Mwalimu wa kweli kabisa.Upo duniani kwaajili yetu.Napenda sana mafundisho yako kwani ubongo wako ni kubwa mnooo.The happiest person is that who do things for others.Ubarikiwe sana Joe👍🏻👍🏻👍🏻.
@DianaMwacha9 ай бұрын
Asante kaka umenifanya nijitambue mungu akubariki sana
@mwambasaguda96559 ай бұрын
Ubarikiwe Kaka ujumbe mzurii umenifungua
@JabiliMtambike-e9n10 күн бұрын
Asante kaka unatumaini kupitia ww ni kufikia mafanikio yangu nipo pamoja na ww ikiwezekana nipate kitabu chako
@eselinabibuka96109 ай бұрын
I appreciate your presentation. God bless you abundantly!
@fadhilimwamgiga26148 ай бұрын
Yes
@MusaKasingo-l1h24 күн бұрын
Asante mwl, hakika nafuatilia sn jumbe zako, karibuni mkoani Singer, mjini Mlowo
@johnsonemmanuelbenedicto2038Ай бұрын
Dhaaaa aise Mwalimu umenipa fulsa katika elimu yako dhaa imenifanya nifurahie elimu zako zimenifanya nibadilike kimawazo ,kimaisha,kifikra nakadhalika umebadilisha maisha yangu kupitia elimu yako ya bure ryapokua niko mbali nanyinyi ila tambua kuna watu wanakufwatilia ambao wamebadilika saaana tena saaana mimi ni miongoni wawatu wanaekufwatilia tangu 2018 toka kipindi hico nimekua mtu tofauti kwahio Mungu mwenyewe ukuzidishie kwa kile ulico naco pia nikutakie uishi miaka100000000000000000…. .Nakupenda joel nananuka Mwalimu bora kwa wanadamu dhaa sijui niseme ninini ila sikumoja nitakuona tu ujumbe//. Ubalikiwe saana na família yako yooote Popote mlipo Mama alie kuzaaa heshima kwake 🙏🙏🏻❤
@upendoMhina-c5f17 күн бұрын
Penda sana mwalimu barikiwa sana tunapona wengi
@JastinSichilamba7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 nakubali sana joel
@juliasndolundolu22294 ай бұрын
Nanauka nakukubali sana kaka
@ISDORICHAVALA7 ай бұрын
Ahsanteh kaka joel kwa mafunzo unayoendelea kunipa naendelea kuyatumia maarifa yako 🎉
@juniorkamwela64344 ай бұрын
Long life sir I appreciate you
@FrolaMbembela-lt8jy2 ай бұрын
Wewe kaka yangu sijawahi kujutia kukusikiliza unagusaga maisha yangu
@edithavalelian2564 ай бұрын
Barikiwa sana kaka 🎉
@SylvesterJoel-h3y4 ай бұрын
Shindana na record yako ya jana,Basi🤝😁✌
@judithsilayo97766 ай бұрын
Nikwli kaka watu wengi wako hivyo Mimi nimeteseka sana ,Mungu akubari kwa elimu unayotupa.
@FANTASYEAGLE-n4n4 ай бұрын
Asante kaka Joe
@MUKSINAMRIАй бұрын
Asante sana kaka nimejifunza vitu vingi kupitia wewe❤❤
@janethdavidsanga59995 ай бұрын
Asante sana kaka joel,umenisaidia sana nitakurudia hapa Mungu akinipa uzima baada ya mwaka mmoja
@anselemimchulo40845 ай бұрын
Hakika nafarijika sana na maneno kuntu unayoyazungumza kaka Mungu akubarik na siku moja tutaonana nitoa ushuhuda wa namna nilivyotumia mafundisho yako kupiga hatua
@violazephania2 ай бұрын
Ubarikiwe na M/Mungu azidi kukupa afya njema 🙏
@GeorgeMakanza7 ай бұрын
Mtumishi sjawah kutoka moyon kumwelewa mtumishi wa Mungu kama wewe ukwel wewe ni mwalimu nimekuskiliza, ninakuelewa sana Mungu akubariki nipo mwanza
@iluminatambilinyi5062Күн бұрын
Amina mtumishi
@ShazilNyanja26 күн бұрын
Kaka unaweza
@FabriceNiyonkuru-FAMS2 ай бұрын
Tnx again kka Joel
@NeemaMlowe-vp8dz2 ай бұрын
Barikiwa sanaa nimebadilika
@ZakariaEmanuel-h2h2 ай бұрын
Uko vizuri mkuu
@FikiriPhilipo8 ай бұрын
Asantesana mwalimu umenibaliki Kwasomo zuri sana God bless you
@MarcoPeter-y5n5 ай бұрын
Amen Utukufu kwako YESU
@WakupereeWakutelezaaАй бұрын
Mungu akubariki sana,
@fadhilimwamgiga26148 ай бұрын
You play a great role to me
@mariamakina17662 ай бұрын
Kaka JOEL MUNGU akumbariki❤
@YakutiUstadhi9 ай бұрын
MaashaAllah nashukuru sana
@dicksonmgoga-hj4im9 ай бұрын
Good job!
@sammwakalinga27059 ай бұрын
Kweli kabisa wengi wetu tunashindwa kufanya maamuzi🎉🎉
@christinechambuni90608 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Amen and Amen
@RaikoWkt7 ай бұрын
Nakukubal sana mzee mungu ata kulipa
@GORETHKALEMERA4 ай бұрын
Huko sawa
@neemaemanuel77159 ай бұрын
I'm proud of your lectures 😊
@PitalisGeorge9 ай бұрын
Thanks alot brother... God bless you...!
@BRIGHTONMAKURU-my3gh3 ай бұрын
Kweli kabisa ujakoseaaa hapoo
@PrinceAdinannyclassic9 ай бұрын
Really said brother
@fgm7532 ай бұрын
Great motivation
@leonidaskalumuna8 ай бұрын
Joel,Joel leo umenisema nakushkr sana Mungu akulinde uendelee kunisema ahsante
@lilianmjema32058 ай бұрын
Asante sana umenisaidia
@EMANUELMWAKITINYA-vr4ge6 ай бұрын
Hakika kweli kabisa Coach life
@hafidhhamad57327 ай бұрын
Thank you very much for this
@naomisiha49199 ай бұрын
Nashukuru umeniponya
@stanleytoo20289 ай бұрын
God bless you joel Nanauka
@EmmanuelAwaki3 ай бұрын
Thanks brother nakufuatilia sanaa since last month lakini nahitaji ushauri zaidi inbox!
@speciozakaloli4 ай бұрын
Uko sawa kabisa
@HenryAlinda9 ай бұрын
Mimi niko Congo na furaia mafundisho sana yesu aku bariki
@Omaralawy-x6e8 ай бұрын
Tujuane bc
@DanielYumwema4 ай бұрын
Ubalikiwe sana kaka
@petermsangi27018 ай бұрын
Ur such a genius brother...
@TumainiTomas7 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@bernadetachari76489 ай бұрын
Mwalimi kwakweli hapo kwasoda yani pameninghusa sana.ilanimelipendha sana funzo hili limeninghusa sana
@LengishonMepukori8 ай бұрын
Big up mwalimu una content me nafurahi sana kukusikiliza
@julioclauditayaye93687 ай бұрын
Barikiwa sana
@salhakyande39057 ай бұрын
Nice having u!
@emmanuelmwandu.31269 ай бұрын
Huwezi kuchagua soda😂. Big up brother. We are together Sir
@victormusoga41367 ай бұрын
Unapendeza kwa mafundisho
@SylvesterJoel-h3y4 ай бұрын
Consistency is a key💱
@AwidiMwafongo7 ай бұрын
mungu akubariki sana
@saumusanjiama69919 ай бұрын
Kabisa
@lusilusi86872 ай бұрын
Na kufuatilia nikiwa🇰🇪
@saumusanjiama69919 ай бұрын
Kweli shukran
@masterkey5364 ай бұрын
Uhakika 💯💯
@MaryEmanuel-j7c9 ай бұрын
Uko sahh
@RachelNyakyoma2 ай бұрын
Kweli kabisa wengi tunakwamishwa na waume kila unalomwambia hataki na yy nimuoga kufanya mamuxi
@BRIGHTONMAKURU-my3gh3 ай бұрын
Brother unaongea fact kabisa
@IbrahimManoma-n1vАй бұрын
I get you
@AugustineNyambega8 ай бұрын
Good advice.
@MasungaGahima-es5ei5 ай бұрын
Nimevuna kitu hapa
@BukelebeTv2 ай бұрын
Aisee watu wamekaa mbalimbali..
@SafariBaya-q3b3 ай бұрын
Kwan unajua ninacho pitia
@ZefrinReuben-m1j27 күн бұрын
🎉🎉
@AthanasioDungumaro-rj4bc8 ай бұрын
Very nice story.
@BerthaMichael-v4gАй бұрын
Nakweli❤
@ButingaMasunga9 ай бұрын
Kaka niyo kweli kabisa
@JamesNgendwa9 ай бұрын
Asante sana🙏
@EdmundAssenga7 ай бұрын
Asante kaka
@user-ih4mp1ds8k6 ай бұрын
Sawasawa
@TinaKisomba-jt6yr9 ай бұрын
Amen
@PaulWanyonyi-q8v2 ай бұрын
❤❤❤
@patiencemambo2996Ай бұрын
True
@SylvesterJoel-h3y4 ай бұрын
👍✌
@nelsondioniz42123 ай бұрын
Understand
@DuraMuhenga7 ай бұрын
Jaman me nan biashar ya dagaa nyama npatkan dar es salaam mbagala nauz jumla nfnya derivary kam unawtka nifhamishe tfdhal
@suleimanhakimu25439 ай бұрын
Umeniongezea kitu.
@bonnyjessy96579 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@ApostleMwl.IsayaIaiser9 ай бұрын
Ukweli mtupuu 😢😢
@Mwitakihani2 ай бұрын
Kaka umenisaisdia xana
@bonnyjessy96579 ай бұрын
😢😢 so touching 😔😔😔
@bettymvanga32738 ай бұрын
Truly
@realemma23129 ай бұрын
🙏🙏
@Sangaligospel9 ай бұрын
Kweli
@daynessmarcel9588 ай бұрын
👏👏👏
@anatoryjames41286 ай бұрын
Exactly
@KukuVillage8 ай бұрын
Hapo kwenye cheat day ya diet. Dah! Ni kweli nilikwishaaaa
@MapesamsodokiJr7 ай бұрын
Nimejifunza kitu
@mojafaster969 ай бұрын
Hapo ni wafanyakazi wanao jiendeleza kwa ajili ya kazi na baada ya hapo tukistafu mambo yanakuwa mengi