ESTER BULAYA AFUNGUKA A-Z MAISHA ya NDOA / KIFO CHA WAZAZI WAKE, MAHUSIANO YAKE na HALIMA MDEE

  Рет қаралды 91,315

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 63
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Жыл бұрын
Nakupendaga sana, nawapenda sana wanawake majasiri akiwemo Jokate, Halima, Joyce Kiria na wengineo Mungu azidi kuwatunza...
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Upo vizuri Kaka Mende👍
@josephtheophill6918
@josephtheophill6918 Жыл бұрын
Wasafi mnashindwa kuuliza maswali mhimu mnauliza maswali ya hovyo
@LatifaMchora
@LatifaMchora 5 күн бұрын
Dad🎉
@nuratmokiwa1636
@nuratmokiwa1636 Жыл бұрын
Hongera sana
@octaviantito
@octaviantito Жыл бұрын
Uwezo wa kifedha utalisha familia na kujenga nyumba, ila upendo na heshima hujenga familia bora. Kila kimoja kinahitaji imani na muda wa kukijenga vizuri.
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i Жыл бұрын
Nice
@KulwaBiseko-v6e
@KulwaBiseko-v6e Жыл бұрын
Kweli sana dada
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 7 ай бұрын
Wasafi..zembwela hafaii anapenda kutukana...na kufhslilisha wati
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 7 ай бұрын
Nakuelewa sana bulaya
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Huyu dada nampenda sana,hasa pale anapokua anachangia mada bungeni.
@VailetPiter
@VailetPiter 10 күн бұрын
Maaskari na walimu usiwatetee ni washenzi tu wao ndo wanakimbia na kura zetu
@RaysonMtui
@RaysonMtui 6 күн бұрын
Amang'ana mura
@florachogo243
@florachogo243 Жыл бұрын
Mrembo sana
@kiulazepha6041
@kiulazepha6041 Жыл бұрын
Zebwelaaa unafoka sanaa unapigaa makelele😂😂😂ila nakukubalii sanaa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Una bahati ulikutana na family yenye upendo,mengine yangebagua katika kununua nguo,kwenye kaxi mnagaguliwa.Mapakashume yajifunxe kupitia Bulaya na mkewe.
@ntullyipopo2287
@ntullyipopo2287 Жыл бұрын
Hapo kwenye kikokotoo ndio penyewe selikali inatuumiza wastaafu
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Duuuh yaani mtu miaka 45 ndio uanze maisha siumechelewa sana uajiriwe ajira mshahara unalipa kodi kula na kuvaaaa ustaafu miaka 45 upewe kiinua mgongo milioni 20 ujenge nyumba ufungue biashara mmmh maisha magumu kwakweli kila mtu na njia zake wengine miaka 25 tu tushashika zaidi ya milioni 500 na mali viwanja vigari vipo kweli mshukuru Mungu kwa ulichonacho kiwe kikubwa au kidogo wengine hawana kabisa
@joycekasimbazi-pt3tq
@joycekasimbazi-pt3tq Жыл бұрын
Dada umenifurahisha kweli uzee ni stress tusikatae
@ceciliamzurikwao569
@ceciliamzurikwao569 9 ай бұрын
Q❤❤❤❤q❤q❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jescamgegela8253
@jescamgegela8253 Жыл бұрын
Hao PSSF siwapendi, yaani ingekua amri yangu nisingekuwemo kwenye huo mfuko ila kwakuwa ni lazima mtumishi wa umma kuwa kwenye huo mfuko....basi nimekua mpole walinidhulumu fao langu la uzazi, nilifanya kila walichohitaji kwa wakati, nikafanya kauchunguzi kuuliza wenzangu kila ninayemuuliza hajalipwa😢. Hapa tupo kazini, tunanguvu yakufuatilia, tukizeeka itakuwaje?.....Jamani tafuteni pesa mkiwa na nguvu hayo mafao yawe nyongeza tu.
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 Жыл бұрын
Pole Sana jaman! Dah pole jesca
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Siha hata hamu nao unawaza fomu halafu hawajui pesa zako yaani sijawasameheee yoyote aliyekula haki yanguuu
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 Жыл бұрын
Unambeba mtu anageuka adui siku hiz wengi wamekata tamaa kusaidia coz maisha yenywe yamekuwa ghali sana
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i Жыл бұрын
Umeongea kweli kabisa
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i Жыл бұрын
Saafi
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Anamacho makali huyu dada Ila hongera
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 6 ай бұрын
Umeona!? Kkkkkk
@dismasmtui729
@dismasmtui729 Жыл бұрын
Wanajaribu kujisafisha kupitia media!
@SalimMshihiri-g9d
@SalimMshihiri-g9d 10 күн бұрын
Yote na yote zembwela utangazaji kuosotea sana mpaka kufika alipo sasa saluting kwake ester siasa ni wito
@SmilingChicken-ws9to
@SmilingChicken-ws9to 9 ай бұрын
Siasa ni kujali matatizo ya jamii
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Et sijatoka chini ya mti 🤣🤣🤣🤣🤣
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Жыл бұрын
Sio Utamaduni maisha yanavyoendelea tough life ndio manake
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Baba angu alisema, maisha yamebadilika watu wamekuwa wachoyo kwa sababu ya maendeleo, mtu anapiga mahesabu akianza kazi anataka TV, gari nzuri, Simu kali na new technologies zote kuasi ya kwamba hata mishahara yenyewe haitoshi! Hata mimi nadhani hiyo ndo sababu kubwa, enzi za Baba zetu hapakuwa na technologies kwa hiyo hapakuwa na unnecessary matumizi. In short .kizazi hiki watu wachoyo na wabinafsi.
@gracenoelnyengo3906
@gracenoelnyengo3906 Жыл бұрын
0tr
@robertalphan5533
@robertalphan5533 Жыл бұрын
Pole sana hongera sana
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
@@robertalphan5533 thanks 🙏
@jafarikideghesho6509
@jafarikideghesho6509 Жыл бұрын
Safi sana Ester.
@HamimMbango
@HamimMbango Күн бұрын
VP uyo estar bulaya keshaolewa?
@murtan5027
@murtan5027 Жыл бұрын
Yani huyu jamaa hana kabisa ushawisi ktk hiko kipindi heshima sana kwa salma Dakota na zembwela 🤝
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Jamaa gani
@mann9460
@mann9460 Жыл бұрын
Mh. Ester kuna vitu vya msingi anavikosa ukweli ni kwamba mara ndiyo mkoa ambao watu (wazazi na watoto) hawatambui tofauti ya baba wa kambo au baba mdogo au mkubwa kulingana na mila zao hasa enzi hizo hiyo tofauti haikuwepo kabisa nikioa mwanamke mwenye watoto wanakuwa wangu kabisa na hakuna maswali hasa wakuryq hivyo huyo dada hakupata nafasi ya kuyajua hayo ni kwl mm mwenyewe nikuwa nikiyaona hayo na nina shiriki kutekeleza hilo linasaidia mno hapa nlipo watito watoto wa kaka hawajui mipaka na mm sjui mipaka kwa maana ya kuwahudumia na jamii kwa ujumla hahahhaa
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Huyo mtangazaji mwingine kaka buyu kamlia buyu Ester bulaya kama hayupo hajaongea chochote ila nimecheka sana my ribs 😂😂😂😂zembwela alivyomaliza na kumwambia na wewe utazeeka vile vile
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
NYERERE AMEYAKUTA HAYO USIAMINISHE WATU KUWA NYERERE AMELETA HUO UTAMADUNI.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 6 ай бұрын
Huyu dada ikitokea amenikata jicho nitakimbia anasura ya kigaid ila moyo wa upendo
@hamidasaba1557
@hamidasaba1557 Жыл бұрын
Maswali mengine majibu mengine
@EvancFranz-wl6qw
@EvancFranz-wl6qw Жыл бұрын
Kuzeeka wajib kuchakazwa kupend
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 10 күн бұрын
Mrs mdee
@lifardKombolela
@lifardKombolela 8 күн бұрын
tatzo jicho kodo
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 Жыл бұрын
Mbunge hewa
@hichayasin7244
@hichayasin7244 Жыл бұрын
DUU!KWAHIYO WANAOISHI KIJIJINI BUNDA NI WATUHUMIWA?🤣WENYE MIMBA🤣,
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 Жыл бұрын
Sauti ipo down sana
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
19
@florachogo243
@florachogo243 Жыл бұрын
Haaaaaa,kuzeeka wajibu ,kuchakaa uzembe wako
@charlesjoseph1081
@charlesjoseph1081 Жыл бұрын
Wanasema halina ni mmeo
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i Жыл бұрын
Wakina Nani wanasema no research no right to speak.
@mathewungani9724
@mathewungani9724 Жыл бұрын
Macho sasa
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
SASA YEYE ANATUHUSU NINI SISI,?
@paulsamuel5691
@paulsamuel5691 8 ай бұрын
Tunataka viongozi kama wewe kikokotoo hiki ni wizi tunapigwa nchi hii
@SmilingChicken-ws9to
@SmilingChicken-ws9to 9 ай бұрын
Ester bulaya bunda one
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 Жыл бұрын
Huna lolote.Wahujumu uchumi nyie
@ChipugeLaulian-fz1mv
@ChipugeLaulian-fz1mv Жыл бұрын
Jembe la Wana bunda
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
CLEAN USED CARS ON OFFER-PRICES INCLUDED-0725152722
13:26
Billy Peps Motors
Рет қаралды 3,7 М.
HISTORY YA HALIMA MDEE/LIFESTYLE/MAHUSIANO/MTOTO/SIASA
3:04
STORY ZA IBRAHIM
Рет қаралды 32 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН