HALI TETE SAKATA LA MPINA NA BASHE UKWELI WAWEKWA WAZI NA WAKILI MOSES

  Рет қаралды 28,583

Ngasa Tv

Ngasa Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 3 ай бұрын
Kwa ufafanuzi huu mpina amekosea wapi spika ulitaka tusiyajuwe. Hayaa mlitaka iwe sili yenu nyiye wabunge sasa tupo tayari kwa lolote kumsaidia mpina hilo bunge ni bunge la kutugandamiza watanzania asante mwanasheria kwa kutufafanulia mpina yupo sahihi ccm tuiyondowe madarakani ili haya yasiwepo mpina mungu atakulinda
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 3 ай бұрын
Well done 👍 Mr. lawyer, the true freedom is coming, Hawa watu wanatuona kama sisi mambumbumbu na wajinga wa mwisho ila wao ndiyo waliosoma. Shem on them na wanahitaji kulaaniwa kwa kutufanya sisi hamnazo na wao ndiyo wajanja.
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 3 ай бұрын
Asante sana Wakili kwa ufafanuzi mziri . Tunafanyaje na hawa majambazi ???
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 ай бұрын
Asante Wakili kwa ufafanuzi mzuri Mh Bashe na Mh Mwigulu mchunguzwe na msimamishwe kazi uchunguzi ukiendelea na pia msimamishwe kuingia bungeni cku 15
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Katika wabunge wote ni Waitara tu ndiye aliyesimama na haki, wengine wote wameterea wizi. Wizi na udanganyifu wa mali za umma. Waitara nimekupenda bure. Asante sana kwa kuzungumuza ukweli. Unalisaidia taifa na Rais. Achana na wabunge thahifu wanaosema tuwaachie Bashe wawo, elimu ndogo. Bashe ni waziri ameajiliwa na Watanzania, na analipwa na kodi za watanzania. Shida tuna wabunge wengi hawajuwi ni kwa nini wako bungeni. Wanakula mishahara ya bure na kulifanya bunge ni mali yawo. Bunge ni la watanzania na jambo hili tunalifuatilia. Kwa niaba ya watanzania Mpina Ana haki ya kumuhoji Bashe. Kątowa ushahidi na Watanzania sio wajinga.
@hakiyangu
@hakiyangu 3 ай бұрын
Wanajua sana sababu ya kua bungeni tatizo ni dharau kwa wananchi.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
@@hakiyangukuna siku watanzania watauvuwa uwoga. Watatafuta njia ya kupitia
@RobertGwelela-zq2fr
@RobertGwelela-zq2fr 3 ай бұрын
Waitara naye wazee wanamlalamikia jimboni kwake kwa kuwatesa vijana eti kila akikosolewa ni kukamata vijana na kuwatia ndani.Kwa upande wa Kiukweli ameonewa.Kama ambavyo alisema kuwa waziri Bashe ni muongo ilitakiwa Spika awasomee wabunge ushahidi aliouleta Mpina bungeni Kisha Bashe ndio awe anajibu.Hiyo ndio ingekuwa haki,akishaonekana Mpina kamsingizia Bashe ndipo Sasa angepelekwa kwenye kamati ya maadili.
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 3 ай бұрын
Kwa maelezo ya ndugu wakili ,,naamini haki ipo mbinguni,,hapa duniani nikuvunjiana heshima na kutoana roho,,kama vile mheshiwa mpina anavyo sulubiwa kwa kumvujia heshima na wengine wakiwa hawajui Sheria,, zaidi ya kutumia madaraka na kuula za kinafiki.
@NicolausOnidans
@NicolausOnidans 3 ай бұрын
Shukuran kwa ufafanuzi wa sheria
@EmmanuelErnest-xd1rc
@EmmanuelErnest-xd1rc 3 ай бұрын
❤❤❤Asante kaka.tuamuke.
@HarunJonass
@HarunJonass 3 ай бұрын
Duuuuuu!!!!!! Mungu tusaidie
@rashidabeid172
@rashidabeid172 3 ай бұрын
Ili mru achaguliwe kuwa mbunge, ni lazima awe mwanasheria. Wabunge wetu weeengi sasa ni wa kusema tu Ndioooo. Uwezo wao wa kuhoji na kurejea kanuni na miongozo ya uendeshaji wa nchi hawajui. Au kuwe na training za kila mara kuhusu sheria zetu wawapo Bungeni
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 3 ай бұрын
Wakili asante sana kwa ukweli huu uliowazi lakini wenzio tunatafuta fedha za uchaguxi
@abelchacha5977
@abelchacha5977 3 ай бұрын
Nicjangamoto. Mi nasikia kilimo cha umwagiliaji na bajeti kubwa. Ila sidhani kama nimewahi kula nafaka au mchele wowote wa umwagiliaji. Maji hata kwa matumizi ya kawaida ni changamoto. Haya ya kumwagilia inakuaje. Tunahitaji kuelewa sana hiki kilimo na jinsi kinavyofanya kazi.
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 3 ай бұрын
Kwa namna hii kumbe bunge ndio limevunja sheria na sio Mpina ila sasa yeye ndiye anayeadhibiwa, kumbe waziri wa kilimo na waziri wa fedha ndio wamevunja sheria na kulidharau bunge ila sasa Mpina ndiye amedhibiwa hili bunge la chama kimoja linaharibu hili taifa ila hakuna chenye mwanzo kisichokua mwisho watakuja isha vibaya sana.
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose 3 ай бұрын
Wana sheria happy ndio mnaitajiwa kwenda mahakamani kumtetea ndungu mpina!
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed 3 ай бұрын
Mabunge yetu haya ya nchi za kiafrica mtu ukiongea ukweli tu unakua mwiba kwa serikali husika mpina alikua mkweli sena ndohivyo alikosa sapota
@YasintaCharles-g8x
@YasintaCharles-g8x 3 ай бұрын
2025 itatoa majibu halisi ya Utawala bora .Ajira na maisha bora kwa kila mtanzania yanakuja
@SillinusNyanda
@SillinusNyanda 3 ай бұрын
Nimeshindwa kuelewa kabisa.Mbunge msukuma mtu anasema kweli na unatetea bila aibu na mnatishia NEC.Hiii c sawa kabisa.
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 3 ай бұрын
Huyu msukuma mimi nilikuwaga nampenda sana lkn toka kwenye DP WORD alivyo kuwa anatetea kwa nguvu zote kumbe kuna madudu ya kufa mtu nilimtoa maana kabisa.
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 3 ай бұрын
Rushwa hupofusha macho, penye rushwa akili nzuri hushindwa kufanya kazi
@hakiyangu
@hakiyangu 3 ай бұрын
Wafanya biashara wa sukari kwa sasa wengi wao ni wabunge na ndio maana hawajali vilio vya wananchi na wanamuona mpina kama adui yao kwa kua anagusa maslahi yao 1kwa1. Mpina amehujumiwa kwa kuwambia ukweli wananchi.
@imaniandrea-ib6fy
@imaniandrea-ib6fy 3 ай бұрын
nilini tutapata viongoz wazarendo natutawapataje mana viongoz wengi wanatete vyama vyao tu mim kama kijana mdogo waga naona nikama vyama havina faida yoyote asa kwenye Taifa kama la Tanzania linalojeng watu waumoja tunaposema dini makabila au ukanda najinsia vinagawa watu tusiache vyama pia nichanjo chakugawa watu hivyo cha ama ukabila dini kwatanzania no
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
Harafu anatokea mpumbavu mmoja amasema mpina apimwe afya ya hakir yeye ndiye anapaswa kupimwa maana kila kitu ndiyo mzee
@sospeterwan5436
@sospeterwan5436 3 ай бұрын
Gwanjima atetea ufisadi kwa kuleta vifungu vya biblia mpina yuko sahihi kaa jua
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 3 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 nchi nzuri
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Inamvuto
@rithaurassa
@rithaurassa 2 ай бұрын
Safar viongoz mafisad wajiengue wenyewe kabla hawajaenguliwa.Hakika mim ndionimeona hivyo
@MosesMnyantope-zw4ed
@MosesMnyantope-zw4ed 3 ай бұрын
Duh
@upendomokye6803
@upendomokye6803 3 ай бұрын
Magufuli mtetezi wa wanyonge tumekukumbuka mno kifo shikamoo
@paulmteki8196
@paulmteki8196 3 ай бұрын
Tunapoelekea sio pazuri, kwanza sinamuda na bunge kuangalia maana ni utoporo mtu ni watu wa masilayi yao sio wananchi
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
Tatizo watanzania hatujitambuwi kanisa ukifika uchaguzi yaani tunakuwa kama tumelogwa tunachaguwa viongozi wa ovyo tu kwa njaa,zetu
@amosdickson6318
@amosdickson6318 3 ай бұрын
Umewachagua wewe au walijichagua na mwendazake
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 ай бұрын
Wabungu wa ccm.ukimtoa gwajima.wengine wote katika jila la YESU kama MUNGU aishisho.awataludi bungeni 2025 wache tu wapge makofi Kwa kutetea ufisadi
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Nchi yenye mvuto
@imanimahundi8293
@imanimahundi8293 3 ай бұрын
Nani msafi awe wakwanza kumpiga mwingine mawe?
@MenruphKahimba
@MenruphKahimba 3 ай бұрын
Kaka iyo ndio ccm
@Felister-d4r
@Felister-d4r 3 ай бұрын
Kwani ninyi amjui kama kuna kifooo????
@VianeMakarious-lt3is
@VianeMakarious-lt3is 3 ай бұрын
Nchi hii jamani!!!
@paulnsabi3779
@paulnsabi3779 3 ай бұрын
kwa hali hii mpina haponi kwa mkiti simiyu,kamati ya siasa mkoa kamati kuu taifa ukweli hali ya uchumi na bei ya bidhaa ni mbaya inapotokea janga ambalo lilitakiwa lishughulikiwe mapema linashughulikiwa kama zima Moto kupata ujiko
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 3 ай бұрын
Magu amka nchi hii imeshindikana
@DavidJosia
@DavidJosia 3 ай бұрын
BONGO MATAMU
@HaulSidney
@HaulSidney 3 ай бұрын
Awamu ya sita kichaka cha mafisadi
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 ай бұрын
Wew ni wakili msomi, sio AKINA SPIKA ALIEINGIZWA KWA MCHONGO, SASA KAMA MSUKUMA DARASA LA SABA ANAJUA SHERIA HAWA NDO WAPIGA MAKOFI , MBUMBUMBUUUUU!
@petermboje5839
@petermboje5839 2 ай бұрын
Nimekuelewa
@CharlesMwakaligita
@CharlesMwakaligita 3 ай бұрын
Hili bunge walipita kibabe, sasa aliye wabeba katangulia. Patachimbika 25 nyie tufanyeni hatunazo!!
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 3 ай бұрын
Watabebwa tena
@SaleheMkomwa
@SaleheMkomwa 3 ай бұрын
SELEKALI YA UKWELI ILIKUA YA ANKO MAGU BWSNA YAANI TUMEUZIWA SUKARI BEI KUBWA KISA WANAPIGA HELE WAO NA WABUNGE WANAKUA UPANDE WA KULE CC TUTUMIE KILO 6000
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 3 ай бұрын
THE BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN......IT DOES NOT MEAN THAT THE BEUTIFUL ONES ARE NOT BEING BORN NO, BUT THEY ARE POLUTED BY CORRUPT SYSTEMS.....2025 IKO KAZI TENA KAZI KUBWA.
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 ай бұрын
Spika unajifanya shera ni malli yako binafsi.Umeyakanyaga wewe na genge lako mtajuta .
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
🔴TBCLIVE:  RC CHALAMILA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA KARIAKOO
21:52
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34