No video

UGANGA NI IBADA - SHEKH MZIWANDA - DARSA LA QURANI - RAMADHANI YA 21

  Рет қаралды 11,520

SHEKH MZIWANDA ONLINE TV

SHEKH MZIWANDA ONLINE TV

Күн бұрын

UGANGA ni SUNA ya masahaba

Пікірлер: 103
@FikretMweneyuni
@FikretMweneyuni 4 ай бұрын
Mash Allah
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 4 ай бұрын
Hongera shekh kwa kufungua akaunti yako. Ume fanya vizuri sana. Mshauri shekh walidi na shekh abuu iddi pia
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 4 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe
@kazuhan_thobes
@kazuhan_thobes 4 ай бұрын
Subhanallah limalikil qiddus
@bintimgenibintimgeni156
@bintimgenibintimgeni156 4 ай бұрын
Subhana almaliku kudhus
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 4 ай бұрын
Mziwanda umesoma wengi hajui ubalikiwe
@ZahorJuma-hf8zi
@ZahorJuma-hf8zi 4 ай бұрын
Msubiri abuu khaula
@abdukhan4718
@abdukhan4718 4 ай бұрын
Abuu Khaula, Kama Kweli Anaelimu Namuomba aende Wakafundishane, sio wakabishane ndio tutajua sio kutuma maclip kwenye mitandao
@noordinmilulu8242
@noordinmilulu8242 4 ай бұрын
Haya hayana nafasi hapa, hii sisawa, uadilofu ni muhimu sana, na tuacheni ushabiki bali tufanyeni dini. Baarakallahu fiikum
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 4 ай бұрын
Abuu haula ndo shoga yako au?
@abdallahmkali3251
@abdallahmkali3251 4 ай бұрын
Allah Akbar
@seifmohd5357
@seifmohd5357 4 ай бұрын
Baarakallahu fiika shekh Allah akuongezee elimu zaid ili tupate kunufaika na wewe
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 4 ай бұрын
Jaribu kuelewa lugha Sheikh, maana ya Uganga ni ushrikina, huku ni kupotezana tu sasa wala hamna Dalili yeyote kwamba msemo uganga ni Ibada
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 4 ай бұрын
Kwa iyo wewe hugangi wala hugangwi?
@masoudmahmoud4813
@masoudmahmoud4813 4 ай бұрын
Ukienda hospital utakuta ofisi ya mganga mfawidhi au mganga Mkuu pia tuna mganga wa wilya je maana yake ni mshirikina mkuu au mshirikina wa wilya? Tafuta kamusi kisha angalia maana ya mganga. Kuna neno la kiarabu twabiibu je kwa kiswahili ni nini? Doctor kwa kiswahili ni nini?
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps 4 ай бұрын
Hujui kiswahili basi hospital zote ni washirikina,, hospitali tunatumia mganga mfawidhi , maana mganga maana yake ni daktari(hii nikingereza) au tabibu(kiarabu), sasa kiswahili hasa ni mganga!
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 4 ай бұрын
@@SelemaniSelemani-bw4ps.... Kupanga sio haramu
@mkidadiabdallah1447
@mkidadiabdallah1447 9 күн бұрын
Kwahiyo waganga wakuu wa mikowa ni washirikina nchi nzima
@user-iz2dw8rp2i
@user-iz2dw8rp2i 4 ай бұрын
MI NAONA UNGEWEKA KISICHOFAA BAYANA NA YANAYOFAA ILI WATU WAJUE CHA KUFUATA
@Harunery
@Harunery 4 ай бұрын
Dawa yko mtihani sana
@IbrahimWaziri-to3fl
@IbrahimWaziri-to3fl 4 ай бұрын
Acha babu afanye tiba.goof
@WastarYoussuf-wb7fz
@WastarYoussuf-wb7fz 4 ай бұрын
Shekhe mziwanda uko vizuri watu waelewe nini uganga. Kwanini watu wameza panado kwani na yao ni ushirikina? Ao sababu wazungu ndio wameleta? Watu wa aache ujinga kwani zamani wakati wa mtume panado ilikuwepo
@VnKnvXn-op6qw
@VnKnvXn-op6qw 4 ай бұрын
Kwa hiyo ndo nini sasa kama haikuwepo hata wewe hukuwepo enzi za mitume so what?
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Huyo ni mganga wa kienyeji (witch doctor) Hoja anayotoa ni sahihi ila yeye hayupo sahihi uganga wake
@bigruwas81
@bigruwas81 4 ай бұрын
TATIZO LUGHA, KUGANGA MAANA YAKE .NI KUTIBU, NA USHIRIKINA NIKUABUDU ASIEKUA MUNGU PAMOJA NA MWENYEZI MUNGU, HIYO NDO SHIRKI LAKINI KUGANGA NIKUTIBU
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 4 ай бұрын
Sasa sialikuwa aseme tu maana na uganga.nini sio kuzunguka sana
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Huyo ni mganga wa kienyeji
@adamjutto5849
@adamjutto5849 4 ай бұрын
Qauli zako,zinaweza zikaashiria maana nzuri,lkn kwa watu wenye fahmu ndogo waweza ukawatia kwenye mtihani,we ni mtu umesoma balagha,angalia muqtadhwal haal,na hakuna salafi aliesema kua kutumia miti shamba ni ushirikina,ispokua asilimia kubwa watu wengi,huchanganya tiba inayofaa na isiyofaa.
@user-vk5gt5dt2f
@user-vk5gt5dt2f 4 ай бұрын
Ili upate hukmu ya jambo kila kitu ukiweke mahala pake,wajue makuhani,wanajimu,wapiga ramli,n.k kisha umchambue kila mmoja hapo utapata hukmu zao,yupo ambaye ukiumwa tumbo anachimba mzizi wa mti fulani anakupa ukachemshe unywe asubuhi na jioni huyo ndio mganga,lakini kuhani,mnajimu,mpiga ramli hao sio waganga,wengi wao ni washirikina
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 4 ай бұрын
Wakanza Mimi nasikiliza na Nina elewa
@Abdallahmohamad-sb5ge
@Abdallahmohamad-sb5ge 4 ай бұрын
Wewe mchawi tu
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Uganga wa tiba za asili hauna shaka, unafaa. ila wewe si mganga wa tiba za asili, bali ni mganga wa kienyeji. Kimsingi wewe ni mshirikina na hapo unajisafisha tu kupitia tiba za asili
@nixonmwanguni3094
@nixonmwanguni3094 4 ай бұрын
Uganga ni shirki acha kuadaa uma.endelea na shirki zako bana.
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 4 ай бұрын
Akili ya samaki huwezi kuelewa hapo
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 4 ай бұрын
unajuwa km maana ya uganga ni tiba bas alikuwa aweke mana yake sema hawa wengine hutafuta neno wakazunguka mwisho wakalitafsiri ili mawaidha yao yende
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Watu wanaandika bila kujua Huyo ni mganga wa kienyeji Uganga anaouzungumza sio ambao anaufanya yeye
@user-xu9nn3pe4k
@user-xu9nn3pe4k 4 ай бұрын
masuf hapo wanafurah kua shehe kamwaga elimu ya hal juu ila stor nying dalili zro allah tuongoze katka haq
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 4 ай бұрын
Lete wewe hizo dalili akili kisoda utaelewa wapi
@drsaeedherbs
@drsaeedherbs 4 ай бұрын
Sasa unataka upewe dalili yanini wewe nimwehu kichwani huna akili ama kitu gani
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 4 ай бұрын
@@drsaeedherbs mimi sina akili lkn wewe huna akili timamu
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Wanajizima data Yeye ni mganga wa kienyeji Uganga anaoutolea ushahidi ni uganga wa tuba asili
@abdallahjimile5339
@abdallahjimile5339 4 ай бұрын
Wewe Kila ukiongelea dini unavurugatu hujui kupangilia mazungumzo nimeshajua dini unataka uiendeshe Kwa ufahamu wako wa lugha
@abdukhan4718
@abdukhan4718 4 ай бұрын
Sio kweli, Neno Uganga linatumika sana tu...... Kwamfano Mganga mkuu wa Hospitali ya Muhimbini ni Mr.... Mfano mwengine...
@dulaseif5001
@dulaseif5001 4 ай бұрын
wewe nawe sikiza kabl y kukoment
@bausiwessaomar983
@bausiwessaomar983 4 ай бұрын
Hapa naona tatizo ni utumiaji wa lugha ya kiswahili
@karamakarama4639
@karamakarama4639 4 ай бұрын
Wacha ukumbavu mjinga sana kumbe wewe shehena
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 4 ай бұрын
Hawa mawahabi hawa kufaham lakini sisi tuna kufahamu
@AbuwSuhaylahSalafiy
@AbuwSuhaylahSalafiy 4 ай бұрын
Wahabi ndio nini?
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 4 ай бұрын
Mawahabi ni mijitu ina mavi Kwenye vichwa vyao. hayajui yule daktari wa muhimbili kiswahili anaitwa mgang wanajua mganga maana yake mchawi​@@AbuwSuhaylahSalafiy
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 4 ай бұрын
Kamashairi hulifahamu ya manisha huku andiki wa wewe
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 4 ай бұрын
@@AbuwSuhaylahSalafiy kama shari huifahamu ya manisha hukundi kiwa wewe
@AbuwSuhaylahSalafiy
@AbuwSuhaylahSalafiy 4 ай бұрын
Taarifu ya wahhabi hilo neno nalisikia sana si nataka nijue? Na ni ipi hukumu ya mtu kuwa wahhabi?
@saidmbaraksaidtwahir3412
@saidmbaraksaidtwahir3412 4 ай бұрын
Shekhe bado unawatatiza watu na uwongo.... tiba ya miti shamba sio uganga ni tiba. Unaposema waganga wa kisasa watatiza watu inamaana waelewa waganga huchanganya tiba ya miti shamba na elimu ya majini, na hio bila shaka ndio tafsiri ya shirk na HAMNA SWAHABA AWEZAE SUBUTU KUFANYA SHIRK. Shirk huja na kuamini kitu kina uwezo dhidi, au pamoja na Allah. Nabii Musa A.S aliumwa na jino, akamwambia Allah na akaelekezwa na Mola atafune mti fulani na akapoa. Baada ya mda aliumwa tena na jino, akachuma mti akatafuna na hakupoa. Akamuuliza Allah mbona sijapoa mara ya pili, Mungu akam nasihi niponeshae ni mimi wala sio mti. Zingatio ni suala la imani kuendekeza kwa Allah, endapo iman wai elekeza kwa kiumbe cha Allah huwa umekosea...Na ndio inakua mafunzo kusema BISMILLAHI kwanza kwa kila tulifanyalo....kiislamu
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps 4 ай бұрын
Kiswahili hujui "mganga" maana yake daktari , ushirikina ndo hautakiwi,
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Huyo ni mganga wa kienyeji
@saidmbaraksaidtwahir3412
@saidmbaraksaidtwahir3412 4 ай бұрын
@@SelemaniSelemani-bw4ps Daktari ni tabibu kaka. Na ndipo utakuta tabibu wa dawa za asili na tabibu wa dawa za kizungu au kisasa kumaanisha makemikali. Ila Mganga ni raddi ya mchawi ila wote wawili watumia majini kurogea..... zinduka ubainishe.....
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps 4 ай бұрын
@@saidmbaraksaidtwahir3412 nikuulize swali wanaondika "mganga mfawidhi, mganga mkuu wa mkoa" maana yake nini? Ndo maana nikasema kiswahili (mganga) kiingereza( doctor) tumetohoa tukapata daktari , kiarabu ni (twabiib) tumetohoa tukapata tabibu. Kaangalie kwenye kamusi,
@ramammasa3975
@ramammasa3975 4 ай бұрын
Brother utapata shida. Darasani mwalimu mmoja, mtihani mmoja ila matokeo kuna wa kwanza mpaka ila wakati wakujibu kila mtu aliamini yuko sahihi. Hongera kwa elimu ila si rahisi kufundisha mashabi. Waombee dua shekh wangu
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 4 ай бұрын
Amesema kweli shekh abuu iddi alipo sema mawahabi wana tatizo la uelewa😂😂😂. Leo muwahabi huyu huyu utamkuta ana ahadi ya kukutana na mganga mkuu wa muhimbili kimatibabu na hapo ana sahau kabisa neno mganga hajiulizi mganga maana yake nini
@VnKnvXn-op6qw
@VnKnvXn-op6qw 4 ай бұрын
Wewe kweli akili zimeruka au hujasoma unazidi kuonesha wewe na Abuu Iddy wako ufinyu wa akili zenu. Muhimbili hakuna waganga kuna madaktari mganga ni mtu anayetibu kwa njia za kitamaduni hiyo ndio asili ya neno mganga. Kafungue kamusi ebu sio una comment tu
@VnKnvXn-op6qw
@VnKnvXn-op6qw 4 ай бұрын
Mtu akimpinga shaykh wako basi ni Wahhabi dini ya wapi hiyo? Taarifu ya Wahhabi ni ipi?
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 4 ай бұрын
@@VnKnvXn-op6qw wewe ni demu wa abuu haula . Kwahiyo upo Kwenye siku zako ndiyo maana hauelewi unacho kisema
@VnKnvXn-op6qw
@VnKnvXn-op6qw 4 ай бұрын
@@abuujibriltv5233 wew ni demu wa Mziwanda kwa hiyo ushamaliza siku zako so he hit that butt from behind.
@abdulsakibu
@abdulsakibu 4 ай бұрын
Maalim mbn mnatoka katika imani kwa kutukanana matusi mazito kisa kupishana mitazamo tu, tumche Allah jmn!​@@VnKnvXn-op6qw
@user-zj2xq1od5l
@user-zj2xq1od5l 4 ай бұрын
Hio alaa
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 4 ай бұрын
Yana na shanga na watu wano ona majabu kusikia neno uganga kkk
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 ай бұрын
Sheikh usiwe unafundisha dini unavuruga kama unatafuta umaarufu jiunge na akina diamond. Mtakuja uliizwa jamaa
@abdukhan4718
@abdukhan4718 4 ай бұрын
@Seleman. Wallah muombe Allah akujalie kwanza usiwe na Ushabiki Ktk dini, pili akupe ufahamu wakubambanua mambo..... Nikulize swali dogo sana... *Neno uganga unafahamu nini*? Je ? Watu wakisema mgangamkuu wa Hospitali ya Muhimbili ni Mr Juma. Hapo wamemaanisha nini
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/lYeraniVoMlsmaMsi=ggAS8A8_nusd1iY8
@user-lc1dl3qs4w
@user-lc1dl3qs4w 4 ай бұрын
We mganga si doctor au unamkuaidia yupi
@abdukhan4718
@abdukhan4718 4 ай бұрын
Mganga ni Mtua anaefanya matibabu, ama Tiba.. Na neno Kuganga ni (Kutibu) Sasa mi siwezi kushindana na wewe kwasababu sipo kimashindani nipo kufahamishana........... Na ninekutolea mfano..... Nakutolea tena mfano mzuri *Neno Mkunga Lina maana gani*..
@Logicentric
@Logicentric 4 ай бұрын
Nyinyi wabongo malimbukeni mpaka wa hii dini nayo? Nyinyi kwa mpira tu....Simba na yanga?
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 4 ай бұрын
Subiri utandikwe na kiboko yako Abuu Khawla.... 😂😂😂😂😂😂 amekufanya dhalili maskini...
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 4 ай бұрын
hivi kuna wat wanakaa wanaskiliz kwel? mh
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 4 ай бұрын
Wewe ni mmoja wapo wa wasikilizaji na wasomaji
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 4 ай бұрын
Dini ya kichawi hii
@user-ks4hh8jb6k
@user-ks4hh8jb6k 4 ай бұрын
Acha kutukana dini kwa makosa mtu
@dulaseif5001
@dulaseif5001 4 ай бұрын
Mganga wa hospital y rufaa pia ni uchawi?
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 4 ай бұрын
Swali langu shehe. Nini maana ya Ibada? Kimueleo wako.
@mauidhwa5076
@mauidhwa5076 4 ай бұрын
Ibada ni Kila neno au tendo linalopendwa Na Allah na Kuliridhia...Na kila JAMBO analolipenda Allah na kuliridhia ameshaliamrisha Litekelezwa na Likafundishwa Kimatendo Na Mtume Muhammad Swalallahu alayhi Wasalam
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 4 ай бұрын
@@mauidhwa5076 Ibada ni kufuata alioamrisha Allah na kuacha aliokataza
@feisalmohammed1081
@feisalmohammed1081 4 ай бұрын
🤔
@Abdallahmohamad-sb5ge
@Abdallahmohamad-sb5ge 4 ай бұрын
Wewe mchawi tu
@noordinmilulu8242
@noordinmilulu8242 4 ай бұрын
Usifanye hivyo akhui, si sawa
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 4 ай бұрын
Kwahivo madakrari pia wachawi?erevuka wewe asha mbwe mbwembwe….
HAMA KWENU HAKIKA KWENYE KUHAMA NDO KWENYE MAFANIKIO - SHEKH MZIWANDA
11:52
SHEKH MZIWANDA ONLINE TV
Рет қаралды 4,9 М.
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
FANYA IBADA HUU UTANIPA MAJIBU: SHEIKH OTHMAN MICHAEL
46:18
KISOMO TV
Рет қаралды 81 М.
MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA.       BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES
5:55
How to cure yourself of evil eye, sihr, and jinn
7:49
Abu Mujahed Ruqyah
Рет қаралды 17 М.
UFUNDI WA SHEIKH MZIWANDA AKIIELEZEA BID'AA - SHEKH MZIWANDA
19:41
SHEKH MZIWANDA ONLINE TV
Рет қаралды 3 М.
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 7 М.
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН