nami mimi na taka kumupa yesu maisha yangu niombee baba
@husseinchea55243 жыл бұрын
Tafuta kanisa lililopo karibu nawe...
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@husseinchea55243 жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana mtumishi wa MUNGU...wewe na Mch Abiudi Misholi mkiungana Shetani atatetemeka sana. Nakufuatilia nikiwa Mombasa 🇰🇪
@bonheurmungalambuyu80152 жыл бұрын
Asante mutumishi Nîmes kufatilia kilasiku n'a ninakua najengwa kabisa kwa somo Niko 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@NdayishimiyeFride-vp7zt Жыл бұрын
Mubalikiwe sana mmenifunguwa Mimi niliumwa mapepo mda mlefu kupona hakuna hilo ilikuwa inazidi kuwa mbaya kama ulivyo ongea mimi ndo niliyapa mlango mungu anisamehe saana dhambi zote nilizo fanya
@tatukadope72132 жыл бұрын
Nabarikiwa mwalimu nataka kuja kwenye ibada nizid kumuona mungu
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Hapa kuna kitu cha kujifunza sana 🙏.Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@dorabenard55923 жыл бұрын
Na watch nko Kenya be blessed man of God
@fridafrancis19602 жыл бұрын
Asante MUNGU kumtumia mtumishi kutuletea somo zuri
@anthonymoligi13523 жыл бұрын
Ubarikiwe Ndugu yangu kwa Neno nzuri ya Mwenyezi Mungu Baba, akubariki...
@albertkarakha43643 жыл бұрын
Ubarikiwe saana Kwa Elimu ya kiroho.
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Ahsante YESU WANGU
@anthonymoligi13523 жыл бұрын
Amen 🙏 for revelation kusudio ya hili pepo kuwa halika ao kutafuta wengine saba
@jeanbaptiste55123 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji neno hili Lina ngumvu kabisa pia uweza kwa kila anayebahatika kushiriki somo hili🙏🙏 🙏
@Fridah3102 жыл бұрын
mafundisho mazuri nashukuru naona mbele
@juddieemma322 жыл бұрын
Amen...nabarikiwa na huduma
@WinnerJ_3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na neno🙏🏾
@bethmbwilo30922 жыл бұрын
Asante Sana Mtumishi wa Bwana nimeelewa somo
@MachineTayc-x3e2 ай бұрын
Kweli kabisa muchungaji
@leahkaneza17312 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@EmanuelMakalla-wu1zu Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana mungu akutunze daima
@wanjikuthamana6101 Жыл бұрын
VERY EDUCATIVE 🇰🇪
@husseinchea55243 жыл бұрын
Huyo mtumishi wa MUNGU anayeongoza kundi la waimbaji kweli BWANA amempa kibali cha uimbaji🙏
@The_cbrtz3 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@francksindano95822 жыл бұрын
Amen 🙏🏿 MUNGU awa bariki
@danstonecool17343 жыл бұрын
tuned from kenya
@patrickmadale52203 жыл бұрын
Man of God huwa nakuelewa sana!
@josephkiondo49346 ай бұрын
Ameni
@angenizigama88612 жыл бұрын
Amena baba nakuelewa
@elysemurekatete8347 Жыл бұрын
Amen
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeen
@frolianhulubano63583 жыл бұрын
Amen the man of Gos
@leonardsr89943 жыл бұрын
Kila kilicho kinyume na mm ktk ulimwengu wa roho, kupitia madhabau hii, Mungu anifungue kwa kuliangalia agano lake kwenye madhabau hii
@neemaemmanuel42672 жыл бұрын
Kanisa hili linapatikana wapi ?samahan
@leonardsr89942 жыл бұрын
@@neemaemmanuel4267 Dar, Sinza Mori
@joycekariuki463 жыл бұрын
Naomba kufanyiwa deliverance
@mandia69133 жыл бұрын
San bella mungu akubariki sana
@christinesavai8843 жыл бұрын
AMEN AMEN
@lydiamakenge5613 Жыл бұрын
Najiunganisha namaombi
@revocatusngomele49053 жыл бұрын
KTK HILI NA MIMI NIFUNGULIWE
@judylukindo865 Жыл бұрын
Mtumishi maombi Yako yanibarik lakin Jin mahaba linanisumbuwa sina Raha kwenye mahusiano yangu namuomba MUNGU anisaidie
@lydiasai49023 жыл бұрын
Nilikua naitaji maombi ya kufunguliwa
@Fridah3102 жыл бұрын
mimi ni mkenya napenda mahubiri ya huyu mchungaji nikitaka kuwasiliana naye binafsi nitampata vipi kwetu familia imeharibika na uchawi
@esaubakuza26402 жыл бұрын
Etii watumishi wanaonekana 0000😀😀😀😀
@NdayishimiyeFride-vp7zt Жыл бұрын
Pia mtuombee nasi mapepo yote yatukimbiye
@WicliffeTolly3 ай бұрын
Yule alikuwa wa simu ni mtoto wa nani akaishi makaburini
@leytcastle94023 жыл бұрын
Neno ni bora kuliko maombi nakuelewa sana Baba likijiumba unapata nafasi ya kujiokoa ww binafsi.. ndio maana Yesu alisema ndugu zangu na mama angu ni wale wanaolisikia neno langu na kulishika
@leytcastle94022 жыл бұрын
@KallmeFreida Karols kwakweli ni maarifa ni jambo jema sana...ndio mana hata Yesu walimwita Mwalimu.. Aendelee kutufunza vyema kama Roho mtakatifu anavyomuongoza
@fridafrancis19602 жыл бұрын
Ameen
@bonheurmungalambuyu80152 жыл бұрын
Asante mutumishi Nîmes kufatilia kilasiku n'a ninakua najengwa kabisa kwa somo Niko 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩