3 сағат бұрын
Uchawa.wenu.police.ukomwisho
@Alexanderlyimo
@Alexanderlyimo 3 сағат бұрын
Waache wajazane dar. Maandamano ni dodoma
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@LeahLyimo-h1d
@LeahLyimo-h1d 53 минут бұрын
😂😂😂😂😂
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 сағат бұрын
gun boot mode iyo ya kuogopesha watu
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 16 минут бұрын
Nani kafanya fujo? Sasa kama askr wanataka kuona hasira za watu ambao hatuna kazi bishana na sisi tuko wengi kinyamwezi
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 Сағат бұрын
tutaandamana wala hatuogopi..
@JumaMkiji
@JumaMkiji 2 сағат бұрын
Mlikua mnashangaa unguja sasa yapo kwetu
@shivobs4485
@shivobs4485 2 сағат бұрын
Watakua wanawatafuta watekaji
@GabrielSky64
@GabrielSky64 3 сағат бұрын
Duuh kwani Kuna vita.watu kudai haki zao wanashikiwa mitutu😂
@abednego3876
@abednego3876 2 сағат бұрын
Hao chadema wakitoka 10000 tu wanatosha, tatizo watatoka 30. 😂
@danieljoseph7120
@danieljoseph7120 3 сағат бұрын
TUMEIPENDA WENYEWE, NTWENTWE MTAJIJUA WENYEWE NTWENTWE 😅😅😅😅
@richardbenny156
@richardbenny156 Сағат бұрын
majamaa maoga kishenzi. mwendo wa kujamba jamba
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 Сағат бұрын
Wanatishia
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 47 минут бұрын
Wanafanya mazoezi kwaajili ya tarehe 23😂 Sasa hivi mbezi ukishuka unatakiwa uoneshe barua ya mjumbe wa kijiji ulichotoka unakuja dar kufanya nini, kwenda dar uwe na kibali 😂
@sabinambwei6368
@sabinambwei6368 Сағат бұрын
Matisho
@JenniferTemba-t9i
@JenniferTemba-t9i Минут бұрын
Uku mbeya Nako nimeona ni atar
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 3 сағат бұрын
Askar wote melaaniwa nyie Waiwaji wakubwa wa samia nyie
@sabasmichael7553
@sabasmichael7553 3 сағат бұрын
Rais na vijakaz wake hawajiamin ndio tatizo mngetulinda hiv c ata ukiacha cm njian uengeikuta? Pumbafu zao viongoz
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 acha tu nicheke maana ukute chadema nao huko waliko wanacheka tu.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 сағат бұрын
Waotekwa hawatafutwi kwa sababu wanawajuwa? Mbona wanataharuki hivi. Mama yao anasema tuzoee midiba hivi raisi unawza kuongea hivyo kwahiyo mwanaye akifa atasema nimezoea
@YekoniaKusiluka-jt2ju
@YekoniaKusiluka-jt2ju 3 сағат бұрын
Mwandishi acha uhuni Nani kakwambia niyavurugu?
@StephanoMwanjemba
@StephanoMwanjemba 54 минут бұрын
Wajipange tunakuja
@storytownTv
@storytownTv 46 минут бұрын
Wengine tunaanza usiku .😅
@lilhydon452
@lilhydon452 3 сағат бұрын
😂😂😂eti huwezi amini kuna watu wanatekwa na kuuwawa?
@joojombi2341
@joojombi2341 4 сағат бұрын
Wizi mtupu wee
Saudi Arabia’s giant money pit: NEOM | If You’re Listening
13:28
ABC News In-depth
Рет қаралды 674 М.
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 8 МЛН
Family Guy - Peter Becomes a Muslim Part 1
4:43
Big Simpson
Рет қаралды 2,5 МЛН
Msako mwanafunzi aliyepotea kuhamia mtaani, wenzake waeleza alivyotoweka
3:02
CHADEMA YATANGAZA NJIA ZITAKAZOTUMIKA KWENYE MAANDAMANO
2:10
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,7 М.
HALI ILIVYO MITAA MBALIMBALI DAR , POLISI WAFURIKA KILA KONA
4:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,8 М.