Shekh mziwanda Darsa ya Tafsir ya Qurani -suratul annamli
Пікірлер: 10
@user-lc1dl3qs4w3 ай бұрын
Mashaalah ALLAH atupe mwisho mwema waislam wenyekuangalia mambo kama haya ya haqqi
@AdamHamadi-hj2yx3 ай бұрын
Allah akuzidishie Kheri nyingi shekhe 🤝
@katore19823 ай бұрын
Afadhali mtoto akose shule lakin aendelezwe kusoma madrasa..na Ramadan hii biidniAllahi Kareem ALLAH ataqabal duah zenu na funga zenu maqbul maustadhi waalim masheikh wote duniani
@WastarYoussuf-wb7fz3 ай бұрын
Shekhe mziwanda unatisha allah akuhifadhi
@jumambuma11013 ай бұрын
Shukrani Sheikh
@user-re6ld7yb9w3 ай бұрын
Hakika kk
@MayasaAbdallah-xf6zvАй бұрын
Tunaomba utuweke mawaidha ya sheikh alietoa bugurun
@TWARIQAONLINETVАй бұрын
Haya inshaalah
@kibulajumakibulajuma34482 ай бұрын
Assalaamu 'Alaykum. Jamanini munisamehe, mwenye namba za simu za sheikh mziwanda ansaidie.