No video

SALAFI NI WAKINA NANI - SHEKH MZIWANDA - MUHADHARA MASJID MANYEMA

  Рет қаралды 3,652

SHEKH MZIWANDA ONLINE TV

SHEKH MZIWANDA ONLINE TV

Күн бұрын

Muhandara masjid Manyema ‪@TWARIQAONLINETV‬ ‪@Adhemz‬ ‪@mziwandabakers8297‬‪@millardayoTZA‬

Пікірлер: 44
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 4 ай бұрын
Hhhha abu khaula njoo mziwanda anakubip tena
@Ochuminho
@Ochuminho 4 ай бұрын
Nilichokielewa kwako shekh mziwanda ni kua, unapenda haq bali pia madhehebu ya salaf huyajui, na ushaur wangu kwako usisome vitabu vya itiqad ya salaf ukiwa pekeako kwa kuhis unafahamu lugha utapotea na utampoteza anaekufuata, mfn imamu shafii allah amrehemu, kama unamfuata basi unamfuta ktk mas-ala ya kifiqih laakin sio ktk itiqadih... Elimu lazima usome kwa wanazuoni... Kwan elimu imekuja kwa njia ya sanadi mpk kutufikia sisi leo... Allah akuongoze na atuongoze na sisi ktk kuifahamu haqq na kuifuatiza.
@user-xh4ym6ik2h
@user-xh4ym6ik2h 4 ай бұрын
Amiin wa jaza'aka llahu khyra Akhy all faadhwil
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 4 ай бұрын
Wewe ni jaahili
@Ochuminho
@Ochuminho 4 ай бұрын
​@@mhusinigau3231​ Ukinitusi mimi kijana wala sikugusi we zusha ktk dini jambo ambalo halikuwepo tena hadharan aafu utanijua, wallah sintakuacha
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 4 ай бұрын
Huyu mdengereko anamatatizo Sana na kashachapwa na she Abuu khaula ebu mjibu basi Acha kutupotosha mjibu Abuu khaula Kwanza tuende pamoja
@MuhammadKairu-q8j
@MuhammadKairu-q8j 5 күн бұрын
Shekhe fanya mpango kuwe darsa za onlien na kama zipo nahitaji kuunganishwa
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 4 ай бұрын
Kiboko cha mawahabi shekh mziwanda
@ibnayub2374
@ibnayub2374 4 ай бұрын
Ila ujinga mzigo 😊, Mawahab ni watu gani kwani?
@nassifsuleiman9860
@nassifsuleiman9860 4 ай бұрын
Mziwanda awaogopa masalafi ndio maana anashindwa kujibu alichoulizwa yaan mpk leo twamsubur kwa hamu ajibu lkn arukaruka lkn sie tushamuelewa kuwa majibu hana
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 4 ай бұрын
​@@ibnayub2374kina Ibnu ayub
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 4 ай бұрын
​@@nassifsuleiman9860na bachu alisema hivyo hivyo mwisho yakamkuta
@Harunery
@Harunery 4 ай бұрын
Jibu hoja kielimu ya sheikh,tunakusubiri
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 4 ай бұрын
Nyie ndo mlivyo mwisho mnajikojolea kwenye viti vya watu
@nassifsuleiman9860
@nassifsuleiman9860 4 ай бұрын
Tena twakuomba jichunge sana Mziwanda ukiongea uongo tena kwenye Dini Raddi zitakujia tu na waislam wenye akili watakuelewa weye ni mtu wa aina gani
@MuhammadAhmad-so3md
@MuhammadAhmad-so3md 4 ай бұрын
Abuu khaula si kashaambiwa kama anaweza aite mdahalo mbn hataki???
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 4 ай бұрын
Abuu khawla njoo umfundishe mziwanda anakubip tena
@ibnayub2374
@ibnayub2374 4 ай бұрын
Alikaa kimya leo kafufuka tena
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 4 ай бұрын
Hawa wanaojiita masalafi humu mwetu hawa ni walokole
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 4 ай бұрын
Hii ndio shubiri ya mawahabi
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 4 ай бұрын
Mwongo
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 4 ай бұрын
Mzee Mziwanda unamkumbuka shekh Abuu Khaula? Ametufundisha vizuri kabisa topic ya salafiyyah, na Alhamdulillah tumemuelewa
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 4 ай бұрын
Abu khaula hajui maana ya usalafi
@DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz
@DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz 4 ай бұрын
Tatizo majivuno badala ya kusimama katika hikma za kuelimisha.
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 4 ай бұрын
Masalafi hata uwape dalili gani uelewa wao ni mbovu sana na wanamezeshwa na wanakariri sifa yao kubwa ni kiburi tu hakuna chengine
@nassifsuleiman9860
@nassifsuleiman9860 4 ай бұрын
Mziwanda kumbe muda unao, leta majibu ya ulichooulizwa na Abuu khaulah tena unukuu maneno kwenye vitabu vya wanazuoni, wazungukaaaa sie twakuelewa kuwa waua soo kupotezea ulichoulizwa
@seifmohd5357
@seifmohd5357 4 ай бұрын
Wakowapi salafi uchwara waje huku shekh anawafahamisha wao ni nani mana hawajielewi
@YussufmohdHamad
@YussufmohdHamad 4 ай бұрын
Ungeekaa kimya usingejuulikana kama huna akili
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 4 ай бұрын
​@@YussufmohdHamad 😂😂😂😂😂😂😂 wallahi kweli yako....
@rushu1232
@rushu1232 4 ай бұрын
No ya simu mumepewa wacheni ufedhuli kama ni mwanamume apige simu watu wakutani uwanjani kama bachu acheni kuongeni jikoni.
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 4 ай бұрын
Mawahabi kazi ipo kamleteni mwalimu wenu abuu kula
@77bakarijuma77
@77bakarijuma77 4 ай бұрын
Hahahahha aiseh Kuna clip Alisema sheikh mziwanda kuwa salaf umeanza Karne ya Nne Leo anageuka hahahaj
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 4 ай бұрын
Mziwanda hueleweki nenda kasome kitabu cha ما هي السلفية yaoneka bado hujaujua usalafi watapatapa tu
@Kan332
@Kan332 4 ай бұрын
Mpelekee
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 4 ай бұрын
Usalafiyya wa mchongo we pimbi wa kiwahabiya
@SalumuMatimbwa
@SalumuMatimbwa 4 ай бұрын
Japo ww shekh mziwanda ndio wapata tabu kwa watu wako ila wanaojinasibisha na usalaf wenyew wanaelewa pili haya manen kama umeongea kwa dini kabisa yako zidi yako mana kama wamfuata shafii wap imam shafii kafanya maulid wapi kasoma khitima shafii na qadiriyah wap na wap sasa usemacho sio ufanyacho
@binuthaymeen9885
@binuthaymeen9885 4 ай бұрын
Shekh mbna imam shafii ajafanya ayo unayom ya fanya ww tena katik ibada sasa umeyatoa wap? Sio
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 4 ай бұрын
Mawahab wasikilizi kbsa wao wanakimbilia kucomment tu mana kwao ni dhamb kuskiliza asie wahab
@ibnayub2374
@ibnayub2374 4 ай бұрын
Ndio nyie wote akili zenu zimesimama, sikilizeni maneno ya Abu Khaula wacheni kusikiliza upande mmoja hamtakaa kuelewa jambo hili, uzur wanao fuata walimu wa sunnah sio wagonjwa kama masufi.
@ibnayub2374
@ibnayub2374 4 ай бұрын
Huyu sheikh anahangaika, wapi Imam shafi kafanya maulidi? Wapi Imam shafi kasoma khitma? Wapi Imam shafi kafanya tawwassuli kwa masheikh wake? Wacha kuzurura sheikh 😂
@wadudi2741
@wadudi2741 4 ай бұрын
Limekukaa hiloo baba
@ibnayub2374
@ibnayub2374 4 ай бұрын
@@wadudi2741 ushabiki utakupeleka pabaya muombe Allah akupe ufaham sahihi kuhusu madhebu ya Imam shafi wacheni ushabiki vijana, kusoma hamtaki hata kusikiliza audio hamtaki ni bongo fleva tu na miziki mnayo Dai n nyimbo za kiislam.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:52:01
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
HAMA KWENU HAKIKA KWENYE KUHAMA NDO KWENYE MAFANIKIO - SHEKH MZIWANDA
11:52
SHEKH MZIWANDA ONLINE TV
Рет қаралды 4,9 М.
SHEIKH MZIWANDA ASHANGAZWA NA KANISA KATOLIKI
6:48
MuniraOnline Tv
Рет қаралды 8 М.
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54
arkas online tv
Рет қаралды 17 М.
MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA.       BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES
5:55
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН