Eee Mungu nakuomba nguvu ya maombi Eee mungu nipo apa nisaindie 😭🧎♀️🙌🙏🙏
@JoyceJohn1993 ай бұрын
❤
@VummyJackob2 ай бұрын
Ni kwer sometimes mda umefikaa usiku uwombe shanga unaamka sa 11 unajiulizaaa umepitajee ilee time yako hujuii Eee MUNGU tusaidieeee
@SevAl-p9k Жыл бұрын
Amen amen amen❤🙏
@Mary-z5i1sАй бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏🏾🙏🏾♥️♥️🎉
@HafsaSelemani-n2g Жыл бұрын
Eeeenhe mungu nisaidie mana nimekata tamaa
@marymalfarsi-vx9dr Жыл бұрын
Amina mtumishi ubalikiwe sana 🙏 yani hapo umenigusa mm yani kuna mda najisikia kuomba nakua Moto kunamda nakosa ham ya kuomba natamani nipate nguvu za mungu mda wote nisiipoteze hata sekunde
@dainesykalinga71332 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu nisaidie sana kuwa mwombaji kila saa na kila siku Katika jina la Yesu Kristo Kwa Kuwa Neno lako ni Taa yangu.
@WazaTimothy-kh9ipАй бұрын
Mungu nipe roho ya maombi
@LucyBenjamin-ty6ye Жыл бұрын
Amen axante kwa kutujenga barikiwa xana
@vailethandrew21132 жыл бұрын
Ee MUNGU nisaidie mm nahitaji kuwa karibu zaidi naww nifundixhe kuomba🙏🙏
@AlisiaAgostinal Жыл бұрын
Nataka nipone ukimwi
@hellen90562 жыл бұрын
Naomba unisaidie niweze kuomba mtumishi
@happpyfuraha2 жыл бұрын
Amen naomba mungu anipa nguvu ya maombi ktk maish yang
@everlynekidiiga Жыл бұрын
Ee Mungu wangu achilia kibali Cha maombi maishani mwangu
@kisandosamy4924 Жыл бұрын
Mungu anisaidiye kwa uzaifu wa maombi
@aishajustine3295 Жыл бұрын
Amen mtumishi abarikuwa na wewe
@MarieMakiwa6 ай бұрын
Ee mungu nisahidiye nguvu ya kuhomba baba neema yako inihongoze niwe na kuhomba Kila Saha na kiladakika
@NeemaSifael-oc2yf9 ай бұрын
Ee Mungu nisaidie
@simonimbena6 ай бұрын
Naomba ufafanue kuhusu kufunga aina za kufunga
@mganyizi Жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU nashukuru kwa mafundisho Yako yameniokoa
@salimamataluma1384 Жыл бұрын
MUNGU nisaidie hekima niwe muombaji mzuri na NIOMBE na MUNGU anijibu, natamani nikuone katika Maisha yangu JEHOVAH
@joycemwafungo46732 жыл бұрын
Be blessed watu wa MUNGU. Nimeguswa kbs na mafunzo haya
@alicethobias932 Жыл бұрын
Najiunganisha na madhabahu hii Mungu anipe haja ya moyo wangu
@mordekaikiwango3600 Жыл бұрын
Ameeeeniii
@Moudgram Жыл бұрын
Asante mungu 🙏
@LeahDesigner-ep6pn Жыл бұрын
Eee Mungu wangu nisaidie
@Paulamulito2 жыл бұрын
Amina 🙏🇰🇪
@patriciakwamboka5610 Жыл бұрын
Amen 🙏be blessed 🙌
@devothambabazi Жыл бұрын
Amina baba nishike .mukono
@carolineoginda63092 жыл бұрын
Ee Mungu Baba nirejeshee nguvu zangu za maombi na waliokamata maombi yangu wakakutane na radhi ya moto 🔥🔥🔥🔥 katika jina la Yesu kristo Alie hai
@emilypatrick55092 жыл бұрын
Ameni 🙏🙏🙏🙏amenii 👏👏👏
@VivianAnyangi10 ай бұрын
Naomba mungu anisaidie nikuwe na nguvu za kuomba😢
@EvaBoko Жыл бұрын
Amen mtumish wa mungu, mafundisho mazuri, mungu naomba anisaidie katika kuomba.
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Ameen barikiwa sana mutumish wa Mungu
@ruthelma7696 Жыл бұрын
Amen ireceive in jesus
@peninabensonpen8702 жыл бұрын
Amen Amen hiyo hali ndio naipitia kwa sasa Mungu akubariki sana mtumishi maana umetumwa kwa ajli yangu ubarikiwe sana
@DonathaMlwilo9 ай бұрын
Mara nyingi nawaza kufunga lakini naahilisha 😢
@witnessmtono54612 жыл бұрын
Amina sana
@dgjkkkvbjkk6041 Жыл бұрын
Mchungaji Mm huwa naomba maombi ya toba na rehema but majaribu yamezidi na ndoto za mauti.. please naomba unipe ushauri kutoka kwako mtoto wangu alikufa match tena bado naona ndoto za mauti bado niombee jamani
@preciousjay54662 жыл бұрын
Ameen ameem
@JestinaKalama7 ай бұрын
Niongoze mungu katika roho na kweli
@daviasonyoli39632 жыл бұрын
Asanti sana kwa ushauri wa maombi
@irenemosha104624 күн бұрын
🎉
@josephmdam12082 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@tanzaniatubeofficial25772 жыл бұрын
Aeen
@gracekigulu46232 жыл бұрын
Naomba unisaidie nguvu yangu iludi nakufunga nguvu yangu sio Kama mwanzo
@anthonykyoma294 Жыл бұрын
Mungu anisaide nirudishe nguvu ya kuomba
@irenelyamuya54662 жыл бұрын
😪daaah😭😭 .
@williampetro6472 жыл бұрын
Inocent asante kwa mafundisho ya nguvu lakini limepoteza nguvu ya maombi
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
umepoteza siri ya ushindi..usikubali hali hiyo ikupate, jitie nguvu mpendwa...maombi ndiyo msaada wako. najua kwanini umepoteza nguvu za kuomba ila MWAMINI MUNGU UPYA
@deborahchacha2006 Жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi nilikuwa cjui kama mtu huanza na kuomba rehema
@elivllahmoraa Жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa Mungu 🙏🏻
@mwilikomahalla91532 жыл бұрын
Ameen
@rosepeter89962 жыл бұрын
hakika mafundisho yako na uchambuzi wa biblia umenibariki na kunifungua akili na moyo pakubwa.barikiwa🙏
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
amen, asante sana
@JoyceJohn1993 ай бұрын
😢🧎♀️🧎♀️🙌🙌
@janewangui61242 жыл бұрын
Ee mungu nisaindie kulenjesha kuwa mwobaji
@natashapraizzy6858 Жыл бұрын
Amen 🙏 be blessed man of God 🙏
@elizaphilimon53492 жыл бұрын
Mungu akulinde
@jeniphashilingi89062 жыл бұрын
Kaka mungu akubariki
@risperbaraza2602 жыл бұрын
Amen 🙏
@suzzyyank74462 жыл бұрын
Mungu nisaidie
@ruthmoranga51422 жыл бұрын
Ehee mwenyezi mungu nisahidie kiroho niweze kuomba
@fatumandejesalim75922 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu naomba tomba na rehema unirehemu kwa njia zako niko chini ya mguu yako unitawala maisha yangu unikomboe nimekua mwenye bhabi nimekua mwenye bhabi ukikumbuke na ukae katika maisha yangu bila wewe siwezi kwa maana sijakua mkamilifu kwako nimewasamehe walionikosea pia ni hao machache kwa jini nimeomba na kuambini Amen
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
Amen
@juliethnjau Жыл бұрын
Amen
@priscahkiyondi-om1lt Жыл бұрын
Amen 🙏🙏be blessed man of God
@monicaalute3143 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu nabarikiwa Sana na madhabahu hii 🙏🏻
@gistamatamussa83002 жыл бұрын
Barikiwa na Mungu mtumishi kwa somo zuri.
@antoniaevarest74212 жыл бұрын
Ssante mtumishi Mungu akubariki sana
@vayotewanunu78112 жыл бұрын
Amen amen amen name I want to board again
@lewapeter64432 жыл бұрын
Happy Sunday 🙏
@elpinarichard18842 жыл бұрын
Hii imenihusu, Eee mungu nisamehe, nipe neema, roho wakuomba🙏
@helensteven81082 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@stephanokanyika63212 жыл бұрын
Amen mtumishi wa bwana
@monicampokwa4412 жыл бұрын
Nilikuwa nahitaji Sana hli somo.hakika umenigusa ubarikiwe Sana Sana aminaa
@christineasinga2362 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu nimejua yasio jua ubarikiwe sana kwa haya maombi Amina
@saramwembe44122 жыл бұрын
Mungu nisaidie niweze kuomba
@joycekiza23022 жыл бұрын
Amina
@theresiabukuku98212 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki
@jacklinekimaro3022 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI YAANI NASUUZIKA NAFSI SANA
@chifumapro50662 жыл бұрын
Asante San mungu akubariki
@christineasinga2362 жыл бұрын
Amina Amina mtumishi wa Mungu
@JacksonNjoroge-zh5fi Жыл бұрын
Nikulize nikijua nimetenda dhambi mda mfupi sina nguvu ya kuomba nifanye je maana nampena mungu.
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
TUBU
@maryhasantruthtalker70052 жыл бұрын
me here and I am blessed
@asiambise44292 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu
@humblemercyy2 жыл бұрын
Eeh Mungu wangu nisaidie kuwa mwombaji.....ubarikiwe sana mtumishi nakuwa na shida ya kuomba atleast nmepata jambo
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
amen
@kessenjonjoo74402 жыл бұрын
Barikiwa Sana Mtumishi
@sarahyusuph32692 жыл бұрын
AMEN ee Mungu unisaindie 🔥🔥🔥🔥ubarikiwa MTUMISHI
@carolineamoit98322 жыл бұрын
Eaa Mungu nisaidie niwe muombaji
@vailethkinabo79612 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sanaa
@annickkagajo32122 жыл бұрын
Amen Amen ubalikiwe sana
@jefphitaliis65882 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@zuenandauka23932 жыл бұрын
Thank you so much.the teachings are talking to me.i feel them.May GOD BLESS YOU IN ALL YOUR WAYS.
@wilsonheba14692 жыл бұрын
Stay blessed mtumishi
@julianajuliet90032 жыл бұрын
Amen Mimi huwa nasita sana kuomba
@kereikerei96402 жыл бұрын
Mm nikiomba yana kuja na mawazo mengine ninapo kuwa kweny maombi yangu ina nikera sana hii yali na pia naona kama naomba kinywani tu moyoni akufunguki na jalibu kuomba nifunuliwe macho ya rohoni lakini bado
@parishpastory17772 жыл бұрын
🙏🏾
@finiasinyangasi10862 жыл бұрын
2
@annabelndurya58832 жыл бұрын
Be blessed Man of God🙏
@jacklinekimaro3022 жыл бұрын
LEO NILIPANGA KUFUNGA LAKINI NIMEJIKUTA NAGHAIRI KUFUNGA MAANA SISIKII KUOMBA MUNGU NISAIDIE
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
Adui amekuweza...anataka kuharibu jambo kwenye maisha yako...ameshaona kwamba ungefunga na kuomba ungemshinda na kuna mlango ungefunguka.... Sikiliza nikwambie...hata kama hujisikii kuomba,Omba, hata kama hutaki kuomba Omba mpendwa.... Kuna siku utabanwa kwenye kona na adui ndipo utatamani uombe na hautaweza.... Ogopa sana nyakati hizo maana zipo na huwa zinawapata watu.Mungu akusaidie sana
@philismusyoka6372 жыл бұрын
Na kama natamani kuomba kwa sauti lakini unapata nashindwa lakini katika moyoni unapata naomba n nn kweli coz inanitia hofu
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
kemea roho ya hofu ndani yako
@philismusyoka6372 жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 ok swali langu haswa ilikuwa ni nikiomba kwa moyo bila kuomba kwa sauti inakuwaje io coz ndo inanisumbua tu nafeel nitoe sauti but unapata moyoni ndo naomba sana
@Jastus1002 жыл бұрын
Mwalimu tufunze kusoma biblia ipasavyo
@kereikerei96402 жыл бұрын
Mwanzo nilkuwa naomba mpaka najiskia uchungu kabisa nalia lakin saivi ukifika hatua iyo ya kuzama kabisa kwenye maombi gafla ule uchungu unakata isia zina hama najikuta naomba kinywan tena kifupi zaidi yan najiona gafla koo kama limeziba yaan maombi ayatokei tena kiundan bali kinywani tu spend hi ali nifanye nn
@jameskapesa9699 Жыл бұрын
Nimekua naota nimezingirwa na maadui na wachawi na nikiona hivyo naanza kukemea na kuomba kwenye ndoto mpaka maadui wanapotea ina maana gan
@NathanielTindi Жыл бұрын
Eeee Mungu nitie nguvu na unipe kibali mbele zako nikaweze kukutana na uso wako nikaweze kuongea nawe.