HABARI NJEMA DR.SULLE AONGEZA FAMILIA/MBEYA SASA NI NYUMBANI

  Рет қаралды 6,094

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@YasminaMkali
@YasminaMkali Күн бұрын
Hongera sana Dr. Sule. Twakupenda sana mie na familia yangu....❤❤❤❤
@jumahamad3723
@jumahamad3723 Күн бұрын
Allah akuzidishie sheikh sule kwa bidiii yako na Amani iwe kwako
@shersaid7988
@shersaid7988 Күн бұрын
MashaAllah Dr.Sule unafanya kazi kubwa kusilimisha watu.Allah akubariki
@Ummy-vd6tm
@Ummy-vd6tm Күн бұрын
MashaAlla Allah akuzidishie fi dunia waliakhera
@HemediMussa-gx4gx
@HemediMussa-gx4gx Күн бұрын
Mashallah tabarakallah hongera sana Dr sulle wew n jembe🎉🎉🎉🎉🎉❤
@AmoIslamicTv
@AmoIslamicTv Күн бұрын
Allah akuongoze Dr Sulle
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 10 сағат бұрын
Mashaalla mama ulimi wake mwepesi sanna
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 16 сағат бұрын
Maashaallah tabarakallah
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 12 сағат бұрын
Allahu akbar ❤❤❤❤❤❤
@ShamsiMikdad-bj7me
@ShamsiMikdad-bj7me Күн бұрын
Masha allah allah akuhifadhi
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 13 сағат бұрын
Nilishtuka niliposoma kichwa cha habari nikadhani eti ameoa jamanii daah afadhali!
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 14 сағат бұрын
Jamaa anajuwa mambo mengi sana
@makkawi4294
@makkawi4294 11 сағат бұрын
Mashaallah tabarak Allah ❤🎉🎉🎉
@ChandeSaidi-q4n
@ChandeSaidi-q4n 14 сағат бұрын
Jaman ntmie namba ake niowe km ajaolew aje songea
@halimaali3719
@halimaali3719 Күн бұрын
Mashaallah ❤
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 4 сағат бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉chukuwa. Iyo dct sule
@Mohammedyasia
@Mohammedyasia Күн бұрын
Maa Shaa Allah
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Күн бұрын
Dr sule piga kazi tuongezee uma ( wacha jamaa ang’ang’ane maulidi haramu au laaa::: kana kwamba ndio ukamilifu wa dini)😔
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 16 сағат бұрын
Keahiyo unataka. Wanyamaze ilimuendelee kupoteza watu. Bilakukemea hao wanaosilimu wanatoka kanisanikwenye kuimba kwaya wanakuja kwenye madufu.sasahapo utofauti upowapi
@Fatima-mu9on
@Fatima-mu9on 17 сағат бұрын
Kwa taarifa yako ww ulosema mtume nimzinzi.mtume Muhammad ameoa hakuzini.mzinzi wakwanza ww usojua mbele wala nyuma kenge ww😏
@jamalkishangu
@jamalkishangu 15 сағат бұрын
Huyo hajui ni mtu kitu, kama angefahamu historia iliyo andikwa na wao wenyewe, asingefunua domo kuzungumza chochote kuhusu mtukufu wa daraja mtume Muhammad, japo historia hiyo inafanywa kuwa siri ni kuwa Yesu alikuwa na mpenzi jina lake Maria Magdalena na walipata mtoto. Biblia imetaja vifungu vingi vinavyoa ashiria jambo hilo, waandishi wametumia vifungu hivyo kutunga vitabu kadhaa, filamu nyingi zimeandaliwa na picha kadhaa kuzungumzia jambo hilo.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 14 сағат бұрын
​@@jamalkishanguwewe unaamini yesu kazini?
@Habarimpyamedia
@Habarimpyamedia 13 сағат бұрын
Yesu hajazin...wala muhammad hajazin tofaut n muhammad kaoa...yesu hakuoa wala hakua na dem
@abcdoman8739
@abcdoman8739 4 сағат бұрын
Naomba namba za dr sulle
@ShabaniMchela-z4j
@ShabaniMchela-z4j Күн бұрын
Alla akuongoze
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR Күн бұрын
ALLAH AKBAR
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Күн бұрын
🙏🤝
@HamdiNuh
@HamdiNuh 11 сағат бұрын
M.A❤
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Күн бұрын
Allah Akbar! Allah Akbar! Allah Akbar!
@LilaSilima
@LilaSilima 16 сағат бұрын
Sasa alipokuwa akiolewa aliolewa na dini gan
@claverirambona6068
@claverirambona6068 Күн бұрын
Sijaskia ukweli wowote
@WilliamMaina-zk7tq
@WilliamMaina-zk7tq 9 сағат бұрын
Ati Nabii Ibrahim alimchija Ishmael badala ya Isaac??innalillahi!!!yaani Uislamu ni vitibi na sarakasi kibao
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky Күн бұрын
Waoaji tupo
@christianchando7041
@christianchando7041 Күн бұрын
Aolewe mara ngapi? Ww hapo unadhani anasilim kwaajili ya nini?
@WilliamMaina-zk7tq
@WilliamMaina-zk7tq 9 сағат бұрын
Yaani Sulle kandanganya mama yule mwingine maajabu ya kimataifa,Yesu S.A.W ndiye Nuru na mwikozi wa Dunia mzima tukianza na mtume Muhammad S.A.W, Dr Sulle na Waislamu wote,mkubali mkatae,mruke mketi chini huo ndio ukweli Sheikh wangu
@christianchando7041
@christianchando7041 Күн бұрын
Amepata Bwana wa kiisilam huyo, ili ndoa ifungwe sharti asilimu.
@OmarSuleiman-o8o
@OmarSuleiman-o8o Күн бұрын
Uy jamaa n ginious
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Күн бұрын
ndio maana mnaupenda uislamu juu nyie niwasherati!
@YasminaMkali
@YasminaMkali Күн бұрын
😂😂😂utashangaa.....endelea kufikiria hivyo hivyo...😂😂😂
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Күн бұрын
Maskini. Kina kitu kinakukaba kooni eti.
@princematumbo
@princematumbo 20 сағат бұрын
Usenge unakuwasha,kafirwe huko,shoga wewe
@huyu1993
@huyu1993 19 сағат бұрын
Wewe si mwesharati ? Unavyovifanya vyote ni zinaa tupu kwasababu wewe mpaka sasa hivi uyo unaishi nae huna tofauti na nguruwe
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 17 сағат бұрын
Allah kawapa nguvu za kiume za kutosha Wanaume wa Kislamu pia katupa ndoa harali za kuoa mpaka wake wanne, sasa uasherati umesema wewe kwa matamanio ya nafsi yako kwa kutukana amri ya Allah,mbona hata Ibrahim alioa wake zaidi ya mmoja,Musa alioa wake zaidi ya mmoja,Zakaria hivyo hivyo,Sulaiman alikuwa na wake 700 tatizo ni akili zenu zisizotafakari maandiko ndiyo Mtihani Mkubwa kwenu na mutaenda kuulizwa pindi mutakapo kufa bila kusilimu na kuwa Waislamu hizo dini zenu sio dini kutoka kwa Mwenyezi Mungu,ndiyo maana hata sisi hatuwezi kuikashifu ndoa ya Mkiristo aliyefunga ndoa kanisani heti tukahita uhasherati haijawahi kutokea alafu mbona nyie Wakristo munaongoza katika kuzaa nje ya ndoa zenu kwa mfano hai mbona mataifa mengi ya kizungu wanazaa bila ndoa?Mbona makanisa yenu katika nchi za kizungu wanafungisha ndoa za jinsia moja?au unadhani hatuyaoni na kuyasikia ?Jiulize kwa nini wanawake kila siku wanazaliwa wengi kuliko wanaume unadhani Mwenyezi Mungu analolengo gani?Hakuna dini kutoka kwa Mungu tofauti na Uislamu!Na ukae unajua kuwa starehe ya kwanza kwa mwanaume ni tendo la ndoa mengine baadae ndiyo maana hata masikini wa pesa anaoa.kuwa makini na kashifa zako juu ya Uislamu hii dini haikuletwa na Mohammad kama munavyodanganywa hii dini ipo tokea kwa Adam na Mitume wote walikuwa ni Waislamu hata Yesu naye alikuwa ni Muislamu ukibisha nitakupa aya za Bibilia na Quran.
@Anonymous23216
@Anonymous23216 20 сағат бұрын
Uislamu ni dini ya uasherati tu... yaani kila mkoa wanapandikiza wake. Huyu sule ni mzinzi kama nabii wake Mohamad
@waziriuledi4036
@waziriuledi4036 19 сағат бұрын
wewe hujui dini kaa kimya kenge kama kenge wengine
@huyu1993
@huyu1993 19 сағат бұрын
Ulaniwe kafiri mkubwa wewe
@fatumaramadhani1283
@fatumaramadhani1283 18 сағат бұрын
Makafiri hamna malezi ya tabia njema ndo maana mnatukana hovyoo,,, uislamu hauwahusu tuacheni jamani,
@fatumaramadhani1283
@fatumaramadhani1283 18 сағат бұрын
Nahisi wewe utakuwa mzinzi wa mwisho
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 17 сағат бұрын
Ndoa zenu za mke mmoja lakini katika ndoa hiyo mwanaume ana michepuko 100 si mungehalalisha ya wake zidi ya mmoja tu😢😢
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 17 сағат бұрын
Mashaallah ❤
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
DR.SULLE AWANYOOSHA WAISLAMU BADILIKENI ACHENI/
16:30
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 6 М.
🔴 Exclusive Bayan at Birmingham by Molana Tariq Jamil | 22 Feb 2023
2:42:17
BABA YANGU KIPOFU Full episode /49/ #love
25:53
BabaJoan
Рет қаралды 185 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН