Imetoka Mombasa imekuja Dar inaondoka inaenda zake Mozambique , hakuna cha royal tua apo ao wanazunguka dunia nzima 😁😁
@amosiabdulallh79659 ай бұрын
3:31 3:33 Kwahio Mnataka iwe yakwenu
@ototek80379 ай бұрын
Nimekuelewa, jamaa analeta siasa..kwahiyo tulitangaza vivutio vya Africa nzima au Tanzania tu!? Jamaa anatuona wajinga
@erickben7749 ай бұрын
poleni sana Tz mko nyuma sana biidi mwimu ..frm KENYA
@deogratiuskapongo45689 ай бұрын
Siku hizi watumishi wa serikali wamekuwa wanasiasa, badala ya kuizungumzia meli na lengo la safari, yanazungumziwa maboresho bila kuulizwa swali
@CK-ri1mo9 ай бұрын
Kwel kaka kam hawan akili yaan ni uchawa tu
@Clevomk9 ай бұрын
Yaani adi mzungu kaambiwa aseme kazi iendele
@jeremiahmsemwa83239 ай бұрын
Kabisa wanazingua
@mayaally25129 ай бұрын
ALAFU NYIE TRC HAMUMUELEWI MAMA MABEHEWA YA TREN YAMEFIKA MUDA BADO NAYAONA HAPO .MAMA AWATUMBUE SHENZI NYIE
@mwebrannia9 ай бұрын
Someni bhana msidanganye watanzania wasiojua kusoma, watu wataanza kusema "norin gen dawn" ndo nini sasa, at least Mkurugenzi mkuu wa board ya utalii TZA kasema "Norwegian Dawn" 👏🏼👏🏼👏🏼
@quickbookingzanzibar9 ай бұрын
Nimeshawaelewa. Kilichobakia ni sisi raia tutapandaje meli kama hizo. Asante
@kambamazig020249 ай бұрын
Mrisho Mrisho, hongera sana kwa kuitangaza nchi yetu kwa matukio haya.
@amanichaula19 ай бұрын
Tunasifia kuja kwa meli wakati taifa ipo kwenye giza goverment waujumu uchumi leo wamepoteza mapato mengine sana na watu kukosa ajiri tunacha kutatua tatizo la umeme tuna sifu tu meli kubwa umekuja ata sisi tuna mali kubwa zipo kanda ya ziwa hao wazungu watatupa nini maisha yana zidi kuwa magumu tunataka umeme tuzalishe mali mnazingua na meli yenu
@mamboshepea88889 ай бұрын
Hapo hapo watatuachia na magonjwa yao ndo tujue hatujui😯😯
@athumanabdallah-hn6li9 ай бұрын
Nyie baba zenu walkosea kuwaza pumbavuzenu
@amanichaula19 ай бұрын
@@athumanabdallah-hn6li ukweli unauma na ukweli utakuwaka huru
@MohamedSaid-jx3df9 ай бұрын
This vessel called CRUISE SHIP in other hand called PASSENGER SHIP,, She has go alongside the berth without required assisting of harbour tug because of existence of bow thrust,, Congr Tanzania Government lead by Mama Samia suluhu for your strategy of devlp project in different sectors and boost up our Economy,,,,Am from Tanga 20 treet
@BakariMtangenange9 ай бұрын
Nilichoona Mimi hii meli ina nembo ya ushoga nafiri ndio lengo hasa la wao kutembelea nchi za afrika hususan Zanzibar na vijana wengi wamekua mashoga hususan Zanzibar
@FahadAbdallah-v5d9 ай бұрын
Na baba yako pia shoga
@mamboshepea88889 ай бұрын
@@FahadAbdallah-v5d Babake hawezi kuwa shoga asingeweza kumtengeneza😓😓
@ScopionScopion-zj9cd9 ай бұрын
mlisem meli yenye ulefu wa mita Zaid ya mia 150 haiwezi kutia nanga bandali ni ndogo ndio mana kapewa muarabu sasa hii imetua wap nchi kavu
@samwelimoshi56149 ай бұрын
Soma vzr kilaza ww
@wemakalama64589 ай бұрын
Atleast watoto wetu wali enjoy kenya big up , all the best
@ndukulusudikucho_9 ай бұрын
Hongereni saaana , naona Uongozi wa Bandari Sasa una jambo, Wananchi tunapenda update kama hizi, Kisheria nyie mmepewa dhamana tu ya Kuongoza lakini Bandari ni yetu wote, naomba mzidi kuwa wabunifu na msibweteke, Ukisikia watu wanamsaidia Rais ndo hivi, Sio Watumishi wa Temeke wanashindwa hata kujenga Soko la kisasa kama walivyofanya watumishi wa Kinondoni pale Mwenge, tunapenda watumishi wabunifu sio kukalia Posho tu
@semamainvestment8329 ай бұрын
fact big up
@IAm_Significant9 ай бұрын
At Last! kwa kweli tujivunie...Cruise Ship in Dar es salaam, na sie tuwe kwenye cruise destination! IamSoProud
@ShukurkollAngel9 ай бұрын
Hongera sana kwa Utalii wetu kukua na kuongeza uchumi. Rais wetu hongera sana!
@clementmsenga24859 ай бұрын
Fanyeni mjenge waterfront yakisasa kupokea hizo meli,amuoni hata aibu kupokea wageni kwenye hicho kibanda
@HamisiMakasara-hb3nt9 ай бұрын
Na walipokuwa wanaweka mikingamo,hicho chombo kingefika? Mambo mazuri hayataki munkar
@JenifaJohn-k5d9 ай бұрын
Ila ww😂😂😂 nikweli lkn
@danielkullwa16139 ай бұрын
ha ha ha
@saidnoumani72449 ай бұрын
Kweli kabisa. Dubai Port wafanye haraka!
@didasseveline90139 ай бұрын
Wakati tunashangilia ujio wa hiyo meli tusijisahau swala la kiusalama! Make kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo!
@elvisoscar99129 ай бұрын
Iyo meli inapita kila nchi ikitoka apo inaenda kenya itaenda Mozambique south ivo mpaka mataifa mengine msilete usiasa sijui nani sijui nani da!
@salummussa11399 ай бұрын
Hizo mita zilotajwa ni sawa na urefu wa viwanja vitatu vya mpira wa miguu
@AliNassor-qt6fm9 ай бұрын
Si mlikua mnasema bandari imeuzwa 😂😂, watanzania ujinga royal tour mlisema mama alitumia pesa za nchi vibaya wabongo tuache ujinga
@danielmussa69449 ай бұрын
Haya mambo ya kupokea wagen huku mnacheza Cheza ngoma ni ya kishamba sana 😂😂
@kelvintowo42879 ай бұрын
Wanaona ka manyan hawa
@mwebrannia9 ай бұрын
Bora hata umesema mana nlikua nashangaa sasa wanacheza nini? kipi cha ajabu yani,
@florashauri92289 ай бұрын
Hongera sana Rais wetu kwa kuiongoza nchi yetu vizuri na kuikuza sekta ya utalii, hongera sana Manahodha wetu , hongera Mamlaka ya Bandari Tz, hongera sana board ya utalii Tz,Mungu ibariki nchi yangu nzuri Sana ya Tanzania
@semamainvestment8329 ай бұрын
sifa nyigi sana jamani da
@evaristsamali58589 ай бұрын
Karibuni wageni zingatieni maadili yetu
@wozanawewoz9799 ай бұрын
😂 😂
@seifsoud2669 ай бұрын
Hhhhh kwa yap
@CK-ri1mo9 ай бұрын
Royal tour inatokea wapi hapo ?????
@FahadAbdallah-v5d9 ай бұрын
Iyo meli ilikuwa zanzibar aache uwongo
@mrrockboy95089 ай бұрын
Uuu utumwa mpakalini ao wanaocheza apo wanamanisha nini kama sio uboya
@jumaamohamed28159 ай бұрын
Hawa mi nahisi ndio wametuletea ugonjwa wa Macho Red eyes"
@OmerSuley-gl7go9 ай бұрын
Wametoka Zanzibar ndipo wakaja Tanganyika
@ScopionScopion-zj9cd9 ай бұрын
kweli kwetu washamba mbona hizi meli zipo kitambo sana toka mwana 19930 hasa kampuni ya CMCC inazo nying kweli unaweza ukapanga nyumba ukawa ukawa unazunguka nayo kila pahali huduma zote zipo maduka hospital hoteli sehem ya michezo mpara jim kuogerea yani swim pool kila kitu kama nyumbani2
@mangulimanguli39749 ай бұрын
Ujaambiwa ushamba kina kilikua kidogo meli kama iyo ilikua aiwezi kuingia ndo maana ata tanker kubwa zinafunga SPM ,
@muzafarsharif94659 ай бұрын
ilikuwa mombasa hiyo but wabongo mpaka viongozi wao wanapenda kiki,,,kenya ilifika lakini viongozi hawakuongea hivo😂😂😂
@elvisoscar99129 ай бұрын
Mbona kenya imefika na viongozi awajawa na promo za siasa ivo 😂😂 ao wanapita tu bahari ya indi na wanasepa
@ausonjustinian46739 ай бұрын
KARIBUNI WAGENI. AYA NI MATOKEO YA FILAM YA MAMA. ILA msituibie jmn.
@kadrimwingamno2589 ай бұрын
Duuh 😮
@issazalala49079 ай бұрын
Wanakuja kuongeza ushoga 😂 noma sanas
@MrSam7009 ай бұрын
Mbona ka Naona kila anayeshuka mzee waliojichokea wanasubir kufa😂
@juliusmagunila63089 ай бұрын
Utazani yetu
@agapemunyi20959 ай бұрын
Awam ya tano iliongeza kina cha maji na kuchimba bahari, zanzibar ilitia nanga mbali sana
@maclaudismail66069 ай бұрын
hujaulizwa kuhusu awamu ya ngapi nini kimekuwasha mwangaruka ?
@Allybinamour9 ай бұрын
meli hii ilipokuja zanzibar imetia nanga nje hakuna bandari yakufunga meli kubwa,wala serikali yetu haijasema inataka kuboresha bandari yetu. hii ndo faida ya muungano wetu.
@bkephasi9 ай бұрын
Tunapataje ajira huko dAh
@issakwisamwasanjobe5419 ай бұрын
Tunachekelea meli huku mnashindwa kuendesha bandari tunawapa wawekezaji hii ni aibu, tuko mil60 hatutakiwi kushindwa jambo, sekta ya umma iwe bora kuliko wawekezaji ,tunahitaji viongozi wenye uwezo huo wanao shindwa wa p ishe
@kariz_32649 ай бұрын
meli imefunika bandari haionekani😂😂😂 maisha haya nyie mungu ya balance hapo kidogo na sisi tuishi..tusishindikize wenzetu
@Dymitri-Babushka.9 ай бұрын
Hio meli ya diamond platinum
@JUSTNEMITOMINGI9 ай бұрын
Mnaitana na meli jmn
@JUSTNEMITOMINGI9 ай бұрын
Ushamba tu
@peninashungu66339 ай бұрын
Huyo muongeaji Hana uwakika ilipotokea 😂mana Ana waza majibu
@NdekejaKamuli-sh5pe9 ай бұрын
Mmmmh sasa hao wa mama mmeweka wacheze hao lengo nini?
@JosephAluphonc9 ай бұрын
Jamani mtukumbuke na ziwa Tanganyika huku hakuna meli
@mayaally25129 ай бұрын
Zinatemgenezwa moja mpya na kuirejshea upya mv liemba
@jumaamohamed28159 ай бұрын
Nasikia Harmonize kaghaili kununua private Jet sasa ndio anataka kuinunua hii Meli# Hongera Konde Boy🎉
@ScopionScopion-zj9cd9 ай бұрын
we nae usichekeshe watu huyu konde hana uwezo wakuinunua hii hata uyo boss wake simba hawezi hii meli inauzwa dolla billion miamoja huko marekani china finlend na korea kusini pya
@jumaamohamed28159 ай бұрын
@@ScopionScopion-zj9cd Sasa si ndio naskia ameghairi kufungua kituo cha redio na Runinga na kununua iyo Jet anataka kununua hilo Meli wakatembee huko Baharini na Posh Queen, maana vile viboti vya slipway Posh vinambana hips hazitoshi kwenye kiti"
@elvisoscar99129 ай бұрын
Kwaiyo mfano ilipokuja apo nilijua wataongea watu wa Dubai na pesa za parking wanachukua watu wa dubai ama vp
@hajiameir86889 ай бұрын
Mbona wabongo mnapenda sifa hiyo meli ilikuwa zanzibar na tumekaa kimnya kwani tumeshayazoea nyinyi huko ni gumzo acheni hayo mambo
@mangulimanguli39749 ай бұрын
C hamna vyombo vya habari ,Nyinyi kazi yenu kupiga umbea tu vibarazani ,kwani ikionyeshwa tatizo liko wp?
@Thekidp37029 ай бұрын
Acha mawazo hasi Kwani kai ya media ni nini?
@yasiniswedi88359 ай бұрын
Kwaufisadi na lushwa zilizo kisili katika nchiyetu ujio wa hizomeli utakuwa natija kweli kwa taifaletu?
@prezyb16999 ай бұрын
Watanzania tutaacha lini kusujudia wazungu
@ladislausmoris96389 ай бұрын
Tutajutia ujio wa meli hizo wenzet wanajitambua endeleen kufagilia tu adi zitakuja mnaziita za wataliii zaid ya hiyo
@VICEMOINVESTMENTS9 ай бұрын
Duuuh
@hassanmsonga9 ай бұрын
WANGEAGIZA SUKARI KWANZA KWA WINGI NINGEONA WANATUJARI WANANCHI WAO
@piterasifa37579 ай бұрын
Hi kubwa kuliko iliyoleta magari 4000
@kabaranamaganga66469 ай бұрын
Jengo liboreshwe tafadhali linatia aibu
@johnsonsabanya58609 ай бұрын
Kwani mombasa napo royal tour ilifnywa na Rais wao?
@abbumwaipopo29409 ай бұрын
Hongereni🎉
@highlights9739 ай бұрын
Wadau umeme vp maana unakatika kama sifa😅
@abdallahchande29139 ай бұрын
Kwani inauzwa?
@mamboshepea88889 ай бұрын
Eeh...wamesema laki 2 bila hao abiria, ikiwa na abiria laki 3😃😃
@zahramohammed23379 ай бұрын
😅madanga nnjenje jamani😂😂😂😂
@Fesary9 ай бұрын
Marubani, 😢😢
@nelsonmtui38089 ай бұрын
😂😂😂
@Fesary9 ай бұрын
Hatari sana
@SideMohd9 ай бұрын
Hyo meli ipo znzbar
@mamboshepea88889 ай бұрын
Achaga ujinga basiiii !!!!
@mamboshepea88889 ай бұрын
Ashukuriwe alieleta wazo la kuongeza kina na upana wa mlango...
@wolinet19 ай бұрын
Google waongo. Yaani uki translate kiswahili kwenda English ni majanga
@shabanponera28959 ай бұрын
Imetoka Zanzibar ndio imekuja dar
@nuhumaalim49769 ай бұрын
Sasa si ushaambiwa inatoka zanzibar ww
@MashauriEnock9 ай бұрын
Wamefata nini
@hamisikitwana79579 ай бұрын
HACHENI UONGO WALISHAKUJA ZAIDI YA HAO
@amirymdee42599 ай бұрын
***Hao siyo watalii ni wakimbizi wanakimbia vita Ulaya***
@abdallahkisuda48599 ай бұрын
Najiouliza hakuna mwandishi ameuliza itakaa kwa muda gani?
@testmyphone13059 ай бұрын
ukisema haijawahi tokea meli kubwa kuja tanzania na si tunaona inekuja tanzania unatuchanganya
@wemakalama64589 ай бұрын
😅😅😅😅
@jerrywilliamz17959 ай бұрын
Tz jengen cruise ship yenu achen kushangaa vya wazungu
@HamisiMakasara-hb3nt9 ай бұрын
Na mpaka rufaa ikisikilizwa, tutakuwa tumeshaingiza meli za kutosha, na dolari nyingi