WAZIRI MKENDA: KIDATO CHA NNE CHAGUENI TAHASUSI ZINAZOWAWEZESHA KUFIKIA MALENGO YENU KIELIMU

  Рет қаралды 7,778

ELIMU TZ TV

ELIMU TZ TV

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@ahmadimbazi5843
@ahmadimbazi5843 3 ай бұрын
Prof karibu st Mary's mazinde juu lushoto Tanga Tanzania Iko vizuri sana kitaaluma na nidhamu
@robinajonas
@robinajonas 3 ай бұрын
Safi sana prof,mageuzi makubwa sana yenye tija kwa taifa letu
@epimackjohn461
@epimackjohn461 3 ай бұрын
HAPA IMEJAA HEKIMA NA MAONO YANAYOENDANA NA WIZARA ALIYOIPEWA , WELL DONE PROF MKENDA !!
@TATUMGOILE
@TATUMGOILE 3 ай бұрын
Hongera sana jumuia ya Iluhya sec school.
@gastordominic410
@gastordominic410 3 ай бұрын
Kama zipo ambazo haziwez kuwafikisha ktk malengo yao zifutwe sasa
@mnyagamasinde6860
@mnyagamasinde6860 3 ай бұрын
Kama wanasayansi wanazingatiwa kwanini mashuleni walimu hao ni haba pia wapi mitaani?
@anthonygikuri
@anthonygikuri 3 ай бұрын
English ni LAZIMA.... Safi... But WAALIM mahiri wa lugha wapo? Waalim wanafunzi wanafunzi English kwa Kiswahili, hakuna miujiza hapo. Tujenge waaliimu mahiri kwa MAKUSUDI. Lugha ya mawasiliano inatokana na WAALIM mahari wanaotumia lugha hiyo!!!
@ntegrity277
@ntegrity277 3 ай бұрын
Kwanini mumeweka hizo tahasusi? Kumbe zipo ambazo hazina umuhimu? Kwanini mmeweka tahasusi nyingi? Hizo nzuri ni zipi?
@SimonKasato
@SimonKasato 3 ай бұрын
Huyu ni WA siku za usoni maana anafaa
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 3 ай бұрын
Huyu jamaa ni kichwaa.kila wizara anayopangwa anafiti.watu wa Rombo mrudisheni huyu mwamba bungeni 2025-2030.
@tgeofrey
@tgeofrey 3 ай бұрын
Waziri Prof Aliso, a Same secondary Hata Eng Kitwanga
@SimonKasato
@SimonKasato 3 ай бұрын
Huyu ni rais ajaye anafaa
@jamesjohn9232
@jamesjohn9232 3 ай бұрын
Sjawah kumuelewa hata sku moja, nahamu aje mara hku
@joachimjoseph239
@joachimjoseph239 3 ай бұрын
Kwani hii n shule gani?
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
HATUJA SITISHA KIDATO CHA TANO TUMEAHIRISHA - PROF. MKENDA
10:37
ELIMU TZ TV
Рет қаралды 49 М.
Waziri Mkenda afafanua sakata la Walimu kufanya mitihani
8:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,6 М.
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
DAKIKA 10 ZA MCH. HANANJA ZINAZOPENDWA ZAIDI NDANI YA UDSM CCT MEDIA.
9:47
RAIS SAMIA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
31:47
ELIMU TZ TV
Рет қаралды 2,2 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 209 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН