No video

HARAKATI ZA DINI MOJA DUNIANI ZAHUSISHWA NA MIKUTANO YA VIONGOZI WA DINI TANZANIA.

  Рет қаралды 52,160

Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa

Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa

2 жыл бұрын

Je! Kuna Ukweli wowote kuhusiana na hali hiyo inayotokana na Mikutano mbalimbali ya Viongozi wa Dini Tanzania ambayo Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa amekuwa akishiriki,Anafafanua Askofu Gamanywa
OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Nakukaribisha wewe unayetamani sana Mungu ajidhihirishe kwako leo bila kujali dini wala dhehebu ulilonalo kila wiki katika ibaada BCIC Mbezi beach kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe KZbin Channel Bishop Sylvester Gamanywa
/ bishopsylvestergamanyw...
Subscribe Wapo TV
/ channel
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa

Пікірлер: 155
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 Жыл бұрын
Huyu anapotosha,unyakuo ni baada yaambo yote. Asome vizuri maandiko,na kama huma roho wa Mungu huwezi jua haya mambo,utakikuta umeishaingia bila kujua.
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 2 жыл бұрын
Nitakachokishika na nikakifia ni kutunza Hamri za Mungu na kuitunza sabato ya Mungu (jumamos) bibilia ndiyo itakayokuwa mwongozo wangu mimi pamoja na familly yangu Amen
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
We huna bibilia we unakuja na sabato yako bibilia umeikuta hata hujui aliyeandika ninani, Ukristo umeikuta hujui kakuletea nani
@patrickmbanya8335
@patrickmbanya8335 Жыл бұрын
amri za mungu yupi na sabatto za mungu gani wewe ju yule unamweongeleea niwamuongo jua amri za mungu wa Musa ni za uongo amri za mungu wa kweli ni 42 commandement
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
Wewe farisayo na mkavu kiroho umesha karirishwa sabato ya mwirini rohon hakuna kitu uzinzi umewajaa b wasabato nani waganga Yani wewe na wanaomikia muhamadi mwenye majin hamupishani
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Kama serikari haingiriwi kwanini? Waingirie Mambo yadini nahao serikari wengi wamejiuganananisha naserijari zakuzimu nanyinyi mnawaunga kwanini?mungu jatupamaribure wanyama nagari samaki arizi reo hii unaripia kwanini? Wanapereka kuzim maisha yetu serikari vyakaisari mwachie kaisari
@RAHELIDARABE
@RAHELIDARABE 10 ай бұрын
Mimi na nyumba yangu nitamtumikia MUNGU wa kweli
@hnnhnn2794
@hnnhnn2794 2 жыл бұрын
2wathesalonike2;3 MTU awaye yote asiwandanganye kwa njia yoyote ,maana haiji,usipokuja kwanza ule ukengeufu,akafunuliwa yule MTU wa kuasi,mwana wa uharibifu .yule mpingamizi ,ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu,ama kuabudiwa ,hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu ,akajionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
@lcn_vol
@lcn_vol 5 ай бұрын
Yesu alisema watakuja na maneno ya nakshi nakshi na mapambo lakini wote wanapanga vita juu ya Bwana wa majeshi.
@piterlaiza5576
@piterlaiza5576 Жыл бұрын
Umemuuliza swali gumu mno, anazunguuuka sana. Lakini kuhusu dini moja ndugu, ni hapa hapa, sio mpaka tunyakuliwe. Amesema uongo kabisa. Kwanza huyo mshenzi, mwambie aseme ukweli kama mcha Mungu wa kweli aache unafiki na uongo.
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Жыл бұрын
Huu sio wakati Wa kuamini watumishi ni wakati Wa kufanya ibada na Mungu tena tusali kwa gharama zote hadi Mungu aseme na wewe na ujue uliposimama ni sahihi au sio ,itafika mahali watumishi uliowaini watakengeuka je wewe utasimama? Waimbaji watakengeuka je imani yako itaonekana? Tumwabudu Mungu halisi hizi ni nyakati ngumu
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Uko sahihi kabisa mwalimu
@hermannimah5813
@hermannimah5813 2 жыл бұрын
Hakuna unyakuo wala unyakua, lazima tukinywee sote hapa hapa ,asiwadanganye.Ila dawa yake ni kushika amri kumi za MUNGU,pamoja na amri ya NNE ya kutunza SABATO TAKATIFU,(JUMAMOSI) pamoja na kufanya matengenezo,(kukubali Biblia ikuongoze na siyo kuiongoza).
@isongacharlesnilanga2582
@isongacharlesnilanga2582 2 жыл бұрын
Aliyesema usiue ndiye aliyesema usizini! Well understood Mr!
@lavatsaliz7898
@lavatsaliz7898 2 жыл бұрын
Kkkkkk
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Kabisa
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Pole sana
@upendopeter5358
@upendopeter5358 Жыл бұрын
Wasabato siwaelewagi ndio imani ya sabato nzoma au mawazo yako?ukishondwa kumuelewa askofu gamanywa utakuwa na shida sana ya kiroho.
@isidorimayagilo3806
@isidorimayagilo3806 Жыл бұрын
Nadhani wachungaji wetu ama Maaskofu wetu wanapaswa kutumia sana maandiko katika kujibu kuliko kutumia akili ama busara zao
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 жыл бұрын
Umeshaingia kwenye mtego acha uongo wa kupenda pesa
@salumkalulu-de1md
@salumkalulu-de1md Жыл бұрын
Safi sana pasta umeeleza ukweli kuhusu dini Moja ya ulimwengu
@graceluvinga190
@graceluvinga190 2 жыл бұрын
Niseme ukweli huo ni mwanzo wa uasi mchungaji anajitahidi tu kwa akili yake lakini huo ndio mchakato
@paulshimba6090
@paulshimba6090 2 жыл бұрын
Kweli kabisa hapo anajitahidi tu kuficha maana halidi ya kilichompeleka huko lakini ukweli ni huo kwamba alienda kwa maksudi yanayosemekana
@stevenmadaha8118
@stevenmadaha8118 Жыл бұрын
kweli mzee
@agnellatwinomkama3970
@agnellatwinomkama3970 2 жыл бұрын
Maandiko yanasema jitenge nao wasio amini.
@filbertmk4807
@filbertmk4807 2 жыл бұрын
Majibu mazuri, ahsante Baba askofu
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Umenaswa Baba acha kujikanyaga
@adriankicho1162
@adriankicho1162 Жыл бұрын
Mtumishi mungu akubariki kwa hekima ulionayo umejibu kwa ufunuo kweli kwei
@salomengussa5897
@salomengussa5897 2 жыл бұрын
Hakuna kanisa litakalonyakuliwa lisipitie kwenye maamuzi ya mtu mmoja mmoja kuichagua amri ya Mungu Sabato ya Biblia au utunzaji wa sanamu (Jumapili) bandia hapo ndipo penye Subira ya watakatifu hao wazishikao amri za Mungu na Imani ya Yesu Ufunuo 14:12 Hakuna unyakuo mpaka wote tupitie huo Moto soma Daniel 12:1-3;Yeremia 30:7 Mathayo 24:15-22 Semeni ukweli mchungaji watu wapone!!!
@stephendavid5555
@stephendavid5555 2 жыл бұрын
Kweli
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
wewe farisayo ambaye umeshakaririshwa sabato ya kimwiri rohon hakuna kitu hapo uripoml Ni mzinzi mkubwa yesu akasema ng,o mbe wako akizama siku ya sabato hamtamtoa
@petermalema5702
@petermalema5702 8 ай бұрын
Safi Sana Bishop
@isidorimayagilo3806
@isidorimayagilo3806 Жыл бұрын
maswali muhimu kujiuliza 1. kwani mpinga Kristo atakuja kwa njia ya kujionesha na kutaka kuabudiwa? 2. kitabu gani inaonesha kwamba watu wataenda mbinguni kwanza kisha ndipo majaribu yaje? 3.hukumu ya Mungu kwa Mujibu wa Mathayo 24 na 1Corintho 15:50------ na Ufunuo 20:5-12 itafanyika wakati gani? 4.kuwatenga kondoo na mbuzi kunamaanisha nn katika hukumu ya Mungu? 5.ufunuo 17 inamhusu mpinga kristo,Je ina mahusiano gani na sura ya 13 ya Ufunuo? najiuliza tu kwa uchache........ Daniel 7 tuisome tena, oanisha na historia ya ulimwengu huu. Kwa wale tuliosoma Advance masomo ya historia tuwasaidie wengine kuujua huu ulimwengu.
@tinangimba8909
@tinangimba8909 2 жыл бұрын
Hapo umechanganya habari mtumishi, hatunyakuliwi bali kila jicho litamwona na wale tu waliojitakasa hawana mawaa ndio watakao mlaki mawinguni. Tuzidi kusoma neno la MUNGU kwa umakini nae ataturehemu
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Sawa Sawa wameinuka kutudanganya
@ZabronDonge
@ZabronDonge 8 күн бұрын
Askofu akasome katika 2Wathesalonike 2:5 na kuendelea Aachen siasa
@josiacharles2778
@josiacharles2778 6 ай бұрын
Ukitaka kumuelewa uyu askofu weka dini yako pembeni utamuelewa sana kwa aliemkristo tafuta mafunzo ya uyu mzee akiwa nje ya inada za kanisani kwake utamuelewa sana
@KevinMghala
@KevinMghala 3 ай бұрын
Jaman huyu mtumishi hufundisha ukweli wa Mungu kwel kweli binadam tuache kukaza shingo
@jamesmuema920
@jamesmuema920 2 жыл бұрын
Natumai wrote mmesoma Bibilia kwamba ,"hapa ndipo penye hekima,....basi yahitaji hekima gani kumtambua mpinga kristu Kama kanisa litakuwa limenyakuliwa, msidaganyike mateso na dhiki kuu Zitatangulia,kabla ya ujio was Kristu, ...
@omaryayoub2838
@omaryayoub2838 2 жыл бұрын
Hakika
@MajaliwaMbula
@MajaliwaMbula 14 күн бұрын
Huo uongo ninyi viongoz wadin niwaongoo nsndio mnakua wakwanza kupotosha jamii unaendaje huko
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Mwenye kusoma biblia na mwenye Roho Mtakatifua pekeee ndie anayejua Hilo wengine lazima mapovu yawatoke poleni.
@magesabejaro
@magesabejaro 3 ай бұрын
Sio wote wamwitao Bwana watauona ufalme wake
@L2L-TZ
@L2L-TZ 11 ай бұрын
Inaonekana askofu gamanywa amekengeuka, japo Nina uhakika alianza vizuri. Kiumweli michakato ya dini Moja imeanza muda mrefu kama dalili za unyakuo wa kanisa. Shida ya viongozi wengi wa dini hawana ufahamu na uelewa sahihi wa mambo muhimu ya kihistoria na kinabii ndio maana inakuwa rahisi kudanganyika na kuwa sehemu ya mikakati miovu kwa kujua au bila kujua
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
nawewe mwenye majini utaerewa Nini mjinga wenu mhamad amesha wamariza hata ufaham hamnaga Mambo ya rohoni mtayajuaje na mizimu na majini yamewafuga
@user-rq5te5bx8m
@user-rq5te5bx8m 8 ай бұрын
Ahxanteeeeeeeee baba askofu
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c Ай бұрын
Hakuna kitu hapo,njaa mbaya. Wala hicho kifungu hakina mahusiano na umoja huo.
@paulshimba6090
@paulshimba6090 2 жыл бұрын
Hapana kitu kama hiko kusemankuwa alienda kwa makusudi ya kijamii la hasha kwanini asiende mmoja wa viongozi wa kiserikali kama ni kwa guduma za kijamii,
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Жыл бұрын
Haya mambo hayahitaji nguvu kubwa kwani muda ndio unaozungumza kwamba nani afuatane na Yesu hadi mwisho na nani atakengeuka tunachotakiwa kufanya kwa MTU binafsi ni roho yako isimame sehemu sahihi na salama na uwe mwaminifu hata kufa manake ndio wakati tulioko sasa naaandiko yatatimia lakini ole wake atakaekuwa sehemu ya kutimiza maandiko ,ninachokiona ufalme Wa Mungu uko malangoni ,tusijishughulishe na nani kawa balozi kwenye nini tuangalie nyakati tulizopo .
@user-pq5fb6ip7w
@user-pq5fb6ip7w 5 ай бұрын
Hapo mchungaji kawadanganya watu hadi hivi sasa makao makuu ya dini moja dunian ameshakamikika ujenz wake na yamejengwa abudhabi na dini hiyo inatambulika kwa jina la krislamu na hakuna unyakuo mpaka dhiki kuu ianze habar zakusema et unyakuo utakuja ndipo ije dhiki kuu huo ni uongo
@lindamasanja8789
@lindamasanja8789 8 ай бұрын
Tusomeni bibilia tu sawa hivi wahhbili wengi wamekamatwa na shetani wambaki wasabato 2 ndio wanaosema ukweli
@lindamasanja8789
@lindamasanja8789 8 ай бұрын
Huo ni ongo wanyama 2 ni hivi wa Baharin ni kanisa la rumi ya kipagani mnyama wa chi kavu ni serikali ikiongozwa na marekani mlefu Mateo yanalikuta kanisa nipo duniani hakika nyakuliwa
@agnellatwinomkama3970
@agnellatwinomkama3970 2 жыл бұрын
Huyo ASKOFU AMESHA SHAMBULIWA NAKUPELEKWA MUMUOMBEE. KAKAMATIKA TAYARI.
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 жыл бұрын
#Agness, usicheze na shetani, aliooshindwa Mbinguni, aliapa ataweka kiti chake duniani na amefaulu pakumbwa mno.
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani 11 ай бұрын
Namba 666,Imeishatokea na watu wamo humo, na mpinga kristo walitokea tangu kipindi cha mitume wa YESU, 1Yohana 2:18,
@graceluvinga190
@graceluvinga190 2 жыл бұрын
Hata kama ameejibu mm bado sijamwelewa naona kama ameanza kuibiwa tu
@hnnhnn2794
@hnnhnn2794 2 жыл бұрын
Haeleweki kabisaaaaa.
@hnnhnn2794
@hnnhnn2794 2 жыл бұрын
Haeleweki kabisaaaaa.
@danielpauljoho4949
@danielpauljoho4949 9 ай бұрын
He who has ears, let him hear
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 7 ай бұрын
Hao waungane wenyewe kwanza ili waweza kuswali kanisa moja maana kila mtu anaswali kanisa lake na siku yake
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 3 ай бұрын
Mnatuchanganya,mapambo hayo mbona roho mtakafu mbingu gani wataenda hao
@denicomar2782
@denicomar2782 2 жыл бұрын
Walokole mtaibiwa sana dhiki kuu inakuja kabla ya kunyakuliwa kuweni makini na hawa mnaowaamini na kuwaona ni walimu wenu pendeni kusoma maandiko na kuyatafsiri vyema na sio kuyatafsiri kama kiongozi wa kanisa lako asemavyo
@festoambakisye4999
@festoambakisye4999 Жыл бұрын
Unatafsri wewe au unatafsiriwa?
@user-pq5fb6ip7w
@user-pq5fb6ip7w 5 ай бұрын
Umesema ukweli Mimi mwenye Kwa mda mrefu nilijuaga dhiki kuu itakuwa kanisa likishaondoka lakin sasa nimejua kua haiko hivo dhiki itakuja na watakatifu wakiwa bado dunian
@MayeleFiston-fs1mf
@MayeleFiston-fs1mf 10 ай бұрын
uyomwenyewe mpunga kristo
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp 7 ай бұрын
Kuweni wapinga kristo. ila mwenyeulimwengu anakuja mtaonyeshwa shoo
@hnnhnn2794
@hnnhnn2794 2 жыл бұрын
Mathayo24;21. Kwa kuwa wakati huo kutakuwa dhiki kubwa,ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa,wala haitakuwepo kamwe.22.Na kama siku hizo zisingalifupishwa asingeokoka MTU yeyote.lakini kwa ajili ya WATEULE zitafipishwa siku hizo.
@festoambakisye4999
@festoambakisye4999 Жыл бұрын
Wateule ni kina nani?
@agnesdaud8215
@agnesdaud8215 Жыл бұрын
Nikwambie ukweli ndugu mtangazaji huyo askofu anajichanganya ukweli ungemuuliza je shetani kubaki nawatuwake apiganenao ukweli nikwamba biblia kuanzia mathayo 24: 1 ukianzia Moja kwenyematukio yasiku zamwisho anasema sikuhizo zimefupizwa kwaajili yawatakatifu ivyo watakatifu hawatanyakuliwa mwanzoni Bali mwisho wapambano ndio BWANA wetu atakuja ila huyo wanae mzungumzia atakuja mwanzoni nisheta mwambie asiwapotoshe watu kwamaana hakuna fundisho kamailo kwenye biblia Hilo fundisho nilaumizimu
@ImaniMwegenya
@ImaniMwegenya 11 ай бұрын
Mwambie mchungaji wenu anyoshe maelezo uwezi ukaka au ukaishi na shetani afu unawambia majirani kuwa msifikirie vibaya kuwa nae uyu siyo kwamba Mimi nimshirikina
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 4 ай бұрын
Uzuri wake dini sio.wokovu inatakiwa wokovu ndani.ya din
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Kwahio Mungu anapenda utangano? Kabla ukristo haujagawanyika Palikua na imani moja ya kikristo ambayo ilikua ni Roman Catholic. 1688 wazungu Wa ulaya na Marekani walianzisha protestant
@petermasala1409
@petermasala1409 2 жыл бұрын
Unazungumza uongo uliochanganywa na ukweli,,, Acha kupotosha watu wa Mungu ,,, Muungano wa dini zote ndio mchakato wenyewe wa Mpinga Kristo chini ya eukumen Na unaendelea,,,Tunashangaa kwamba Ufunuo 13 hueleza wazi kuwa Mnyama wa kwanza (MpingaKristo) ni upapa na Mnyama wa 2 ni Nchi ya Marekani.
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
We acha kukaririshwa na wajinga wako Papa yupo pale Kwa mamlaka ya Yesu mwenyewe Papa ni mrithi wa wanafunzi wa Yesu, Yesu anamwambia Petro juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu utakalo lifunga duniani limefungwa mbinguni utakalolifungua duniani limefunguliwa mbinguni je we unayesema mpinga Kristu Kanisa lako ulipatia Kwa nani?
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Na amini Kanisa moja tu la mitume wa Yesu Kanisa katoliki la Roma hiyo ndiyo Kanisa iliyotimia ndg zangu msiojua Ukristo mkayumbishe kama upepo wa bahari
@winnyleonardkapere661
@winnyleonardkapere661 2 жыл бұрын
Hawa wazungu wasituchanganye sisi. Dini walituletea ya kristo wao nasi tuliiamini na kuiishi. Sasa wampiga kristo kwa lipi?
@hamidubakary
@hamidubakary Жыл бұрын
hiyo nikuandaa vurugu kubwa kamaile yakimbali hayonimachafuko walamsiyafurahie tunaelekea kubayamno
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Kuweni makini sana na mungano huo.
@EddoAndrew-nj6yh
@EddoAndrew-nj6yh 5 ай бұрын
Mchungaji hapa hakuna...
@magesamstiko3182
@magesamstiko3182 Жыл бұрын
dini moja ila madheheb mengi ..iko hvyo
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Asikofu umejibu vizuri kWa kuongezea ni kwamba Neno la Mungu linasema Muwatii wenye Mamlaka,maana hakuna mamlaka isiyo toka kWa Mungu,na Neno linasema mpende Binadamu mwenzako kama nafasi yako wewe mwenyewe,sio wA Dini yako au yangu tu,bali hatamchawi na mpagani mpendee,
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Hajajibu vizuri hata kidogo. Nenda usome biblia update maarifa.
@paulmackenzie3421
@paulmackenzie3421 Жыл бұрын
Mtu asipotangamana na mtu au watu wa dini zingine haimaanishi hana upendo kwao
@sephaniakibona9170
@sephaniakibona9170 10 ай бұрын
acha kupotosha watu fuata ukweli wa maandiko brother
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 Жыл бұрын
Dini moja si kwa waislam labda kwa wengine
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Wengine haliwahusu utajua baadae sana. Papa anapigiwa salute huko huwa huoni?
@JonasIbrahim-wt8uy
@JonasIbrahim-wt8uy Ай бұрын
Dini moja ni Kwa dini zote ambazo zitasaini hiyo mkataba lakini dini moja tu ambayo haitaungana kamwe dini ya kisabato waislamu ni dini ambayo imeletwa ili kutokomezwa ukristo wa kweli anae ongea hapo huyo pastor ni wakala wa shetani anajua ukweli lakini anawadanganya
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 2 ай бұрын
Mimi sikuelewi?
@pisgatv5863
@pisgatv5863 Жыл бұрын
Baba askofu usitudangnye wengine sisi waelewa mchakato wa dini moja umeshaa anza na papa ndio kiongzi na mpango huu unaanzia serikalini kwaiyo serikali itaita vingozi wa dini na kuanza mchakato huu na mchakato huu umeanza 2016 na mpaka 2030
@elipidiuspancras4161
@elipidiuspancras4161 Жыл бұрын
Shika sana wokovu so vinginevyo
@mecksonmasaki5463
@mecksonmasaki5463 2 жыл бұрын
mimi nasema hayo yote ni ya kweli lakini kumbuka ukweli unao uzunguka Tanzania. je umewahi wafalme wa kale wa taifa letu ? na maagano waliyo fanya? mimi ni mwana wa hao wafalme . na sasa mjue lifuatalo ni kuvunja mkataba na majini na watu wote watakua huru hapo hapatakuwa na maradhi tena
@sinaimissions7554
@sinaimissions7554 Жыл бұрын
Kama unaongozwa na torati na sheria hakuna kukwepa, lazima utakinywea kikombe hicho, na wala huwezi kunyakuliwa kabisa, maana hauhusiki na huo unyakuo.
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 жыл бұрын
Yaan joka anakuita nawe unaenda
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 Жыл бұрын
HUO SI ULIKUWA MMOJA YAANI WAROMANI ? AU MNAUNGANA TENA
@nisetameena9276
@nisetameena9276 2 жыл бұрын
Haya in maombolezo
@jonathanhamadi
@jonathanhamadi Жыл бұрын
Hata tujadilije hatuwez zuia yaliyotabiriwa cha msingiungu atupe tu neema ya kustahimil hata yajapotimia
@EddyObadiah
@EddyObadiah Жыл бұрын
Hiyo miaka saba ya dhiki kuu mmeitoa kwenye Biblia gani ninyi?? Rudieni kusoma Bibilia aisee!!
@evalistirazalo3534
@evalistirazalo3534 2 жыл бұрын
ww acha kudanganya watu Mungu dini moja inakuja upesi hapa duniani kusali siku moja yule atakaye kataa kusali siku 1 atauwawa atakuwa upande wa Mungu ambayo nisabato ya kweli na yule atakaye kubar kusali siku moja huyo atakuwa upande wa shetani baadae yesu atakuja kuchua hao walio kataa kuwa upande 666 shetani fanya maamuzi sasa
@martinireri5545
@martinireri5545 Жыл бұрын
The last part ni uongo mtupi, GODs people will be her on Earth during the Antichrists reighn and during the great turibulations. ( nothing like Rapture happenings) check The entire Bible
@goodluckwakristo6038
@goodluckwakristo6038 2 жыл бұрын
Huyu Mtumishi Mimi nilishamuona tangu kipindi Cha mlipuko wa coronavirus. Hajui mambo ya IMANI ya KRISTO ndani ya mwili ambao unaongozwa na Roho ya MUNGU Bali yeye anaongea kwa ujanjaujanja na anawapata hivyo hivyo
@eliasisaya9693
@eliasisaya9693 Жыл бұрын
Mchungaji amelowa amelowa
@adamjulius9782
@adamjulius9782 Жыл бұрын
Uongo
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 7 ай бұрын
Makofi yanayopigwa nikuwa waumini mmeelewa au ?
@user-pq5fb6ip7w
@user-pq5fb6ip7w 5 ай бұрын
Hapo wameelewa uongo
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 Жыл бұрын
Hapana Bishop...Hilo Fungu la 1stTim2:1 Mungu ataka Dua Kwa kila mtu hata hao Wafalme Kwa kila jambo wamtangulize Mungu kwanza...Dini zikiunganika Wewe Bishop waenda pale kama Eliyah kuwajulisha Mungu wa Kweli ama kuwasikiliza?
@chrismassawe326
@chrismassawe326 2 жыл бұрын
Mpinga kristo mbona yupo siku nyingi ila watu wanajua ni kundi mfani au watufani mashetan watatokea😂😂😂
@sylvestermwingira9316
@sylvestermwingira9316 2 жыл бұрын
Ile siri ya kuasi ya mpinga kristo ndiyo inatenda kazi hata atakapofunuliwa yule asi. Mpinga kristo bado mtumishi.
@chrismassawe326
@chrismassawe326 2 жыл бұрын
@@sylvestermwingira9316 polee
@sylvestermwingira9316
@sylvestermwingira9316 2 жыл бұрын
Asante
@rabinoonlinetv.7242
@rabinoonlinetv.7242 2 жыл бұрын
@@sylvestermwingira9316 ndugu, mpinga Kristo yupo na anafanya kazi. Ukisubiri aonekane kwa wazi kama wengi wanavyongoja utakuwa umechelewa sana.
@hnnhnn2794
@hnnhnn2794 2 жыл бұрын
@@rabinoonlinetv.7242 Mathayo24;21. Kwa kuwa wakati huo kutakuwa dhiki kubwa,ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa,wala haitakuwepo kamwe.22.Na kama siku hizo zisingalifupishwa asingeokoka MTU yeyote.lakini kwa ajili ya WATEULE zitafipishwa siku hizo.
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv Жыл бұрын
huyo kristo ndie mpinga kristo
@RAHELIDARABE
@RAHELIDARABE 10 ай бұрын
Uongo mtupu hajui Biblia huyo
@msabilapaul4013
@msabilapaul4013 Жыл бұрын
Wakati tumenyakuliwaaa .....?
@emanuel4148
@emanuel4148 2 жыл бұрын
Mzee umeficha ukweli uliopo ,naomba unijibu swali ,jE,CCT ni tawai la WCC?
@stevenmadaha8118
@stevenmadaha8118 Жыл бұрын
ni tawii
@najmamsamy1804
@najmamsamy1804 2 жыл бұрын
Msijidanganye hanyakuliwi mtu mpaka wote tupte kwenye ziki kuu
@chrismassawe326
@chrismassawe326 2 жыл бұрын
Na wewe usijidanganye hakuna ziki kuu nyingine zaidi ya waliotumwa na MUNGU kuuwawa kukatwa shingo alina yohana mbatizaji na wengine kutupwa kwenye pipa lafuta kama unasubiri dhiki kuu sahau haipo iloshatokea
@sylvestermwingira9316
@sylvestermwingira9316 2 жыл бұрын
Sasa mtumishi ushapita tayari kwenye dhiki kuu unanyakuliwa ili iweje tena. Rudi tena uchunguze maandiko
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 жыл бұрын
#Najma, wanasema dhiki kuu ishapita lakini watashikwa na mshangao watakapoiona na bando inaendelea kwa Wale wanaohumbili Biblia ilivyo wanaitwa waasi na kupigwa. Lakini uki humbili vile watu wanataka kwa maneno laini, wewe utaishi kwa raha mbila wasiwasi....
@chrismassawe326
@chrismassawe326 2 жыл бұрын
@@rosemutinda3076 dhiki kuu ilishapita na haipo na kama hujui hakuna dhiki kuu kama ya wote waliotumwa na MUNGU kukataliwa
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 жыл бұрын
@@chrismassawe326 kwa hiyo wew ndio uko sahih ila wengine wote wako wrong
@josephmanase3176
@josephmanase3176 Жыл бұрын
Huwez kutudanganya kijinga sisi ata shetani hutumia hiyo formula kuchanganya ukweli na uongo
@estakenia
@estakenia Жыл бұрын
Huyo mchungaji hana ajualo, ila ana nuru kidogo tu anahitaji kujifunza kutoka kwa biblia na watu wa SDA ndio Mungu amewafunulia hayo yote.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Unyakuliwe kwenda wapi muongo mkubwa tunasoma maandiko usitupotishe wewe ndiye mnyama kutoka nchi kavu
@josephmanase3176
@josephmanase3176 Жыл бұрын
Acha uongo
@avitusiodiro5022
@avitusiodiro5022 2 жыл бұрын
Bishop, bado unayatafusili maandiko, ktk ubinadamu bila kuzigatia mwandishi na aliandikia nani hata 666 bado hujafahamu maana yake halisi karibu world bible school university utazidishiwa maliifa
@kabojamaluku7894
@kabojamaluku7894 Жыл бұрын
Hujuwi mandiko wewe
@abubakarseif6073
@abubakarseif6073 2 жыл бұрын
we muongo huwezi fafanua na wewe ndio walewale mpotoshaji mkubwa we
@joshuamagondu
@joshuamagondu Жыл бұрын
Muongo ww
@josephmanase3176
@josephmanase3176 Жыл бұрын
Huo ni uongo
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 2 жыл бұрын
Mpiga kristo hatokuja kwa mabavu, atakuja kwa kujifanya analeta amani na muunganiko wa ushirikiano ndio maana ikaandikwa hapo ndipo kwenye hekima na akili msifikiri kwamba tutalazimishwa hapana yani mifumo ndio itasukuma watu kwenda huko kwakusema ndio utaratibu wa kisasa
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Жыл бұрын
Maandiko yanasema katika mathayo Hapo watakaposema Amani Amani ndipo ule uharibifu utakapokuja
@eliasisaya9693
@eliasisaya9693 Жыл бұрын
Mkitaka kujua ukweli wote wafuateni wasabato waliojaliwa kujua unabii mtajua Siri ya matukio ya siku za mwisho
@upendopeter5358
@upendopeter5358 Жыл бұрын
Tuwafuate wakati hamumuamini Yesu.
@user-pq5fb6ip7w
@user-pq5fb6ip7w 5 ай бұрын
​@@upendopeter5358aliyekuambia hawamwamini Yesu nani acha chuki zakukalilishwa
ASKOFU GAMANYWA. UNYAKUO KABLA YA DHIKI KUU
14:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 7 М.
UTAWALA WA SERIKALI MOJA NA DINI MOJA
1:25:37
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 73 М.
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 33 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 32 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 53 МЛН
MATUMIZI YA MUDA ULIOSALIA DUNIANI - Askofu Sylvester Gamanywa
32:34
Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Рет қаралды 9 М.
ASKOFU GAMANYWA - JE, KUNYWA POMBE SAWA?
20:58
Chomoza Tv
Рет қаралды 3,1 М.
MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE: KUVAMIWA KWA ISRAEL NI ISHARA.
9:19
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 121 М.
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 17 М.
ROLE MODEL WA ASKOFU GAMANYWA: SIRI YAFICHUKA.
39:49
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
KUFUTWA KWA BIBLIA TAKATIFU NA PAPA.
4:23
BAHAME SENIOR TV
Рет қаралды 129 М.
1. Nani Atakayeitawala Dunia? (Who is the world's next Superpower?)
39:18
MUHTASARI WA KATIBA MPYA WAPO MISSION INTERNATIONAL (WMI)
35:23
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 506
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН