No video

HATUA 5 ZA TATIZO LA AFYA YA AKILI | Deo Sukambi

  Рет қаралды 1,048

Deo Sukambi

Deo Sukambi

Күн бұрын

Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza HATUA 5 ZA TATIZO LA AFYA YA AKILI
Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
/ @deosukambi
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

Пікірлер: 8
@aishahakizimana1990
@aishahakizimana1990 3 ай бұрын
Ahsante sana kwa somo zuri...ubarikiwe🙌. Nadhan mdogo wang amefikia stage 4😅 . Naomba Mungu asione hii comment😊😂
@DeoSukambi
@DeoSukambi 3 ай бұрын
Umeificha sana hawezi kuiona😂😂
@mutsuvaadamofficiel3508
@mutsuvaadamofficiel3508 2 ай бұрын
Pastor naona una tuelewa vizuri na tunashukuru kwa maada ya Léo.mimi niko Congo.ila nimefata hatua zote na nimejukuta kati ya zote.ila kwangu kuna différence kwa tabia zengine.na nimejaribu kukutana na wauguzi lakini hawanielewi kiasi ya namna wewe una nielezea vizuri Sanaa.hapo sasa sijueee nifanye je
@mutsuvaadamofficiel3508
@mutsuvaadamofficiel3508 2 ай бұрын
Nataka musaada wa kisaikolojia, sijue ni upate je ? Na kama kuna vidonge vya kutumia na vihitaji
@DeoSukambi
@DeoSukambi 2 ай бұрын
Kwenye saikolojia hatutoi vidonge bali tunatoa ushauri nasihi..wasiliana nasi kwa whatsap +255786903727
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 ай бұрын
Nimeelewa sana aisee.. huku mtaan watu wengi sana wako na changamoto hizi.. Swali je hawa wenye psychiatric mahospitalin yaan waliofikia hatua ya kuchanganyikiwa wanakuwa stage hiihii ya 5? Ama ni tatizo lingine kabisa
@DeoSukambi
@DeoSukambi 3 ай бұрын
Mara nyingi Psychiatric kama haina uhusiano na substance abuse disorder basi inakuwa ni stage ya 4 ambayo victim amekosa copy mechanism ya kumsaidia kusurvive..mara nyingi stage ya 4 ikikomaa ni aidha itamlazimu aende stage ya stage as a way of surviving or impeleke kwenye paychiatric situation
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 ай бұрын
@@DeoSukambi ahaaa nimekupata vizuri mkuu.. kwakwel hii video inatakiwa iwafikie wengi sana maana tatizo ni kubwa kabisa 😀
UKIZIONA DALILI HIZI 4 NI TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA
9:40
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 82 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 19 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
NGUVU MBILI ZINAZOAMUA HATIMA YA MWANAUME | Deo Sukambi
33:14
Deo Sukambi
Рет қаралды 2,8 М.
MAMBO MAWILI YANAYOHARIBU AFYA YA AKILI YA MTOTO | DEO SUKAMBI
55:20
VYANZO 05 VINAVYOSABABISHA TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA
8:49
SABABU ZA WANAUME KUTOKUWA WAAMINIFU KWENYE NDOA | Deo Sukambi
27:20
MAMBO 5 YANAYOPELEKEA KUFURAHIA MAHUSIANO AU NDOA | DEO SUKAMBI
36:45
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 122 М.
SIRI 4 KUHUSU MAWASILIANO KWENYE NDOA |  DEO SUKAMBI
51:09
Deo Sukambi
Рет қаралды 3,5 М.
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 140 М.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 82 МЛН