HATUWEZI KUBARIKI MAHABUSU KUPIGWA NA JESHI LA POLISI - BABA LEVO

  Рет қаралды 14,508

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 57
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli Ай бұрын
Wasafi nawaona nao ni watetezi wa watanzania ❤❤ WCB
@AwardHakimu
@AwardHakimu Ай бұрын
Kwa nchi kama hii wanaweza hata kuwafungia maana viongozi wanapenda machawa na watu wajinga wajinga ndio wanapendwa na viongozi
@allykwaya
@allykwaya Ай бұрын
Kuna saa Ukweli usemwe tu, Nchi hii ni huru na inasheria.
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Ай бұрын
Hongera sana kaka kumbe unahekima na bisara mungu akukalie
@ipepeetube449
@ipepeetube449 Ай бұрын
Asante sana wasafi hamusifii usenge mko vizuri sana
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje Ай бұрын
Baba levo 🙏🙏🙏🙏
@IssaMatandi
@IssaMatandi Ай бұрын
Baba levo upo vizuri sana.
@djfunk255
@djfunk255 Ай бұрын
Baba levo kwenye secta ya siasa upo vizuri sana na ingelikua umesoma dahh ungelikua mbali sana. You are doing good 👍🏾
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Kwani kakwambia ajasoma ?
@djfunk255
@djfunk255 Ай бұрын
@@kwisa4899 Mimi hajaniambia ila yeye mwenyewe anasema .
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
La seven huyo​@@kwisa4899
@IssaMatandi
@IssaMatandi Ай бұрын
Ninakuelewa sana baba levo.
@BarakaEmmanuel-v8r
@BarakaEmmanuel-v8r Ай бұрын
B levoooo
@mariozulu5743
@mariozulu5743 Ай бұрын
Kenya kiongozi Chama pinzani awezi kufanwnya hizo. Kama ni kweli polisi lazima afunguliwe kesi baba levo yuko sawa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
Kweli kabisa mapolisi wasenge sana yaani hujapinga amri lakini bado unapigwa
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 Ай бұрын
Mungu atusaidie sana mateso Kwa maabusu na watuhumiwa nimakali sana kiukweli yanaumiza mtu ambaye hajayapata au kumwona ndugu yako anafanyiwa kitendo hicho huwezi kuelewa
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s Ай бұрын
Mungu atatusaidia km tutachukua hatua. Chadema fungueni link katika mtandao kupinga hili.watu wa vote Ndio au hapana mtaona jinsi watanzania walio wengi watapinga ukandamizaji. Wote tunapenda haki na amani.
@Peterchipemba
@Peterchipemba Ай бұрын
Kitendo hiki kikemewe,,Leo hii amepigwa jirani kesho nitapigwa Mimi,,hawa tuwakemee sana,,
@MsendoPhinias-xc2jb
@MsendoPhinias-xc2jb Ай бұрын
Asate sana kwa kuzungumza ukweli huu
@Peterchipemba
@Peterchipemba Ай бұрын
Wasafi,,MNA maneno ya hekima,,mpo vizur kwa watanzania,,kwa maana ccm niwatanania,,chadema nao niwatanzaia
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Ай бұрын
HILI JAMAAA NI BORA SANA❤❤❤❤❤
@bestman3651
@bestman3651 Ай бұрын
Wakat mwingine dish la huyu chawa linatulia 😅
@maclucky4149
@maclucky4149 Ай бұрын
Huwa najiuliza sana kwanini polisi wengi hawaendelei/ hawaendelezwi kimasomo(taaluma)? Wengi wao wanaishia form 4... Mungu ibariki Tanzania.
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 29 күн бұрын
Kuna Hadi Madaktari siku hizi
@maclucky4149
@maclucky4149 26 күн бұрын
@@Rai_online_tv Daktari anakuwa hahusiki direct kwenye kazi wanazozifanya hao polisi. Hao hubaki kusave mahospitali yao
@Gdjn974
@Gdjn974 Ай бұрын
Tunamsubiri Raia namba moja atasema nin
@Mwarobaini
@Mwarobaini Ай бұрын
Go hard
@chancedallas9077
@chancedallas9077 Ай бұрын
Justice for Mandojo
@LassonDominick
@LassonDominick Ай бұрын
CHADEMA wanaonewa saana na wakati wanatafuta haki daah!! Nihatari tu jaman
@chancedallas9077
@chancedallas9077 Ай бұрын
Itakuwa iyo police njo imemuuwa Mandojo ila watazingishia security
@kingrichboe
@kingrichboe Ай бұрын
Wale wahuni walio mbaka yule binti vipiiiii??? Au ndio imeisha iyooo
@victorsemkiwa5043
@victorsemkiwa5043 Ай бұрын
Hi ndio Tz
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 Ай бұрын
Saf baba levo wewe ubunge mwaka ujao
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Sasa unasemaje kamakweli wamepigwa achakutetea ujinga
@edyboyChamilion
@edyboyChamilion Ай бұрын
LAITI KM MHESHIMIWA RAISI ANGENIONA NA ANGENIPA NAFASI YA KUNYOOSHA HAYA MAMBO NA HUU UWONEVU BILA KUJALI ELIMU YANGU NCHI INGENYOOKA HII
@user-rz1bj1yj3z
@user-rz1bj1yj3z Ай бұрын
Kama wanazima taa hapo fresh yaani labda wanifunge mikono na miguuu sitakubali lazima kuna mmoja atatoka hajitambui siku iyo
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
Unacheza wewe unaingizwa kwenye Giza Na bumbu zako wenzako Wana virungu unalegezwa😂😂😂
@PeterSimba-e2f
@PeterSimba-e2f Ай бұрын
Tanzania hatuko huru,Tanzania hatuna amani,bora arudi mkoloni kututawala kuliko CCM
@Bendouble
@Bendouble Ай бұрын
POLISI WOTE TUNAWAJUA NIWANYANYASAJI UTII USITII WANAKUPIGA TU ,WANAPENDA NA SELIKALI HAIWAFATILII SO THATS IT
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa Ай бұрын
Namwingine kavujwa mguu hatanyie mmemwaona kijana avunje mguu
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 Ай бұрын
Duuu Tanzania kama buja
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje Ай бұрын
Police wetu ni machawa
@JoshuaNgolela-pi3nh
@JoshuaNgolela-pi3nh Ай бұрын
baba levo 50 50 ya nn polisi ndo walivo ndomana walivunja camera za waandishi wa habari tusijue kilicho tokea na ww kumbe ni shaidi yalikukuta kumbe usilembe kuwasema hao
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 29 күн бұрын
Ndio mjue kwanini wakoloni walitutawala.. tumeachwa tujitawale lakini bado tunaumizana wenyewe kwa wenyewe
@allytv1714
@allytv1714 Ай бұрын
Lazima tuwarudishe chadema kwenye madaraka kwanguvu bungeni warudi hao kuongozwa na chama kimoja ndo changamoto yake hii wanajiamulia tyuu wapo juu ya sheria
@allytv1714
@allytv1714 Ай бұрын
Police wanapata nguvu kwa7babu wanapewa nguvu na ccm kuumiza vyama pizani na watu wanao wapinga kiufupi uongozi wa ccm niwa kidkteta
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
Polisi hawakupigi bila kuwatendea makosa, hawakupigi tu bila sababu na midomo michafu inawaponza
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 Ай бұрын
wewe lazima utakuwa kati yao
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
@@altonkanjolonga2380 ni vitu vya kutumia akili tu bhana. Mmezoea ufatani mtupu utadhani hamuna dini
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
Ukiambiwa unaenda kuisadia polisi jiandae😂😂😂
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 Ай бұрын
😅😅
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 Ай бұрын
Ajiandaaje?? Kwani ni uongo mahabusu hawapati mateso??
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
Wacheni kupotosha umma nyie mmekwenda wauliza Polisi mkasikia??? Je mmewauliza walipigwa kwa sababu gani????? Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 Ай бұрын
Baba levo hapo ni uongo mtupu hakuna ukweli wowote ule,hiyo ni story tell tu, nonsense chadema
@uwezontalengwa1827
@uwezontalengwa1827 29 күн бұрын
Ona huyu nae
@BarakaEmmanuel-v8r
@BarakaEmmanuel-v8r Ай бұрын
😂😅😅😅😂
@johnjava8510
@johnjava8510 Ай бұрын
Duh, Sasa unacheka nn hapo Mtu wa Mungu 🤔
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 51 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
UTACHEKA BABA LEVO ALIVYOMTANIA MR MANGURUWE ,DODOMA
13:48
BONGO 24
Рет қаралды 8 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 51 МЛН