HALIMA MDEE AFUNGUKA MAZITO- “ NAZI -MISS HARAKATI za UPINZANI, MIMI ni CHADEMA WATAKE WASITAKE”

  Рет қаралды 66,081

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 64
@AbdallahMgwasi-zy1ei
@AbdallahMgwasi-zy1ei Жыл бұрын
Hongera Sana halima
@haroldshangali1486
@haroldshangali1486 10 ай бұрын
Nimefurahi sana Mheshimiwa kwa uamuzi uliofikia wa kuomba msamaha. Hali hii itakufanya uwe huru na uendelea na kupiga siasa ambazo unazifahamu kindaki ndaki
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 7 ай бұрын
Uko sahihi Ndugu Alima. Tatizo ni mawaziri ambao wamepewa hiyo dhamana ya pesa hizi. Na hao wameweka self interests na hawa mawaziri wanawaweka watu hao. Hapa ndipo wasomi wanafeli. Badala ya kufanya kazi kusaidia watu anajisaidia mwenyewe.
@Rasuli-uo8or
@Rasuli-uo8or 10 ай бұрын
daaa hongera sana alima mdee ila sio sawa kwa kioo cha jamii je kwa nn huna mume wala watoto kwa nn labda kuna sababu yyt ambayo imekufanya usiwe na falia yako?
@dankimambo1871
@dankimambo1871 4 ай бұрын
Wewe halima nikichwa ungekua Rika yangu ningekuoa
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 10 ай бұрын
Huyu ni opportunist, ameona Chadema kumenoga. Siyo mwanasiasa mzuri. Namfananisha na Zitto. Siyo wa kuwaamini. Anarudi Chadema. Nilikwishasema Chadema siyo Chama cha kukiamini.
@ulimwengu5599
@ulimwengu5599 Жыл бұрын
Part 2 iko wapi jamani!?
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 Жыл бұрын
Najuwa Kila mwanadam anamapungufu yake nakwelewa sna dada
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
OMBA MSAMAHA, TII CHAMA CHAKO KILICHO KUNOA NA KUKUPA HESHIMA, HESHIMI VIONGOZI WA CHAMA NA WANACHAMA WOTE. OMBA MSAMAHA UTUBU USAMEHEWE, RUDI NYUMBANI KUMENOGA
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Leo ndo nimeamini huyu Dada hafai kabisa kuwa chadema kwa mda huu yani anakiburi sana na nichawa wa ccm iwe isiwe yani mama zetu wa chadema anawaita watoto wadogo imeniuma sana
@maulidkilozo2370
@maulidkilozo2370 Жыл бұрын
Walikuwa sawa kujifidia walau kidogo machungu yale kwakua hapakuwa na uchaguzi halali ilikuwa zuluma tu nawapongeza sana wali jiongeza poa tu na sisi chadema kindaki ndaki acha watengeneze hela bana nauchaguzi ujao kama kawaida watakuepo ndani kugombea na chadema poa tu hawajauwa mtu bwana.
@murtan5027
@murtan5027 Жыл бұрын
Yani Gerald hando hamna kitu kabisa hana ushawishi hongera kwako salama na zebwela ila huyo nooooo
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 9 ай бұрын
Wanawake wa KiAfrika bhana, unavaa kamba za katani kichwani, halafu unatkisa kama za wazungu!!!!! Aibuuu.
@OlosekiLokoy-sy6qg
@OlosekiLokoy-sy6qg 7 ай бұрын
Halima nilikua. Nakupenda bure lakin mhhhh
@aliykamaga4174
@aliykamaga4174 Жыл бұрын
Ukweli ulishapotezamvuto kutusaliti na kuungana na hapa KAZI tu unaudhi we mtoto
@MagdarenaLunyalula
@MagdarenaLunyalula 8 ай бұрын
Achape lapa huko analazimisha umaalufu wakati kapoteza sifa geti liko wazi aende zake ccm kama ni mlango halima umebakia frem na frem yenyewe imeliwa na mchwa kwendaaa
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 9 ай бұрын
Nina maua yako mwanangu: mungu yu pamoja nawe nimependa msimamo wako
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Жыл бұрын
Halima nakukubali
@ElyotKyando
@ElyotKyando 10 ай бұрын
☑️☑️☑️☑️💯
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Жыл бұрын
COVID huyu ni miongoni mwa wasaliti ambao walikubali kununuliwa kwa kipande kidogo cha pesa na uongozi, halima wa Chadema sio halima wa COVID, angalia hata anavo jibu maswali, kiukweli mimi nilikuwa mfuasi wake lkn kwa alicho kifanya cna hamu nae kabisa, ila ipo cku atakuja kutambua anacho kifanya hakifai kwa jamii, aibu inakuja mda c mrefu.
@WalesGerald
@WalesGerald 8 ай бұрын
Dada bado tunakupenda.. simama na chadema
@alisaid9024
@alisaid9024 Жыл бұрын
Muongo Halima Mdee unajipendekeza ili mrudi Chadema ,,,,Mbowe ana taratibu zake na wengine wana zao ,,,,,Mtei ndio muanzilishi na Mbowe alikuja na aina yake na kila mmoja ana aina yake ,,,
@FreebegUronu
@FreebegUronu 7 ай бұрын
Mdogo wangu magu na jobu ndugai wakupoza
@jamesswai1683
@jamesswai1683 10 ай бұрын
Chaguzi zinakaribia unaanza jipendekeza.nenda act
@harunnangussa9702
@harunnangussa9702 Жыл бұрын
Jaman dada mm nakuelewa san
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂kamanda kweli hakuna mtu anajua private life yake
@Rasuli-uo8or
@Rasuli-uo8or 10 ай бұрын
zimbwela sijaona maswali yako ya msingi zaidi ya kusikia unawaambia wenzako tu waulize ww vipi huna maswali ya kumuuliza mueshimiwa alima mdee?
@ephrahimkivuyo4275
@ephrahimkivuyo4275 Жыл бұрын
Gerald hando sijui anauliza maswali gani ata 🤣🤣🤣
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 11 ай бұрын
Mda wako imeshapita hayo Ni poronjo tu Nani Atakuamini
@agustinomgonde1573
@agustinomgonde1573 Жыл бұрын
Halima mdee ndiye titi Mohamed wa chadema.huu ndio ukweli.binafsi hua naumia kuona uko nje bila ya chama.
@mahbsaid273
@mahbsaid273 Жыл бұрын
Halima ni Ngumi Ngumi.
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 8 ай бұрын
Halima bado tunakuhitaji chadema
@husenihamza7591
@husenihamza7591 Жыл бұрын
Kituo chenu cha TV kinahitaji weredi mtapotezaa watamaji kwa mambo yamkumbo chadema ni familia kubwaa mukikwazana naoo itaonekana na nyiee mpo upande wa kovidii. Watu wamechukuzwaa na ukwelii mnaujua kunamambo mengi ya nnchii mnaweza kuyaongelea sio upuuzi huooo
@justinenyamuru890
@justinenyamuru890 Жыл бұрын
Yani unaudhi sana na kabisa unawazarau wanawake wachadema na kuwaita watoto? Unastahili kunyongwa
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Afadhali hando amekuwa smart sasa
@nickolatharwelamila776
@nickolatharwelamila776 Жыл бұрын
Mume wa mtuuuu😅😅😅 namuangalia kwa makini
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 Жыл бұрын
Sauti ipo chini sana
@ChristopherVegula
@ChristopherVegula 9 ай бұрын
Halima ccm B
@JumaMkiji
@JumaMkiji 10 ай бұрын
Uyo nawenziwe ni wamotoni wamesaliti alakati aondio kinanasali
@harunnangussa9702
@harunnangussa9702 Жыл бұрын
Salim mohadi mkao manyara kiteto nakushauli kua mjinga ilifanikiwe tunakupenda Sana kuomba msamaha nijambo la hekima napenda kusia Sana sauti yako ukiwa bungeni
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hao 19 ni vibarua
@ChristopherVegula
@ChristopherVegula 9 ай бұрын
Hawa wasaliti tu
@hamisdickson8755
@hamisdickson8755 Жыл бұрын
Sasa wewe halima Kama kweli unkipenda chama singejiuzulu ubunge harafu kamakuteuliwa mteuliwe upya Kama kweli uteuzi wenu so was mchongo?
@MosesNanzinyangw-ry4dy
@MosesNanzinyangw-ry4dy Жыл бұрын
Hio sifa alishapoteza
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 Жыл бұрын
Harafu usimuite kamanda huyo takataka wewe, Halima tutakushitaki usiendelee kutumia Chadema yetu pumbavu kabisa wewe ni ccm tipiko kuwa na adabu mpuuzi mkubwa
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Жыл бұрын
Na mbowe ni nani
@ivodaman6236
@ivodaman6236 Жыл бұрын
hamsikiki saut ipo chin sana
@modernmwamtobe-lq8rg
@modernmwamtobe-lq8rg 10 ай бұрын
Halina nakupa mauwa yako wewe kweli ni jike dume.
@MosesBombo-mx2mi
@MosesBombo-mx2mi Жыл бұрын
Kwanza mnanimalizia bando bure covid nyie tamaa zimewajaa hamna uvumilivu coz mpo kimaslah tu
@SamsonBarazingiza
@SamsonBarazingiza Жыл бұрын
Mnapoteza muda tu hapo
@MagdarenaLunyalula
@MagdarenaLunyalula 8 ай бұрын
Kweendaa ccm
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 Жыл бұрын
Mdee jembe
@JosamJoseph
@JosamJoseph Жыл бұрын
@jovinmafuru
@jovinmafuru Жыл бұрын
Altima omba msamaa
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Mume wa Ester Bulaya anaitwa Halima mdee
@nickolatharwelamila776
@nickolatharwelamila776 Жыл бұрын
Daaaa hataliiiii😢
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
@@nickolatharwelamila776 anasema yupo single
@shukurunzenzule2603
@shukurunzenzule2603 Жыл бұрын
Da! Halima uliniboa Sana saa hizi nakuchukia mno
@bugumbasalehe4650
@bugumbasalehe4650 Жыл бұрын
Hatuna mda nawe wewe ulishafukuzwa
@ZakayoKupasya-zf2gb
@ZakayoKupasya-zf2gb Жыл бұрын
Ccm wewe acha kutuchanganya
@wilfredmmbando689
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Huyu dada shida tabia
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 Жыл бұрын
Hata kuangalia hii kitu inatia kinyaa stupid
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
😂😂😂 huku ukiwa unafurahia kimoyomoyo daa kweli kuna binaadamu na watu
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 136 МЛН
Halima Mdee na Ester Bulaya Wamgeuzia Kibao Ndugai, Kumburuza Mahakamani
8:10
Malalamiko ya Halima Mdee kuhusu uchaguzi
2:07
DW Kiswahili
Рет қаралды 411 М.