MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE: KUVAMIWA KWA ISRAEL NI ISHARA.

  Рет қаралды 124,318

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 173
@samwelikimaro7802
@samwelikimaro7802 Жыл бұрын
Mungu akuzingire kwa kuta za moto we we na huduma yako na nyumba yako.amina. we love u.master
@EmmanueliMakonindi
@EmmanueliMakonindi Жыл бұрын
Mungu akutie mafuta mabichi uzidi kustawi kama mtende
@selestiniasenga
@selestiniasenga Жыл бұрын
Mwalimu wetu ktk kanisa la tanzania ni hzina kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
@silaleopard7263
@silaleopard7263 11 ай бұрын
Mwalimu wa dunia Uishii sana Teacher
@sayunimnyone-gy1pu
@sayunimnyone-gy1pu Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu Wewe ni zawadi kubwa Kyla Tz
@awezayekyando2203
@awezayekyando2203 Жыл бұрын
Mungu mbariki mtumishi huyu ambaye ni hazina kubwa kwa taifa letu la Tanzania
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Kwakweli
@ainealazaro7321
@ainealazaro7321 Жыл бұрын
Tena ni hazina kwel kweli we proud to him
@pascalnicolaus6986
@pascalnicolaus6986 Жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi atuongezee watumishi wa kweli namna hii na kutupunguzia mitume na manabii wa uongo wanaoongezeka kila iitwapo leo.Ameen.
@bonifacebochela4717
@bonifacebochela4717 Жыл бұрын
Amina
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 Жыл бұрын
KUTAMBUA NYAKATI Luka anaandika hiv “Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa nchi na mbingu; imekuwaje, basi, kuwa hamjui kutambua MAJIRA haya?” - ‭‭Lk‬ ‭12:56‬‬ Mathayo pia anaandika “Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu. Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! ISHARA za zamani hizi hamwezi kuzitambua?]” - ‭‭Mt‬ ‭16:2-3‬‬ Hapa tunaona majira ni sawasawa na ishara Ishara ni nin bas ? kwa muktaza wa kutambua nyakati# Ishara kwa kiswahiliiii sanifu ni dalili au alamaaa au muujiza unatoka kwa Mungu inategemea mukatza wakati unasoma Neno la Mungu ! Ishara imetumika mara 52 katika bibilia ya kigiriki hivyo ni neno lililotumika sana na mara ya kwanza imetajwa katika Mwanzo 1: 14 ona “Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;” - ‭‭Mwa‬ ‭1:14‬‬ HAPA ISHARA KAMA KIELEEZO CHA KUELEZEA JAMBO LA KIROHO Maneno dalili na majira ni tofasiri ya SUV ukiweka kwatika lugha ya asilia yan KJV unaona sign and season Genesis 1:14 And God said, Let there be lights in the firmament of the heaven to divide the day from the night; and let them be for SIGN, and for SEASON, and for days, and years: KJV SIGN-->ISHARA AU DALILI AU ALAMA SEASON--> MAJIRA Nukuu ni nying katika bibilia kuhusu ishara nimepitapita mpk kuchukua mistari miwili “Mungu naye akishuhudu pamoja nao kwa ISHARA na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa magawanyo ya Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.” - ‭‭Ebr‬ ‭2:4‬‬ HAPA ISHARA KAMA Muujiza unatoka kwa Mungu inategemea mukatza wakati unasoma Neno la Mungu ! Lakini MUUJIZA AU ISHARA INATAKIWA IMFUNUE KRISTO ILI WATU WAAMINI ona Petro alivyofunuliwa kuhusu muujiza “Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa. Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu.” - ‭‭Mdo‬ ‭3:1-2‬‬ “Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.” - ‭‭Mdo‬ ‭3:7‬‬ Muujiza au sihara “Hata Petro alipoyaona haya akawajibu wale watu, Enyi Waisraeli, mbona mnastaajabia haya, au mbona mnatukazia macho sisi, kana kwamba tumemfanya huyu aende kwa nguvu zetu sisi, au kwa utauwa wetu sisi?” - ‭‭Mdo‬ ‭3:12‬‬ Petro anahubiri kupitiaaa muujiza ili watu wamuamini Kristo “Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote. Basi sasa, ndugu, najua ya kuwa mliyatenda haya kwa kutokujua kwenu, kama na wakuu wenu walivyotenda.” - ‭‭Mdo‬ ‭3:16-17‬‬ Bad mahubiri “Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;” - ‭‭Mdo‬ ‭3:19‬‬ Alafu aya ya 19 anaawaambia WATUBU ili wapate BURUDISHO AKA ROHO WA MUNGU NDANI YAO KUMBUKA ROHO ALIKUWA AMESHAACHILIWA YEYEOTE ALIYE AMINI KUFA NA KUFUFUKA KWA YESU ANAPATA ROHO WAKE YESU HOJA UNATAMBUAJE ISHARA KWA NAMNA YA ROHO AMBAYO MTUMISHII MWAKASEGE AMEISEMA? Ni kwa njia ya kuamini tu ukiona hutambui mambo ya rohoni ni ishara pia sisi n watu wa mwilini aka watoto wachanga katika imani Ndo maan paulo anaandika hiv “Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.” - ‭‭1 Kor‬ ‭2:13 Kwaiyo siku utakayo amini ndiyo utapokea Roho ya Mungu nawe utawezaaa KUJUA ISHARA NA MAJIRA KIROHO! Ijapokuwa saaa ya wokovu ni sasa hiv Ona “(Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)” - ‭‭2 Kor‬ ‭6:2‬‬
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 Жыл бұрын
Mwalimu unafundisha unaeleweka kwa100% barikiwa sana mtumishi
@MaselinaMkwenda-us4ch
@MaselinaMkwenda-us4ch Жыл бұрын
Mungu mtunze mtoto wako huyu mtumishi Mwakasege
@joyjackson258
@joyjackson258 Жыл бұрын
Mwl Mungu azidi kukupaka mafuta na akupe mafunuo makubwa zaidi . Ukweli tunapokea elimu ya mafunuo🙏🙏🙌
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 Жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa sababu ya mtumishi huyu
@suzannagibai213
@suzannagibai213 Жыл бұрын
MTU wa Mungu . barikiwa.
@robertlameckbabuthegreat683
@robertlameckbabuthegreat683 Жыл бұрын
Mwl Wangu Mungu Akulinde na Kukutunza Zaidi, Mafundisho yako Kuna mqhali yamenitoa na najua yananipeleka sehemu Nzuri
@UpendoDaudi-iq6hy
@UpendoDaudi-iq6hy Жыл бұрын
Mungu akutunze mlezi wetu ,,uishi siku nyingi zenye uheri
@mussarukigwa3453
@mussarukigwa3453 Жыл бұрын
Kweli wewe ni Mwalimu kweli kweli MUNGU akubariki sana wewe na Uzao wako kwako Kistoke Kinyonge Amina
@priskilayambazi4796
@priskilayambazi4796 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza baba
@GraceRichard-rt1ov
@GraceRichard-rt1ov 4 ай бұрын
Tunakupenda baba yetu mwl wetu, wewe ndio tunu ya taifa letu❤❤❤❤
@linashayo2068
@linashayo2068 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu.
@esteryohan290
@esteryohan290 Жыл бұрын
MUNGU aendelee kuwatunza mtumish
@EuniceMwanri-jw9py
@EuniceMwanri-jw9py Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@andrewlema6600
@andrewlema6600 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@frankmosha5854
@frankmosha5854 Жыл бұрын
Mungu analo kusudi ya sis kujua
@tonneymadeit3369
@tonneymadeit3369 11 ай бұрын
Baba baba Mungu akutangulie baba🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@rodjassebaseba7974
@rodjassebaseba7974 11 ай бұрын
Akika tunafarijika na maombi yako mtumishi barikiwa Sana🙏🙏
@GodloveJames
@GodloveJames 11 ай бұрын
To whom be glory for ever and ever. Amen.
@dpmsauge2321
@dpmsauge2321 Жыл бұрын
Man of god
@benjamingaliatano7291
@benjamingaliatano7291 11 ай бұрын
Asante sana mwalimu.. kwa maarifa haya. Mungu wa mbinguni azidi kukubariki
@ArumeruMlili
@ArumeruMlili 11 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi, kwa hakika nimebarikiwa sana!!!!
@anglestinailungu9252
@anglestinailungu9252 11 ай бұрын
Mungu akubariki baba jicho la Tanzania
@YEREMIABAYYO
@YEREMIABAYYO Жыл бұрын
Blessed more Mwlm wetu
@JescaMwakipesile
@JescaMwakipesile 11 ай бұрын
Mungu awabariki Mwl na Mama Mwakasege.
@gabrielygodfrey7815
@gabrielygodfrey7815 Жыл бұрын
Somo la Nyakati na Majira amefundisha sana..Kuna jambo laja naamini
@faustaemmanuel1390
@faustaemmanuel1390 Жыл бұрын
😢😢dah mbn unaniogopesha
@MariaKitundu-l1m
@MariaKitundu-l1m 7 ай бұрын
Asante baba ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AgizoAidan
@AgizoAidan 9 ай бұрын
Mungu akubariki baba.
@ElisafishaMosse-gx5rj
@ElisafishaMosse-gx5rj 11 ай бұрын
Mungu akuinuwe sana
@MaryMremi-x3u
@MaryMremi-x3u Жыл бұрын
Mungu baba wa mbunguni mbarikimtumishi umzidishie upako zaidi na zaidi
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Ubarikiw na mungu mtumish umenitoa mahali
@ZaitunMaji-fj3sq
@ZaitunMaji-fj3sq Жыл бұрын
This is deep revelation
@johncat4038
@johncat4038 11 ай бұрын
Mungu awe nawewe milele.
@PauloHamza-fh8xg
@PauloHamza-fh8xg Жыл бұрын
Mungu akutunze mwl
@trivoniakiwango3508
@trivoniakiwango3508 Жыл бұрын
Mungu akupe miaka mia ktk huduma hii ameeñi
@PascalPascual-rn6fx
@PascalPascual-rn6fx Жыл бұрын
Amen
@NeemaLohay-g9e
@NeemaLohay-g9e 11 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu kwa waliomwishia
@winledlyimo3587
@winledlyimo3587 11 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@danielkaaya7111
@danielkaaya7111 Жыл бұрын
Mtumishi wa moyo wangu Mungu akubariki
@petermalema5702
@petermalema5702 11 ай бұрын
Glory To Jesus
@JoyceJoseph-sy1dr
@JoyceJoseph-sy1dr 11 ай бұрын
Ni neeema tu ya Mungu
@PeninaMwilapwa
@PeninaMwilapwa Жыл бұрын
Mungu akupe ujasiri, nguvu, uvumilivu nyakati zote baba angu
@abibumbota5160
@abibumbota5160 Жыл бұрын
Mwakasege ni mwalimu anajua sana kutuelimisha akili zetu mbovu tunakua tunafeli lakin kama kutufundisha anafundisha
@kingcole60
@kingcole60 Жыл бұрын
Barikiwa mwalimu
@anandepallangyo4177
@anandepallangyo4177 11 ай бұрын
Glory be to the LORD
@sesiliasebastian6867
@sesiliasebastian6867 Жыл бұрын
nmeumia sana kujua huu kweli kwa kucheleweshwa
@thomasa.kimwaga4161
@thomasa.kimwaga4161 Жыл бұрын
Kuna ukweli zaidi ya hiyo dada
@juvencialusimbi8236
@juvencialusimbi8236 Жыл бұрын
Barikiwa mwalim
@mikalaizer719
@mikalaizer719 Жыл бұрын
Asante sana baba
@noelmtumishi7895
@noelmtumishi7895 11 ай бұрын
Amina
@McTabasam
@McTabasam Жыл бұрын
Ameeen Barikiwa baba
@GraceMethuselaNtwale
@GraceMethuselaNtwale Жыл бұрын
Huyu ni BABA wa kiroho Tanzania
@VicentKayagula
@VicentKayagula Жыл бұрын
Bwana Yesu tusaidie sana
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 11 ай бұрын
Amina.
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Жыл бұрын
Ahsante Sana Baba Kwa mafundisho mazuri, japo yanarushwa kipande kidogo tu hata hatufaidi vizuri.
@neemayared4165
@neemayared4165 Жыл бұрын
Fatilia uone live leo upendo TV
@ianmeta2177
@ianmeta2177 Жыл бұрын
Tazama upande wa live utayapata yote... full ceremony.
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Жыл бұрын
Tatizo nipo Huku nje ya nchi, na makanisa hakuna Kabisa huku omani ndo tabu, na upendo TV sina.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
@@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Dah Vipi ukiingilia upande wa u tube
@johnjacob5491
@johnjacob5491 Жыл бұрын
@@RamadhanMwinyimvua-ry8yp ingia you tube andika mwakasege live hapo utapata full package
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 Жыл бұрын
Baba kama Baba
@saimonlaizer
@saimonlaizer 11 ай бұрын
God protect your privacy and your family😊
@marthaayo4980
@marthaayo4980 9 ай бұрын
Ameneeeee
@YoelJmwaipungu-dn3ev
@YoelJmwaipungu-dn3ev Жыл бұрын
Nikweli kabisa huyu baba nihazina ya taifa
@georgemushi1846
@georgemushi1846 Жыл бұрын
Ee yesu nakusihi zidi kuonekana kwenye huduma yake
@holyboy_midwife7596
@holyboy_midwife7596 Жыл бұрын
Amina
@ombenitukabilemo9540
@ombenitukabilemo9540 Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@EliasHamisi-uy7qo
@EliasHamisi-uy7qo Жыл бұрын
MUNGU MLINDE MTUMISHI WAKO MAANA BADO TUNAITAJI AIFUNDISHE TANZANIA
@melisacake5640
@melisacake5640 Жыл бұрын
MUNGU tusaidie
@JudithZefa
@JudithZefa Жыл бұрын
Watanzania tufungue mioyo nà roho zetu ziwe macho kukesha tupate kuyajua haya tuyasikiayo na kuyaona.
@marthaayo4980
@marthaayo4980 9 ай бұрын
Najiungamanisha n haya maombi
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro Жыл бұрын
Sema wazungu wametudanganya Sana walipotosha maandiko wakapachika Kataifa kao kakihuni
@DorcasMlapwa
@DorcasMlapwa Жыл бұрын
Amen
@JuliusChizima
@JuliusChizima Жыл бұрын
Amina baba
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh 11 ай бұрын
Hao waisraeli hawawakubali wakristo na wanakupgeni vita lakn wakristo wengi hawasomi vitabu
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj 10 ай бұрын
Wewe vunga Ivo ivo
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
uyu mtumishi ndiyo alitakiwa awe rais wa nchi na nchi yenge kua na baraka za kutosha
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Жыл бұрын
Aliyeelewa ni Kitu gani kinachiliwa anifundishe na mimi.
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Ukweli me bado kaniacha Njia panda. Labda Kama kuna Clip nyingine yenye Maelezo zaidi kuhusu hii Vita.
@lucymsigwa443
@lucymsigwa443 Жыл бұрын
Nashida na mwakasege nampataje😭😭
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Mtafute kwenye namba zake
@marymushi3806
@marymushi3806 Жыл бұрын
@@miltonjohn9779 namba yake ni ipi jamani huyu baba Mungu amuweke tuuu kiukweli
@gracemkono1199
@gracemkono1199 Жыл бұрын
Nenda kwenye mikutano yake
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 Жыл бұрын
Fanya maombi ya kufunga na kuomba kwanza ili upate neema ya kumuona
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 Жыл бұрын
​@@nereaigogo4442kwa nini hayo maombi ya kufunga na kuomba asifanye kwa ajili ya kukutana na Yesu, ambaye ndiye mwenye Mwakasege? Nadhani akikutana na Yesu atapata kikubwa zaidi.
@eliudimasebo3999
@eliudimasebo3999 11 ай бұрын
Wewe ndye unaongea ukweli ten sana sana unatafungua wengi tusio jua
@suzanRaymond-o7o
@suzanRaymond-o7o Жыл бұрын
Mbn mm nikiangalia inaishia katikati😢
@samwelrobeth7763
@samwelrobeth7763 Жыл бұрын
Hicho Ni kipande kidogo tu chenye dakika 9.ukitaka fully nenda vidmate udowlod fully yenye Zaid ya saa moja
@marcelsylvestermasolwa271
@marcelsylvestermasolwa271 Жыл бұрын
Hapo ni akili tu ndio inatumika, hakuna kitu....
@christinakilla
@christinakilla Жыл бұрын
Ndio uwe nazo sasa
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh 11 ай бұрын
Mnasema Eti kuvamiwa kwa Israel wakati Yesu mwenyewe aliwafukuza na nyinyi mnaona wanauhalali wa kuishi nyny mambo yenu mengi mnampnga Yesu na Nabii Mussa aliwalaani aliwaapiza aliwaambia hawatapata Sehemu ya kuishi duniani watahangaika mpaka mwisho wa dunia
@GraceRichard-rt1ov
@GraceRichard-rt1ov 4 ай бұрын
Bwana na akukee pepo wewe
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 Жыл бұрын
Hili somo ni zito sana sidhani kama wanakuelewa ingawa wanakubali alafu unasema mwakasege unaongea nini
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
To be honest, yule kijana Mbarikiwe anastahili kukinywea kikombe anachokunywa sasa; kumtukana Mtumishi wa Mungu kama huyu jamani 😢
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 11 ай бұрын
Israel sio taifa la Mungu ni taifa la makafiri walio ikana iman watu wenye shingo ngumu walio laaniwa na Yesu mwenyewe.ss wakristo tusiofuatilia historia walishatudangaya kwamba ni taifa llilo barikiwa. hiyo ilikuwa zama za kale. wala sio kielelezo cha ukristo. ila usipo kuwa na ufaham utatekwa nao
@YothamuMusa-qr9sx
@YothamuMusa-qr9sx 11 ай бұрын
Haswa ndio ukweli, Israeli ya leo sio lile taifa, bali Israeli ya Mungu Leo ni watu wote walio wanyenyekevu wazishikao sheria zake
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 11 ай бұрын
Tuna uhakika gani kwamba wale wayahudi tunaowaona pale Israel ndo wale wayahudi wanaosemwa katika biblia
@johnrizi5978
@johnrizi5978 11 ай бұрын
Mimi huwa simwelewi.
@safinamsuva9972
@safinamsuva9972 10 ай бұрын
Ipo ck utaelewa
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Aise!
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 Жыл бұрын
Israel imekuwa ikivamiwa miaka mingi sana tangia warudi kwao 1948 na sidhani kama uvamizi wa juzi unamaana yote zaidi.Wakristo hawaoni israel wanavyoua watu wasio na hatia ila wao kila kukicha,"tunaiombea israel".Biblia inasema "Muombee adui yako mema wala msilaani" lakini wakristo wa kisasa badala ya kuombea anani kati ya palestina na israel wao ni kuombea israel tu.Waisrael wenyewe kwanza hawaupendi ukristo wanaona waafrika wanavyojipendekeza kwao.
@goalpost6753
@goalpost6753 Жыл бұрын
Mapenzi ya mungu SI mapenzi ya wanadamu na ni vigumu kuyajua mapenzi ya mungu kama huna roho mungu hata ayubu mateso yake yalikuwa yanakibali kutoka kwa bwana
@ianmeta2177
@ianmeta2177 Жыл бұрын
Haya
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Soma bible vizr kaka.
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Жыл бұрын
Mambo ya rohoni yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Hamuwezi kumlazimisha huyu mtu aelewe ya rohoni kama yeye ni wa mwilini, hata akisoma biblia namna gani huyu hawezi elewa chochote! Atabaki hivyo hivyo mbishi. Kwa hiyo na yeye anapaswa kuombewa afunguliwe macho yake ya rohoni!
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Kwa kweli
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 11 ай бұрын
Israel ipi hii ya magaidi
@MaulidLihendeko-zu4mv
@MaulidLihendeko-zu4mv Жыл бұрын
Mmeanza kudanganywa
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 Жыл бұрын
Ni maandiko sio yeye
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
Na ww kadanganywe kule kwenu
@MaulidLihendeko-zu4mv
@MaulidLihendeko-zu4mv Жыл бұрын
Kasome Hosea 4:6
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
​@@HildaPaul-hm4jk 😂😂😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Жыл бұрын
@@MaulidLihendeko-zu4mvKavae dela uwahi msikitini ukajifunze karate maana uwezo wako ni mdogo sana
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro Жыл бұрын
Wapalestina wanauliwa na Hawa wahuni wanaongozwa na marekani na uingereza mashetani wakubwa
@ulayaz
@ulayaz Жыл бұрын
Lakini Israel haimjui yesu kwa namna ambavyo mnamjua na wala hawatumii agano jipya, hapa kuna tatizo la uelewa yaani walio wengi wanajua waisrael ni wakristo
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 Жыл бұрын
Akuna dini ya ukristo ndugu, Kuna wafuasi wa Kristo. Na ndani ya israel wako wafuasi wengi tu wa Yesu Kristo. Usiwe mjinga na kuenenda kibinadamu. Haya Mambo Ni ya kiroho na waislamu hawawezi kuelewa haya mpaka siku ya kiama
@barackbrysonramsey
@barackbrysonramsey Жыл бұрын
Dishi lako limeyumba. Kwani um3zungumzwa ukristo hapa
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
Nani amekuambia utuwambie
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 Жыл бұрын
@@emanuelmargwe7087 Kiroho wewe unakijua au umekalili tu?
@favourkimaro5490
@favourkimaro5490 Жыл бұрын
Wafuasi wa Kristo ni israel wa kiroho. Haya mambo yamefichwa kwa watu wenye hekima ya kidunia. Hii ni siri (mystery)
@joshuamtinangi6958
@joshuamtinangi6958 Жыл бұрын
Mchungaji, tupe ufafanuzi wa kawaida wa kifamilia kuhusu watu ambao asili Yao ni Baba moja ila Mama tofauti na Wana ugomvi wa muda mrefu. Mwarabu na Mwi Israel ni ndugu, watoto wa Abraham. Moja Mkristo mwingine Mwislam. Angalizo . MTU toka Misri na Israel kwamwe hawana vita Kwa sababu wanaoleana
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 Жыл бұрын
....lakini ule mwisho bado😂😂😂😂
@klauslusajo774
@klauslusajo774 Жыл бұрын
Haijarish lkn ujumbe umeeleweka
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 Жыл бұрын
@@klauslusajo774 wewe ni wale unaua nyoka ukiamini ndio shetani wa edeni, hawa Israel hawamtambui huyo Yese, sijui unafahamu?
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 Жыл бұрын
Ole wenu ninyi mnaoweka matumaini yenu kwa walimu wa uongo kama huyu.
@EliyaMagiya
@EliyaMagiya Жыл бұрын
Funga kinywa chako kama umekosa la kuongea.
@EliyaMagiya
@EliyaMagiya Жыл бұрын
Acha mtumishi ahubiri neno
@christinakilla
@christinakilla Жыл бұрын
Tafuta wa kwako wa kweli
@evelynekamukuru8246
@evelynekamukuru8246 Жыл бұрын
​@@EliyaMagiyayaani tena akifunge haswa,hata kwa super glue,looooh
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 Жыл бұрын
@@christinakilla wapo wengii Isaya DANIEL, EZEKIEL, HOSEA ambae aliandika watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ambao ndio nyinyi, YOHANA wa ufunuo kuna YEREMIA n.k
@rajabrajab3525
@rajabrajab3525 Жыл бұрын
Mchungaji inaonekana hujui hata historian israil haikuvamiwa ila wao ndio waliovamia ardhi ya Palestine na kuuwa millions za wapalestina na ujue hao unaowaita waisrail hawaikubali huo ukristo wako
@chrisogonivulstan414
@chrisogonivulstan414 Жыл бұрын
Umejibu kimwili na ndo tatizo
@frednandnsakuzi7584
@frednandnsakuzi7584 Жыл бұрын
Wajinga wa kiimani ni wengi sana Afrika,yaani mtu unasimuliwa kitabu/novel na unakubaliana na anayekutafasiria kabisa?umasikini huu ni zaidi ya ukoma!!
@ritchiekings_ke5970
@ritchiekings_ke5970 Жыл бұрын
The Bibilical Israel is not the same as the current Israel which was discovered in 1948. This current Israel came about after 'the great reset' read history. And read the bible in spirit.
@jubilatemoses8547
@jubilatemoses8547 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@LinnetNjiro
@LinnetNjiro Жыл бұрын
Mungu akupe kushiba miaka Baba, nafunguliwa sana na mafundisho yako.
@norahkelvin4830
@norahkelvin4830 7 күн бұрын
Amen
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: TAMBUA NYAKATI KIROHO ZAIDI
8:31
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 43 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.
13:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 239 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: TAMBUA NYAKATI NA DALILI ZA  UMUHIMU WA UHARAKA WA KUFANYA KAZI YA MUNGU.
8:07
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 55 М.
5C. MPE MUNGU MOYO WAKO AUANDAE KWA YALE YANAYOKUJA  || Mwl Christopher Mwakasege || KAHAMA
39:26
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 34 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU NI JINSI GANI SADAKA INAVYOWEZA KUSHIKA MAISHA YAKO YA BAADAE.
10:19
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 191 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KAMA UNATAKA KUFANIKIWA DUNIANI, KUOMBA PEKE YAKE HAITOSHI.
9:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 146 М.
TIZAMA MATENDO MAKUU YA MUNGU, BAADA YA MAOMBI YALIYOONGOZWA NA MWL MWAKASEGE, HAKIKA MUNGU AKAJIBU.
34:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 273 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: YESU AMEKARIBIA KURUDI, KAMA HUJAOKOKA JASHO LITAKUTOKA
9:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 89 М.
JITAIDI KUSIKIA SAUTI YA MUNGU NA UMUELEWE KITU ANAKUSEMESHA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
6:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 107 М.
UCHUMI HAUKO KWENYE VITU, UCHUMI UKO KWENYE NYAKATI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
11:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 90 М.
KUNA MAPENZI YA MUNGU AMBAYO YANATAKIWA YATIMIZWE KWAKO UKIWA HAPA DUNIANI.
5:49
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 61 М.