Ahsante kwa somo zuri maana najifunza mengi na inasaidia namna yakulea wanangu.Ubarikiwe sana
@swahiliwellness9 ай бұрын
Mkuu unafundisha vitu vikubwa sana aisee.. Mungu akuinue zaidi na zaidi
@sofiarugoye79297 ай бұрын
Yaani unafundisha vzr,unafunguka
@beatricefelicianrutahigwao2918 Жыл бұрын
Nakupa vyema mtumishi
@IngabireAisha3813 Жыл бұрын
Aise yani hili somo limenikumbusha mapito yangu magumu yalinisababishia kuwa na ma amuzi yenye hadi sasa nachukia na mbaa zaidi nina kizazi chenye nimekianzisha bila malengo yoyote yani 😭😭😭😭😭
@stellatemu245811 ай бұрын
Hata sasa Bwana ataenda kutengeneza njia ya mabadiliko katika ndoa zetu, na watoto wetu Mungu wa mbinguni aendelee kukupa hekma na maarifa na uvuvio uendelee kutufundisha Pastor Nabarikiwa sana Kwa ufupi tangu nimeanza kufuatilia mafundisho yako haya nmepata kitu kikubwa sana ktk maisha yangu ambacho nilikuwa na mgogoro wa nafsi yangu kwa muda mrefu Hakika Mungu anatumia watu kuponya
@gracepallangyo748711 ай бұрын
Ntapataje kitabu niko Arusha
@hellenmzungu736411 ай бұрын
nakupata kutoka Qatar
@esthermliga487511 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu!! Masomo yako yananijenga sana! Nipo Shinyanga napataje vitabu vyako kakng
@janethnjau Жыл бұрын
Sawa mtumishi tunapatajee kitabu tupo moshi
@DeoSukambi Жыл бұрын
Piga 0769112116 utaletewa popote ulipo bei ni 25,000 delivery free
@geraldlazaro452311 ай бұрын
Tuagizie kitabu hicho
@sofiarugoye79297 ай бұрын
Duuuu mbona sehem nyingine husikiki nimakelele tuu kengele inalia muda mrefu
@keenbazaar8173 Жыл бұрын
Mimi ni muhanga mkubwa wa hili swala ,sikua na mtu wakuongea nae wala mazingira ya kukimbia.
@gaudensiamange77827 ай бұрын
Hii video irudiwe nakelele hatujaelewa
@carolinenyakundi58753 ай бұрын
Kwani unaniungereza mimi we?
@RobinaJosseph6 ай бұрын
Kila ulichokiongea kimenigusa sana
@IngabireAisha3813 Жыл бұрын
Hapa mimi nimekumbuka mengi hadi chozi limenitoka lakini naelekea kupona kwani humu kuna tiba ya ugonja nlio asilika nao😢