Hawa Watoto Walinipa Ushauri Mzito Sana Ambao Sikutegemea | Their Advice Blew My Mind...

  Рет қаралды 31,553

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Күн бұрын

Пікірлер: 130
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Pamoja Mzee ngoja tusake pesa tuje kutembea utofaut wa utafutaji wa huko na huku tofaut ndogo tu naamin hivo nazan huko ili utoke Kuna umuhim wa kujibana
@SMCTRADER-b4t
@SMCTRADER-b4t Жыл бұрын
Kaka Jack uyu mwengine Black kidogo nimempenda sana af pia nimependa vibe lao mara wagombane Mara watishiane ngumi kidogo hadi Raha yan
@goodBoy-jj7qx
@goodBoy-jj7qx Жыл бұрын
Mademu wa kuoa wapo wengi sana 🎉🎉🎉
@allykigatta7564
@allykigatta7564 Жыл бұрын
...KIZAZI SANA MWANA....zanzibar hapa..
@ZINGAMC
@ZINGAMC Жыл бұрын
Sana mkuu tuko pamoja sanaaa Zinga MC nipo iringa nakufuatilia sanaaa
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 Жыл бұрын
Ushaur wao mzr sana usilale na madem usio wajua magonjwa meng pamoja na hatari zingine
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Kweli kabisa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Is it possible?
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 Жыл бұрын
Jack nakucheki nikiwa Tanzania Arusha 🇹🇿
@msengasikaonga3039
@msengasikaonga3039 Жыл бұрын
Nakufatilia sana Niko Kitwe Zambia
@edwintouches
@edwintouches Жыл бұрын
"Never F**k someone you don't know", bonge la ushauri, noted. ✍️ May God bless her! ❤
@charlesjaphet5768
@charlesjaphet5768 Жыл бұрын
Yeah hiyo video nimeenjoy sana watoto hao wamechangamka balaaa pia ushauli wao mzuri sana 👏 big up sana 👍
@officialkalengotalent2014
@officialkalengotalent2014 Жыл бұрын
Yeah kujiamini ndo kitu muhimu 🙌🔥🔥🌍🌟
@justinemurupe6257
@justinemurupe6257 10 ай бұрын
All the way from chuga, this is becoming my best vlog channel for such things
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Жыл бұрын
Asante kwa elimu hii mimi n mmoja wao naogopa sna
@ShabanChomboko
@ShabanChomboko 2 ай бұрын
Oya vp Mwanangu kazi zinapatikanaje huko
@Missfridah
@Missfridah Жыл бұрын
Pamoja mkuu
@betomkwinda8744
@betomkwinda8744 Жыл бұрын
Asante Jack tupo pamoja tunakufuatilia zaidi hapa nyumbani Tz endelea na kutupatia taarifa za uko
@ezekiellucas8981
@ezekiellucas8981 Жыл бұрын
Da fear inasmbua weng sn bruh, from golden city kahama
@RichPlumbing
@RichPlumbing Жыл бұрын
Oya jack nakubali sana
@FernandinyoPogba
@FernandinyoPogba 5 ай бұрын
Asante sana kk
@goodluckminja3798
@goodluckminja3798 Жыл бұрын
Nakucheki nikiwa Dar es salaam Tanzania
@MASOUDHamis-m5y
@MASOUDHamis-m5y Жыл бұрын
ONGERA sana kaka nakufatilia sana kaka ,kutoka lindi. Tanzania 🎉
@pevingblocks-qp9dq
@pevingblocks-qp9dq Жыл бұрын
asante sana nimejifunza kitu bro!
@AmimuabdulHassan
@AmimuabdulHassan 5 ай бұрын
vzr sana
@RajabuHella
@RajabuHella Жыл бұрын
Oyaa mwamba vibe sio poa naongea mikiwa Zanzibar
@mwangosikennedy9643
@mwangosikennedy9643 Жыл бұрын
Kahama one made mtaa mmoja kabisa mzee
@browntv1119
@browntv1119 Жыл бұрын
Pamoja sana kaka
@mosesemmanuel539
@mosesemmanuel539 10 ай бұрын
Video zako hazichoshi na zinafact nzuri alafu sio ndeefu big up brother am Tanzanian
@jackwausa
@jackwausa 9 ай бұрын
Pamoja sana
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 Жыл бұрын
Kweli wewe ni mtu safi sana huna roho mbaya Mungu akufikishe mbali Mbeya Tz
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante!!
@machujamathias7165
@machujamathias7165 9 ай бұрын
From sengerema hakikaa unani stimulate sanaa
@Skyper_G
@Skyper_G 8 ай бұрын
"f*ck bitches, get money" apa alkua anamaanisha f*ck ile ya kwamba wapotezee, usiwawekee focus and then get the money(focus on the money)... Sio f*ck ya kula madem... Ko ushaulibwake ulkua positive apo
@ShabanChomboko
@ShabanChomboko 2 ай бұрын
Oya vp mzee baba
@OscarJoshua-r6x
@OscarJoshua-r6x Жыл бұрын
Nimetizama KZbin chanel nyingi sana za watu wa USA,ila ya Jack naipenda sana,kaza buti broo,all Tanzanian we love you,by Papaa Oscar mnyamwezi wa Tabora but now I live in Dar es salaam Tanzania.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nimefurahi kusikia hivyo
@seneequamoyo6160
@seneequamoyo6160 Жыл бұрын
The third here in this video 😊😊.. I like your videos.. be blessed
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Glad you like them!
@mylove-q5v
@mylove-q5v Жыл бұрын
Hatali sana
@TheJaph88
@TheJaph88 Жыл бұрын
Jack i'm Jeff from Tz,nakucheki kutokea Dodoma
@henry7674
@henry7674 Жыл бұрын
Bro jack ur giving a precious advice keep it up dude much love from rock city Tz 🇹🇿🔥
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Appreciate that
@luhindakanige2987
@luhindakanige2987 Жыл бұрын
Pamoja sana
@Pandumasoftware
@Pandumasoftware Жыл бұрын
True bro! Tuko pamoja from Lindi Tanzania
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@eliyamafanikio-cy2le
@eliyamafanikio-cy2le Жыл бұрын
Ushauli mzuri Sana unaniusu Mimi hasa
@amlanniamimuafricatz5745
@amlanniamimuafricatz5745 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nimeipendraaaaaaaaaaaaaaaa sana
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 Жыл бұрын
I got u my brother🇰🇪
@LeonardPhilimon-p2u
@LeonardPhilimon-p2u Жыл бұрын
Nipo mbeya
@amlanniamimuafricatz5745
@amlanniamimuafricatz5745 Жыл бұрын
Kwamba tafta pesa kula mademu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 woyooooooooo❤
@FaridachapaYahaya
@FaridachapaYahaya 2 ай бұрын
Mambo niaje jack
@PhilipeAbetcha
@PhilipeAbetcha Жыл бұрын
Poa sana mimi nipo South Africa
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Жыл бұрын
Uko sahihi Jackson, mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema: kitu pekee cha kuhofia/kuogopa ni hofu yenyewe." Morogoro-Tanzania.
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
What to fear is fear it self
@denisjoel1592
@denisjoel1592 Жыл бұрын
Sana mwanetu !!
@Tibuhkhan254
@Tibuhkhan254 Жыл бұрын
Wow kali wew
@levicelevite
@levicelevite Жыл бұрын
Nakucheki kutoka +254
@SylvesterReuben-iy2ox
@SylvesterReuben-iy2ox Жыл бұрын
Sana Jack that's true
@amlanniamimuafricatz5745
@amlanniamimuafricatz5745 Жыл бұрын
Jack naomba nikuurize😀😂😂 huko marekan kuna gonorea uti sugu yaan magonjwa ya zinaaa😂😂😂😂 kama hawa watoto wa mabatin apa mwanza😂😂😂
@wizjones3746
@wizjones3746 Жыл бұрын
Tafuta kibunda kula mdemu 😂😂 Those kids 🙌 This is Wizjones 📍 Njombe
@dankinp
@dankinp Жыл бұрын
I have always been thinking of starting a KZbin channel but I have failed to get someone to teach me on how to go about it, Bro this video makes me feel you can be my teacher. I wanna vlogg around Africa and with time ,I upgrade to the Western countries
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Just do it and you'll get better along the way!
@rukinishathadeo7215
@rukinishathadeo7215 Жыл бұрын
Napenda sana video zako.big up
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Жыл бұрын
Good Good Jack kutoka Singida Tz
@mbashaphabian7668
@mbashaphabian7668 Жыл бұрын
Good guy
@kamana877
@kamana877 Жыл бұрын
Hk from DAR...unafanya kazi nzuri sana broo..I think its too late for me to have your You tube media
@christopherlionga1265
@christopherlionga1265 Жыл бұрын
From Mozambique Kazi mzuri sana sema esporte zetu kwako tutajon kwenye blog yako
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 Жыл бұрын
Same same but diffnt
@michaeliernest8510
@michaeliernest8510 Жыл бұрын
Nakupa shavu la nguvu nikiwa dar es salaam aise unafanya kitu kizuri Sana mdogo angu
@wizzy_genius
@wizzy_genius 7 ай бұрын
Pamoja mwamba kutoka mwanza 🇹🇿
@simonlugaila2576
@simonlugaila2576 Жыл бұрын
Tumia pesa ikuzoee.
@madytwaa
@madytwaa Жыл бұрын
Mzee kwa nje rahisi sana ila hapa ndani huku bongo kuna maeneo na maeneo la sivyo utaishia ndani tu 😅
@MaishaSafari-wp7cq
@MaishaSafari-wp7cq Жыл бұрын
J nakuchek nikiwa Mbeya
@Nomadson-c5c
@Nomadson-c5c Жыл бұрын
Hello my brother If I want to come for your visiting there in USA how can I get Visa,, am from Kenya I am a Samburu
@allymbaruku4710
@allymbaruku4710 Жыл бұрын
Kutoka Arusha tz 🇹🇿
@famakasari
@famakasari Жыл бұрын
Sawa kaka iwishi ningekua kuwa camera man wako bro
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Haha leo umebonga bonge moja la point
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 Жыл бұрын
Uko vzur karibu Tanzania
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌️👊👍.
@AmiBoy-vs2td
@AmiBoy-vs2td Жыл бұрын
Yani ukishakuwa Mmarekani unakuwa unajiamini sana
@westcijosh
@westcijosh Жыл бұрын
Watoto wakali hao kchz
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek Жыл бұрын
One love brow 🇲🇿
@augustinejames2416
@augustinejames2416 Жыл бұрын
Video zako zinanijenga sana nipo Mwanza Tanzania!!! Usisahau kututafsiria kwa kiswahili baada ya mazungumzo na hao unokutana nao kwa siku husika!! Tuko pamoja
@SadockJaphet-d4i
@SadockJaphet-d4i Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@abrahamtitusi8967
@abrahamtitusi8967 Жыл бұрын
hawa watoto wacheshi sana
@boneyme9433
@boneyme9433 Жыл бұрын
UJASIRI
@athumanizaidi8560
@athumanizaidi8560 Жыл бұрын
Jack still Bado upo vizuri maana 10k views within 2 days 😢it's wow!
@barutiboniphace4335
@barutiboniphace4335 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 Dah ushauri wa hao jamaa wamepinda sana
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Jack hao c wakuoa kabisa unasema watoto
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yes, ni watoto bado kwasababu ni chini ya miaka 18
@yohana1242
@yohana1242 Жыл бұрын
Watoto wanapend camera ao
@HalifaSalim
@HalifaSalim 5 ай бұрын
From zanzbari
@amlanniamimuafricatz5745
@amlanniamimuafricatz5745 Жыл бұрын
Harafu hako katoto kakubwa keusi ni size yangu kabisaaaaa😂😂😂😂
@shawn-the-first.1643
@shawn-the-first.1643 Жыл бұрын
🔥 🔥 ❤
@anuaryfernandez7230
@anuaryfernandez7230 7 ай бұрын
😂😂😂 Those Kids Are Hilarious
@RichPlumbing
@RichPlumbing Жыл бұрын
Nipo goba mpakani dar esalam
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Жыл бұрын
Wewe unatumia go pro camera au aina gani???
@idrisanassor7744
@idrisanassor7744 Жыл бұрын
Jason dakka kidgo Jackson
@Movic5806
@Movic5806 Жыл бұрын
@jackwausa Bro Tunaomba Ukatuonyeshe Events za WWE zinavyofanyika,Je Ni Fake au ni Real
@Mufti-c7t
@Mufti-c7t Жыл бұрын
Lakini aliyevaa white mkali brother
@freshtiff1265
@freshtiff1265 Жыл бұрын
Fear is just an illusion
@chingebrazilmrefu6124
@chingebrazilmrefu6124 2 ай бұрын
Kutoka tabora Tanzania vip rafiki huku Tanzania p Diddy anazungumzwa sana ndio kashika hatam vip huko wana mzungumuziaje ndugu yao
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 Жыл бұрын
Jack u'r not walk alone
@anordgerison8639
@anordgerison8639 Жыл бұрын
Huyu black-white, nimempenda kinyama
@samielvutsipa52
@samielvutsipa52 Жыл бұрын
Ndugu Yangu nakukubali sana kutoka Congo butembo sasa nataka number yako watssapp
@frankmpembu
@frankmpembu Жыл бұрын
Hao siyo watoto, hao ni wakubwa jack, unaona ata ushauri wao niwa kikubwa, kula mademu tafuta pesa.
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 7 ай бұрын
Niko mbeya heneo iremi
@SalvatoryShirima-t9t
@SalvatoryShirima-t9t Жыл бұрын
Kula madem tafuta pesa nimemkubali huyo
@MaxnEngineer
@MaxnEngineer Жыл бұрын
😂😂😂😂Watoto wa mjin Hao
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Noma sana
@luisojr3480
@luisojr3480 Жыл бұрын
Daaa huyo mwingine ushauri wake miyeyusho sana eti tafuta pesa kula mademu😂😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
😂😂
@SumaSeleka-ph3pg
@SumaSeleka-ph3pg 6 ай бұрын
Usilale na mwanamke usiyemjua ni kweli kbs. Hii imetuumiza wengi na kujutia
Tazama Hii Kama Unataka Mzungu Ili Ujue Sifa Za Mtu Wanaemtaka
10:29
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 341 М.
Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)
15:34
Kama unatazama video hii, Tafadhali niombee 🙏🏾😢
10:42
Jack Wa USA
Рет қаралды 23 М.