“HAWA WAMEPIGWA SANA NA POLISI, LISSU ALIRUSHWA KWENYE GARI” CHADEMA

  Рет қаралды 5,748

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 2 ай бұрын
Wafundishwe adhabu waache kuchezea serikali
@leonardphilip565
@leonardphilip565 2 ай бұрын
Haya bwana wakati sasa utakuja kuongea
@RashidiNjaiti-nk2vh
@RashidiNjaiti-nk2vh 2 ай бұрын
Kazi ipo
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 ай бұрын
Hawana adabu hata kidogo polisi wa bara
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 2 ай бұрын
Hii Nchi Msigwa Pekee ndio Mwenye Akili Timam😢😢Hii Nchi CCM wameiweza
@PaulKivisile
@PaulKivisile 2 ай бұрын
kwanin mnawalea ha polis wala lushwa. kwan nyie mnawaulizanga kuhusu mazimisho yao
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 ай бұрын
Lisu ni wakili. Kama amepigwa na police afungue mashitaka
@AnnaNelson-f8x
@AnnaNelson-f8x 2 ай бұрын
Wakome
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 ай бұрын
Shida yenu chadema mnawashambulia polis wakati mnajua wao wapewa maelekezo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 ай бұрын
waache uzushi, yote mnafanya ili mpate huruma za Wazungu, sarakasi na cinema zote mnafanya yote ili kuichafua serikali, mmeruhusiwa kufanya siasa fanyeni siasa na sio kuleta taharuki, yaani hiki kirusi kikiachiwa ipo siku mtaja kumbuka shuka alfajiri
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 2 ай бұрын
Hiii Nchi nimejifunza Kua Nyerere alitutengezea Kitu cha Umoja na Yeyote mwenye Nia mbaya mabaya humkuta..... Chadema muna Kauli mbaya za kutangaza vita ya Nchi😮😮😮
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 2 ай бұрын
Uko sawa kabisa tumewachoka chadema
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 ай бұрын
😭😭😭
@BilaliNuhu
@BilaliNuhu 2 ай бұрын
Sasa si walikuwa wabishi kufuata maelekezo. Wapigwe tu
@rambostalon2888
@rambostalon2888 2 ай бұрын
Choko ww
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
CHADEMA WAPEWE AWARD KWA MOVIE MPYA NA KULIALIA 😢😢😢😢
@raphaelmramba4573
@raphaelmramba4573 2 ай бұрын
Jutafakari kiwango chako Cha kufikili
@silvanus1990blockchain
@silvanus1990blockchain 2 ай бұрын
Wanatuchokoza kutupigia viongozi wetu hatupoi tupiganie haki yetu
@abdallahsaleh5194
@abdallahsaleh5194 2 ай бұрын
Sisi wenyewe mitaani huku tukizingua tunapigwa sasa nyie muachwe mna nini kazeni sisi mbona hatutii huruma kwa vyombo vya hbr polisi ndio kazi yao unafikiri bunduki na mabomu huku mjini wanawinda swila au simba
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 2 ай бұрын
Dhulma dhulma dhulma Tanzania uhuru wa kukutana hakuna?uhuru wa kutembelealea mkoa wa mbeza hapo?au mfumo wa chama kimoja unatusumbua.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН
Wait for it 😂
00:32
ILYA BORZOV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 25 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 84 МЛН
SUGU ALIVYOKAMATWA NA POLISI "TWENDE BABU, NITAKUVUNJIA HESHIMA"
3:14
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН